Ni vizuri vyombo vya habari kutumika kwa kuelimisha umma na sikupotosha kwa taarifa za uongo Lodekka bus(double deca bus) ni Mabati ya uingereza alikuwepo Dar Mwaka ya 50’s/60’s kama town bus kabla ya kuanzishwa DMT Dar es Salaam Motor Transport baadae UDA muonekano huo ni wa 60’s yako Mengi Depot Bristol yanauzwa watu wana yaboresha kufanyia utalii wa wandani kama huo rekebisheni taarifa jape ni Wazo zuri sana na hongera alifikiria kufanya Jambo hilo
Mimi niliwahi kupanda 1967 wakati huo yalikuwa yanamilikiwa na DMT (Dar esalaam Motor Trans) wahenga hatuyashangai, lkn SA yapo kibaoooo na yanasafirisha mikoani
Haya mabasi yalikuwa inchini mwetu miaki ya nyuma Sana sasa Mimi nina wajuku yanadumu Mahali hapana ushindani mkubwa wa magari ya abiria lakini ni mazuri
Chuo kikuu walikuwa nalo. Lakini madereva wa bongo wataliangusha kwa kupiga mikwara. Angalia mwendo kasi inavyomaliza watu kwa speed zao. Dereva anafika katikati ya mji atakimbia anavyotaka, ingawa uko pekee yako lakini unaweza kuiokoa hata kama wewe upo sahihi.

iko vizuri shughuli watu wakusimamia hivi vipaji ndiyo mtihani
Ni zuri kweli jaman! Hao mafundi ni muhimu sana
Ongeraaaaa Sanaaaaaaaaa
An old London Route Master bus!!
Hongereni mafundi kwa kazi nzuri
Mimi niliwahi kupanda 1967 wakati huo yalikuwa yanamilikiwa na DMT (Dar esalaam Motor Trans) wahenga hatuyashangai, lkn SA yapo kibaoooo na yanasafirisha mikoani
Haya mabasi yalikuwa inchini mwetu miaki ya nyuma Sana sasa Mimi nina wajuku yanadumu Mahali hapana ushindani mkubwa wa magari ya abiria lakini ni mazuri
Hii gari ni ndefu mno kwenda juu. Yaani hii ukizunguka nayo kwenye sharp corner na speed 30 tu no fasta2 miguu juu kifo cha mende
Bravoooo sana
Hii siyo gari ya kujisifiya sisi vijana wa Tanzania ana African kwa jumla tuna Uwezo waku Gari zuri na lenye muonekano mziri
Mmeishiwa habari kweli
Shida waafrika hatujiamini ,ingekuwa rangi nyeupe inaaminika
Hivi lina juu na chini au
Hongereni vijana Ila mbona refu sana kwenda juu ?
Hongereni lakini sio ajabu kwasababu magari kama hayo yalimuwepo tangu karne ya 10
Karne ya miaka Mia iliyopita
Hil gari lilikuwa Udsm lilichukuliwa naanispaa ya Kino
Chuo kikuu walikuwa nalo. Lakini madereva wa bongo wataliangusha kwa kupiga mikwara. Angalia mwendo kasi inavyomaliza watu kwa speed zao. Dereva anafika katikati ya mji atakimbia anavyotaka, ingawa uko pekee yako lakini unaweza kuiokoa hata kama wewe upo sahihi.
Yesuu sipandi hata bure
Kwanini hupandi? Unaogopa kutupwa kwa ajali?
Unaweza kukuta gharama zake ni kubwa mno ni heri wangeagiza basi jipya na zuri
Shida ni hio picha
Mwisho mtasema Gali hili ni la Wana ndoa tuu😂😂😂
Nataka nione msanii wakwanza atakaye chukua fursa hii kushutia video bus hili la kiengereza lakivutio
Duu tuleteeni mbagala hilo,litusaidie ktk shida ya usafili
Natamani kuliona likipita pale ubungo kwa urefu huo 🤔 ( thinking)
Duuuuuh Kama kologombe
Angalia u tube mji wa London utawaona hao kalogombe ,usije ukaliiotea.😆😆
@@husseinkarim7663 😁😁😁😁😂😂😂