Jenga Msingi Wa Kujiamini Kwa Njia Hizi 7

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • Jenga Msingi Wa Kujiamini Na Njia Hizi 7
    .
    ILI KUPATA "EXCLUSSIVE CONTENTS", MASOMO YA ZIADA
    YASIYOKUWEPO HAPA TH-cam, MASWALI NA MAJIBU
    Subscribe katika Channel yetu kwenye WhatsApp:
    Hapa: whatsapp.com/c...
    .
    NUNUA KOZI YA SPEAKING SKILLS:
    Tuma neno KOZI au COURSE kwenye whatsapp
    WhatsApp: wa.me/255759191076
    Bei ya punguzo: 20,000 TZS tu.
    .
    NUNUA VITABU:
    Click hapa uje whatsapp moja kwa moja kisha andika neno VITABU
    WHATSAPP: wa.me/255759191076
    .
    OUR SPONSOR’S DETAILS:
    Al-Rahmah Schools
    Location: Mkuranga
    Phone: 0673-52-66-44
    IG: / alrahmahschools
    .
    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP (BURE):
    Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii:
    chat.whatsapp.....
    .
    WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
    Voice-over Talent | Content Entrepreneur | Speaker
    Instagram: / ezdenjumanne
    Twitter: / ezdenjumanne
    Facebook: / ezdenjumanne
    WhatsApp: wa.me/255759191076
    .
    SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
    .
    HAMASA YA LEO👇🏽
    / hamasayaleo
    .
    JE WAJUA?👇🏽
    / @jewajua5506
    .
    VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
    / voiceovertanzania
    .
    KWA MATANGAZO KWA BIASHARA:
    - Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
    - Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
    - Kutengenezewa tangazo zuri
    Tuwasiliane kwa taarifa hizi hapa chini:
    CALLS: (+255) 759 191 076
    WHATSAPP: wa.me/255759191076
    EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
    .
    .
    #Kuanza #Kujiamini #Ezden

ความคิดเห็น • 35

  • @rahmakassim1632
    @rahmakassim1632 8 หลายเดือนก่อน +5

    Jifahamu,..jiongeze thamani,..pata motisha kwa WATU wa karibu,...jifunze kwa wanaojiamini,...jiambie maneno chanya,...tupia mavazi mazuri,...usikae kinyonge

  • @user-jy1zn1zj8f
    @user-jy1zn1zj8f 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah, hakika ezden nikisikiliza ninapata Imani kuwa nimepiga hatua kubwa kabisa.

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 8 หลายเดือนก่อน +3

    Shukran 🙏

  • @zuhuramaige5729
    @zuhuramaige5729 8 หลายเดือนก่อน +2

    Iko vizuri sanaaa nitaifanyia Kazi Shukran

  • @elishamabala8609
    @elishamabala8609 13 วันที่ผ่านมา

    Kaka asantee nimejifunza mengi sana kupitia mafunzo yako na naona mabadiliko sahv🙏

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 8 หลายเดือนก่อน +6

    Jiambie maneno mazuri kila uamkapo alfajiri. 2. Usikae kinyonge,Usitafute kuhurumiwa, Jionyeshe kuwa U shujaa. Asante kwa elimu isiyopatikana darasani.

  • @user-nm3bp8kg1q
    @user-nm3bp8kg1q 5 หลายเดือนก่อน +1

    Good point

  • @AllyMbwile-qs7gs
    @AllyMbwile-qs7gs 8 หลายเดือนก่อน +1

    thanks brother nimepata kitu

  • @yasluhumilemohammed7461
    @yasluhumilemohammed7461 8 หลายเดือนก่อน +2

    Bro yani tangia nianze kuku fuatiria asaivi nimejifunza mengi sana mpaka sasa nimekua mtu tofaut na yule wa awali nilikua nachukia ovyo ovyo asante sana kaka asaivi namim natumia vdeos zako kuaelimisha wenzangu ❤❤

  • @user-pt7ww5rg8l
    @user-pt7ww5rg8l 4 หลายเดือนก่อน +1

    wow nmependa kak najiamini sasa

  • @starvoxtz-pl2xj
    @starvoxtz-pl2xj 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika kaka ezden jumanne nimejifunza vingi sana moja wapo usikae kinyonge mungu akupe maarifa zaid na zaid tuzidi kujifunza kupitia kwako👊🙏

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu Sana, ni furaha yangu kujua umejifunza jambo

  • @motiveperson143
    @motiveperson143 8 หลายเดือนก่อน +1

    I like that kipaji chako sio cha kwako bali ni cha wengine❤.

  • @tonnydrezzy
    @tonnydrezzy 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka nakubali sana mafunzo yako mazuri mnoo santee

  • @feisalakbar4759
    @feisalakbar4759 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla

  • @happyvalence5352
    @happyvalence5352 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kukaa kishujaa hii IMEENDA 👏🔥💯

  • @gabbyedward4079
    @gabbyedward4079 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni master sana..😊😊 Unatoa points za kueleweka sana Mshua

  • @user-rj7dd7jw2v
    @user-rj7dd7jw2v 8 หลายเดือนก่อน +1

    Aisee unanifunguaga Sana akili kaka Mungu akubariki naipenda Sana channel hii mnajua 🤝

  • @irakozeshela1809
    @irakozeshela1809 8 หลายเดือนก่อน +1

    barikiwa sana kaka ezden najifunza mengi

  • @EnockAgustino
    @EnockAgustino 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shukulan kaka nimekuelewa San 👍👍

  • @motiveperson143
    @motiveperson143 8 หลายเดือนก่อน +1

    I will add two, and this thing works on me, sijui kwa wengine. "Help others, specifically the things watu wameshindwa yaani ukifanya then ukafanikiwa on that 😂 kuna some confidence inakuingia.
    2: Exercise, especially the early morning ones bro that really works

  • @suleim505
    @suleim505 8 หลายเดือนก่อน +1

    ASANTENI SANA KWA KUTUELIMISHA.

  • @elisiameela2778
    @elisiameela2778 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan kakaapo kwenye mavaz kama naona sijapendeza najiskia vbya sana afu sijiamin

  • @munahashim8898
    @munahashim8898 2 หลายเดือนก่อน

    Big up bro

  • @vennamaina
    @vennamaina 8 หลายเดือนก่อน +2

    Bongera pindi kiongozi

  • @user-nk7os5ru9c
    @user-nk7os5ru9c 8 หลายเดือนก่อน +1

    Eeh we ni zaidi ya mwalimu.. hapo pa kuvaa nakubali kabisa asilimia zote..

  • @asatrachiwewe1432
    @asatrachiwewe1432 5 หลายเดือนก่อน

    true

  • @kingbobzllema7789
    @kingbobzllema7789 8 หลายเดือนก่อน +1

    usikae kinyonge, ustie huruma iyo nimeipenda kaa kishujaa

  • @AdamHamadi-hj2yx
    @AdamHamadi-hj2yx 8 หลายเดือนก่อน +1

    nimekupata kaka hakuna kukaa kinyonge nivema kujiamini😁👍

  • @user-of2uf1je3g
    @user-of2uf1je3g 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa ezden jumanne

  • @iddmambo3218
    @iddmambo3218 8 หลายเดือนก่อน +2

    Brother kujiamin nimoja yamsng mkubwa sana katka mafanikio yoyote, but moja katk kitu chamuhim san kila mmoj wetu anapaswa kukijua nikwamba kujiamin kunatokana na knowledge (maalifa), ukiwa namaalifa katk jambo lolote actually utakua na confidence yakulielezea jamabo lako nahata kuchukua hatua (taking action) yajambo hilo,..
    Lakin vijana wengi tunashndwa kujiamin kwakukosa maalifa yavitu tunavyotaka kuvielezea au kuvichukulia hatua, nahatimaye tunajijengea hali yakutokujiamin nahali yakuogopa kuchukua hatua(PROCRASTINATION)
    Personally i recommend to youth to read books alot ili kuongeza hali yakujiamin.
    But also i recommend youth to read biography of success people, because reading biography of success peoples teaching us theory into practical.

    • @mohdchuma78
      @mohdchuma78 หลายเดือนก่อน

      Unawez kuwa na ushauri mzur ila ukashindw kuutoa kw kukosa kujiamn

  • @user-gy1lb9fo2b
    @user-gy1lb9fo2b 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekukubali

  • @user-of2uf1je3g
    @user-of2uf1je3g 8 หลายเดือนก่อน

    Saw eden jumanne

  • @kyangwechoma2953
    @kyangwechoma2953 8 หลายเดือนก่อน +1

    Usikae kinyonge kaa kishujaa