RC MWANRI NA WAKANDARASI WAHINDI "SOMA HUKO INJINIA HUU NI MKOROGO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 987

  • @mariyamgharib940
    @mariyamgharib940 6 ปีที่แล้ว +177

    Uyu babu ana burdani kweli wallah anakuwa seriously Kisha anafurahisha. Mungu amlinde na maadui ndani ya kazi zake inshaallah.

  • @tommiecharles6501
    @tommiecharles6501 6 ปีที่แล้ว +29

    Huyu mzee anafanya kazi ya Serikali kama yake anavyoifanya , kwa moyo wote.
    MUNGU akubariki mzee wangu.

  • @raheemmadaha6557
    @raheemmadaha6557 6 ปีที่แล้ว +40

    Kama unaona Rahisi Magufuli amefanikiwa kumchagua kiongozi huyu weka like kama mimi

  • @haithamrubeabuhet2637
    @haithamrubeabuhet2637 6 ปีที่แล้ว +143

    bwire utasomeshwa sasa ivi hhhhh km unamkubali nipe like yako

  • @azizamkindi1784
    @azizamkindi1784 6 ปีที่แล้ว +423

    Kama unamkubali mwanri gonga like??

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 6 ปีที่แล้ว +50

    Mwenye kumkubali huyu RC gonga LIKE

  • @yassirjuma5799
    @yassirjuma5799 6 ปีที่แล้ว +81

    Dah, RC Huyu ni Favourite Wangu yaani 😂😂😂😂😂👌 !!! "Utasomeshwa hapa sasa hivi "

  • @blackmamba7553
    @blackmamba7553 6 ปีที่แล้ว +94

    mzee katisha sana😁😁😁😁😁wapi likes

  • @YaNoah-Congo-Bongo
    @YaNoah-Congo-Bongo 6 ปีที่แล้ว +148

    Huyu ni president wa siku za usoni, “weka uyu jamaa ndani” ya ikulu..

  • @jacobalbert3296
    @jacobalbert3296 2 ปีที่แล้ว +4

    Daaaaah jaman huyu mzee nimemnukuu "watu wasijiskie vbaya ni majukumu yangu" hata kama nimechukia lazima nifrahi maana anaenikaripia anajua anchokifanya na si ubaya, Mungu akulinde popote ulipo🙏🙏

  • @alikalama5852
    @alikalama5852 6 ปีที่แล้ว +61

    Like kama unapenda mkuu wa mkoa awe Rais wa Jamhuri one day

  • @paulinacosmas6355
    @paulinacosmas6355 6 ปีที่แล้ว +172

    What are you talking about meeen 😂😂😂

  • @abdulkareemchande7204
    @abdulkareemchande7204 6 ปีที่แล้ว +1

    Kama unaamini na kumuombea kwa Mungu mzee mwanri apewe wizara ya ujenzi gonga like

    • @paulsasuma8713
      @paulsasuma8713 6 ปีที่แล้ว

      Walikuwaga huko na Magufuli

    • @ntemikingi3531
      @ntemikingi3531 5 ปีที่แล้ว

      Apewe wizara huyu baba mchapa kazi safi sana

  • @meronstudioz
    @meronstudioz 6 ปีที่แล้ว +13

    This is how work must be done!! congratulation RC.. Mwanri🔥🔥🔥

  • @danielaketch8672
    @danielaketch8672 3 ปีที่แล้ว

    Angalia utasomeshwa sasa ivi apo uyu mzee bhana burudani sana kama una mkubali gonga LIKE yako

  • @nicomedimartin7540
    @nicomedimartin7540 6 ปีที่แล้ว +6

    What are you talking about men!!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
    Salute Mkuu wa Mkoa

  • @chigypt
    @chigypt 6 ปีที่แล้ว +5

    One of the rare reasonable Tanzanian politicians......keep up the good work muheshimiwa RC Mwanri.

  • @johnsway459
    @johnsway459 6 ปีที่แล้ว +3

    Kuna mtu anabixha hapa!Ee ee any problem i.e Aggrey mwanri...hapa kaz tuu namkubali sana uwezi kumdanganya...kama na ww unamkubali gonga gonga like za kutosha hapaaa

  • @jumakapesa726
    @jumakapesa726 6 ปีที่แล้ว +2

    "Kuna mtu anabisha hapa"
    Kama unamkubali saaaana RC MWANRI Mpe like zake tu.

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 6 ปีที่แล้ว +3

    Mh Rais wetu JPM naomba umpatie Mh Mwanry, mkuu wa mkoa wa Tabora kusimamia makandarasi wote nchini ktk miradi mikubwa ya ujenzi. Huyu anafaa kutekeleza kwa data na siyo maneno. Big up sana Mh.Agrey.

  • @ubwabwa1790
    @ubwabwa1790 6 ปีที่แล้ว +2

    kama unamkubali huyu mzee gonga like yako hapa nani anataman kumuon huyu mkuu wa mkoa kama mim jamn.

  • @ibrahimayoubdhahabu984
    @ibrahimayoubdhahabu984 6 ปีที่แล้ว +78

    Hapa Magufuli aliramba Dume.. Dume kweli.

  • @twahasaidi7578
    @twahasaidi7578 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah magu mdogo ningekuwa na uwezo awe raisi wa tz from nairobi kny dodoma kwetu

  • @hamzarumela1784
    @hamzarumela1784 6 ปีที่แล้ว +100

    Kumbe hata kizungu kinapanda bwana mzee wa sukuma ndani

    • @salummuhija4435
      @salummuhija4435 6 ปีที่แล้ว +4

      We unafikiri huyo ni wa mchezo mchezo, mbona alishakuwa waziri awamu ya nne.

    • @fatmaadam1778
      @fatmaadam1778 6 ปีที่แล้ว +1

      Hamza utamzararu vp kuu wa mko kwann asijuwe kizungu

    • @hamzarumela1784
      @hamzarumela1784 6 ปีที่แล้ว +4

      Kaka Mimi cwezi kumdharau mkuu wa mkoa bwana, binafsi namkubali Sana huyu mzee, nilitania tu

    • @arikadymkenda47
      @arikadymkenda47 5 ปีที่แล้ว

      Umekaa kaaje

  • @abdullahiadan7239
    @abdullahiadan7239 3 ปีที่แล้ว +2

    Tanzanian are very lucky to have this man..he is a patriotic.well done

  • @dvjzombie3975
    @dvjzombie3975 6 ปีที่แล้ว +17

    Uliye sikia kuna m2 anabisha gonga like twende saw

  • @zabronmagibo6745
    @zabronmagibo6745 6 ปีที่แล้ว +1

    Huu mwaka uliobaki rais magufuli
    Akuachie uwe rais unyooshe palopo baki
    Nakukubari sana unajiamini
    Piga like ka ungependa awe rais

  • @omarjumanne4471
    @omarjumanne4471 6 ปีที่แล้ว +74

    Kama kuna pahara rais hakukosea kuteua mkuu wa mkoa ni.tabora wajanja wamekwisha kabisa usichezee kuu ya mkoa tabora kushene

    • @jumandutu2275
      @jumandutu2275 4 ปีที่แล้ว

      Usiite tabora panaitwa Toronto 😂😂

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 6 ปีที่แล้ว +2

    Kwanini WaTanzania tunazamisha taifa letu wenyewe. halafu mtu ana guts za kutete madudu! Kwa kweli nchi ilikuwa imeoza! hawa wote inaonekana hawakutegemea ziara ya mheshimiwa. Kudos RC.

  • @baltzrluus3287
    @baltzrluus3287 6 ปีที่แล้ว +44

    neno zuri sana
    "muongo muongoze"

  • @chidyfredy8523
    @chidyfredy8523 5 ปีที่แล้ว

    Kama umesikia hii kazi inafanyika Kama mganga wa kienyeji gonga like twende sawa

  • @sylvanoshauti2961
    @sylvanoshauti2961 6 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mkuu ni zaidi ya waziri wa ujenzi asee ni 🔥🔥🔥🔥

  • @januarykapinga179
    @januarykapinga179 6 ปีที่แล้ว +55

    na ww injinia wile c usome bhana kwann una mkwaza mkuu asee😂😂😂

  • @adamnguvu1020
    @adamnguvu1020 6 ปีที่แล้ว +1

    *INJINIAAAAA soma hyoo came onnnnnnnnnn*

  • @MohammadAhmad-qy3qs
    @MohammadAhmad-qy3qs 6 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂 kweli mkorogo, muongo muongoze, kuna mtu anabisha apa😂😂😂 ngoma droo, tisha sana RC mwanri mzee wa soma iyooooo

  • @barikielmboya8058
    @barikielmboya8058 6 ปีที่แล้ว

    Kuna engeneer anacheka sana apo pembeni kama umemuona gonga like😀😀

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 6 ปีที่แล้ว +76

    Wow ! Huyu mkuu wa mkoa ni kiboko . Safi sana fuatiria kabisa Maana. Hawa mainjinia Wanataka kukuletea mambo ya kijinga.

    • @asnathnnko1854
      @asnathnnko1854 6 ปีที่แล้ว +2

      Hahangaiki Na mashoga huyu, anabanana Na mainjinia feki feki!!!!

    • @rukiaosman8416
      @rukiaosman8416 6 ปีที่แล้ว

      Hhhhhhh OMG babangu ww utaniua ww

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 10 หลายเดือนก่อน +1

    Bhana mi nimemmiss huyu baba 😆🤣🤣🤣Tabora kama Toronto

  • @zephaniakibwe9462
    @zephaniakibwe9462 6 ปีที่แล้ว +14

    Tutasomeshwa apaa bwireee kuja hapaaa😂😂😂😂😂 mistari mmne tyu aseee mkuu ameshtukaa

    • @emanuelleskar3522
      @emanuelleskar3522 5 ปีที่แล้ว

      Zephania Kibwe 😀😀😀😀😀 so pw

  • @isaiahmuleshe2274
    @isaiahmuleshe2274 2 ปีที่แล้ว

    Hivyo ndivyo kazi hufanywa.Congrats

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 6 ปีที่แล้ว +105

    Hahhaha mpk wahindii baba nakukubalii 💪💪💪 nataman uhamishiwe tanga kuna zahanat miaka 5 haiishi ipo tu

    • @daudimndeme2075
      @daudimndeme2075 6 ปีที่แล้ว +1

      Maryam Maram
      nitaongea na mkuu wa nchi ampe mkoa kwako
      ahsante

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 6 ปีที่แล้ว +3

      Maryam Maram . Loooh!!!!! Maryam zahanati miaka 5 haijaisha? mmmh Tanzania hii kweli inaitaji kiongozi mkali na mwenye kufatilia la sivyo hela zote mifukoni yaani toka enzi za raisi aliyepita

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 6 ปีที่แล้ว +1

      Acha tu zahanat mpk inakuwa nyekundu mvua jua miaka yote hiyo

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 6 ปีที่แล้ว

      Ndio serekar ya TANZANIA hiyoo

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 6 ปีที่แล้ว +2

      Maryam Maram Itaje turuke nayo wizarani,zama za kutumbuana hizi.

  • @lugomemtamayaye9508
    @lugomemtamayaye9508 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana,nimewahi kufanya kazi na wahindi wanapoboronga wanawatumia watanzania kuficha hiyo sehemu Kisha wanapewa bonas .

  • @djsandi4419
    @djsandi4419 6 ปีที่แล้ว +39

    Bwireeeeh Angalia Watakuosemesha Hao

    • @mtanzaniamzalendo7001
      @mtanzaniamzalendo7001 6 ปีที่แล้ว

      DJ SANDI nimecheka hiyoo Bwireee watakusomesha hao

    • @mkwavi
      @mkwavi 6 ปีที่แล้ว

      Huyu Bwire kila muda roho juu

    • @benbranco3688
      @benbranco3688 4 ปีที่แล้ว

      bwireee kila sehemu lazma awepo ndo engineer wa mkoa

  • @gabrieljohn1278
    @gabrieljohn1278 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu rc nomaaa kweli

  • @henrykatamba3679
    @henrykatamba3679 6 ปีที่แล้ว +17

    Mkuu safi Sanaa hongera

  • @abednegomuli
    @abednegomuli 5 ปีที่แล้ว +2

    Wow I’m so amazed by a such a leader in my neighbour country . I wish he could be the next president of Tanzania. This is patriotic leader. Keep posting ... it gives many hopes that not all is gloomy in Africa.

  • @cvanocharles6001
    @cvanocharles6001 6 ปีที่แล้ว +26

    Piga kazi mkuu hongera sana

  • @washingtonwagura1932
    @washingtonwagura1932 4 ปีที่แล้ว +1

    Lov this man kuja KENYA

  • @dasonsdachi3087
    @dasonsdachi3087 6 ปีที่แล้ว +56

    Hivi huyu akiwa mkuu wa nchi anakuaje yaani huyu aisee yuko vizuri sana

    • @emmanuelyonazan8764
      @emmanuelyonazan8764 6 ปีที่แล้ว +2

      Bwiree anapendwa balaaa aisee daaaah bwiree hongera bana ila angalia wasikusomeshe tu hapo kitakuwa kizaakzaa

    • @daughterofgod9185
      @daughterofgod9185 6 ปีที่แล้ว

      Dason's Dachi Anafaa sana kuwa rahisi baadae.

  • @alfredymalata269
    @alfredymalata269 6 ปีที่แล้ว

    Aise haitakiwi kuwa Hata kuwa waziri
    Inatakiwa uhamishwe tu mikoa
    Mpaka mikoa yote iwe Kama TORONTO
    respect kwako Rc

  • @sheddyalson7144
    @sheddyalson7144 6 ปีที่แล้ว +45

    soma ukooo 😂😂injinia bwire
    ee uko wap kamata pale nlipokwambia ukamate😁😁😁😁😁😁😁😁😁
    #NGOMA_DROO

  • @mufamozmufash166
    @mufamozmufash166 3 ปีที่แล้ว

    When we got the right leadership to lead us at the right time,my you be blessed RC mwanri I appreciate your hard working those days,wewe na Magufuli ni mfano bora wakiigwa kwa vizazi vijavyo.

  • @eriqemarson2362
    @eriqemarson2362 6 ปีที่แล้ว +11

    😂😂😂 hawa wakandarasi wamepigwa pini moja hatari 😂

  • @nabintukadende2388
    @nabintukadende2388 6 ปีที่แล้ว +1

    Congo tukipata watu waivi kweli itakuwa powa sawa... Mungu mtu me uyu baba akasimamie wa Congo ata for one week 🙏🙏🙏🙏

  • @pigapesa1013
    @pigapesa1013 6 ปีที่แล้ว +3

    RC Bora Tanzania kipenzi cha Tanzania 🇹🇿 chapa kazi.

  • @princemuddy06
    @princemuddy06 6 ปีที่แล้ว

    Kama na wewe umecheka aliposema "nani anabisha" gonga like hapa

  • @ramadhanimseza9169
    @ramadhanimseza9169 6 ปีที่แล้ว +3

    dah jamaaa anafaa Sana mungu ambariki Sana

  • @jacohizon2595
    @jacohizon2595 6 ปีที่แล้ว +2

    kama unamkubari mzee wetu tupa like hapa

  • @mrpolitician5740
    @mrpolitician5740 6 ปีที่แล้ว +64

    Waliosoma accounts hasa assuarance wanaelewa anachofanya mkuu wa mkoa..... Hii huwezi kuipata kwenye Auditing hata ufanyaje

  • @mkombozikiratv.9733
    @mkombozikiratv.9733 6 ปีที่แล้ว

    Unajua huyu mzee wa sukuma ndani au jikune nikupapase alitakiwa kuwa waziri mkuu na si mkuu wa mkoa.
    Hahahaaa kama uko na mimi katika hili nipe like

  • @reginomnema8319
    @reginomnema8319 6 ปีที่แล้ว +13

    Yuko vizur kazin 100%.....

  • @sirjoel4228
    @sirjoel4228 6 ปีที่แล้ว

    jmaan chamhm hapa 2ite watalam maana 2nachofanya hapa nmkorogo wile jmaan jmaam much love 😗😗😗🤔

  • @sebastianmsuya
    @sebastianmsuya 6 ปีที่แล้ว +17

    Bwireeeeee uko wapi? kuja hapa 🤣🤣🤣

  • @danielduma950
    @danielduma950 6 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa mkuu..Mungu akupe maisha marefu.

  • @goodtimeemmanuel9263
    @goodtimeemmanuel9263 6 ปีที่แล้ว +10

    😎😂😂😂😎😎 soma hiyooooo wasikutanie mkuu piga makofi

  • @bukuruhamissan6595
    @bukuruhamissan6595 6 ปีที่แล้ว

    nakukubali sana kiongozi wangu unafanya kazi nzuri sana Hongera sana

  • @MK_AFRICAN_VLOG
    @MK_AFRICAN_VLOG 6 ปีที่แล้ว +27

    😂😂😂 ngoma droo

  • @alexjeremia7686
    @alexjeremia7686 5 ปีที่แล้ว +1

    kiukweli Mwanri nakubali utendaji wako wa kaz 😊

  • @davidcurtis8556
    @davidcurtis8556 6 ปีที่แล้ว +51

    Any problem? Kuna mtu anabisha hapa? sasa je ngoma droo.

    • @Aidenkuye
      @Aidenkuye 6 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

    • @salimaljabri9495
      @salimaljabri9495 6 ปีที่แล้ว +1

      Kubwa Sana
      Huyu jamaa ni comedy lakini very smart kwa kazi yake

    • @Aidenkuye
      @Aidenkuye 6 ปีที่แล้ว

      @@salimaljabri9495
      Namkubali, anafurahisha kwa kweli, doing his job at the same time 😂

  • @deboss5935
    @deboss5935 6 ปีที่แล้ว +1

    Duuh ! Huyu jamaa ni balaa asee mana yupo makini sana.
    Big up mkuu keep fighting for ur country

  • @jssaa4733
    @jssaa4733 6 ปีที่แล้ว +6

    Bwire anazingua 😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @barakakissa1989
    @barakakissa1989 6 ปีที่แล้ว

    Hapa ni kazi tuu. ..bravo Mzee Mwanri chapa Kazi

  • @abdulkillya2655
    @abdulkillya2655 6 ปีที่แล้ว +9

    Otherwise we shall stop each and everything, 😂😂😂😂 fanya kama unajikuna wahindi wanateseka mpk wanataka 125 izidishwe mara 2 kama hesabu yao itakuja

    • @jmsmangu1
      @jmsmangu1 6 ปีที่แล้ว

      Kuna mtu anabisha... habari imekwisha.. ngoma droo

    • @abdihassan7718
      @abdihassan7718 6 ปีที่แล้ว

      Hehehehe bado ikakataaa

  • @salemjamal6762
    @salemjamal6762 6 ปีที่แล้ว

    Soma iyoooooooooooooo nakukubali sna kiongoz

  • @stevengeorge249
    @stevengeorge249 6 ปีที่แล้ว +18

    Any problem, nalala humu humu TH-cam nisubirie majibu ya kesho 😁😂😂

  • @bahatimasolwa2109
    @bahatimasolwa2109 6 ปีที่แล้ว

    Hongera Mwanri kazi nzur sana

  • @zedmsuya420
    @zedmsuya420 6 ปีที่แล้ว +9

    hahahahahaha sawa sawa jembe fanya kazi wenzako wote mikoani wangekuwa kama wewee sjui tungekuwa wapi asante mzee ngoma dro

  • @mcgoodluckeventz2175
    @mcgoodluckeventz2175 6 ปีที่แล้ว +1

    Kudos to the Tabora RCO Mr. Aggrey Mwanri

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 6 ปีที่แล้ว +7

    uishi miaka mia ili tucheke zaidi😂😂

  • @korogwetanga810
    @korogwetanga810 6 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kukuimarishia afya yako mkuu nakupenda kwa utendaji wako wa kazi mungu akupe umri InshaAllah

  • @yrsmchaff2370
    @yrsmchaff2370 6 ปีที่แล้ว +4

    mtasomeshwa sasa hivi !!! msipoangaria 😀😀😀

  • @salehpirlo398
    @salehpirlo398 6 ปีที่แล้ว

    Mzee Nakukubali sana mzee baba piga kazi

  • @mohammedabdallah6390
    @mohammedabdallah6390 6 ปีที่แล้ว +17

    Hiyo kiswahili kinapindukapindukaje jamani hapa

  • @ChrisboyC.E.O
    @ChrisboyC.E.O 6 ปีที่แล้ว +1

    "SHUGHULI ZOTE ZA NCHI ZITASIMAMA, YES WE CAN"
    Haji Manara akizungumzia Mechi dhidi ya JS Soura Jumamosi
    Bofya kutazama 👇👇👇🇹🇿🇹🇿
    th-cam.com/video/FCqLojuK4vg/w-d-xo.html
    th-cam.com/video/FCqLojuK4vg/w-d-xo.html
    SHARE NA WATANZANIA WENZAKO 🤝🤝🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @sabatomjungu9727
    @sabatomjungu9727 6 ปีที่แล้ว +42

    Unataka kuniambia kazi inafanyika kama mganga wa kienyeji hapa

  • @godhelpkimaro6742
    @godhelpkimaro6742 6 ปีที่แล้ว +1

    Mh hakika unafanya kazi yako vizuri Kiongozi,hongera Bwireee njoo! Watatuingiza mjini Hawa ahaaaa! Mwandri kila siku unakuja na mpya!

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 6 ปีที่แล้ว +6

    Kama yupo mtu anaebisha hapo ajifanye anajikuna aone cha moto hapo ngoma droo😂😂

  • @nyanokwenyasuni4285
    @nyanokwenyasuni4285 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana Mzee,we need people like you!!!!!

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 6 ปีที่แล้ว +3

    Hhhhhhhhh wahindi wamechoka na huyu mtu wanaona chenga tu mpk Nondo znahesabiwa

  • @michaelmuriithi6808
    @michaelmuriithi6808 6 ปีที่แล้ว

    Nampenda RC..njoo Kenya baba..hapa tunakuhutaji mara mia..wezi hapa ndo wengi.

  • @gka9147
    @gka9147 6 ปีที่แล้ว +23

    Ngapi Huko

  • @abdulhamidy8920
    @abdulhamidy8920 6 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana sana sana Mh. Agrey

  • @fahadabdallah8879
    @fahadabdallah8879 6 ปีที่แล้ว +9

    Hivi ndivo inavo takiwa kufanyika ili siku za mbeleni kusiwe na mambo ya nyumba ime poromka ama ime piga ufa

  • @rajabulipongo4114
    @rajabulipongo4114 6 ปีที่แล้ว

    hapa wanataobora wamelamba dume hongera sana mkuu wamkoa gonga like kama unaangalia sasahiv

  • @gerardmkumbo9979
    @gerardmkumbo9979 6 ปีที่แล้ว +4

    Nakukubari mweshimiwa magufuri hajakosea kumuwakilisha kwa wananchi

  • @samsonnzisabira768
    @samsonnzisabira768 6 ปีที่แล้ว

    Hapo naona Bwire ana kazi kabisa!!

  • @jumaathumani9732
    @jumaathumani9732 6 ปีที่แล้ว +4

    Kama mtu akujui ,walai anaweza kujinyea kabisa Moto wako mkal sanaaaa

  • @chidyfredy8523
    @chidyfredy8523 5 ปีที่แล้ว +23

    Kama umesikia hii kazi inafanyika Kama mganga wa kienyeji gonga like twende sawa

  • @ahmadymuhina6546
    @ahmadymuhina6546 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🙌🙌hiki kiswahili kinapindukaje pindukaje hapaaa

  • @bensonissaya4052
    @bensonissaya4052 6 ปีที่แล้ว +8

    Nachoomba asihamishwe mkoa huyu mwanri Kwakweli.. Wanaofanya kazi nae lazima uwe makini.. Hawa ndo viongozi sio mtu anakaa ofisin anasubir kwenda kufungua majengo na kuwa mgeni rasmi kwenye mahafari

    • @pendomarco9307
      @pendomarco9307 6 ปีที่แล้ว +2

      benson issaya kweli kabisa kaka yangu

    • @bensonissaya4052
      @bensonissaya4052 6 ปีที่แล้ว

      Umeona pendo.. Wanauzi sana hawa ndugu.. Lkn awamu ii kidogo wamechangamka.. Manake wanaogopa kunyolewa