Patanisho : Mke wangu aliolewa na kakangu
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 มี.ค. 2020
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #GidiNaGhost #Patanisho
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
Ghost nakupenda tu bure. So kind n patient God bless you for your good work. Always understanding
VERY TRUE
Juma is a player boy and jealousy, God I like your patience brother, that's what we call maturity. Keep up the good work my coach.
Ni mara ya kwanza na mfwata Gost, nazoweya mingi na sauti ya Gidi, aksanti sana kwa kazi mnayo fanya, kama watumishi wa mungu , kwani kuleta upatanisho kati ya bibi na bwana na kitu taratibu sana ata mbele ya mungu. wa dugu na homba masaha kama kiswahili yangu aitoshe,kwani nina djifunza kiswahili.Aksanti.
Ghost is so patient unlike Gidi always serious na makasirikio.....
Aki anangoja mpaka anaitwa akiwa kwa shamba
Ingekuwa Gidi hangekubali
Gidi anapenda kuharakisha mtu.ata hagojei amalize kujieleza
Jaluo jeuri...
Gidi sometimes very commanding
Ukiachwa achika juma si vizuri kuanika mwenzako kwa redio ....style up mwanaume wewe
Yani Juma mlitaka kumwanika Rose sasa mumeshinda 🙌🙌🙌
Much Respect Ghost
Team Saudi Arabia (Jeddah)
Tupo wazima
Tupo Corona inatunyima raha
@@Quilant749 mi maombi tu nothing else
@@hadhbbbd5564 haki kunaboa tu sana naomba Mungu everything goes well
@@Quilant749 it will.God is there for His pple but they need to repent ndo Mungu naye atende but soon it will b over
Huyo juma alikuwa anataka kusikika tu kwa radio Jambo.
Hiyo inaitwanga patanisho kieleweke , wololooo 🏃🏃🏃🏃
Ghost is so patient unlike Gidi always in a hurry to cut people's story short
😂😂😂😂😂😂😂
Ghost mwenyewe 😂😂leo hatucheki saaana😆ameshika usukani mkuuu
si wewe ni ghost juu umefanya nicheke😁😁😁😁😁
Nashukuru sana kwa radio jambo
Watching from Qatar,,,,, team 974 mpooooo
Tupo😂😂
Nataamn digii angekuepoo, hii patanishoo ni tamuu sanaà😂😂😂
Team Hammam
Tuko
Juma just wanted to expose Rose. Ameoa na mke na mtoi anataka nn tena after 3 yrs! Ukiwachwa achika..Rose all the best in your new marriage.
Woooow Ghost haezi Cheka sana akiwa alone..... Na sio mbaya umeweza
Pastor juma alisema mvua inanyesha na mamake yuapandilia😂😹😂😂😂😂omera wacha kutupanga. Anyways🇺🇸🇺🇸we locked.
si leo nafeel wow kupata niko number 2
miss u nimekuona
@@sweetmumwake9729 bado uwa na wait subscribe yako
Number 5 ...makini sana kuskiza..
Juma walipanga deal walai,anyway blame to the mother as she didn't train his sons in godly manner, Juma is not serious,Rose move on with your life
Juma alipanga deal na mamake ..mama mzima mwongo anadanganya pia..wanataka tu kumharibia huyo dada ndoa yake
Number 7
Team saudi
Wacha pia Mimi niwatch from Djibouti
Nimekasirika sana na uyo Juma
Waah maajabu haya
Watching from Dubai, Italy na watu wako Tu hapa kibera
Hahaha home is the best
Waaaaa
number 2
Watching
This is when your ex is Jealousy with your life.
😂😂😂😂😂😂
Kabisa
Karma is serving him well
dunia ina mambo.. 😭😭ghost your okay good one n where is Gidi leo
Gidi ako wapi leo
Juma na mamake they are international liers. Pepo mbaya
Patanisho very interested.
Go on with your live dear Rose ...God know bless you
Listening
Team Saudi Riyadh mpo
Tupo dear ramadhani imefika na hii corona
Number 46
Watu wa nairobi kapango ni wapi??🤷♀️🤷♀️🤷♀️🤷♀️🤷♀️🤷♀️
Thumbs up Ghost
Watching from Italy
Wah italy ndio tusikia corona imezidi i hope mwenzetu uko mzima
@@jansidorkas2749 Aki watu wamekufa huko
take care
Umesema Italy nikashtuka......! corona lol
Pastor juma aki
Leo ni ghost 👌👌👌👌👌
wah makubwa haya mtu anawexa ajy kuolewa na 2 brothers noma
number 6
That how ur enemies ,plan trap but fall themselves. Rose move on with ur life
Pesa au mke🤭🤣🤣🤣🤣🤣 hii patanisho ni complicated haina mwelekeo
Miss understanding in patanisho
Leo ni get gidi
Juma ni muongo sana
Watching from Doha Qatar
Wah,so far.....from wapi gichagi?
@@samuelmaina8879 KENYA
County
@@samuelmaina8879 muranga
Poa,
Juma awache mapepe amakinike na tundu iyo yuko nayo
Unataka bibi arudi akikataa unamuwekelea mambo mwngi
Mama juma ameachwa apatanishwe na rose
Huyo mama no kigeugeu
i think dat man issa big liar ,neither the monther nkt
Juma ni ngomb'e kabsa 😂😂😂
Watching from Dubai
False witness jamani,
Huyu Juma Ana ujinga alikuwa tu anataka kuanika na kumlika maisha ya rose....... As mother as son uongo 😈👿🤡👺💀☠️rose Hana makosa huyu pastor Juma 😂😂😅🙆♀️ni wivu inamkula vile anajua maisha ya rose inashonga mbele vizuri na yake imesimama Sasa anataka kuharibu
Roho ilianguka aliposkia Rose ameoleka ilibidi akapande maindi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yhaa
Juma n player mkubwa xana
Leo ni patanisho ni moto wa kuotea mbali.juma anataka kuharibia Rose boma yenye ako
Utaitaje mamako jina ya mama fulani😕 wacha uongo bwana
sometimes its happen i usually call my dad baba tony,
Endelea na no2
👁️
Nice...nasijai shinda 10k is it real
Dunia ina mambo
Hahaha 😂😂 silly Juma
Kama hakuweza akiwa na mke mmoja sembuse wawili
😂😂😂😂😂pastor Juma
Na jina yenyewe niya kiislamu nani pastor😂😂
Watching from Iraq
Pamoja Iraq
@@RoroRoserororo uko iraq wapi?, mimi nko Erbil
Team Iraq tuko wengi kwa patanisho
@@kinjokamau5380 hahaaa tumekunja kupatanishwa
Niko ndani from Iraq BEC
Hii kesi nikama imeundwa huyu dem hana makosa , huyo hata si mamake mzazi
Wallai n porojo
Kabisa
@@RoroRoserororo uko apa pia
@@fabyscarl yea, na wewe je
@@RoroRoserororo ni mimi fabyscarl beshte yako kwa fb
Wololo Juma wewe uko na madharau hata kuongea tuu😑
Jamani rose 🌹 yaani ulirudi ukachafua tu hivo 🤣🤣🤣🤣Ni mamamkwe kasema si mimi
Wonders shall never end yawah
Hapa ni gidi tu ange okoa
Locked team hamam +966
Bora kufanya job
Pamy wa Isimale +971 muko wapi
@@bratonwilliam7877 sisi ni team 966
Hoya
Rose move on. May God bless yr marriage
Huyu juma ni fisi
Tuned from Wuhan
Wah corona imekuacha aki!?
@@ulimacoxwagichohi Ee niko poa
Acha uongo huko ata internet hakuna,gover imekataza
Sijasikia juma akiomba msamaha alikua anataka kuanika Rose bure
Hi my Crush ghost
Kicheko ya Ghost😂😂😂😂💯
Ghost is the best
Juma alikuwa anamlika Rose
Mama mkwe mwenye hatambui jina ya mama ya wajukuu. That's joking. Rose endelea na maisha yako. Juma is just a waste of time
Plz eza king'ee kiu naku !!
Juma is confused 😕, unspatanishwa unakata simu, Mara unaondoka! Let the lady be Mr Juma, hii no wivu ya kuona mtu hukiutarajia kuona akiendelea being happy, the pain of seeing your ex happy 🤣🤣
Wa tisa leo likes zangu
ume try
Wooow gidi uko wapi leo
Hii patanisho iko complicated tuuuu saaana
Ndani patanisho ni dawa ya mwarabu
Lastborn si kwa ubaya but akili inakaa kama Ile maziwa ya mwishowe wananyonya iko maji maji utoto bro zao.. ......otherwise hii ilikua deal maybe Rose ako n maisha poa penye ameolewa sasa Juma anataka kumwaribia but ukweli umeonekana juu Juma ametoroka hataki kuijibu mawsali mengine
Juma👁👁🐕
Huyo Kijana na mamake wanandagaya
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Yaani juma umeshidwa ukaweka mambo yako na ukaeda nuguuuuuuu
Juma ni mang'aa
Maria
lakini mbona mwawacheka watu wataogopa
Jinga Juma umenipotezea wakati😠
Hapo kuna uongo