PATANISHO: Nilikuwa nalala na kisu kitandani kwa raha zangu. (Episode 5, November 2019)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 พ.ย. 2019
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
Subscribe TH-cam - bit.ly/2MeQ4ki
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
Acha tu nipambane na hali yangu..team hammam piteni huku! ety kisu ya starehe na kula paipai finally ni bibi ndo atakuwa paipai
Team hammam niko hapa nimepita tayari
Riyadh 🤪🤪
I love ladies who value their lives
U go away luo ladies are stubborn...thy should be treated like tat ...in addition ,thy are immoral
Watano leo team hamam
Hapo sawa
Sawa Sawa mrembo
Gulf team fee wifi
Tuned 971
Hahaha muko vipi
Mwanaume akitusi mamako ogopa Sana
Yeah
Gidi hapa Tanzania pia leta patanisho
Ya diamond na hamisa😂😂😂😂😂
@@madamboss348 🤣🤣😂😂😂😂na zari pia
Ndoa za siku hizi hakuna kubombelezana
Loving your self is the best feeling ever
Waa waaa..huyo mwana ajiju na visu vyake vya starehe
This is great this guy has learned his lesson
Pia mimi roho yangu imekataa 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Hahaha, this guy though.Ati kisu ni ya kula papayi.Wanaume lakini.
To be honest mwanaume wa matusi ni kama kukunywa chai kwa samaki.......how now???
Waaah....mm bado nakupenda ak mungu anakupenda🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂hii nayo waaah
🤣🤣🤣Kisu ya kula papai... Kwa bed🛌🤗
Thanks mum leea watoto wako
My dear usijali kurudi uko..ati queen my foot🙆♂️🙆♂️
Huyo mwanaume ni mjeuri sana
Hapo sasa queen queen queen niko side yako
Nimefika sasa on 10
😂😂😂😂😂waaah noma.Kisu ni ya kukula pawpaw kwa kitanda
Harred acha ujinga, unalala na kisu kwa kitanda, alafu unasema ni ya pawpaw? Queen 👍👍 Lea watoto
😂😂😂😂Hiki kisu cha papai jamani kwa kitanda...jamaa amenimaliza😂😂😂😂
When a woman moves on even money from that man is a turn off
Caro kemunto watching from saudia Usirudi siz endekea na maisha yako
Waaaah hii kali
😂😂😂😂😂😂Hizi ni watoto yake, queen queen, queen be nakuuukisiaaaaaa Luo ladies yawa naver shaken🤣🤣🤣🤣
Waah ati kisu ni ya starehe na kukula paipai. nugu ww. siku izi wanaume kwa patanisho wote ni matuzi bure kbsm Queeen cograte mungu atakufunguria jua lea wtoi wkom atakuja uku respect. ma mm nivumirie matusi ya mwarabu but end month naripwa. mens bure tuu
Wah noma tangu lini kisu ikakua ya starehe
😂😂😂😂😂aki wanaume na kujitetea
Hii ni nyangarika ya mwanaume #Burekabisa.
Natafuta Mr right
Am hear now nipigiani mkofi ndio kufika number 20
nimekwama hapo kwa paipai
Wacha niendele kuosha hamaam mpaka siku Mungu atanijalia hadi nipate Mr right
Noma sana
Take care of ure kids mummy and God will bring the right man for u in the name of Jesus
No 11😎😎😎
Huyo ni mtu wa kusahau..... ibilisi ... kisu... wololo.... for good...
Huyo jamaa atembeze kiatu..bure kabisa
Ambia uyo dem akuje tuoshe choo uku saudi
Hahaaa huyu jamaa mwanzo mwisho kisu kitandani halafu anasema kwa raha zake kwa ajili ya kulia MAPAIPAI (MAPAPAI) duuuuuhhh Bora angalisema kwa ajili ya silaha mwizi akiingia apambane naye
Leo ni wajaka
Kumbe umerauka Sana
This is the funniest patanisho ever
Encyclopedia ya matusi 😂😂😂😂
😂😂
Hareeee endelea kula paipai kwa bed queen hebu kanyaga kubwa kubwa for your life na kids mwanaume kula jeuri yako bure kabisa queen lea watoto
Unakula pai pai kwa kitanda, Eish hata Queen hata unaroho
Wajaks kwa kiswahili,,,,taniua wallai
Here save ur life gal utarudi KWENU ukiwa kiwete Tena kisu iko juu yakitanda weeee hpo lazima uhofie. Maisha
Hahaha this man now🌐🌍🌍🌐🌍
😂😂😂😂paipai unakula kwa kitanda n una lala na pala kwa kitanda😂😂😂wasichana wa mbita hawapendi ujinga
Uyo mwanaume sio mzuri kisu kwa kitanda mayooooo
kisu ni ya kula papai
Nii muaji
😂😂ndoa siku hzi nigutee
Huyu Kaka atakuwa anatumianga mbangi
Any man that would call my mother ‘malaya’ Siwezi KABISAAA!!! Mimi ningeenda underground! Hiyo na kisu! Apana!!!
Kisu ongopa sana
Wawawawah
Heee
Kisu juu ya kitanda,, queen usirudi kaa na watoi wako,,, wachana, na bwana,,,,
Leave this marriage I was nilikua natukanwa na mamangu
Kisu ya starehe🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Jiadhari kabla ya hatari waaah,Dada hapo ukirudi utakuwa papai sasa chungaaaaa
Queen my foot...Kula paipai😋😋😋
Wow
Papai????
Huyo mwanaume ni mriasia tu sana
Jamriasia
Wanaume wengi ni kama watoto 🤣
Yes,they are .ni Pampers tuu ndio wamekosa🤣🤣🤣
Waaaaaaa
Queen queen. Eeeh eh na kisu kwa bed wacha na me.
He is a joker
For sure he's
Kwani papai huliwa kwakitanda
Gidy up kijapanese
Kisu jamani
Not tribalism but truth wajaka ni wagumu sana hawajui kuongea na mabibi""they r tough""
Wajaka wanajua mapenzi wakioana na mluhya
@@beckybeto3781 hahahaha
Na venye natamani mjak
@@lydiaaruba6670 Niwazuri
True
hahahaaaaa nani kaa salama
Mwanaume umweke akutusi umlele watoto na kisu kwa bed I give up 🙄🙄🙄🙄🙄
Kisu kitandani waaa hata usingizi hauwezi kuja Queen chunga hayo mambo ya kurudi balaaa....
Kisu ni ya paipai... 😂 😂 😂
🤣🤣😅😅😂😢Khai na queen unalala kwa kitanda na mwanaume ameweke kisu hapo tu kwa kitanda?? ATI ni ya papai 😜😅wewe ndiye papai, queen usirudi huyo atakuua Lea watoi wako peke yako
Eti wewe kaa chini mamake alimpa viti akae chini vilpi sasa wewe kalia tu hiyo mattress yako
Kisu ni ya papai na starehe zangu huyu mwanaume wah hapana
😁😂
Ni ujinga tu,even me i can't give another chance
👂👂👂 orengo come translate pliz
😂😂😂yawajaka wanume ni wajinga sana i already experience
Kanyanga kubwa ikisonga kisu kwa bed
Oooohi my God mwaname unalala naye amesema kisu kwa bed.Please dada Usirudi kwa uyo mwanaume ata kwa dawa dada kifo iko hapo
Kisu n ya papai🙈🙈🙈
@@madamboss348 Huyu nipepo kweli la mtu
Yawa severe........ don't make me to cry 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁🤗🤗🤗🤗🤗
Bora n ishi single mom
2015 januuar
queen babake ni mfalme wa wapi,
Nani alikwambia ati qween♛ baba yake ni king? bwana ndio king, princess baba ndio king👑
Omera ukiachwa achika we thago jii
wewe ngojea hizo watoto zako ju ni zako
Hared needs to sit his ass down somewhere. Queen glad you left. No one should threaten your life period!
How can you keep a knife under the matress na ni usiku.what for and why?Huyo mwanaume naye apana.
Ati ni ya kukula pai pai 😂
😆😆😆😆😆😂😂😂😂
enyewe some men don't deserve to the title , this guy is a devil , ananyenyekea Huku akiuliza Mimi pia Ni binadamu , but anaweka kisu Kwa kitanda , yeso !
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
God forbid... Run to ur dear life...
Gidi de bed ni nyieno ja kanyamwa 😂😂😂 kisu ya papai yawa Luo
Aki gueen hurumia tu huyo bwanako hakuna asiye kosa kwa hii dunia
Huyo harried aende huko
wapi sasa
Translate
Mbona huyo jama anacheka sana
huyu ni mjinga eti kisu niyangu ya kula papai miwa na ndizi so unaieka kitandani kwani unakulia kwa kitanda huyu ni mjinga Queen usirudi uko
😂😂😂😂hahaha
Nausilale na kisu
Women go through alot in the name of marriage, beta go back to ur parents house a live than dead.
Hehehe,,,,