🔴LIVE: TUNDU LISSU ANAFICHUA MAZITO, TIMU ZA MPIRA ZINAZOMILIKIWA NA VIONGOZI

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 45

  • @yassinrajabu6511
    @yassinrajabu6511 5 หลายเดือนก่อน

    tundu ukitaka kushinda urais njia pekee nenda kajifunze uwongo ukiendelea kusema ukweli wananchi awatakuelewa maana wanapenda sana kudanganywa

    • @faustinebahenobi3412
      @faustinebahenobi3412 5 หลายเดือนก่อน

      Ata akikosa hapa duniani ataapata mbinguni wenda mungu kuna kitu kamuandalia maana ukiwa mpinzani kusema uongo ni vigumu maana shidayako ukamate dola

  • @diegoshanga8184
    @diegoshanga8184 5 หลายเดือนก่อน +1

    Du!! Pikpki 700 kila mkoa!! Upinzani mnatunasaidia sana kujua mambo!! Wanao kubeza ni malofa wasio jielewa!! South Afrika wamesha anza huku!! Mkuu!!

  • @sulaimanmallecha6134
    @sulaimanmallecha6134 2 หลายเดือนก่อน

    Marathon a cement usiguse

  • @ZuberiSangano
    @ZuberiSangano 5 หลายเดือนก่อน

    Noma sana kikokotoo

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 5 หลายเดือนก่อน +1

    wahuni2 njaaaa hili limwama pinduzi linafanya Nini hapa

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 5 หลายเดือนก่อน

    Bora hao wanaotengeneza tim za mpira na kuajiri vijana wetu kuliko ufisadi wa kizaman wa kuficha pesa ulaya

    • @yassinrajabu6511
      @yassinrajabu6511 5 หลายเดือนก่อน

      wezombi 😂😂😂

    • @WilbertManjonda
      @WilbertManjonda 4 หลายเดือนก่อน

      Yote hayo ni ufisadi tu.
      Nayote hayo yanafanywa na CCM

  • @dribrahimmamboleo4435
    @dribrahimmamboleo4435 5 หลายเดือนก่อน

    Ila nchii inaonekana wizi umezidi kwakweli

  • @simonngirisho-yc1qt
    @simonngirisho-yc1qt 5 หลายเดือนก่อน

    Naungana na lisu katika swala hili inakuaje waziri wa Fedha hashuguliki na wanainchi wa Jimbo lake hilo waziri ajuuzulu ikiwa hata kwako hatimizi je uwaziri je atatufikisha kwa hili namuunga mkono

  • @RmoShamte-h9f
    @RmoShamte-h9f 5 หลายเดือนก่อน

    Tangu niiyone crl
    Crp yako Mzee sina Imani na wewe maana unapenda ukanda na ukabila kwa aliiyo Tanzania akuna upinzani kuna wapiga era tu kama wenye viti na makatibu wa Chadem

    • @WilbertManjonda
      @WilbertManjonda 4 หลายเดือนก่อน

      Hivi huoni CHADEMA kuwa ni chama, ila unaiona CCM. Naona unahitaji kupimwa akili!

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 5 หลายเดือนก่อน

    Wana matukio waingia kwenye mpira Sasa, yaani sera wameshaishiwa. Mpira na siasa wapi na wapi. Lissu Kama umeishiwa sera kapumzike.

    • @WilbertManjonda
      @WilbertManjonda 4 หลายเดือนก่อน

      We haya yote hauakuingii akilini. Basi unakichwa cha panzi

  • @godfreymasele8853
    @godfreymasele8853 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe umeferi kabisa kichwa kimechizija Tundu huna sera wewe

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 5 หลายเดือนก่อน

      Hana Sera kwakuwa huna ufaham na anakuponda Kwenye Ukweli, Tulia Dawa ikuingie

    • @WilbertManjonda
      @WilbertManjonda 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu ndo anatusemea tusioweza kusema

  • @franciskarangwa6554
    @franciskarangwa6554 5 หลายเดือนก่อน

    Oooooohmen >>politicians politicians politicians politicians promises after promises and haven on earth >> but after getting into power >> oooooohmen >> the story changes all together >>> oooooohmen wanaichi titen your belts!!!! Much as oppositions may be necessary but >> guys stop promises about Haven on Earth!!

  • @mozesjoseph7630
    @mozesjoseph7630 5 หลายเดือนก่อน

    Tundurisu. Tunaomba. Tutetee sisi wakurima baba. Mazao yetu. Yameshuka Bei. Wakati. Vitu. Vya kiwandani. Viko juu sana. Sasa sisi wakurima. Tunaishije. Mazao ya wakurima. Yako chino sana. Yani sana. Vitu. Vya kiwandani. Viko juu. Sasa. Mkurima. Atauza. Mazao yake. Atanunua. Nini. Wakati. Vitu. Vya kiwandani. Viko. Bei juu. Tusemee na sisi baba. Tunahari. Mbaya wakurima

  • @rahimzuberi2673
    @rahimzuberi2673 5 หลายเดือนก่อน

    Sasas huyu ikakosa hoja Ya kuongea mambo ya mpira hayahusiani na siasa

    • @WilbertManjonda
      @WilbertManjonda 4 หลายเดือนก่อน

      Huoni kuwa mambo ya mpira yanaatumiwa na CCMkuwa ghiribu vijana?

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 5 หลายเดือนก่อน

    Ni kwel kabsa angalia kwenye mikoan mingne zenye wabunge wanaojitambua utakuta maendeleo KilA Kona,nenda hospital ya ndago hakuna monchwar,barabara ya kzaga,ndago Hadi sngda tuliambiwa inaanza ujenz lakn kimya mpaka sasa

  • @yassinrajabu6511
    @yassinrajabu6511 5 หลายเดือนก่อน

    tundu lisu ukishinda urais goli moja utanunua shingapi? hilo msisaau kuweka kwenye ilani yenu ya uchaguzi

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mambo ya.mpira usituingizie mambo ya siasa.kwenye football, kwani viongozi wote kwao kuna kila kitu?. Siasa zinawashinda, mpira ni biashara kama biashara zingine.

    • @venancemwanya4212
      @venancemwanya4212 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mtumishi wa serikali na hasa huyo unaemtetea anatakiwa achague moja ama afanye biashara,au akawatumikie wananchi. Rejea hotuba za Steven wasira. Jaribuni kujitambua jamani

    • @stephenmtafya
      @stephenmtafya 5 หลายเดือนก่อน

      Kam hujui kati ya mtumishi wa serikalin na biashara kaa kimya

    • @stephenmtafya
      @stephenmtafya 5 หลายเดือนก่อน

      Izo fedha za kuwekeza kwenye mpira wanazitoa wap,,,,ilihali kwenye utumishi wa umma huwez vuna pesa izo zaid ya wizi tu

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 5 หลายเดือนก่อน

      Kitu ambacho hujaelewa ni kwamba kuendesha Tim ni gharama sana, unategemea Hizo Club zinaendeshwa Kwa Pesa Gani kama sio kukuibia wewe? Kama hujui Kaa Kimya.

    • @WilbertManjonda
      @WilbertManjonda 4 หลายเดือนก่อน

      Unaowaita viongozi, ni wanasiasa, wanatumia mpira kupumbaza watu. Nilazima kuwaweka peupe hukohuko

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 5 หลายเดือนก่อน

    Tusitafutane tufanye siasa.tukiendeleza hayo tutataka kujua hata leo fulani kala nini.kwenye mpira kuna pesaaa.

  • @vicentjosephat6501
    @vicentjosephat6501 5 หลายเดือนก่อน +2

    Tusemee baba

  • @carolinerubeya7817
    @carolinerubeya7817 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa unataka aibe apeleke jimboni?Jomba vipi?

  • @elizabethjohn6812
    @elizabethjohn6812 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe huna sera huna jipya tena

    • @stephenmtafya
      @stephenmtafya 5 หลายเดือนก่อน

      Ww toa sera za chama chako tuzisikie tuone kama Zina mashiko ka za Lisu kutoka chadema

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 5 หลายเดือนก่อน

      ninyi ndio wale tunataka tuwapige fimbo ili tuelewane maana umasikini wa watu unazidi alafu wewe unashangilia bwege wewe

  • @chawallamathew505
    @chawallamathew505 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani Yeye kazuiliwa kumiliki Timu? Au yeye anamiliki Kiwanda Cha Viroba.

  • @samwelhiinyamhangahiileosi1060
    @samwelhiinyamhangahiileosi1060 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu siasa imemshinda anaropoka2

    • @evansdecaprio8196
      @evansdecaprio8196 5 หลายเดือนก่อน

      Nahisi upeo wako ndio mdogo wa kuelewa jambo

    • @WilbertManjonda
      @WilbertManjonda 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndounakichwa box tupu.
      Yote haya huelewi hata moja???!!!

  • @ahmedmukolwe43
    @ahmedmukolwe43 5 หลายเดือนก่อน

    Wacha ujinga nuguu hii mdomo kaa warthog,huna lolote wewe mjinga

    • @stephenmtafya
      @stephenmtafya 5 หลายเดือนก่อน

      Aise pole sana

  • @carolinerubeya7817
    @carolinerubeya7817 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe kichwa maji si umiliki na wewe aisee?

    • @SaugoNdemo-tx4le
      @SaugoNdemo-tx4le 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe na yeye...nani anaumia!? Toa hoja ....

    • @masamakijames7837
      @masamakijames7837 5 หลายเดือนก่อน

      Ongea wewe mwenye akili tukusikilize