WANAJESHI WATUA KWA BILIONEA MULOKOZI, WAMPATIA TUZO MAALUMU, MULOKOZI ATOA NENO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @gabrielinterschool3539
    @gabrielinterschool3539 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu akubariki sana Mulokosi Mimi nilikupenda Kwa kuanza safari ya masomo mpaka uwekezaji wa miradi Yako mbalimbali. Vijana wapo naomba wajivunze kutoka kwako. Wanatafuta ajira kumbe wengeweza kujiajiri Mungu aibariki kazi ya mikono Yako.

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana bilionea MULOKOZI
    wew ni mfno bora wakuigwa

  • @athanaswilliam6940
    @athanaswilliam6940 3 หลายเดือนก่อน +2

    Unakuta mzalendo kama huyu ananyimwa fursa mbalimbali za uwekezaji nchini na uwezo wa kifedha na kiakili anao anapewa mgeni anayechuma pesa zetu kupeleka kwao. Tunatamani jeshi litufunze uzalendo hasa kama hivi.. hongera sana jeshi letu na hongera Mr. Mulokozi

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 3 หลายเดือนก่อน

      Uzalendo na utaalam ni vitu viwili tofauti
      Kama teknolojia yenye efficiency ya juu hatuna
      Ni kuwa wapole na kutumia akili kuleta wawekezaji wa nje kuipata techolojia yao tusipo jifunza sisi ndo tunajua na shida
      Maana tunasubriia ujenzi ukamilike ndo tumshangilie raisi n.k badala ya kujituma kuingia kwenye sekta za utafiti na kuleta teknolojia nyumbani
      Kazi kuimba uzalendo afu hamna cha maana tu kuibiana na kuingizana hasara eti ndo ujanja 🚮

  • @edwinkajuna7207
    @edwinkajuna7207 3 หลายเดือนก่อน +12

    Hongera Sana Kyoma

  • @thespaniardinme
    @thespaniardinme 3 หลายเดือนก่อน +15

    Colonel inatamkwa "Kano(l)", au kwa urahisi kwa kiswahili ni Kanali, na matamshi yake si "Kolonel"

  • @samuelndosi9577
    @samuelndosi9577 3 หลายเดือนก่อน +24

    Nchi hii ina watu wa ajabu sana, yaani mtu anatesa watu na pombe alafu anapewa tuzo 😂

    • @ikulunimahalipatakatifu7642
      @ikulunimahalipatakatifu7642 3 หลายเดือนก่อน +2

      umeadikiwa kunywa kisitaharabu au husinywe kabisa , kwani gongo za mavi si zipo mtaani na je vipi zinazotoka ulaya zikiwa zime expire , si bora anaetengeneza za TBS na viwango

    • @LucyNgowi-m5z
      @LucyNgowi-m5z 3 หลายเดือนก่อน

      Ukiona hivi ni mlipa kodi mzuri😂😂

    • @johntemba6526
      @johntemba6526 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ww ndo waajab

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa si ndo tuzo maalum kama wanavosema 😂😂

    • @halimamwingu4478
      @halimamwingu4478 3 หลายเดือนก่อน

      Kwann watu waende kunywa kama pombe inawatesa??? Mlitumwa😂 Si mnapenda starehe? Mtateseka sn

  • @VictorKivuyo
    @VictorKivuyo 3 หลายเดือนก่อน +2

    YAANI HUYU JAMAA NI MZURI SANA KWA VIJANA ALIMZAWADIA BAJAJI MPYA KIJANA ALIYEWEKA PICHA YAKE NYUMA YA BAJAJI, MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO

  • @MwasamaniGunda
    @MwasamaniGunda 3 หลายเดือนก่อน

    Safi kiongozi na Hongera sana kwa kuwa safi.

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 หลายเดือนก่อน

    ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @juliusmaduma3043
    @juliusmaduma3043 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ongera sanaaa bilinear mulokozi

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera ni mfano wa kupigwa sana tutafika tuu tuombe mungu

  • @AmaniManase-x1i
    @AmaniManase-x1i 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hawa wenyewe si walevi tu ndomaana wanafurahia uzalishaji pombe

  • @BM_Smart2-6
    @BM_Smart2-6 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kaka big achievement

  • @nehemia397
    @nehemia397 3 หลายเดือนก่อน

    vinywaji changamshi 😂😂😂 sawa sawa

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tafta hela uheshimiwe🔥🔥

  • @DevotaIjumba
    @DevotaIjumba 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kyoma kyoma Ongera sana

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 3 หลายเดือนก่อน +1

    HUU NDIO UZALENDO..AHSANTE SANA MALT SUPERBRAND LIMITED...HONGERA SANA JESHI LETU TPDF.

  • @McheshiOnlineTv
    @McheshiOnlineTv 3 หลายเดือนก่อน +3

    Saaafi

  • @YusufZavala-j4j
    @YusufZavala-j4j 3 หลายเดือนก่อน

    Congratulations

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 3 หลายเดือนก่อน +1

    ONgera sana kwa uwekezaji na kuwa sehemu ya jamiii

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana broo

  • @abednego3876
    @abednego3876 3 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wakitekwa hawana habari, Wamasai wakifukuzwa hwakuskia ila mambo ya hovyo ndo kipaumbele.

    • @sadamissa5687
      @sadamissa5687 3 หลายเดือนก่อน

      Kazi ya police hyo ,Hawa wanalinda mipaka ya nchi na nchi nzima

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo sawa,ila wewe wapatie wakazi wa mkoa wa Manyara.
    Au biashara yako ni kwa ajili ya
    wasomi na wenye mishahara tu😢

    • @aishaabrahaman9957
      @aishaabrahaman9957 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂hujui wafanyakazi wake wengi ni bodaboda ndo wanao endesha mitambo

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 3 หลายเดือนก่อน

      Hiyo hatari kwa usalama wa wananchi 😢​@@aishaabrahaman9957

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@aishaabrahaman9957Ww nae Kama kubwa jinga hivi.

  • @emmanuelkessy
    @emmanuelkessy 3 หลายเดือนก่อน +1

    Rolmodel🙏👊

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ww nimufano wakuingwa

  • @fadhilishabani4368
    @fadhilishabani4368 3 หลายเดือนก่อน

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 3 หลายเดือนก่อน

    Hamna kitu hapa kuna kiongozi ndani yake woooi hamna kitu

  • @Silvester-e8t
    @Silvester-e8t 3 หลายเดือนก่อน

    Vinywaji changamshi😂

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kumbe ukiwa na hela unapigiwa salute na askari??😮😮

  • @Mitama49
    @Mitama49 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mmh

  • @enocksilungwepondajr9707
    @enocksilungwepondajr9707 3 หลายเดือนก่อน

    Mika its colonel ( kanelo)

  • @MasaweMasawe-r5b
    @MasaweMasawe-r5b ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunzo ya pombe duu

  • @elias.e.urassa
    @elias.e.urassa 3 หลายเดือนก่อน

    ❤ JWTZ

  • @rosenyato8729
    @rosenyato8729 3 หลายเดือนก่อน

    Tunabariki pombe kali kweli 😢

  • @abednego3876
    @abednego3876 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 sw bwn

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 3 หลายเดือนก่อน

    Siasa za kibongo bwana zinafurahisha sana

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 3 หลายเดือนก่อน

    Inakuwaje raia anapigiwa saluti jamani kiitifaki imekaaje aliyeelewa anijuze

    • @alfredmjeru3574
      @alfredmjeru3574 3 หลายเดือนก่อน +1

      Askari ni mlinzi wa raia Kwa mantiki hiyo raia anapigiwa salute kwakuwa ndo boss wa askari

    • @gadafimasoud310
      @gadafimasoud310 3 หลายเดือนก่อน +1

      Una uhakika anayepigiwa salute ni raia .. au kwakuwa ww unamuona anavaa kiraia

    • @shalomchaula4420
      @shalomchaula4420 3 หลายเดือนก่อน +3

      Wadau hapo salute ilikuwa ni itifaki Kwa heshima ya jeshi sio mlokozi maana angempa iyo tuzo bila kumaliza salute ingekuwa kashindwa kukamirisha zoezi ndo maana mfano mkubwa wa jeshi lolote akipiga simu hata kama muhusika yupo mbali lazima abane miguu au aseme neno la heshima kabla ajatoa maelekezo ni ishu ndogo tu kwa jeshi protocal tunaita.

    • @kayalaonlinetv
      @kayalaonlinetv 3 หลายเดือนก่อน

      @@gadafimasoud310 daaaahhhh brother una think nje ya boksi likewise aisee watu hawaelewi hivi vitu 😁😁😁😁

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 3 หลายเดือนก่อน

    Jeshi+pombe

  • @AtuganyiraKabigumila-rz7ou
    @AtuganyiraKabigumila-rz7ou 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani jamani kizungu cha nn wakati sote ni waswahili.wengine hatuelew kizungu mnatuacha

    • @mcback4384
      @mcback4384 3 หลายเดือนก่อน

      Hicho chuo kinafundisha wanajeshi kutoka mataifa mbali mbali

  • @Ambagaye
    @Ambagaye 3 หลายเดือนก่อน +1

    cheo hicho kinaitwa Kanali siyo Koloneli

    • @kelvinevarist8801
      @kelvinevarist8801 3 หลายเดือนก่อน

      Huyo Mwanajeshi ni mkongo nini,,kingereza cha nini sasa.,,,,, halafu vinywaji na wanajeshi ni kama maji na samaki,mimi nawajua hao ni wazee wa tungi balaa wakitoka hapo kila mtu na kibegi chake cha Z

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kama hujuinkitunusioende kuongea, unaweza ukakiita kanali au coloneli. Kwa hyo huyomjamaa yupo sahihi kwa asilimia miammija

    • @Ambagaye
      @Ambagaye 3 หลายเดือนก่อน

      @@miltonjohn9779 Ni Kanali siyo koloneli. Ukitamka kwa kiingereza Colonel inatamkwa kama "Keno" lakini ile e inakuwa kama mchanganyiko wa a na e