Katika vi2 ambavyo umevifanya barnaba kuingia katika dini ya hakh umefanya jambo kubwa ..kuna vesi ya quran inasema ina din li Islam akuna dini ispokuwa uwislam nafikili surat imaran ndomana watu wanaofaham special maprofesa wa kizungu wakitambua hakh bac ukubari fasta .na watu watakuja juta wakati wanaingizwa makaburini ndo .utaona biashara umepata faida au hasara ..Allah akupe nguvu na umejipa jina la kipenzi cha Allah. Muhammed..mashaa Allah
Kaka pia hili uimalike Jifunze kwa kuangalia Mihazara ya kidin ikiwemo Shekhe kinyogoli na upande wapili Na ungalie mihazra ya shekhe Habib mazinge kutoka tanzania Na wachungaji wakiwa wanatoa Maneno kwenye vitabu vyote utajua Ukwel upo wap Jazaq rlau allah Atakuwekea wepesi inshahallah Kaka mo! Welcome in islam
Jibu ni hili kwa wale wote wanaobeza ukristo utofaut wetu ni huu, waislam wanafata mandiko pekeake, ila wakristo tofaut na mandiko kuna kitu kinaitwa roho mtakatifu mwenyez mungu ni mwema sana alijua kabisa kua sisi pekeetu hatuwez ndy maana waislam hawatokaa waelewe chochote kuhusu ukristo kwasababu wao ni tofaut na huenenda kwa hakil zao tu na kufata kitabu tu, kwao maono au roho mtakatifu ni kitu kigen kwao, kwahyo msibishane nao maana hawatoelewa kabisa kikubwa mwachien mungu mwenyewe ana fungu lao, kama mwenyez mungu humpa uhai mpka shetan alieasi mbingun why asiwape hata wale wanaokataa maagzo yake!
Hapo ndio mnapoharibu.uislam ni dini kwenye dini kuna wauaji,kuna majambazi,kuna magaidi,kuna wezi,kuna wezi,wara rushwa.itoshi kusema karibu kwenye uislam.ila dini ya haki si kweli unaweza ukawa na haki wewe mwingine jambazi na ni muislum.pambania pepo utaenda peke yako .hutoenda kwa dini,
@@svt3 mwenzangu mimi nimmkristo napambania pepo yangu siwezi sema karibu ukristo dini itakayokupeleka mbinguni dini ndio inayompa mtu pepo au wewe mwenyewe tengeneza na Mungu wako.unajua tumekuwa na theory za kikoloni hadi leo.
Hongera kila nabii ukimsoma alitawadha ndoakaingia kuswali kwhyo karbu, tafuta masahafu ya yeny tafsir ya Swahili iliumuone vzr Nabii Isa ambaye ni yesu utafurah Sana kuwa mwsilam.
Alikiba badilika wafollow na wenzako hata wengine wangeweza zaidi Yako kukaa bila kufollow watu wengine ,lakini Kwa ubinadamu na utu wameonesha utu wao Kwa wengine sio kama wewe hicho ni kiburi na ushamba my friend napenda sana ngoma zako ila Kwa hili umefeli sana mkuu
Kama kweli haangalii comments za mashabiki zake anafeli nisawa na wewe kuwa na duka halafu hujali maoni ya wateja wako ,wote wataenda dukani Kwa jirani Yako hata akifunga watamsubiri hadi arudi hata kama utakuwa na kila kitu dukani kwako 😄 😄😄
Nafanya biashara ya kuuza cm ndogo nilipata ajali ya kugongwa na gari nilikuwa na mwenzangu alipoteza maisha Mimi nilivunjika sana mtaji wangu wa simu ulikatika Kwa kuniuguza kaka naomba unisaidie
Yeyote atakayenikana nami nitamkana mbele ya Baba yangu aliye mbinguni. Na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe Mungu wa kweli na yesu kristo uliyemtuma
Huyu hajamkana maana kwenye Uislam tuna mkubali sana Issa bin Maryam (Jesus the son of Mary not God) Mpe hongera ya kumkubali Yesu anavyotakiwa kukubaliwa
Ebu acha kumtumia yesu vibaya Grace dadangu tatzo lenu mnamjua yesu kwakufundishwa na watu na si kumjua yesu kwa kumsoma Zaid pole yesu atawakan ninyi wakat uo
Matthew 10:33-35 King James Version 33 But whosoever shall deny me before men, him will I also deny before my Father which is in heaven. 34 Think not that I am come to send peace on earth: I came not to send peace, but a sword.
@@Khmediy3241 you guys tried evaluate God's ability with your low human being mind, God will always be God , Jesus to be called son of God was or is just a simplication for easy understand how God intended to deal with people salvation after us being sinners , but Jesus was there even before creation
Karibu kwenye mila ya Adam, Ibrahim, Moses, Issa ambae ndio Yesu, dini ya Ismail na Elias na Maelf ya manabii na mamessengers. Dini ambayo haijatoka ulaya. Wote walimuabudu Mmoja na hawakumshirikisha na kitu chochote na wanakubali kuwa wao hawafanyi chochote isipokuwa kwa uwezo na ruhusa kutoka kwa mola wao mmoja. Mola ambae hasinzii wala halali Sifa ya kusinzia ni ya viumbe, kiumbe akilala anakuwa weak na anaweza akafanywa chochote. Hiyo sio sifa ya Mungu wa kweli. Mungu ambae hali ila analisha watu na viumbe kwa kuwazawadia rizq. Sifa ya kula ni ya sisi viumbe na ukila lazima utoe hicho ulichokula au kunywa. Mungu ambae yuko hai masaa yote, hajawahi kuiacha dunia yake, sifa ya kufa ni ya viumbe na sio ya Muumba. Ndio tunamtegemea all the time. Anakitabu ambacho kimekamilika 100% Na Yesu anavyoondoka alisema kijiti anamwachia ndugu yake ambae anaitwa Ahmad. Ipo kwenye biblia na quran. Sasa wee unamfuata Rais wa sasa ambae ni Muhammad sallallahu aleyhi wasallam. Na manabii wote wanafuatwa vilivyo. Moja ya Mashart ya kuwa Muislam ni kuamini kuwa mitume wote ni wa mwenyezimungu. Yesu yumo ndani. Ukimkataa basi umekataa uislam. Umeona majina hayo Hapo paulo hayupo. Sasa jifunze aliingiaje hapo. Sasa kina Milad wao wanamshangaa why? Politics na fake news about Islam. And kuzungukwa na fake Muslims.
Sio rahisi sana kukutana ndugu zetu Wakristo kutukana...ila ingekuwa ndio ndugu yetu mmoja katamka kubadili dini kutoka Islamic eee..angeshambuliwa sana...sijui kwa nini huwa tunajihesabia haki?
I feel so sorry for him 😭. From Yeshua ✝️ 2 Abdollism 😭😭😭. Hope Yeshua will show him the right way soon ✝️. Go and listen 2 Christian Prince and David Wood u will learn a lot about islam Abdollism.
dahaaaaa 🤣😂🤣🙌 haweeeee mwanaume kubadili dini hii kali ya dunia lakn sawa husisaau kufatiliya hibada zote za kawe kwa mwamposa husisahau hulipo toka 👏ongera kwa yt🤝🤝🤝
Kuwa tuu muwazi kuwa umebadilisha Dini sababu ya Mwanamke Usitufanye Watoto wadogo hapa Hilo ni shinikizo tuu Hata Mkweo alisema hivyo hivyo Ukumbuke tuu Ndoa sio kitu cha kuaminika sana ikitokea Ndoa imevunjika utaanza kiherehere cha kurudi Ukristo As a Man you need to stick with your self sio kupelekeshwa na mapenzi
Ayo ndo unayojidanganya akuna mtu unaweze kumwambia abadili dini ispokuwa Allah ameandika ukiona kaacha mke au mume ujue aikundikwa alichokiandika Allah akibadili km kufa
MWANAUME WA KIKRISTO KUBADILI DINI KWA AJILI YA MWANAME UNADANGANYWA WEWE MWANAMKE.KUNA VITU HUYO MWANAUME AMEVIFUATA KWAKO.HUYU MWONGO MSIKITINI HATOINGIA RAMADHANI HATOFUNGA NA KUSWALI HATOSWALI . WANAUME WA KIKRISTO NI WAJANJA SANA
Mungu mkubwa barnaba nakupongeza kwa hilo.allah akusimamie akuonyeshe haki uweze kuifata na batwili uweze kuiacha.fanya kazi ila usisahau hamsa salawat uwe miongoni mwa hamsa salawat insha allah.
Akifa kama mke wa mtu fulani alimuacha mume wa kikrsto akaenda kuolewa na wasemao wasafi leo anaangaika kwenye mitandao kuomba msaada mpk kwa raisi hapo njee dini imemuokoa ujingaa
Mpanga mtu kubadili dini kama huyu basi jua kuna kitu ameelewa hajakurupuka msijisemeshe amechoka kuingia kwenye ibada na viatu alivyokanyanga kila aina ya uchafu hivyo tu
Kubadili dini sio kipimo Cha mtu kua mkamilifu ila kwa vyovyote ww unakitu MUNGU akusimamie mana Kila dini inafundisha kua wema na wenye hekma na busara
Hi dini haitaki music ni yy je nyiyi mnavyo piga kelele inakuaje mana hata yesu akitokea atakimbia yy alihubiri kwa upole nyiyi makelele tu na kanisa zima limejaa music bada ya kuabudu na kumuomba mmungu mnaimbaaa tu na kukemea pepo sasa ndio kusali yesu alisali na kusujudu na kutawadha hajatumia tishu za wazungu mzungu mwizi tu kuiba mana bee wa mashariki ya kati hana na bee mzungu kanadilisha vitabu na tarehe na kuhalalisha ushoga makanisani fatilia historia ya uislam toka kwa ibrahim
@@gh7naa umelogwa na mafundisho potofu ya mashehe wenu walio jaaa uongo mtupu😂😂 Yani point zenu ni zile zile za paukwa pakawa 😂 .....huko alikokuja atakuwa huru maaana ndio mnasapot mizik ya umalaya 🤣🤣😂 akina mond , kiba ,harmo wanaimba nyimbo za matusi weeee....wakipata Hela wanajenga na misikiti , 🤣🤣mnashangiliaaaa ....... Na huyu amekuja atawasaidia kuongeza misikiti
Karibu kaka yangu muhamedi, Allah akulinde na mabala
Hongera Barnaba kwa uislam Mr.Mohamed uso wako una nuru .MashaaAllah
Katika vi2 ambavyo umevifanya barnaba kuingia katika dini ya hakh umefanya jambo kubwa ..kuna vesi ya quran inasema ina din li Islam akuna dini ispokuwa uwislam nafikili surat imaran ndomana watu wanaofaham special maprofesa wa kizungu wakitambua hakh bac ukubari fasta .na watu watakuja juta wakati wanaingizwa makaburini ndo .utaona biashara umepata faida au hasara ..Allah akupe nguvu na umejipa jina la kipenzi cha Allah. Muhammed..mashaa Allah
MashaAllah MashaAllah
Karbu Kwa dini yetu ya haki Allah akudumishe Kwa dini hii ampaka kifo chako ❤
Kabisaaa
Na dini hii haitaki usanii na mziki.
Kakiganihiyo?Kujitoa mhanga kwa mashambrizi naviripuzi watu wafe?
Akaribie twampenda kwaajili ya Allah
ALLAHU AKBAR ❣️
Pamoja sana Barnaba nakukubali mr mohammed 👏👏👏
Wakristo acheni makasiriko, mwenzenu kaja kwenye nuru dini ya haki. Takbeeeeer 📣📣📣📣📣
This man is very positive and really calm
Baranba hana zarau ni mtuu yupo sipo sana mungu amtagulie sana
Mash'Allah, Allah Akujalie !
One of the most educating interview ❤
MASHALLAH..SAI...UKO..SAWA.. UMENONA..MOPAO..OGERA..SN❤❤
Raya any day you see this just know that you are a real gem MashaAllah…learned sth here today😊🤍Clever Woman!👏🏽
Barnabas jaman usoni una Nuru sana na umeng'ara HADI raha hakika umedamsh
Nakupenda bro barnaba kari kwenye dini ya haki 😘 dini yenye Uhuru wa mambo ya haki mbele za Allah 🙏💞
Mashallah
Hongera sana Kwa kuamua kuacha ukapela karibu kwenye dini yetu
Mashallah
MashaAllah....
Kaka pia hili uimalike
Jifunze kwa kuangalia
Mihazara ya kidin ikiwemo
Shekhe kinyogoli na upande wapili
Na ungalie mihazra ya shekhe
Habib mazinge kutoka tanzania
Na wachungaji wakiwa wanatoa
Maneno kwenye vitabu vyote utajua
Ukwel upo wap Jazaq rlau allah
Atakuwekea wepesi inshahallah
Kaka mo! Welcome in islam
Mashallah
Jibu ni hili kwa wale wote wanaobeza ukristo utofaut wetu ni huu, waislam wanafata mandiko pekeake, ila wakristo tofaut na mandiko kuna kitu kinaitwa roho mtakatifu mwenyez mungu ni mwema sana alijua kabisa kua sisi pekeetu hatuwez ndy maana waislam hawatokaa waelewe chochote kuhusu ukristo kwasababu wao ni tofaut na huenenda kwa hakil zao tu na kufata kitabu tu, kwao maono au roho mtakatifu ni kitu kigen kwao, kwahyo msibishane nao maana hawatoelewa kabisa kikubwa mwachien mungu mwenyewe ana fungu lao, kama mwenyez mungu humpa uhai mpka shetan alieasi mbingun why asiwape hata wale wanaokataa maagzo yake!
Duu pole elson kingtz upo kwenye msitu wenye giza nene sana mwenyezimungu akufanyie wepesi utoke huko
Wewe ni kondoo ulie potea, bado unahema tafuta dini ya haki
Maashaa allah kaka anasauti nzuri sana
Maashaallah, Allah akulinde na akuepushe na changamoto zitakazo tokea, inshallah
Mungu akuongoze brother
Karibu NDUGU yetu.
Karibu kwa dini yetu, MashaAllah hongera ndugu angu
Tabarakallah
Dhhhhaa braz umetisha sana Allah akutangulia kaka
Allah akuongoze Kaka wisilam din ya haki karib sana
Hapo ndio mnapoharibu.uislam ni dini kwenye dini kuna wauaji,kuna majambazi,kuna magaidi,kuna wezi,kuna wezi,wara rushwa.itoshi kusema karibu kwenye uislam.ila dini ya haki si kweli unaweza ukawa na haki wewe mwingine jambazi na ni muislum.pambania pepo utaenda peke yako .hutoenda kwa dini,
Leila Salim: magaidi wote .....
@@svt3 mwenzangu mimi nimmkristo napambania pepo yangu siwezi sema karibu ukristo dini itakayokupeleka mbinguni dini ndio inayompa mtu pepo au wewe mwenyewe tengeneza na Mungu wako.unajua tumekuwa na theory za kikoloni hadi leo.
@@foodbasiccourt2028 sio majambaz TU Zanzibar 100% n Islamic na ndo wanaongoza kufirana wanasema n suna
Zanzibar n Islamic 100% na ndo wanaoongoza kufirana wanasema n suna
Kaka big up sana for that its like amazing decision
Nakukubali sana brother
Maashaallah
Hongera kila nabii ukimsoma alitawadha ndoakaingia kuswali kwhyo karbu, tafuta masahafu ya yeny tafsir ya Swahili iliumuone vzr Nabii Isa ambaye ni yesu utafurah Sana kuwa mwsilam.
Alikiba badilika wafollow na wenzako hata wengine wangeweza zaidi Yako kukaa bila kufollow watu wengine ,lakini Kwa ubinadamu na utu wameonesha utu wao Kwa wengine sio kama wewe hicho ni kiburi na ushamba my friend napenda sana ngoma zako ila Kwa hili umefeli sana mkuu
Ww ndo mshamba mbn jay z hajamfollow mtu yeyote kwan kina ana kosa gan sio kiba ndo wa kwanz Ni maamz ya mtu na pendekezo lake
Usilazimishe aish unavyo taka ww kila mtu Ana lifestyle yake brooo
Uzuri kiba wala hangalii comment zako
Www hujuwi kituu Jay z kafollow nani????
Kama kweli haangalii comments za mashabiki zake anafeli nisawa na wewe kuwa na duka halafu hujali maoni ya wateja wako ,wote wataenda dukani Kwa jirani Yako hata akifunga watamsubiri hadi arudi hata kama utakuwa na kila kitu dukani kwako 😄 😄😄
Mashaallah karibu sana kwenye dini yetu😍
Dini Hakuna place itakupeleka remember this don't die a Muslim,jena lazima utaingia
@@myleskenya wivu wendoutaingua motoni ukiya kwenye ukafiri
@@fatmafatu1128 kati ya mkristo na muislam Nani kafiri?wakristo walitangulia kabla Islam hata quran inajua hivo
@@myleskenya kafiri ninyie hata chooni mnaingia na makaratasi mnatembea mnanuka kinyesi
@@myleskenya dini ni moja tu islaam hizo zingine maigizo na byashara
Masha Allah Mungu akudumishe ktk iman
Mimi sibadilishi dini kwaajili ya mtu kwa kweli
Naungama ubatizo mmoja kwa maondoleo ya dhambi 🙏🙏
Sababu hujitambui ukijitambua atakuja kwenye haki
@@fatmafatu1128 wew pia hujitambui
Uko sahihi kwa mtazamo wako kaka ila fuatilia hizi dini utapata ukweli soma maandiko ya biblia kisha tafakari ukiwa mwenyew tu utapata majibu
Wewe kondoo ulio potea
@@claudiayohana6576akili hana huyo Yani ubadilishe dini kisa mwanaume au mwanamke ni ujinga
Nampenda sana uyu brother, Namkubali mno 😘😍
Kama umegundua Afya amezidiwa kete kwenye ubalozi na Afiya, gonga like hapa, ni wachache wataelewa hii😂
Afiya ni yupi na afya ni yupi
He is so smart,
Mashaallah
He speaks very gently
Ana sound kama mkongo. 💛😘😘
MAA shaa allah
MashaAllaH AllaH akuongoze kwenye matendo mema ishaAllaH
Mirard nakufatiala sana pia nikijana naomba support kwenye biashara yangu ya mtaji
Haujaeleweka biashara ya mtaji ndo ikoje?
pamoja sana Ndugu, ni biashara gani ?
Nafanya biashara ya kuuza cm ndogo nilipata ajali ya kugongwa na gari nilikuwa na mwenzangu alipoteza maisha Mimi nilivunjika sana mtaji wangu wa simu ulikatika Kwa kuniuguza kaka naomba unisaidie
Yaan hakuna media naikubali tz kama Millard ayo
Millard yuko very smart na maswali yake
Allah ambarik na amdumishe katika Uislam
Yeyote atakayenikana nami nitamkana mbele ya Baba yangu aliye mbinguni. Na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe Mungu wa kweli na yesu kristo uliyemtuma
Yesu Mungu or ametumwa na Mungu???
Huyu hajamkana maana kwenye Uislam tuna mkubali sana Issa bin Maryam (Jesus the son of Mary not God)
Mpe hongera ya kumkubali Yesu anavyotakiwa kukubaliwa
Kiukwel barnaba ni classic
Barnaba kumbuka Yesu Kristo alisema ukinikana mbela za watu nami nitakukana mbele za Baba yangu aliye Mbinguni.
@@kylesmeight4837hahahahaha. Swali zuri sana. Hebu atujibu
Ebu acha kumtumia yesu vibaya Grace dadangu tatzo lenu mnamjua yesu kwakufundishwa na watu na si kumjua yesu kwa kumsoma Zaid pole yesu atawakan ninyi wakat uo
Yesu cyo Mungu
Huwezi kuwa miuislam kama hujamkiri yes kama ni mtume wa Mungu , acha imani potovu Grace fanya na wew usilimu . Kariba kama uislam Grace
@@kylesmeight4837 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hongera kwakuwa muislan
Barnaba yupo smart sana pia Millardy Ayo umeuliza maswali mhimu sana🙌🙌
Matthew 10:33-35
King James Version
33 But whosoever shall deny me before men, him will I also deny before my Father which is in heaven.
34 Think not that I am come to send peace on earth: I came not to send peace, but a sword.
Islam doesn't deny Jesus Christ
@@hapaupdates9277 They does when you deny Jesus is not son of God what does that mean to you?
Means God has no son has prophets Jesus among them,we accept him as prophet of God and not son
@@Khmediy3241 you guys tried evaluate God's ability with your low human being mind, God will always be God , Jesus to be called son of God was or is just a simplication for easy understand how God intended to deal with people salvation after us being sinners , but Jesus was there even before creation
And wat is name of jesus’ father
Mabruk.. karibu katika dini ya haki
Wakwanza hapa classic
pamoja sana
@@millardayoTZA uko vizuri mheshimiwa🙏
Msenge tu huyu mtt wako Steve atakuwa din gan sasa
hiyo Afiya naipenda jamani😋
Shallah❤❤❤
Akili kubwa sana daah
mmmmh Barnaba bwana, hebu niishie hapa kwanza
Karibu kwenye mila ya Adam, Ibrahim, Moses, Issa ambae ndio Yesu, dini ya Ismail na Elias na Maelf ya manabii na mamessengers.
Dini ambayo haijatoka ulaya.
Wote walimuabudu Mmoja na hawakumshirikisha na kitu chochote na wanakubali kuwa wao hawafanyi chochote isipokuwa kwa uwezo na ruhusa kutoka kwa mola wao mmoja.
Mola ambae hasinzii wala halali
Sifa ya kusinzia ni ya viumbe, kiumbe akilala anakuwa weak na anaweza akafanywa chochote. Hiyo sio sifa ya Mungu wa kweli.
Mungu ambae hali ila analisha watu na viumbe kwa kuwazawadia rizq.
Sifa ya kula ni ya sisi viumbe na ukila lazima utoe hicho ulichokula au kunywa.
Mungu ambae yuko hai masaa yote, hajawahi kuiacha dunia yake, sifa ya kufa ni ya viumbe na sio ya Muumba.
Ndio tunamtegemea all the time.
Anakitabu ambacho kimekamilika 100%
Na Yesu anavyoondoka alisema kijiti anamwachia ndugu yake ambae anaitwa Ahmad.
Ipo kwenye biblia na quran.
Sasa wee unamfuata Rais wa sasa ambae ni Muhammad sallallahu aleyhi wasallam.
Na manabii wote wanafuatwa vilivyo.
Moja ya Mashart ya kuwa Muislam ni kuamini kuwa mitume wote ni wa mwenyezimungu. Yesu yumo ndani.
Ukimkataa basi umekataa uislam.
Umeona majina hayo
Hapo paulo hayupo. Sasa jifunze aliingiaje hapo.
Sasa kina Milad wao wanamshangaa why?
Politics na fake news about Islam.
And kuzungukwa na fake Muslims.
🤣🤣🤣🤣 usinifanye niseme kua hata hyo imeletwa na waalabu! Haya huyo mungu wenu wa uarabun atamlinda
Hyo dini kwangu naona ni ushuz tu
Yan hapo alichokifanya ni kwenda mbal na uso wa mwenyez mungu maana hakuna dini hapo
@@elsonkingtz4506 Fanya research " apple to apple" ili uokoke. Na ikiwa ukweli umepatikana take immediate actions...
@@elsonkingtz4506 Acha kashfa na dini za wa2 ww nyau🤪
Sio rahisi sana kukutana ndugu zetu Wakristo kutukana...ila ingekuwa ndio ndugu yetu mmoja katamka kubadili dini kutoka Islamic eee..angeshambuliwa sana...sijui kwa nini huwa tunajihesabia haki?
Correctly inabidi kujitafakari, coz anayejikweza atashushwa
Hebu soma comment uonr wakristo wanavyomtukana
I feel so sorry for him 😭. From Yeshua ✝️ 2 Abdollism 😭😭😭. Hope Yeshua will show him the right way soon ✝️. Go and listen 2 Christian Prince and David Wood u will learn a lot about islam Abdollism.
Allah atakabali duwaa
dahaaaaa 🤣😂🤣🙌 haweeeee mwanaume kubadili dini hii kali ya dunia lakn sawa husisaau kufatiliya hibada zote za kawe kwa mwamposa husisahau hulipo toka 👏ongera kwa yt🤝🤝🤝
Nakukubali sana Millardayo 👍
Kuwa tuu muwazi kuwa umebadilisha Dini sababu ya Mwanamke
Usitufanye Watoto wadogo hapa
Hilo ni shinikizo tuu
Hata Mkweo alisema hivyo hivyo
Ukumbuke tuu Ndoa sio kitu cha kuaminika sana ikitokea Ndoa imevunjika utaanza kiherehere cha kurudi Ukristo
As a Man you need to stick with your self sio kupelekeshwa na mapenzi
Ayo ndo unayojidanganya akuna mtu unaweze kumwambia abadili dini ispokuwa Allah ameandika ukiona kaacha mke au mume ujue aikundikwa alichokiandika Allah akibadili km kufa
@@hajjiomary2383 NDUGU ZETU WA DAMU WAKOROFI SAAANA UKIWAAMBIA UKWELI KUHUSU DINI LAKINI WAJUE ALLAH HUMPA AMTAKAE NA HUMNYIMA AMTAKAE
Brother iman ki2 muhim sana ..alichokiandika mungu akibadiliki hata kwa uchawi
Barnaba hongera
MWANAUME WA KIKRISTO KUBADILI DINI KWA AJILI YA MWANAME UNADANGANYWA WEWE MWANAMKE.KUNA VITU HUYO MWANAUME AMEVIFUATA KWAKO.HUYU MWONGO MSIKITINI HATOINGIA RAMADHANI HATOFUNGA NA KUSWALI HATOSWALI . WANAUME WA KIKRISTO NI WAJANJA SANA
The guy is very very smart
Daimomdi mtu Safi Sana
NOTED
Aliyemuona vidox anakuna kidevu akijizuia kucheka baada ya Banaba kusema mkubwa kumcheki hanscana tena gonga likes hapa!
Hapo kwenye ku badili dini sijakupenda, huwa nakuelewa
Mungu mkubwa barnaba nakupongeza kwa hilo.allah akusimamie akuonyeshe haki uweze kuifata na batwili uweze kuiacha.fanya kazi ila usisahau hamsa salawat uwe miongoni mwa hamsa salawat insha allah.
Ruge hakuwa Mzee ila uko vzr sana sana endelea kujitafuta nakuona unauwezo wa kubadili muziki wako.
Yaani huyu kaka kubadili dini kisa mwanamke shikamoo mapenziii🙌
Akifa kama mke wa mtu fulani alimuacha mume wa kikrsto akaenda kuolewa na wasemao wasafi leo anaangaika kwenye mitandao kuomba msaada mpk kwa raisi hapo njee dini imemuokoa ujingaa
Kazi ipo Maana hii family wapo vzr mdomoni🙈
Takbirrrrrrrrrrrrrrrrrii
Allahu Akbar
Sababu mkeo bwana
Mkwe wa Mama Kimbo Nakukubali Sanaa nimewahi kukuona CCBRT Ukiwa na yule. Mwanamke wa kwanza na mtoto Ni Mpole Sanaa Mungu akulinde🙏
Huyo mshamba tena nazifuta nyimbo zako.
Napendaga tu namna unavyojieleza
Bro nna ideas ningependa tuchekiane What's App km hutojali
Camera man anazingatia wadhamin
Real
barinaba 👏
Mpanga mtu kubadili dini kama huyu basi jua kuna kitu ameelewa hajakurupuka msijisemeshe amechoka kuingia kwenye ibada na viatu alivyokanyanga kila aina ya uchafu hivyo tu
Ehh hv nchi hii kazi kubwa ni usanii tu
Hadi nimejifunza kitu kutoka kwake kiukweli nimepnda interview hiyi!tungekuwa na wasani hawa Burundi labda mziki wetu nawo ungepanda!
Wala nasibu hajawahi kunituma nisiongee na diamond
Huyu nae anabadili dini kwa nn maana ucha mungu hana mziki na yy na yy na mziki Kisha anacheza na dini vp huyu
Hiy pia ni hatua kubwa sana! Kua Muislamu tu pia ni neema kubwa sana!.. Hayo mengine ataaacha kidogo kidogo..
# Mungu amfanyie wepesi
Mungu ndo mjuzi wa yote Arqam usijfanye we ndo mkosoaji tuombeane ni hatua kubwa kuzaliwa mkristu leo kuslim Mungu amnyooshee njia iliyo sahih
@@othmanothman5803 ss huyu kweli hata dini ana habari nayo kweli? Mziki na yy na yy na mziki jamani tuwe tukiangalia basi
@@othmanothman5803 dini iliyoo safi tatuu kwa sana vipin heren ila ukristo hautaki na Biblia imekataa happ vp
@@maase2023 mpaka ameingia ujue kabla ya kuingia alitenga muda mkubwa wa kutafakari juu ya hilo Waislam Tumuombee
Unaskia barnaba anavomzungumzia diamond halafu unaskia mtu mpuuzi anasema mond ananyonya
Chama chetu ukijiunga kule hakuna Bwana asifiwe kule Asaam Alekum hivyo lazima kubadili dini ili waende sawa
Sahh
Hahaha chama gani tena hiko
@@vanessangalanda9610 wachafu fc
Hongera ila pole sana Mungu akuongoze
Taqbbir 👏👏👏
Allahu Akbar
Allahu Akbar
Kubadili dini sio kipimo Cha mtu kua mkamilifu ila kwa vyovyote ww unakitu MUNGU akusimamie mana Kila dini inafundisha kua wema na wenye hekma na busara
Chokoooooo
Barnabas nioao watz
Kaka uchawa had dini sapota ya mziki tu mbona mwenzio babalevo kabaki
Karib kwenye uislam mohamad
Mond known business
Kwa kazi unayofanya kweli hiyo dini inakufaa, uko sahihi saana kwenda hyo dini🤣🤣🤣
Hi dini haitaki music ni yy je nyiyi mnavyo piga kelele inakuaje mana hata yesu akitokea atakimbia yy alihubiri kwa upole nyiyi makelele tu na kanisa zima limejaa music bada ya kuabudu na kumuomba mmungu mnaimbaaa tu na kukemea pepo sasa ndio kusali yesu alisali na kusujudu na kutawadha hajatumia tishu za wazungu mzungu mwizi tu kuiba mana bee wa mashariki ya kati hana na bee mzungu kanadilisha vitabu na tarehe na kuhalalisha ushoga makanisani fatilia historia ya uislam toka kwa ibrahim
@@gh7naa umelogwa na mafundisho potofu ya mashehe wenu walio jaaa uongo mtupu😂😂 Yani point zenu ni zile zile za paukwa pakawa 😂 .....huko alikokuja atakuwa huru maaana ndio mnasapot mizik ya umalaya 🤣🤣😂 akina mond , kiba ,harmo wanaimba nyimbo za matusi weeee....wakipata Hela wanajenga na misikiti , 🤣🤣mnashangiliaaaa ....... Na huyu amekuja atawasaidia kuongeza misikiti
Ahahahahaaa!!!@
Jomon ni uislam umempendeza barnaba.kanawiri.au raya kutwa ana msinga.uso ng'ari ng'ari