Barnaba feat Alikiba - Cheketua (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Music Video by Barnaba featuring Alikiba performing Cheketua (Official Release) The Music Video was shot in Dar es Salaam, Directed by Kwetu Studio.
    Stream/Download:linktr.ee/barn...
    Digital Distribution by Ziiki Media (PTY)
    Listen to Barnaba on Digital Streaming:
    Audiomack:audiomack.com/...
    Apple Music: / barnaba
    Boomplay:www.boomplay.c...
    Spotify:open.spotify.c...
    Deezer:www.deezer.com...
    Connect Barnaba on Social Media:
    Instagram: / barnabaclassic
    Facebook: / barnabaofficial
    Twitter: / barnabaclassic
    +For More Information Booking Barnaba:
    Contact:Barnabamanagement@gmail.com
    ©2022 Ziiki Media (PTY) & Barnaba.All rights reserved.
    #Barnaba #Alikiba #Cheketua

ความคิดเห็น • 7K

  • @emanuelandrew9519
    @emanuelandrew9519 3 ปีที่แล้ว +43

    Maneno yenu hayatutishi,mwenye tamu yangu....,,,,,,.....,,,, km umesikia haya maneno gonna like

  • @joelkahuya8356
    @joelkahuya8356 3 ปีที่แล้ว +85

    Wenye fani zao wakikutana lazima dude lieleweke dah! Cheketua jmn
    👇

  • @omaramina3421
    @omaramina3421 3 ปีที่แล้ว +86

    Nampenda kiba mana mziki wake unaheshima hamna neno Moja la tusi yani unaeza kuueka ukasikizwa hata mbele ya wazee .. team kiba all the way from +254

  • @amedeuslyimo2315
    @amedeuslyimo2315 3 ปีที่แล้ว +18

    😥😥😥kwani me nilikuwa wapi hiii hii ngoma kali ivii ilivyotokaa.. dahh najua .... nimechelewa sana jamani mnipe hapo hata likes kumi tu ntafurahi... Cheketuaa bonge la ngoma

  • @uchebechata9823
    @uchebechata9823 3 ปีที่แล้ว +25

    Tunao kubariana Kama hii ngoma kalii anipe like apa mziki mzuri unaweza kukaa ata na wazazi wako mka angalia aina shida yani

  • @mrbonaventure160
    @mrbonaventure160 3 ปีที่แล้ว +638

    Kiba anajua aisee, kwenye hili song
    Uchi : 0%
    Bangi : 0%
    Matusi: 0%
    Kupendeza: 100%
    Mashairi : 100%

  • @seifzongo320
    @seifzongo320 3 ปีที่แล้ว +113

    Like za king kiba ,alichokifanya humu dunia inajua 🔥🔥🔥

  • @NewtonKulla-r6u
    @NewtonKulla-r6u 11 หลายเดือนก่อน +4

    Ali Kiba kudos,you just killed it...

  • @BETConlineTVTZ
    @BETConlineTVTZ 3 ปีที่แล้ว +176

    ALIKIBA,BARNABA,KAYUMBA-BONGE LA COMBO WHO AGREE WITH ME.

  • @onesmocharles4034
    @onesmocharles4034 3 ปีที่แล้ว +24

    Mungu azidi kumbariki king pamoja na mopao..atubariki pia tunaoangalia hili goma..tim like weka like hapa

  • @hadijalukas5959
    @hadijalukas5959 3 ปีที่แล้ว +30

    nimechelewa nipeni like japo kumi tu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @manonoali9557
    @manonoali9557 3 ปีที่แล้ว +6

    ali kiba the real legend very consistency since his first song

  • @Kenny-u9z
    @Kenny-u9z 3 ปีที่แล้ว +45

    Wakenya njooni hapa. likes mia 200 tu!

  • @suldaanidiriismedia4068
    @suldaanidiriismedia4068 3 ปีที่แล้ว +207

    Kutoka Somalia 🇸🇴 wapi lakes yanngu napenda yimbo ya bongo sanaa ❤️💕💕❤️🤝

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/RfNJF4ZMveM/w-d-xo.html

    • @stevenmushonda8609
      @stevenmushonda8609 3 ปีที่แล้ว +1

      Uwodoutamu waziki wabongo flever jaman

  • @lapazako1770
    @lapazako1770 3 ปีที่แล้ว +79

    Dah nimecheketua bali simalizi jameni wimbo ndoo huu 👌♥️mnipe likes ingawa nimechelewa 🇧🇮 majirani naomba likes

  • @zenabaziga3620
    @zenabaziga3620 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwakweli uyu mwimbo wabarnaba huw sichoki kuutizama naupenda mno

  • @toweman6484
    @toweman6484 3 ปีที่แล้ว +48

    WAKIJA WAAMBIE NDAGA MGONILE NKAS GWANGU KIBA VERSE GOOD SANA👇👇👇👍👍

  • @anordbwai5620
    @anordbwai5620 3 ปีที่แล้ว +76

    Tume ruka vizingiti wambea hamtutishi utamu wa wali nazi uutafune na Ndizi 🔥🔥🔥🔥 yooh

  • @lazarojr8923
    @lazarojr8923 3 ปีที่แล้ว +87

    Kinyakyusa nimekisikia jamani watu wambeya toeni like kwa King kiba kwa kuimba Nyakyusa(ugonile )

  • @mussalydforex6726
    @mussalydforex6726 3 ปีที่แล้ว +17

    Kwa Mara nyingine naweza pata like 1000 kama mnawakubali HAWA watu jamaniii

  • @kigomamc1179
    @kigomamc1179 3 ปีที่แล้ว +44

    pia mashabik atujui kesho yet itakuaje mda mwingine tuwe naofu yamngu tuwape sapot kama umuelew bas unapita t kmy kmy

  • @dinankone9415
    @dinankone9415 3 ปีที่แล้ว +17

    Hatar San 1 million 24 hours tukomae wazeee asee tuonyesh nguv alikiba tusiwagushe

  • @eddymarxhy9460
    @eddymarxhy9460 3 ปีที่แล้ว +55

    Bado haujaniangusha me shabiki... kazi nzuri....🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪mko wapi wa kenya pitia tu na like kwa hii comment kam umepata hii nyimbo

  • @naahally936
    @naahally936 2 ปีที่แล้ว +3

    Love u kiba and barnaba boy nyie mnaujua mzk hambahatish

  • @dje-sir254
    @dje-sir254 3 ปีที่แล้ว +56

    Mwenye anaamini king never disappoint kama mm aweke lyk apo chini

  • @suzanakibonde5898
    @suzanakibonde5898 3 ปีที่แล้ว +31

    Waambie ugonileee jamaniii😍😍😍😍 i love you gusy Kiba and Barnaba❤❤❤❤

  • @subiransasi8029
    @subiransasi8029 3 ปีที่แล้ว +50

    Waambie ugonile,ndaga fijo nkasi gwangu wanyakyusa hoyeeeeee!!!

  • @lameckdavies6417
    @lameckdavies6417 3 ปีที่แล้ว +18

    Barnaba hujawai kosea sijapata zaidi yako still

  • @nobertfanuel2299
    @nobertfanuel2299 3 ปีที่แล้ว +72

    The best song, Number one on trending Barnaba ft Alikiba is 🔥🔥🔥🔥 gonga like apa twendezetu

    • @kamedia1066
      @kamedia1066 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/RfNJF4ZMveM/w-d-xo.html

  • @dorahpaulin8012
    @dorahpaulin8012 3 ปีที่แล้ว +19

    Kweli mfalme mfalme tu huyu ndio FB wangejua ukwasi wake asingekosa kwa list top10

  • @silversindjalabakeni2533
    @silversindjalabakeni2533 3 ปีที่แล้ว +77

    Wow good music good sound good song mafundi walili wakikutana basi amini Vita inakwisha Barnaba classic and king Kiba sauti zenu ni utajiri munao jivuniya team Kiba and Barnaba classic like zenu jamani 👳‍♂️👰 ## LOVE IS GOOD BABY ## 🎤🎺🎹🎸🎧🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @yungdrew467
      @yungdrew467 3 ปีที่แล้ว +1

      Umeongea moyoni kabisa🔥

  • @shabaniomary8252
    @shabaniomary8252 3 ปีที่แล้ว +7

    King kauwa hanaga wivu kaimba kama nyimbo yake had I laha pia barnaba umeuwa

  • @dannysaid8113
    @dannysaid8113 3 ปีที่แล้ว +27

    Kama umeipenda na kuskilza mara tatu hii ngoma
    Gonga like #kingkiba 🤛🤛🤛✌✌🥰🥰🥰🥰

  • @wanjoki1
    @wanjoki1 3 ปีที่แล้ว +64

    Nawakubali sana Barnaba na kiba Hawa dio wenye mziki mzuri...yaani king 👑 hatumiangi nguvu nyingi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Venture_1818
    @Venture_1818 3 ปีที่แล้ว +27

    miguno ya #KingKiba tuu hapo mwanzo unaelewa shughuli itakua nzito humo ndani! ilikua ndoto ya muda mrefu kuona sauti za Dhahabu zikirindima kwenye mdundo mmoja..... watu wanaojua mziki na kuuchezea vile watakavyo wao ila kwetu burudaniii hakika Bongo Flava iko mikono salama kabisa , Congratulations #Mopao X #KingKiba 🔥🌍

  • @salumhillal5487
    @salumhillal5487 2 ปีที่แล้ว +2

    Very nice hasa designing ya mavazi na sauti nzuri ya Alikiba

  • @Rumayo_006
    @Rumayo_006 3 ปีที่แล้ว +77

    Alikiba ameimba vzr xn. Team Kiba for Real🔥🔥🤝

  • @jmagelegraphics4658
    @jmagelegraphics4658 3 ปีที่แล้ว +34

    Oyooooooh piga like chap kwa king

  • @jamesprincealiass
    @jamesprincealiass 3 ปีที่แล้ว +55

    🇰🇪🇰🇪 Kenya tumeipokea vizuri King 👑 akiwa na Prince Nipeni Likes jamani 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @susanmasheti9109
    @susanmasheti9109 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ali kiba always the best great voice❤

  • @tzdizoboy415
    @tzdizoboy415 3 ปีที่แล้ว +24

    Jamani ngoma Kali Sana naomba like kwa Wana wa Tabora unyamwezini ♥️♥️

  • @amrimadunda7821
    @amrimadunda7821 3 ปีที่แล้ว +16

    Daah mim nimecheka huyuu jamaa Aliye piga sim half Banaba na Ally walipo fika jamaa anafoka Banaba na Ally wanamuombaa msamaha duh nomaaa Ally kamtendea haki Banaba Respect kwao colabo nyingin Tadhali

  • @vitrecsoilmill5107
    @vitrecsoilmill5107 3 ปีที่แล้ว +33

    Utamu wa wali nazi uutafune na ndizi, king himself

  • @youngkingbaddmankiller3006
    @youngkingbaddmankiller3006 3 ปีที่แล้ว +2

    Barna ebu wapishe number 1 bana naona awana uwezo 😂😂😂😂🤧💙🥶

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 3 ปีที่แล้ว +33

    Mabikwa wa voookooo King Kiba Na Barnaba Classic
    Twaisubiria kwa hapo video yetu pendwaaa ya mwaka
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mbavutatumedia5534
    @mbavutatumedia5534 3 ปีที่แล้ว +41

    Harusi hoyee🔥🔥🔥Gonga like kama umekubali verse ya #KingKiba

  • @mamamuu7192
    @mamamuu7192 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah alivoingia kiba barnaba kaonekana Kama graund

  • @pendomwabuka8696
    @pendomwabuka8696 3 ปีที่แล้ว +57

    Wanyakyusa tujuane kwenyee huu wimbo,,barnba ft king kiba
    👑👑👑👍👍👍👍

  • @vailethywalter2842
    @vailethywalter2842 3 ปีที่แล้ว +34

    Mafundi mmekutana ,nyimbo tamu Sana love Alkiba voice❤️

  • @mayungantugwa3348
    @mayungantugwa3348 3 ปีที่แล้ว +90

    Mayunga kutoka Mtimbira malinyi Morogoro Tz, Kama nyimbo hii imekutach Twenzetu na like mungu mingi

    • @charleslulandalah9785
      @charleslulandalah9785 3 ปีที่แล้ว +2

      Nipo Morogoro wilaya ya kilombero tarafa ya mang'ula kata ya mwaya kijiji cha tazara

    • @pelinahmatandula4604
      @pelinahmatandula4604 3 ปีที่แล้ว +2

      Malinyi nyumbani kabisa igawa moja hiyo

    • @kamedia1066
      @kamedia1066 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/RfNJF4ZMveM/w-d-xo.html

    • @danfordmkwandule9528
      @danfordmkwandule9528 3 ปีที่แล้ว

      Dah Malinyi nyumban Mimi pia. Much love kwako kwakuwakilisha 👊👊👊

    • @finah791
      @finah791 3 ปีที่แล้ว

      Jirani yangu kabisa..from ifakara

  • @goddamwakimi5889
    @goddamwakimi5889 3 ปีที่แล้ว +12

    Duuh mpaka leoo on trending duuh, kweli king is the master

  • @frankmwinuka5941
    @frankmwinuka5941 3 ปีที่แล้ว +90

    Kama umeielewa ngoma hii asilimia na Kama shabiki wa kiba gonga like hapa na Kama unaamin kesho muda huu tutakua na views 1.ml

  • @youngjmstaarabu2559
    @youngjmstaarabu2559 3 ปีที่แล้ว +24

    Aah tumeruka vizingiti waambea hamtutishi.....♨♨🎶🎶🎵🎼🎧 mmmh cheketua aaaah ngoma kali sana kama wakali wenyewe. Yaani Kingkiba hajawahi nikera wala kunitega wala kuniangusha

  • @mzungukobe4416
    @mzungukobe4416 3 ปีที่แล้ว +17

    Utamu wa walinazi utafune na ndizi weweeeee nimeipendaniyo iyooo😍😍😍kiba we noma kaka

  • @youngpozze
    @youngpozze 2 ปีที่แล้ว +3

    BARNABA KAAMUA KUMSALITI KING KIBA 😔😔😔

  • @mustafasalehmwanamilongo217
    @mustafasalehmwanamilongo217 3 ปีที่แล้ว +21

    Niatari kingkiba njo mwisho mfalme hakuna mwengine kukakuwa mwengine ni feki

  • @iam_imwa
    @iam_imwa 3 ปีที่แล้ว +112

    WataNzania mwatuuuwaaa !!!🙉🙉😂🤣🤣🤣🤣 Mziki Kama harua nakwambia....Wapi Likes za King ..... Representing Kenya

  • @princessshazia914
    @princessshazia914 3 ปีที่แล้ว +26

    Achillia wimbo wa taifaa my favorite artist king en mopaooo

  • @mamamuu7192
    @mamamuu7192 3 ปีที่แล้ว +2

    Kiba anajua jamani kuliko mbwa yoyote tz

  • @madamehatibu9324
    @madamehatibu9324 3 ปีที่แล้ว +27

    Hapo anapomnong'oneza akisema "mwenyetamu yangu " duuuuh utadhani naanza mapenz upyaaaaa

  • @christinenjeri6146
    @christinenjeri6146 3 ปีที่แล้ว +90

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪uzuri kenya hatuna team,we're supporting good music

    • @hamidjuma8853
      @hamidjuma8853 3 ปีที่แล้ว

      saf sana

    • @abshiramiri9231
      @abshiramiri9231 3 ปีที่แล้ว

      Ndo yenyewe hio

    • @gabrielmpanda9709
      @gabrielmpanda9709 3 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni kweli kabisa
      Hata katika upigaji kura kwa wasanii wanaoshiriki ktk tuzo mbalimbali wa hapa Afrika mashariki ni wakenya ndo mnaongoza kwa kupiga kura
      Nyie hamana unafiki mkisema ni nyeusi basi nyeusi kweli na mkisema nyeupe basi ni kweli nyeupe
      Hongereni kwa kusapoti wasanii

    • @chocolatevivian830
      @chocolatevivian830 3 ปีที่แล้ว +1

      True darling 😍 😍 😍 😍

    • @duncanbrian4091
      @duncanbrian4091 3 ปีที่แล้ว

      Hahaha...true..we just love good music from Tz..but hapa this Two legends have killed it

  • @triniahvera6658
    @triniahvera6658 3 ปีที่แล้ว +476

    cheketua ya pili....mimi sijawai pata likes ata Tatu jamani nipeeni tano tu nivimbe...much love from🇰🇪🇰🇪

  • @jeulihb8532
    @jeulihb8532 3 ปีที่แล้ว +1

    masheh hii ndo haitoki namba 1 waachien na wenzenu ,perfect song

  • @salumkibiki7539
    @salumkibiki7539 3 ปีที่แล้ว +17

    Vipi Mashemeji zetu wakenya siwaoni Umu🇹🇿 🇰🇪

  • @Jainey_Dickson
    @Jainey_Dickson 3 ปีที่แล้ว +88

    King Kiba all the way😩🥺.... Tumeruka vizingiti wambea hamtutishi💥

  • @belovedruwako5181
    @belovedruwako5181 3 ปีที่แล้ว +45

    Jameni leo nipate likes hapa...king kibaa on another level...wap likes hapaaa🔥🔥

  • @rindaboy9731
    @rindaboy9731 2 ปีที่แล้ว +2

    mambo jaklne ukovizuri naytaji tufanyekazi nami nam msani wabongo naitwa rinda boy kamahutojari

  • @drabaainc9250
    @drabaainc9250 3 ปีที่แล้ว +112

    huyu ndio kiba achia makopa mengi💚💙💗💖💕❤

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 3 ปีที่แล้ว +75

    Wimbo hauna MATUSI,,, na UNATREND kama kawaida..... BIG UP King Kiba & Barnaba Boy...

  • @rashidmussa4574
    @rashidmussa4574 3 ปีที่แล้ว +48

    Wangap Wameusikiliz Zaidi Ya Mara Mbili Kama Mimi ☝️👆

  • @emmanuelkyando2125
    @emmanuelkyando2125 3 ปีที่แล้ว +8

    Waambie UGONILE NDAGHA NKASI GWANGU
    wanyakyusa woote like hapa

    • @Raymtumishi
      @Raymtumishi 2 หลายเดือนก่อน

      Ndo nn kwa kiswahili

  • @mohamedmussa3931
    @mohamedmussa3931 3 ปีที่แล้ว +123

    Good music
    Good voice
    Good artists
    Respectable music
    Like kama zote kwa goma hili wapenda mziki mzuri sio makelele

  • @iamdele2140
    @iamdele2140 3 ปีที่แล้ว +78

    MZIKI MZURI, NIMERUDIANA NA DEMU WANGU KISAA HII NGOMA HIGHTABLE SOUND 🙌🙌☄🚀💥

    • @samiramadenge953
      @samiramadenge953 3 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤🇹🇿🇴🇲

    • @irenemrosso8476
      @irenemrosso8476 3 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂🙌🙌🙌

    • @zillawakitaa7140
      @zillawakitaa7140 3 ปีที่แล้ว +2

      😂😂🙊

    • @salimomary6279
      @salimomary6279 3 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @tumainielia5750
      @tumainielia5750 3 ปีที่แล้ว +1

      Hahahahahahah🔥🔥🔥🔥🔥

  • @wazirimbitwe5487
    @wazirimbitwe5487 3 ปีที่แล้ว +87

    Kama kuna mwingine kasikia maneno ya kinyakyusa alivyonogesha wimbo waambie ughonile ndagha nkasi gwangu , naombeni likes za kutosha

  • @faithachieng6453
    @faithachieng6453 3 ปีที่แล้ว +1

    Juzi nilisikiza na my dad before niweke akaniambia usiweke izo nyimbo zenu za uchafu nikamwambia hii ni ya adabu akaniuliza msani ni nani kumention kiba alisema uyu kijana ako na adabu sana big up king ady wazee wanakusikiza👊🏼🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @mangweshidismas5403
    @mangweshidismas5403 3 ปีที่แล้ว +31

    Mziki kama huu ulitukosa siku nying sana gonga like zavkutosha CHEKETUA🔥🔥🔥

  • @isaackela7879
    @isaackela7879 3 ปีที่แล้ว +27

    Don't have to say waaaah...Alikiba ft Barnaba... This song make me feel like I am in an other planet...

  • @hancedatch974
    @hancedatch974 3 ปีที่แล้ว +16

    Aisee sijaskia maneno ya vijiweni sijui ifinyie kwa ndani sijui chomoa kwanza ..bonge la dude

  • @yusufabdi8568
    @yusufabdi8568 หลายเดือนก่อน +1

    Siku ya harusi YANGU nilitokea na hii nyimbo

  • @fredyaddy5024
    @fredyaddy5024 3 ปีที่แล้ว +24

    Wimbo mzuri hongereni kaka zangu Ally kiba na barnaba

  • @ginimbifamily3995
    @ginimbifamily3995 3 ปีที่แล้ว +55

    Kama umeikubal hii video bas nipe like na uku tuna Views ili tupate 1M kwa masaa 12

  • @fridaynight5504
    @fridaynight5504 3 ปีที่แล้ว +121

    Guys we need a million views let's goooooo🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️ let's fly with this song team Kiba 💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @kamedia1066
      @kamedia1066 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/RfNJF4ZMveM/w-d-xo.html

    • @asinatjuma8088
      @asinatjuma8088 3 ปีที่แล้ว

      Ni moto

  • @jacklinesanyangwa15
    @jacklinesanyangwa15 3 ปีที่แล้ว +1

    Kibba cjui kaufanyaje moyo wangu yan kaniteka kaniteketeza kabisa🤗

  • @spaceman7168
    @spaceman7168 3 ปีที่แล้ว +31

    Yes, nyimbo bora kabisa itakayo ishi muda mrefu, waweza isikiliza pamoja na wazazi, watoto ni ya heshima sana.
    Huitaji kuimba matusi ili upendwe, muda utafika jamii itaelewa nini maana ya music, waimba matusi watapotea wenyewe.

    • @jonesiha1945
      @jonesiha1945 3 ปีที่แล้ว +4

      Shikamoo kwa maelezo mazuri sana na yenye yatadumu daima

    • @gastongowi672
      @gastongowi672 3 ปีที่แล้ว +3

      Hakika umeongea kiutu uzima mungu akubariki

    • @azizali5442
      @azizali5442 3 ปีที่แล้ว +2

      Well said Brother 👏👏👏

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 3 ปีที่แล้ว +17

    Mumeua watu wangu wa nguvu nawapenda mpaka naumwa 🔥❤

  • @emmanuelreuben8506
    @emmanuelreuben8506 3 ปีที่แล้ว +17

    when mopao meets King what do u expect..!?WHAT A SONG

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 3 ปีที่แล้ว +1

    B boy ujawai kosea mafundi mmekutana king Moto b boy Moto ngoma kubwa yenye heshima yake

  • @alfanbundo4218
    @alfanbundo4218 3 ปีที่แล้ว +99

    Ukisikia Mziki mzuri, this is what we are talking about. Bravoooo

  • @misscassey9103
    @misscassey9103 3 ปีที่แล้ว +39

    Wimbo huu naingia nao kwa harusi yangu itafanyika mwezi huu tarehe 20 if yu wish to attend asap♥️♥️♥️

  • @malataogtz2080
    @malataogtz2080 3 ปีที่แล้ว +25

    Ntazungumza nae bibi na babu wataridhia,,,,,,,,,,siku ya ndoa shela wigi mie kanzu na jambiaaaaa...

  • @ellieellie1469
    @ellieellie1469 2 ปีที่แล้ว +1

    mtu sends me here...love is good baby❤. you're just talented Barnaba🔥🔥🔥

  • @bravotzee218
    @bravotzee218 3 ปีที่แล้ว +23

    Tumeshinda vzngti wambea hatutishiii🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥

  • @mwarabualphonce1192
    @mwarabualphonce1192 3 ปีที่แล้ว +317

    King kibaa🤴🏻💪🇰🇪 leo na mimi naomba likes 100

    • @hamidjuma8853
      @hamidjuma8853 3 ปีที่แล้ว +4

      umepata

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 3 ปีที่แล้ว +2

      th-cam.com/video/RfNJF4ZMveM/w-d-xo.html

    • @kamedia1066
      @kamedia1066 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/RfNJF4ZMveM/w-d-xo.html

    • @jaycalliam100
      @jaycalliam100 3 ปีที่แล้ว +2

      Shemeji wetu

  • @aishaibrahim2969
    @aishaibrahim2969 3 ปีที่แล้ว +29

    waambie UGHONILE.NDAGHA NKASI GWANGU✍️✍️waambie MMEAMKAJE.AHSANTE MKE WANGU).Ndagha Ali K kuwakilisha Kinyakyusa💪💪💪

  • @shantelle9127
    @shantelle9127 6 หลายเดือนก่อน +1

    My favourite song😢❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.....i like it walaiii

  • @prizzle_photodesign2344
    @prizzle_photodesign2344 3 ปีที่แล้ว +18

    Jamani eeeeh,😍😍😍😍🎈🎈🎈, nacheketuka kutoka Pande za Taiwani 🇹🇼,
    Two legends you made something amazing, kwa kweli mme ua, washabiki atuna budi, kuwapa hongera, asanteee Mfalme👑 vs Barnaba 💪💪💪💪

  • @s_mwafrika
    @s_mwafrika 3 ปีที่แล้ว +63

    Wapi Likes za Mfalme wa bongo fleva...#KINGKIBA

  • @oscarphilip2428
    @oscarphilip2428 3 ปีที่แล้ว +109

    .... Waambie ughonile ndagha nkasi gwangu ...... (Nyakyusa language)
    .
    .
    Kama umesikia huo mstari naomba likes zangu

  • @rehemasaid796
    @rehemasaid796 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ndo nagundua leo wanyanyakyusa tumeimbiwa "Roho zilowapinda wambie UGONILEEE NDAGA NKASI GWANGU boiboiboiiii

  • @dogojumaa5983
    @dogojumaa5983 3 ปีที่แล้ว +70

    Nakubali sana Love you TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @sophiamfikwa7340
      @sophiamfikwa7340 3 ปีที่แล้ว +1

      🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥰🥰

    • @muniradaudi440
      @muniradaudi440 3 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kuipendaa Tanzania

    • @hamidjuma8853
      @hamidjuma8853 3 ปีที่แล้ว

      nomaaa

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/RfNJF4ZMveM/w-d-xo.html