marioo unaongea point sn kbs mdog wangu Una adabu kweli usinge jibu vizuri kuhusu diamond platnumz basi umekuwa Una kinukisha mdogo wangu kweli wewe kiboko jua brother ni brother kbs
Tatizo la wasanii wengi hawapendi kusema ukweli, kwani kama ukikubali uliwahi kuomba kusiniwa inakupunguzia nn kama ni kweli? Jibu lako mala la la ni wazi uliomba,
Marioo is a great artist but he's not a great vocalist It's time watanzania tujifunze vocal analysis If you trace back old music I mean it's easy to get Great vocalists Diamond PLATNUMZ, Belle 9, Rose Muhando, Alikiba, Harmonize, ruby, nandy, Zuchu, maua sama, Vanessa, & Christina shusho are great vocalists But most of them are not trained they're naturally gifted vocalists even though they're inconsistent live VOCALLY
Guys you look confused when you ask question, you ask too many personal question rather than concerning on work or jobs or current issues which is what the people behind those camera wants to hear. Guys there is something to Learn for sure
Kitu nilichogundua marioo alikuwa domozege hamuoni hata kwa paula anavojifichaficha uso mwanamke ndo anamihemko. Afu kapula kanamfundisha uchokolaa marioo
Shida inakuja pale ambapo hatuamin kua Diamond 💎 ni role model wawengi hasa kwenye mageuzi ya tasnia ya mziki wa bongo kutoka kumilikiwa mpaka kujimiliki. Mario mwaya wasijekukujaza maneno mwishowe hao walokutangulia uwakose kama ngazi ya kupandia utafika mbali.
one day mtanihoji na mimi very soon , nitakua bongo la star duniani
I love your work Marioo. You're talented...mad talent right there.
marioo unaongea point sn kbs mdog wangu Una adabu kweli usinge jibu vizuri kuhusu diamond platnumz basi umekuwa Una kinukisha mdogo wangu kweli wewe kiboko jua brother ni brother kbs
Kwa Diamond nimekupenda sana una akili sana utafika mbali hakuna kitu kizuri kama kumzungumzia mtu mazuri hata kama akufanikiwa
Nimepanda the way Mario ni mtu wakushukuru kila kitu ,nashukuru kwake ni neno muhimu sana🙏🙏🙏
Wow,best interview ever.Great questions na majibu pia mazuri yenye utulivu sana.Lovely guy,lovely music.
Safi sana.!
Asante sana Mimi, thanks for watching
Namkubari sana marioo cause ni boy mdogo lkn akili mingi I love you marioo 🥰🥰🥰
Toto bad ngomayangu pendwa zaid ni siikumbuki jina ila kunakipande kinachosema uyumtoto anautamu kama asali maaama👍👍👍
Daah yaani kwa majibu ya Marioo inanipa picha kuwa Diamond Platnumz ndo godfather wa Bongo fleva, wasanii wanaogopa kumkosea Simba😂
Ndy snajua tena
Kasoro egoistic harmo😂
Acha comment za kisenge
@@forcienelokoiluku we nae umetoka wapi? mbona unatuchanganyia habari!! unaweza ku comment kwa lugha nzuri tu siyo lazima utukane
Respect n kitu kikubwa. Kwenye hii game
Marioo is very humble I like it
Millard you never disappoint in your interviews are always incredible.. Mario a humble guy down to earth with a great talent 🔥 🔥
asante sana Muller
Ni zamu ya daladala za uber au bolt th-cam.com/video/2VDqMFeLGXw/w-d-xo.html
For sure he is
Big up more marioo zidi kupambana coz wewe umekuwa mfano kwetu..
Tatizo la wasanii wengi hawapendi kusema ukweli, kwani kama ukikubali uliwahi kuomba kusiniwa inakupunguzia nn kama ni kweli? Jibu lako mala la la ni wazi uliomba,
Well said marioo kwa Mond na ndo kujishusha usishindane na mtu aliekuzidi ni kibri
Unani Inspire Sana Brother Millard✊🏼
Great interview, well articulated and smart to know there’s no need to burn bridges.
💯💥✌️
Interview zenu classic sana. Hongereni 👏👏
a good interview with a Legend Journalist Millard and best vocalists Mario
Thanks for watching Ndugu yangu Holland
Marioo is a great artist but he's not a great vocalist
It's time watanzania tujifunze vocal analysis
If you trace back old music I mean it's easy to get Great vocalists
Diamond PLATNUMZ, Belle 9, Rose Muhando, Alikiba, Harmonize, ruby, nandy, Zuchu, maua sama, Vanessa, & Christina shusho are great vocalists
But most of them are not trained they're naturally gifted vocalists even though they're inconsistent live VOCALLY
Nakupenda bure marioo kwanza vile umependa paula👌❤🇰🇪
Unyama sana Marioo. Diamond platnumz ni kakaenu.❤❤❤
Millard we fundi kaka from Kenya, Watamu❤️❤️❤️🎉
Uyu mwanamke na nusu I see nimeshindwa kuvumilia nimetoa machozi mungu aendelee kukupa moyo wa upendo kwa mwanaume wako dada 🙏
MARIOO ki ukweri ume ongeya vizuri ki ukweri unabahat
Unyama sana bad so kinyonge
❤ super. Mungu ni mkubwa kabisa
Brother Millard Ayo naomba unisaidie nambar ya Marioo Ninashida nae naomba sana kaka usipotezee me sochoko nikosawa nahilii support brother
Kijana mnyenyekevu sana. Yuko poa sana. Atafika mbali sana.
Napenda sana interview za milardy Ayo uko vizuri sana kwenye kumuuliza mtu maswali
Asante sana Pendo, asante kwa kutazama pia
Millard ... unyamaaa mwingii ✌️📌📌
Hatariii yaani Marioo shy yake na vingii anaongea najiona mimii.... Big up media milad.. big up sanii kubwa ✊🏼🔥🔥🔥
Miladi ayo dogo yuko pow ila akaze atafute colabo na waina geria
He so cute😭🥰❤️
Millard Ayo na timu yake ni mabingwa interview. Hongereni sana, munauliza kwa umakini na akili nyingi. Good.
Marioo 🔥❤
Interview safiii unasikiliza mwanzo ad mwisho🥰😍
Nipo Kenya ndugu yangu ipo siku tutala kwenye sinia moja
Frida from 🇸🇦with love....
Kuhusu Diamond dkk ya 26
Ubarikiwe 😂😂😂😂😂
Gracias mi amigo 🙏😂
Nigga 👊
Ni zamu ya daladala za uber au bolt th-cam.com/video/2VDqMFeLGXw/w-d-xo.html
Umejibu iyo swali vizuri sana I respect that
One of the best interview 🎉
Came for the greatest singer of all time 🦁👑
Btw Marioo is a shy introvert💀 😂
Mependa kila kitu nwanzo wa show mpaka mwisho wa show milad ayo big up
he is tryin to eat bubblish to boost his confidence 😅 something most introverts do , especially me 😢
@@charliestyles5535 me too LOL 😂
I'd die surrounded by people who constantly look at me in an interview 🤣
Sa fait pllaissir
Sa fait pllaissir
For the first one nime comment but for sure hujawahi kuniangusha Burundi yanahitaji uwepo Wako angalau hata Kwa sekunde moja
Marioo🥺🥺🥺🥰😍
Marioo ninoma❤❤❤❤
Safi Sana broo millad
Hapo kwa Diamond Umetisha🔥🔥🔥
Mko vzr San Team Millard kwa kaz mnayofanya,,pil ze way mnavyo hoji wagen mko noma san
Frida ni mrembo sana,na sauti yake Sasa ndo ❤️🔥🔥🔥
Guys you look confused when you ask question, you ask too many personal question rather than concerning on work or jobs or current issues which is what the people behind those camera wants to hear. Guys there is something to Learn for sure
Aya sawa🙌🙌🙌
Nakupenda san mariooo🌹💞
ur Album must be sold to the pharmacy it cure stress Omary Ally Mwanga
Smile yake MashaAllah ❤
Interview Nzuri Sana
asante sana kwa kutazama Ndugu Hamadi
Incredible interview..!!! Big up bro millard una fany interview makin sanaaa
Nice interview,,,,Millardy wewe ni zaid ya journalist offcourse you know 👊👊
Millard to the world
Toto badi to the mars😄
frida na vidox nyie mawinguni piah✍️🇹🇿great job
Safi sana Marioo,unajibu fresh sana Brother.
Kitu nilichogundua marioo alikuwa domozege hamuoni hata kwa paula anavojifichaficha uso mwanamke ndo anamihemko. Afu kapula kanamfundisha uchokolaa marioo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe Paula chokora xubr kwa p funk
@millardyayoTZA
Napenda sana kazi yako MUNGU akubariki
Marioooo to the world 🌎🌎 Nakukubali sana brother
Me kwa kwely napenda kumskiliza millard akiongea tu bac🥰
Daaaaa fridaaaa ni mnomaaaa
Respect bro 👌 nice sana marioo😍😍😍😍😍😍
I love you marioo❤
Wewe minyama ❤️❤️❤️❤️❤️🔥
@millardayo
Una interview nzuri sana
Basi na mbosso plz
Namkubali Sanaa marioo❤
Funguka tu Mario kwanii kuna ubaya ukisainiwa mbna mond ana tatizo na ww
Unyama. Mwingi sana
Millard Ayo upo vizuri bro
Nakupenda Marioo♥️♥️♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪
Bonge la interview ever dogo nimempenda part two ipo?
Uko humble tu I like that ❤
marioo the baddest 🔥🔥🔥
Tumeipenda Hiyi From 🇧🇮
Kweli hakuna kama ww🎉🎉🎉
Hizo milioni sabini ni 1500 ya kenya😂😂😂 but I love you marioo your my role model 🥰♥️♥️
CO KWELI LABDA LAKI NA NUSU YA KENYA HUJUI THAMANI YA PESA WEW KASOME EXCHANGE RATE🤣🤣😂😁
@@kelvinwilfred5693 😂😂😂😂😂😂 isiwe issue kubwa
Marioo's so CooL
Dogo hapo kwenye diamond umejibu vzur sn👊
Hapo kwenye hakuna mwandish mzul kama wewe bado ninamashaka sio kwl halafu unajsifia had unahalibu utam bhna kyaa
Show lini kenya specially mombasa
Paula si uko nae
🔥🔥 bonge moja la interview
asante sana Ndugu yangu Shemweta
Kkkk dogo anaongeea fresh sana
Namkubali mno na ushahidi wa kutongozwa ninao nikicontrol page lenye jina la marioo kazi kweli demu kumwaga maneno 😉
Great interviews my bro
shukrani sana Ndugu yangu Gorilla
Ni zamu ya daladala za uber au bolt th-cam.com/video/2VDqMFeLGXw/w-d-xo.html
Kunavitu FRIDA anakua anaumia sana akiona mafanikio ya wasanii manakevhata yeye msanii pia
Inspiration
ebanaheee nkukubali sana marrio😅
Umeongea points
GOOD✌️✌️✌️
Marioo ni handsome kuliko raivanny lol❤❤❤😂😂😂
Khaaa
Duh
Muangalie tena
Kweli kabisa
Kweli lol 😂😂
Nakubalii sanaa millard ayo
Mule Juma Jux boss
Dakhhhhh!!!!! Helen Helen mwanaume
🎉
Vido anauliza with a follow up questions. Nice!
Good job mariooo
Shida inakuja pale ambapo hatuamin kua Diamond 💎 ni role model wawengi hasa kwenye mageuzi ya tasnia ya mziki wa bongo kutoka kumilikiwa mpaka kujimiliki. Mario mwaya wasijekukujaza maneno mwishowe hao walokutangulia uwakose kama ngazi ya kupandia utafika mbali.
Uswali kwenye mda nimegundua swala ya subuhi.upat xhekh
Wow Sauti yako Tamu sana
They just asked me were my diamonds real i said proudly “YES OFCOZ “
This nigga real Made it man