IBADA MAALUM KIBALI KISICHOZUILIKA : KILA MADHABAHU ZILIZOBEBA NYOTA YA TUMBO LANGU PIGWA KWA MOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024
  • BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada ya kipekee ya maombi na maombezi juu ya KIBALI KISICHOZUILIKA. Ibada hii ni maalum kabisa kwa ajili ya kutatua changamoto zote na kupata upenyo katika mahusiano na uchumi na yenye maelekezo ya kupita kwenye madhabahu inayokujia leo Jumapili ya tarehe 18 Agosti 2024 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
    Ibada hii ina kichwa cha somo "KILA MADHABAHU ZILIZOBEBA NYOTA YA TUMBO LANGU NISIKUBALIKE PIGWA KWA MOTO".
    Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.

ความคิดเห็น •