😢😢😢 imenikumbusha kijana aliyefariki December last year, alikua HIV +ve Imani hizi hizi anasema anatumia vifaa vya kiroho eti akaacha dawa mpaka akafariki maskini 😢😭
Sikiliza vizuri anachofundisha Mchungaji, Yesu anao uweza kabisa wakutuponya kila kitu lkn pia kutumia mikono ya wauguzi & dawa ambazo ni kazi ya mikono ya mwadamu kwa maarifa Mungu awapayo na pia twatumia mimea aliyoiweka Mungu mwenyewe tukapona! Haya yote ni maarifa tupaswayo kuwa nayo ili tusiangamie. Mungu atusaidie & kutupa hekima. Ubarikiwe mpendwa!
Kamwe mungu haezi kuatumia ma doctar,,Kama ambavyo anaweza gutumia ma wakili wake.watumish wake ni zaidi
😢😢😢 imenikumbusha kijana aliyefariki December last year, alikua HIV +ve Imani hizi hizi anasema anatumia vifaa vya kiroho eti akaacha dawa mpaka akafariki maskini 😢😭
Yaani jamani acheni uko vitani huna hutumii kile ambacho unaeza mshawishi Mungu ukapona but unaacha kwa ujinga
Hapo na Mimi Leo sijaelewa,,,harafu wapo wanao jiita.wapo walio pewa neema ya guponya .Musa aliwah guponya sumu ya nyoka
Yeah, we perish because of lack of knowledge 🥹
Kabisa, kukosa maarifa au kupuuza Neno au kulitumia vibaya ni kuangamia, mf walevi wanaotumia tukio la harusi ya Kana kujitetea 😠
Wachungaji tuwasameh Mana na wao wanamwil
Shida mahubili mnayo tubilia mnatubilia kua yesu anaponya kila kitu kosa liko wapia hapo
Sikiliza vizuri anachofundisha Mchungaji, Yesu anao uweza kabisa wakutuponya kila kitu lkn pia kutumia mikono ya wauguzi & dawa ambazo ni kazi ya mikono ya mwadamu kwa maarifa Mungu awapayo na pia twatumia mimea aliyoiweka Mungu mwenyewe tukapona! Haya yote ni maarifa tupaswayo kuwa nayo ili tusiangamie. Mungu atusaidie & kutupa hekima. Ubarikiwe mpendwa!
Ni kweli Yesu anaponya tena kwa damu yake ya thamani. Ukiamini hata dawa hutazitumia ila kwa imani na Roho Mtakatifu akuongoze kuhusu kutokutumia dawa