MNAFIKI ATAKAPO KUJIA NA SURA HII JIHADHARI NAE! Utasikia eti wanajiita 'Narcissist''! Just RUN away

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ต.ค. 2024
  • Usijilaumu sana kwa kuvurugwa na mtu mzima baligh 3akil kabisa, hao wana makusudi na wanajua nini wanafanya. Mtu anaeacha yake na kukusoma wewe ili akuharibie maisha yako, ndo iwe furaha yake, usijiumize kujiuliza ulikosea wapi? Jifunze songa mbele na mhukumie Mungu, mana dua ya anaedhulumiwa hairudi.
    MZIGO MPYA UMEFIKA DUKANI ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥
    Madera pambe ya cotton, hayachuji wala hayana joto. Mizigo tunatuma kwa gharama ya mteja.
    Madera ya mikono mifupi yapo kwa
    sizes zote: S, M, L, XL
    Bei: 20,000 Tsh
    Madera tunatuma kote kwa gharama ya mteja.
    Vyombo vya kukodi cya shughulini viko kama kawaida Karibuni wote. Kwa mahitaji ya shughuli zako zote karibu tukuhudumie, vyombo aina zote vipo wewe tu. Madera yapo
    🔊Duka namba 9,
    📍Chini ya ZSSF Kariakoo Hall
    📞 065 853 4225
    📞 +255 778 098 999

    @sabzaccessoriez @sabzaccessoriez

ความคิดเห็น • 25

  • @fbr5113
    @fbr5113 7 หลายเดือนก่อน +4

    HUYU MAMA ANAONEKANA KAUMIZWA SANA NA WATU ALIOKULANAO KWA WEMA HATA KAMA NAYEYE ANACHANGAMOTO ZAKE LAKINI HANA ROHO MBAYA BALI WEMA MWINGI UMEMVURUGIA VINGI ILA NAONA NI MJANJA MCHAKARIKAJI NA NI NILIZRI HASA HIVYO HAWEZI SHUKA NA WALIOMFANYIA UNAFKI NDIO WATAUMBUKA INSHAALLAH

    • @MAPETEE
      @MAPETEE 7 หลายเดือนก่อน

      Nyamaza wew humjui huyo Hana lolote huyoo

  • @Azizaaziza1994Aziza
    @Azizaaziza1994Aziza 7 หลายเดือนก่อน +1

    Haa huyu mundu kampa NEMA mibili ITAKUWA ndizi zinazonfanya ahusudiwe kwa nema hizo ana akili nyingi sana pia ana umpo masllah

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Sabra kila ujumbe ni somo 🤝

  • @azizaali8506
    @azizaali8506 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana hbbtyyyyyy❤

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna mtu ambaye hana unafiki duniani, sema tu viwango vnazidiana, we mwenyew unayeongea ni mnafik pia, sisi hatukujui ila watu wa karibu ndo wanakujua

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna watu ambao amewarushia dongo hilo , kama huusiki angalia video jikalie kimyaaa .
      Wahusika wameelewa .

  • @tiijuma795
    @tiijuma795 7 หลายเดือนก่อน

    Na stres pia unazo dada. Sio kujituma mitandaon ivo. Mshukur Allah mazal hulali na njaa bassiii.

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 7 หลายเดือนก่อน

    Hakika madam sabraa👌👌hujawah sema uongo

    • @laylatabdallah2796
      @laylatabdallah2796 7 หลายเดือนก่อน

      Aliekuwa hajawahi kusema uongo ni mtume wa allah

  • @feisalboy6702
    @feisalboy6702 7 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke yyt mwenye heshima zake hawezi kujianika mitandaoni km huyu

    • @rukiaabdul7191
      @rukiaabdul7191 7 หลายเดือนก่อน

      Wallaahi..elimu anayo ila hana hekma.Hana haya sijui akili yake imeruka..Allaah amsahalishie sababu anaongea sana.

  • @feisalboy6702
    @feisalboy6702 7 หลายเดือนก่อน

    Toa stress mama kufukuzwa kazi c masihara

  • @aminakasim1198
    @aminakasim1198 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @azizaali8506
    @azizaali8506 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yako pliiiiiiiiz!

  • @azizaali8506
    @azizaali8506 7 หลายเดือนก่อน

    Hbbty deraaaaaa wapi nije nitazipataaaaaaa

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 7 หลายเดือนก่อน

    wewe piga tarabu tu usiingize aya kwa kuchamba watu mtihani shukuriya mungu riziki yako imekwisha na kama bado itabaki usiaibike

  • @fbr5113
    @fbr5113 7 หลายเดือนก่อน +1

    ILA WE MAMA UN VICHEKESHO JAMANI UNGEFANYA NA COMEDY🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @rukiaabdul7191
      @rukiaabdul7191 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @HawaAhmed-yj8wo
    @HawaAhmed-yj8wo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa utajuaje? ilhali ndo hivyo kajivika wema?

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kujua ni badae kweli kabisa

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 7 หลายเดือนก่อน

      Mwenyezi Mungu akiamua anakujulisha katika Hali ambao hata haukujiandaa nayo Tena inakuwa udhariri kwake

    • @Sasakhamis
      @Sasakhamis 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@hadijamandanje6189naam sahihi kabisa

    • @HawaAhmed-yj8wo
      @HawaAhmed-yj8wo 7 หลายเดือนก่อน

      @@hadijamandanje6189 ni sawa kama utajaaliwa hivyo