Hujawahi kuniangusha maana unaleta na ushahidi kabisa. Ubarikiwe na Bwana Yesu. Amen. Afadhali kuwa wawili kuliko kuwa mmoja!! Mhubiri4:9. Kweli aise!! Yesu akuinue!! Haleluyaaaaa!!
Hongera na Asante Justin Shed kwa kazi safi unayozidi kuifanya. Nakuombea Mungu akubariki na akufanikishe katika ndoa yako. Kutoka Kenya🇰🇪nakutakia kila la Kheri kaka
Endeleya kutuleteya mambo ya Biblia sana kweli tuna shukuru. Mungu aimize wisdom yako. Mke wako atakuwa na bwana sahihi wa maishayake kweli. Apana hawa wanaume wengine kazizao kulewa, kuvuta, na kutenda matendo ya ndoa na wanawake wa wenyewe. Mungu akubariki kweli.
Amen,kwamafundisho Ndio maana pastor Ezekiel huwa anafudisha jinsi ya kutoa sadaka za kujengwa kimaisha na kitoho kutumia namba kwa kiwango cha sadaka mtu atakayo toa
Wueh...asanti kaka umenijrnga kiroho kwa ufafanuzi huu..mara ya kwanza kabisa nimekutana na channel hii kwa simu yangu.. Kwetu Nairobi kenya..nitafuatilia nijifunze zsidi.
Kuhubiri neno la Mungu au kufundisha Watu neno la Mungu;si lazima kusimama kwenye mimbara/madhabahu kaniasani au msikitini. Mungu yupo popote na anasikia.
Soma kutoka20:8-11 hiyo ni amri ya 4 katika kumi,zingatia tofauti ya amri na ombi amri lazima ufuate na ombi ni chaguo hivyo ukitaka kuona mbinguni lazima utii amri
Hujawahi kuniangusha maana unaleta na ushahidi kabisa. Ubarikiwe na Bwana Yesu. Amen. Afadhali kuwa wawili kuliko kuwa mmoja!! Mhubiri4:9. Kweli aise!! Yesu akuinue!! Haleluyaaaaa!!
Sasa twende kazi pia nakutakia ndoa njema mungu akutangulie
Mimi naitwa Justin shedi sasa twende kazi ubarikiwe sana justin
Shedi Pia nawatazamaji wote mubarikiwe sana!
Alooooo....ni halali tuchangie ndoa yako 🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏💜💜
Upo vizuri nimejifunza sana ubarikiwe sana na Bwana Yesu Kristo aliye
Hongera na Asante Justin Shed kwa kazi safi unayozidi kuifanya. Nakuombea Mungu akubariki na akufanikishe katika ndoa yako. Kutoka Kenya🇰🇪nakutakia kila la Kheri kaka
Praise God am blessed and all your teachings are true i just taught this leson last night
Asanteni ! Mungu akubariki kabisa.
Kila got litapigwa ktk msalab kuhushudia utukuf wa Mungu kwa kuhuelez... Ubalikiw kwa atua zako mtumish ktk Kristo
Endeleya kutuleteya mambo ya Biblia sana kweli tuna shukuru. Mungu aimize wisdom yako. Mke wako atakuwa na bwana sahihi wa maishayake kweli. Apana hawa wanaume wengine kazizao kulewa, kuvuta, na kutenda matendo ya ndoa na wanawake wa wenyewe. Mungu akubariki kweli.
Duh.... asante sana niehifunza kitu kikubwa sanaaaaa yani hapa mi nacheki sasa Naishi amba gani ili nijue najipangaje
Upo sawa kabisa Ahsante
Hongera sana, sikuwa najuli na Sasa nimeelewa vyema, Asante
Ww mbna ni mtumish pure,mteule wa Mungu kbsa,na nikikufatliaga nathbitisha hlo, never leave GOD far ata kma utafany kz zako brow✊
Hongera kwa harusi kak mungu akulinde
Barikiwa Sana ndugu Kwa kutufulia Siri tusiyo ijua Amen 🙏
Asante sana.ubarikiwi
Ubarikiwe
Amen,kwamafundisho Ndio maana pastor Ezekiel huwa anafudisha jinsi ya kutoa sadaka za kujengwa kimaisha na kitoho kutumia namba kwa kiwango cha sadaka mtu atakayo toa
Barikiwa sana mtumishi wa mungu leo nimejua mambo nisiyo yajua mungu apewe sifa
MUNGU ni mwema sanaaa Mr Justin ,umekuwa BARAKA kwangu,
Nakubali sana uchambuzi wako mzee ❤🇨🇩🥰
Hata Yesu mwenyewe alishi miaka 33
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Mungu akufanikishe
Mungu akupe maarifa na ufunuo maan kuna vitu unaviongea vina point mnooo
I have learned alot thanks tuu sana
Munguakufunuliyemengi
Asante sana kaka kwa ueleweshaji
Uko sawa Bro coz najua kuhusu hizo namba👍👍🔥
Kazi nzuri sanaa, for such reference ni vyema kusema umekua wa kimataifa
Thank you God bless
BARIKIWA SANA MTUMISH 🙏🙏🙏
Thanks God bless you
Nakuongezea kwenye Namba 5, Kuna huduma 5 ambazo Mungu mwenyewe anasema nikaita ni Utume, unabii, unjilisti, uchungaji na Ualimu.
Nakubaliana nawe kwamba maelezo hayo umetoa kuhusu hizo nambari ni ukweli kabisa
Big up 👆👊👊👆👆👊
4:20 Huyo si mwokozi wetu. Mweupe sana huyo ni mpinga Kristo.
Mungu akuzidishie kaka
Wueh...asanti kaka umenijrnga kiroho kwa ufafanuzi huu..mara ya kwanza kabisa nimekutana na channel hii kwa simu yangu..
Kwetu Nairobi kenya..nitafuatilia nijifunze zsidi.
This is good one
Sasa twende kazi Mr Justin 💪
Ubarikiwe sana
Iko vizuri Kaka UBALIKIWE
Shukran sana🙏🏽🙏🏽
Barikiwa sana nimekuelewa bro
Ubarikiwe brother
Asante ndugu
I like this video keep it up
More bless
Mungu ana special formula kwa jambo lolote analofanya, hivyo ni vizuri kuchunguza MAANDIKO.
hongera sana
Nakubali Justin shedy
Shout out to you bro....U're a genius 👏
Nimekuelewa ubarikiwe
Ujumbe mzuri sana kaka
Wewe ni balaa, wewe ni shida 🙌🙌
Uko pw sana bro.
DAAH NAKUKUBALI SANA MWANANGU CARD ZINAPATIKANA WAPI ZA HARUSI NDUGU
Thanks my brother in Christ 🙏🙏
Hongera sana kaka
Unajitahidi sana kaka
Asante sana
Congratulations bro kwaharusi
Gematria
Kaka unajitahidi sana!
Thanks bro
Kaka Justin naomba history ya Taifa la MONGOLIA tafadhari ✍️
Kabisa maana hili Taifa limetulia Sana
Nzur
Uko bomba sana ubarikiwe😅
Nmekukubali nchunguzi mno
Jaman samahn namna 24je
Hapo sawa.
Kweli kabisa Namba 7 ni ukombozi maana HATA Kuta za Jerico Wana wa Israel walizunguka KWA siku 7 ukuta ukaanguka .BARIKIWA SANA
Amen kabisa naona wewe ni mchunguzi mzuri Wa namba kbs
Kuhubiri neno la Mungu au kufundisha Watu neno la Mungu;si lazima kusimama kwenye mimbara/madhabahu kaniasani au msikitini. Mungu yupo popote na anasikia.
Following
Be blessed
My brother umenifundisha number ambazo nilikua ninafikilia tu ni zakujifundisha kwa shule now I understand the meaning
ujinga wa mwisho الله anatosha☝
Yesu pekee anatosha
Kweli namba zina maana sana
Safi
Upo vzr bro
Exceedingly Expectations 🔥💥💥💥💥💯
Courage kk
Bwana Yesu Asifiwe sana
Nimekupata mtumishi
Amen ❤❤❤
Perfect
Asantte
Uko sawa
Asante. Ingawa Mungu aliumba watu wawili,je ma andiko ya sema kama Eva alitoka ubavuni ya mume ? Hu yu alikua na bibi wa2?
Upo sahihi kabisa Kiongozi
Hv n kweli aw
Naomba nikuongezee maarifa, kwenye Namba 12, Yakobo alikuwa na watoto 13, lakini wakiume 12, ndiyo yakatoka makabila 12 ya Israel.
Mmmh ww kwr mbona kwenye makabila 12 kuna watoto 3 ea yusuph
Safi🔥🔥🔥🔥
sioni sababu ya kukupinga, ila haya yote uliyajuwaje?
Uweliikabisa👏👏👏👏👏
Kwaiyo wasabato wapo sahihi kuabudu j mos🤔
Mmmmmmmmh
mungu aseme uongo hata wakipinga ukweli utabak palepale
Ndio Sabato ni Jumamosi
Katoliki ilibadilisha na kujisogeza Jumapili
Soma kutoka20:8-11 hiyo ni amri ya 4 katika kumi,zingatia tofauti ya amri na ombi amri lazima ufuate na ombi ni chaguo hivyo ukitaka kuona mbinguni lazima utii amri
Ndio ukwel
Bro tuletee na history ya kikundi cha Hillsong United
Yessu kufa siku 3 Dunia ilikua nanani?
8,9,10, na 12
Ufunua mzuri