ROHO YA UMASKINI KWA WATAKATIFU - PASTOR SUNBELLA KYANDO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @SIRIZAROHONI
    @SIRIZAROHONI 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema

  • @El9a
    @El9a 3 ปีที่แล้ว +3

    Tafadhali ninaomba muendelezo wa sehemu ya pili ya somo hili
    Ni somo la maana sana kwa watumishi na watakatifu wote
    Mungu Akubariki Minister Sunbella
    May the Grace of the Lord increase and multiply towards All ministers under Reality of Christ Ministry.
    I bless You In the Name of Jesus Christ. AMEN

  • @patrishajustusy1449
    @patrishajustusy1449 3 ปีที่แล้ว +1

    Nkweli Mtumishi hayo unayoongea yapo kweli.hata mm nilikua hivyo naishi katika Nyumba yakupanga ,lakini hata king wanna nilikua sina lakini chaajabu nilinunua ramani ya Nyumba zaidi ya tatu!! Lakini namshukuru Mungu amenipa kiwanja mpaka ni mejenga .
    Naomba tuzidi kuombeana ili Mungu azidi kutubariki
    AMEN

  • @kazidibaraka5171
    @kazidibaraka5171 2 ปีที่แล้ว

    I real love you Man of God I wish oneday to see you nipo Mtwara nimejifunza mengi kupitia masomo yako toka season ya Mateso ya familia hadi hii naona kuna mahali nmekwama sitofautiani na Yule nabii ndan ya maisha uangu

  • @dianaobadia6107
    @dianaobadia6107 2 ปีที่แล้ว

    Aleluyaaa nimebarikiwa Sana

  • @elaineeliudi2497
    @elaineeliudi2497 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nihudumie katika maisha yangu niuone ukuu wako katika maisha yangu.

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 3 ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi

  • @gomarakimwanzaro9903
    @gomarakimwanzaro9903 3 ปีที่แล้ว +1

    Napokea kufunguliwa kwa uchumi wangu kwa jina la YESU 🙏

  • @modestamedard3218
    @modestamedard3218 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nakushukuru kwa ujumbe huu !!

  • @husnakibwana6944
    @husnakibwana6944 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU

  • @Pdom100
    @Pdom100 3 ปีที่แล้ว

    Pastor, Nilibarikiwa sana kwa mafundisho; baraka za Mungu ziendelee kuwa pamoja nanyi. Amen

  • @eutropiangido9684
    @eutropiangido9684 3 ปีที่แล้ว +3

    Reality of Christ karibunisana Arusha.
    Tumewasubiri sana

  • @salmakiyabosiriyamachoziha8756
    @salmakiyabosiriyamachoziha8756 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen Naitaji barak zaki mungu 🤲🤲🤲🤲

  • @costantinofidel3972
    @costantinofidel3972 3 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa! sehem ya 3 plz

  • @gbi380
    @gbi380 3 ปีที่แล้ว +5

    can someone tag me the second lesson please?

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 3 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa na huu jjumbe

  • @samsonjosephsibrahim4754
    @samsonjosephsibrahim4754 3 ปีที่แล้ว

    Mtumishi ahsante Sana ila Kuna Jambo kubwa Sana nambie nikukute wapi ili unisaidie

  • @eliyalucas2188
    @eliyalucas2188 3 ปีที่แล้ว +1

    God bless you Pastor. I've been very blessed

  • @jefrineliaselias691
    @jefrineliaselias691 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa nihatari sana kama kuna mtu hamuelewi basi !

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuna Barikiwa wa mikoani ila Madame wa kwanza ana mbwembwe nyingi apunguze kidogo lakini pia pastor Yesu Ame Kubariki Sana'a Maarifa Sana'a.please part 2 and 3.

    • @sammyglady1341
      @sammyglady1341 3 ปีที่แล้ว

      Jamani we Kaka,asa mbwembwe gani kafanya akat mtu yupo rohoni. Usipende kuhukumu unafikiri ni rahis kusimama mbele za watu

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 3 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah hallelujah glory glory to God

  • @kaayatv6875
    @kaayatv6875 3 ปีที่แล้ว +1

    Huduma yao huwa inafanyika Arusha sehemu gani na siku zipi katka week na muda

  • @monicastephen8796
    @monicastephen8796 3 ปีที่แล้ว +4

    Waiting for Day 2 and 3

  • @lucianbenedict7199
    @lucianbenedict7199 3 ปีที่แล้ว

    Nena Bwana watumishi wako tupone

  • @georgemallya4311
    @georgemallya4311 3 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa

  • @georgewaziry4228
    @georgewaziry4228 3 ปีที่แล้ว

    Ibada njema wapendwa tukumbushane kuvaa balakoa

  • @hassanbukambu8279
    @hassanbukambu8279 3 ปีที่แล้ว +1

    Nataka kujua hii semina ipo sehemu gani arusha au ishaisha hizi ni video za semina ni sehemu gani naomba kujua

    • @clarawamonge1610
      @clarawamonge1610 3 ปีที่แล้ว

      Seminar imeshaisha,, hii huduma iko DSM sinza mori,, Reality of Christ inaitwa

  • @hassanbukambu8279
    @hassanbukambu8279 3 ปีที่แล้ว +1

    Nipo arusha semina inafanyika wapi

    • @yusuphmakishe7318
      @yusuphmakishe7318 3 ปีที่แล้ว +1

      Ilikuwa pale Corridor Spring kwa siku tatu

  • @sharonjoseph4680
    @sharonjoseph4680 3 ปีที่แล้ว +1

    Huduma mmefungua Arusha wp

  • @paulmyinga8545
    @paulmyinga8545 3 ปีที่แล้ว +2

    Day two mbona hamuweki jmn

  • @charlesjoseph6847
    @charlesjoseph6847 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtu akiwa amefungwa na mizimu ya mababu anaweza kufunguliwa kiuchumi kweli?naomba Mungu afungue vifungo vyote vya ukoo Kwanza kabla haja tufungua kiuchimi

    • @frolakapagala9266
      @frolakapagala9266 3 ปีที่แล้ว

      Huwa unafutilia Mara kwa Mara hiii page kweli?

  • @sabinamichael6605
    @sabinamichael6605 3 ปีที่แล้ว

    ..