SABABU ZA MGOGORO SIMBA NA COASTAL UNION KUHUSU LAWI HIZI HAPA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 มิ.ย. 2024
- #simba #yanga #trending#yanga#alikiba#mgogorosimbacoastalunioni#rayvanny#chandrayaan3#wasafi#wasafitv#wasafifm#crown#claudsfm#claudstv#football#simbaaa#coastalunion#bbcnews#bbc#bbcswahilihabalileo#itvlive#sakata#sitonmyhand#wananchi#youngafricans#azamtv #azam#azamsportsfederationcup#azamiqbalrampuri
❤❤❤
❤
❤
❤❤❤
Hilo ndiyo soka la tanzania na Kwa stahili hii tunategemea nchi zingine zijifundishe kwetu kwa Hali hii weledi unahitajika sana sana
Coasital Union Lizikeni na Mkataba mlioufunga n Timu ya Simba, acheni kuwa na tamaa . C. Masolwa.
Breach of contract haipo hapo?.
Nyinyi mafara ni vyura wajangwani chenille kuingilia maswala ya simba lipeni made ni yanga ili ifunguliwe usajili
hata hivyo Kama mo angetoa pesa on time agreed yasingetokea
Hakuna jipya apo simba watatumiaga akiri sana! Coastal hao niwapuuzi tu
Kuna team toka nje ilikuja kujifunza huu mchezo mchafu
Nyie ni ndugu, mnagombania nini?.
Nendeni fifa caf watajua nani ana haki au ana makosa wanasheria wa mpira hapa Tanzania Baadhi Yao ni wababaishaji Hawamjui kanuni Sheria za usajiri wa wachezaji kama hao kina Chacha mgongoro mmeona wenyewe sakata ra morisoni mgongoro ndio Arikuwa mwanasheria warisema morisoni Mari ya yanga sawa na hao kina Chacha hata mpangaji kama hajaripa mpe notis
Simba msipende kutangaza vitu ambavyo havijakamilika
Acheni marumbano tengenezeni timu
nyie coast hela yetu itawatokea puani
Coastal Union mnacho kiherehere. Mlikuwa na mpango tu wa kumbania Yanga harakaharaka ili muwafurahishe makolo. Kwani mlikuwa na haraka gani kumuuza mchezaji wa maana hivyo bila hata hamjasikilizia ofa zingine za nje?. Sasa mnagombana na swahiba zenu buree. Muwe na utulivu mfike mbali. Hapa mmepigwa
Tumeelewa , basi tumekubali
NYIE WAHUNI TU NA UHUNI MLIOUFANYA KWA KULIPA KWA MAFUNGU HUKU MKIJINADI KUWA NA PESA WAKATI MAGUMASHI NA HICHO NDICHO KITAWAGHARIMU....KUKAA KIMYA SIO ISSUE BALI MLIPASWA KULIPA KWA WAKATI...
Ww unachoongea ukijui na km ww ni Yanga pls tuachie simba yetu pilipili usiyokula inakuwasha nn
Mo tunaomba CHAMA NA MAYELE.