#ZaNdaaani
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2022
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - กีฬา
Shomari Kapombe daaaaaah
hapa ndo kuna tetesi za ukweli aise 😂😂momo salute aise
Geita gold
Momo Romano. Keep it up Brother. Tunakuonaaaaaaa🤜🏿
Daaaaa Tupe iyooo bhana
Kuna mpumbavu apo anaulizwa vilabu viko vingapi et anajibu viwili halafu mchambuzi😄😄😄
NA NYIE VIONGOZI KANN HAMUWALIPI WACHEZAJI MISHAHARA YAO? NA HUO UBINGWA UTAOUPATAJE? JAMANI WANATUMIA DAMU WACHEZAJI.
Mtabaki kusikiliz nchi zingine zikiendelea kimpira zaidi kuliko nyinyi baada ya kuwekeza katika uzalishaji wa vipaji kupitia academy zenu mnabaki kunyemelea wachezaji ambao hawatawez wasaidia kwa muda mrefu na wanao wapa gharama kubwa hongereni mtibwa sugar kwa kuwasaidia vijana wa Tanzania kuijua thamani ya mpira sio kubeba makombe bali kutengeneza watu watakao saidia kukuza mpira nchini🤝
Hii msg watumie hiyo club yako nayo isinunue ikuze vibaji kwn shida iko wapi
Wenawe! Sijui nikujibu nini
Baka , job, kibwana , kibu umewazalisha wewe
Ligi zote kubwa duniani azitumii wachezaji wazawa ww mpira umeanza kufatilia mwaka gani katika ligi zipo timu ndogo kazi yake kufanya ivyo.lkm kilabu kubwa zote zinatazama makombe nasio kumfundisha mjezaji kujitambua.ukitaka mabadiliko nilazima ukubali kushindana.usijisifu unambio msifu na anae kukimbiza maana usingejuwa Kama unambiao kaka jifunze Kisha ndio coment
Za NdaaaaaaaaaaaaaN kabisa big show
Pole sana Mayele!
Code/mmoja washamchukua
Azizik za ndaannnn
Chama......
Chama huyo
Huyu bwana ni muongo kupindukia habari zake sio za kweli
Nakubali sana 😂😂😂😂
Ngada weee lipeni mishahara wachezaji wenu.🤣🤣🤣🤣
Chama huyooo tunajua kitamboo
Hyo ni Geita Gold.
Tshabalala
Daaah
Mmoja Fei Kisha wahiwa bado Mayele
Chama
Kwahiyo Fei ameshatambulishwa Azam?
Fei hatoki ng'o mtasubiri sana
Chaumaaaaa
N chama huyo shenz
Macha
Mwamnyeto kendal Sc
Mbn watu mnataja yanga kwan hakuna timu yenye wachezaj wazuri
Mmoja kawahiwa ni Feisal aliyebaki Mayele
Azizik kii uyo mpkanleo kagoma kuongeza mkataba
Acha inyesheee tu🤣
Mwamba anajua
Simba hao Hali yao tete Sana huko. Mo kachomoa betri. Ila timu zetu wajifunze kutafuta wachezaji wazuri badala ya kubomoa timu nyingi maana hii haijengi ligi yetu mfano Simba na yanga ni timu ambazo zinashiriki michezo mikubwa ya Caf ukizibomoa umebomoa hata zile nafasi 4 za uwakilishi Kama nchi
Duh Azam wanabalaa, kama viladmir Putin uvamizi tu kisa donge nono, Simba fungukeni basi watatutia hasara Hawa panya rodi
Chama akiondoka sjui viongozi watatuambia nn ili tuwaelewe!
Ipo hivi
Azam walikuwa kwenye mazungumzo na Inonga na Manula sasa Simba walishtuka wakamuwahi kumuongezea inonga mkataba na mahitaji yake wakamtimizia bado Manula sasa ndo hapo Kama umesikia mzee wa kudere kasema mmoja wamemuwahi😁
Mkae mkao wa Kula Azam wanambeba
Chama na manula
Mayele wewe
@@classicboyrahib903 hata chama
Umewapa pesa za mishahara mpaka wahanngaike kukwambia ww nani nani unatoa sh ngap 😀😀
Www mwongo kama simba, yang, azam hakuna
Chama asepetuu
Wachambuz wa soka hapo hakunaaa kitu
Simba haoooo!!!
Aish Munula
Chama wakawaida
"MWENGINE" "MWINGINE"
Chama kuja yanga
Inonga kawahiwa bado Chama
Chama huyoooooo😂😂😂😂😂 nyie this life is not fair
sasa tushapata ukweli ni simba hawalipi mishahara🤣🤣🤣🤣
Hata wakimchukua hachezi klabu bingwa
Diksoni job ,,🤣🤣🤣huyooo
saluti kwako kado momo
Makolo hao, Inonga wamemzuia bado wengine hasa Manula
Chama huyo ndio anaondoka simba wasiporekebisha mambo yao
wewe ndo umefungua code yenyewe watag wana thimbaa
Kweli kabisaaaaaaaaa😂
Ni Dickson job
@Majani msemaji wa Simba ndio amekuwa anasema wazi kuwa watatikisa kwenye usajili ina maana we bado hujasoma code tuu???
Wewe nimuongo sana huna rorote mmekunywa supu mnaropka hovyo
Fei toto Azam kuziba pengo Akaminko, Akaminko na Kipre Jr Yanga, Chama Azam weka kumbukumbu vizuri. Sijui nani kaumia 😂😂😂?
Mm naona km Job beki wa chura
AISHI MANULA TO AZAM
Manula hyo naa aslmia 100%
manura amesha sinya hadi 2025
@@sholdaniemmanuel8684 skia kauli yke mwishoni alishapta hapo afu unganisha na azam wanatatzo gan aswaa
Kapombee
Sure boy uyo from azam to yanga
Ni timu moja tu hapa siku za nyuma ilikuwa inapanda ndege lakini hivi sasa Wachezaji wake wanapandishwa kwenye Eicher kutoka Dar hado Bukoba!! Kwanini tuoneane aibu kuambiana ukweli bhana!!!
Acha zarau
@@malopemaliyamungu5243 Dharau kwa nani Kiongozi?!
@@Myplusbee Eicher anapandishwa Nani? Hiyo haipo haijawahi na haitatokea.
Manula uyo
Ni Dickson job huyo
Singida hao
CHAMA....
Inonga kawahiwa ila chama yupo mguu ndani mguu nje
Mhhh mambo ya mbumbu mchezaji yupi atanyimwa mshahara miezi mitatu labda hatakiwi tena
Hao ndo waandishi wa tanzania
Umeshasema timu zamani ilikua inalipa mapema, na mchezaji wao mmoja wamememalizana, bado unataka kupewa code gani tena hapo? Hao ni Ihefu( hahaha)
Makolo na hapo ni chama Inonga tayari
Kakolanya huyo...😀😀
Una Akili sana
Mhhhhh chama huyo
Ipo hivi
Azam walikuwa kwenye mazungumzo na Inonga na Manula sasa Simba walishtuka wakamuwahi kumuongezea inonga mkataba na mahitaji yake wakamtimizia bado Manula sasa ndo hapo Kama umesikia mzee wa kudere kasema mmoja wamemuwahi😁
Air manula
Anamzungumzia chama aliewahiwa ni inonga yeye keshasain
Wacha kelele zako za chura ww🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸👈🏿😂😂😂 kwa vile utoh wamepata changamoto unadhani ni kila team
Uyo mchezaji alishawahi kupita kwenye hiyo club,momo akajibu alipitaaa.....Manula no doubt
Halafu akasema huko kwingine washamaliza
kapombe jee
Huyo ni job na azam
Kolo mtalia
Ndio. Kazi. Zenu. Umbra. Kama. Wakezeni. Wachakuku. Watupuu
Singida je huyo mchezaji ninani
Manula huyo
Mlete #Bangala #Simba Imeishaa Hyo
Utopolo ndio hawalipi mshahara
Umekaririshwa bila kufanya uchunguzi.nikusaidie ili uumie sio uelewe.
Simba wamemuwahi Inonga bado Chama.Inonga alitaka kuondoka dakika za mwisho wakamuwahi.
UTOPOLO VISHAHARA VYAO MKIA WA MBUZI HAWASHINDWI KULIPA.
Yanga hainaga shida hiyo sasa hivi. NGADA ndo kuna changamoto.
Umbea waachie wadada aupendezei unaongea vitu bila ushaid udada uo
simba mbn code nyepes iyo
jamani Mayele kama akiondoka yanga 🙆🙆🙆🙆
Ni Simba syo yanga na ni chama
Kapombe
Ricardo momo,,,,
Simbwa hiyo mbona tushajua
🐸🐸🐸🐸 machura yanalia tu
Anawaongopea mjinga huyo
Kama Kuna timu ya namna hiyo ni wapuuzi sana , matajiri uchwara waondoke timu ibaki pekee c mashabiki tubaki huru na timu yetu.
Ukibaki huru na team yako utaipa pesa ww 🥱
Manula ameongeza mkataba wa miaka mitatu msimu uliopita kwa tsh ml 300 bado miaka miwili nanusu chama nae bado miezi 20 mkataba wake kumalizka hzo story tu za mitandaon hazina ukweli
Manula huyo Bai Bai simba
Code, washachukua mmoja mwigine wanammendea
KAMA MMOJA WESHACHUKUWA BASI UTOPOLO HIYO.
@@salimmalaka256 Ipo hivi
Azam walikuwa kwenye mazungumzo na Inonga na Manula sasa Simba walishtuka wakamuwahi kumuongezea inonga mkataba na mahitaji yake wakamtimizia bado Manula sasa ndo hapo Kama umesikia mzee wa kudere kasema mmoja wamemuwahi😁
@@classicboyrahib903 akili kubwa sanaaaa
Hata mm naijua hiyo chama anataka kwenda azam baada ya kushindikana kwa inonga
Labda Utopolo 🐸🐸🐸👈🏿😂 na manyele wenu🐸😂
Uto - manyele =🐸 👈🏿🤣
@@f.a6043 mbona unatumia nguvu kubwa kwan shida iko wap
Chama huyo ni kweli kabisaaa
Ushafungua code kaka
Huyu jamaa na domo Lake kubwa muongo kinoma
Hizo za ndani mbona zinatisha kama ni kweli
Hawana cha maana cha kuongea ktk mipira ya bongo! mishahala sasa sisi ndiyo tunawalipa!si muwambie viongozi mafumbo ya nini wewe mwanaume
Mayele jamani ni mvumilivu miezi tatu no mshahara anaishi kwa kula chips dume ah Azam mchukueni tu kwa kumsaidia.
Hiv unajua mchezaji wenu Chama inadai miez 3🤣🤣
Ipo hivi
Azam walikuwa kwenye mazungumzo na Inonga na Manula sasa Simba walishtuka wakamuwahi kumuongezea inonga mkataba na mahitaji yake wakamtimizia bado Manula sasa ndo hapo Kama umesikia mzee wa kudere kasema mmoja wamemuwahi😁
@@classicboyrahib903 😁😁😄 kama kweli hivi
Pole sana Mayele.
@@classicboyrahib903 kweli kabis ndo mana khalid chukuchuku alivomuuliz momo akasem alishawah kupita iyo timu.. Uyu ni manula tu
Kamasio kapombe au manula
We dogo ni mshamba tu coz unajificha ficha ww niutopolo tu kama utopolo wengine kua free acha kujificha tunakuchukulia kama punga jiachie acha uzezeta
Kama ni kweli azam wana ushenzi wa hali ya juu cjui kwann wametuanza cc kwa fei sahv wanaingia kwengne wanakera hawa jamaa kisa wanahela
Mpira pesa mbwa ww
@@afterfull-time1348 mbwa baba ako na mama ako waliofanya umbwa wqo wakakuzaa ww mbwa mtoto shenzi kahaba uso mteja
Ngoja wapigwe kwenye mshono😂😂😂😂😂
Azam hawana pesa,kama wanapesa kwanini wasiende kwa Yanga wakamchukuwe Fei na baadala yake wanafanya mizengwe kumchukuwa mchezaji kweli wana pesa haooo!?
Hahahahahaa!
Kweli Azam hawana hela wabakia kama vibaka wanawasubiri wachezaji uchochoroni🙈
Mpole kuja simba
Ipo hivi
Azam walikuwa kwenye mazungumzo na Inonga na Manula sasa Simba walishtuka wakamuwahi kumuongezea inonga mkataba na mahitaji yake wakamtimizia bado Manula sasa ndo hapo Kama umesikia mzee wa kudere kasema mmoja wamemuwahi😁
Ni Chama sio Manula.
Hivi huyu Manula anatimiziwa mara ngapi juzi tu hapa kafanyiwa kila kitu labda ni mwingine.
Upuuzi mmja uwo msiishi kwa kukariri mrudisheni kwanza feisal
UYO NI MANULA
Manula mpaka 2025
@@ramadhanhamis4839 kama hujalipwa kwa miezi 3 mkataba unavunjika automatic ndo sheria znavosema
Manula au zimbwe au kapombe
We jamaa hatarii
#simba hiyooo
Machura 🐸🐸🐸🐸🐸yanalia tu
Huyo ni chama poleni cmba ila c MNA saidoo anaweza kufanya kazi za chama
Mwandishi mkuda huna lolote
Mwongo wewe tushakujua sikuhizi.