Nadhan Simba haina Sababu kung'ang,ania Mchezaji Lameck Lawi . Mpango huo wa Usajili umeshaingiliwa . Maana hapo ilipofikia hapana Muafaka utakaopatikana. Tafuteni mchezaji mwingine. Aidha mkakae tena na Coast Union upya Ila kwa maoni yangu hamtaweza kuafikiana
Wakili msomi ' kisheria kawaida ' ni sawa. Likini kama Magoli alivyosema 'sheria ya FIFA ' baada ya Coast Union kuona kuwa Simba hawakuweza kulipa kwa muda uliyowekwa walitakiwa watoe notice ya siku kumi kulipa ' haikutolewa ' muda huo ukipita ndio sheri ya kufuta huo mkataba unafanya kazi. Kwahiyi hayo ni ya Msomi Mwanasheria na haiwezi ikawa ndio uamuzi.
Simba hili swala msikubali liishe kienyeji watazoea hawa Coastal lipelekeni Fifa uamuzi utolewe huko, ili liwe fundisho kwa wengine wanaotaka kupindisha Sheria.
Wakili upo sahihi wanalipaje mda wao nje ya makubaliano hiyo ni dharau kwa coastal kama timu ndogo ifike wakati hivi vilabu vidogo viwe na viongozi wanaojitambua kama coastal wasimamie masilahi ya taasisi sio mapenzi ya watu kufanya mpira wetu kukua zaidi
Wakili msomi level gani? Kama mnunuzi alishafanya malipo ya awali alitakiwa kukumbushwa kumalizia malipo na endapo angeshindwa baada ya kukumbushwa ndiyo biashara ingesitishwa... Kitendo cha kupokea malipo ya awali Ina maana mdaiwa anatakiwa amalizie malipo yake na siyo kusitisha biashara kwa sababu ya siku tisa zilizozidi kutoka tarehe aliyotakiwa kumalizia malipo... Ushahidi wa biashara za wachezaji timu huwa zinadaiwa zaidi ya hizo siku kumi... Huyu wakili mmh
Yani mchezaji ni wako, mimi nije kutaka kumnunua, kisha unipe tarehe na muda wa kumaliza kulipa ada ya uhamisho, kisha mimi nisaini kuwa nimekubaliana na sharti hilo, kisha tarehe na muda wa malipo tuliokubaliana niwe nimeshakulipa ufika na upite bila ya mimi kukulipa, kisha nije niibuke siku 10 baada ya tarehe ya malipo tuliyokubaliana kimaandishi kupita ndio nijitokeze kulilipa deni langu, unaamini kabisa nitakuwa sikuvunja makubaliano ya mkataba wetu????? Yani umcheleweshee mtu pesa yake kwa siku 10, kisha uamini hukufanya kosa??? Na kwenye utetezi wenu mnadai mko ndani ya sheria kwa kuwa hamkukumbushwa??
@@chillogeorge1383 ndugu mnunuzi Ana sheria inamlinda... Ameweka Nia ya biashara kwa kutanguliza malipo ya awali hivyo mabadiliko yoyote katika biashara alipaswa kutaarifiwa kabla hajamalizia malipo yake... Yaani utoe posa Kisha mke aozeshwe kwa mwingine kwa sababu tarehe uliyoahidi kupeleka mahali ulipata dharula.. Siku umejipanga kupeleka mahali unaambiwa uchumba umekatishwa hukuja Ile tarehe hiyo ni Sawa?.. Huyo wakili ni wa mahakama za mwanzo... Sheria kuu haiko hivyo mdeni hupewa muda kwa sababu kaonyesha Nia kutanguliza malipo ya awali hiyo ndiyo sheria... Biashara husitishwa pale mdeni hana namna kabisa kulipa deni.. Mdaiwa Ana sheria inamlinda siyo ukamkulupukia tu
Mjomba usitetee upuuzi kisa mapnzi yako kwa Simba.....Wakili yupo sahihi, na ukitaka kuamini kwamba Simba wamefanya magumashi angalia hata utambulisho wa Simba wamemtabulisha pasina kumvalisha jezi yao na wanahofia kuadhibiwa na FIFA kitu ambacho w
@@rexgodwill7353 Sheria ya FIFA haiwezi kuwa juu ya makubaliano yenu binafsi. Kama mlikubaliana wenyewe muda wa kumaliza deni, na muda huo ukapita unataka FIFA wakulinde kwenye lipi???? Sheria zipo kuweka muongozo pale ambapo hakuna makubaliano, lkn kama mlikubaliana wenyewe, hapo yataangaliwa makaratasi yenu mliyotia saini yameandikwa nini. Coastal Union, walijifunza makosa yao kwenye mkataba wa Mwamnyeto kwenda Yanga, jinsi walivyocheleweshewa pesa yao, ndio wakaweka hilo sharti keenye mkataba wa mauzo wa LAWI. Pia tambua, ikiwa ulitoa mahari na mkakubaliana muda wa kumalizia mahari, muda huo ukipita bila kumaliza kutoa mahari hio, hata kama ulidharurika, NDIO, hapo utakuwa umepoteza mchumba. Unachostahili hapo ni kurudishiwa mahari yako ya awali tu. Na endapo pia kama mlikubaliana kuwa ikitokea utashindwa kumaliza kwa wakati hata mahari yako uliyotanguliza haitarejeshwa, basi nayo haitarejeshwa keeli.
Simba Bado wanarudia makosa hawajifunzi yalishawatokea wakamkosa Mwamnyeto, Sopu, Mlemeta wengine wengine tu na hata walinyang'anywa ubingwa miaka ya nyuma Kwa mambo kama haya. Huwa wanatabia ya kuchelewa kutokamilisha ama kufanya mambo nusu nusu
Mtuelimishe juu ya njia za kusitisha mkataba au makubaliano, kama zilifatwa tutajua mwenyekosa ni nani na mmiliki wa mchezaji ni nani make makubaliano tushajua yalikuwepo.
Huyu mwana Sheria naye anaongea kishabiki tu au hana taarifa za kina kuhusu yaliyotendeka. Pesa ya coastal union ililipwa advance kabla ya tarehe 31. Ikamaliziwa trh 10 Juni. Kinachoonekana hapo ni TAMAA ya coastal union walipopata mteja mpya anayetoa dau kubwa la 600m. Nijuavyo mie muda si mrefu litakwisha tu hilo
Yaani hapa kwenye clab yetu bado kuna upuuzi Sijui ujinga huu utaisha lini, ikiwa mchezaji umempenda na mkakubaliana malipo kwanini ucheleweshe hayo malipo haliyakua mshakubaliana? Yaani Bado na mashaka ya uwozo huu ukaendelea
Nadhan Simba haina Sababu kung'ang,ania Mchezaji Lameck Lawi . Mpango huo wa Usajili umeshaingiliwa . Maana hapo ilipofikia hapana Muafaka utakaopatikana. Tafuteni mchezaji mwingine. Aidha mkakae tena na Coast Union upya Ila kwa maoni yangu hamtaweza kuafikiana
Wakili msomi ' kisheria kawaida ' ni sawa. Likini kama Magoli alivyosema 'sheria ya FIFA ' baada ya Coast Union kuona kuwa Simba hawakuweza kulipa kwa muda uliyowekwa walitakiwa watoe notice ya siku kumi kulipa ' haikutolewa ' muda huo ukipita ndio sheri ya kufuta huo mkataba unafanya kazi.
Kwahiyi hayo ni ya Msomi Mwanasheria na haiwezi ikawa ndio uamuzi.
Simba wanabuni sehemu ya kubishana kila wakati. Wakiona hili ni kama linapoa wanaanzisha lingine jipya.
Wakili msomi Gani huyu? Atakuwa ni utopolo huyo, akwende zake hajui anachoongea😂😂😂 wakili wa mchongo huyu😂😂😂😂😂
kama kuna mkataba kwa maandishi inawezeka simba wakafeli lakini kama ni kwa maneno costo watafeli
Wewe sio mwana Shelia ni utopolo tuta ona atakae shinda hii kesi
Simba hili swala msikubali liishe kienyeji watazoea hawa Coastal lipelekeni Fifa uamuzi utolewe huko, ili liwe fundisho kwa wengine wanaotaka kupindisha Sheria.
Hela alizochukua mchezaji nazo zimeexpire
Wakili upo sahihi wanalipaje mda wao nje ya makubaliano hiyo ni dharau kwa coastal kama timu ndogo ifike wakati hivi vilabu vidogo viwe na viongozi wanaojitambua kama coastal wasimamie masilahi ya taasisi sio mapenzi ya watu kufanya mpira wetu kukua zaidi
Simba Hilo sakata mbona walishamaliza! Nyie mpo Tanzania kweli!
Wakili msomi level gani? Kama mnunuzi alishafanya malipo ya awali alitakiwa kukumbushwa kumalizia malipo na endapo angeshindwa baada ya kukumbushwa ndiyo biashara ingesitishwa... Kitendo cha kupokea malipo ya awali Ina maana mdaiwa anatakiwa amalizie malipo yake na siyo kusitisha biashara kwa sababu ya siku tisa zilizozidi kutoka tarehe aliyotakiwa kumalizia malipo... Ushahidi wa biashara za wachezaji timu huwa zinadaiwa zaidi ya hizo siku kumi... Huyu wakili mmh
Yani mchezaji ni wako, mimi nije kutaka kumnunua, kisha unipe tarehe na muda wa kumaliza kulipa ada ya uhamisho, kisha mimi nisaini kuwa nimekubaliana na sharti hilo, kisha tarehe na muda wa malipo tuliokubaliana niwe nimeshakulipa ufika na upite bila ya mimi kukulipa, kisha nije niibuke siku 10 baada ya tarehe ya malipo tuliyokubaliana kimaandishi kupita ndio nijitokeze kulilipa deni langu, unaamini kabisa nitakuwa sikuvunja makubaliano ya mkataba wetu?????
Yani umcheleweshee mtu pesa yake kwa siku 10, kisha uamini hukufanya kosa???
Na kwenye utetezi wenu mnadai mko ndani ya sheria kwa kuwa hamkukumbushwa??
@@chillogeorge1383 ndugu mnunuzi Ana sheria inamlinda... Ameweka Nia ya biashara kwa kutanguliza malipo ya awali hivyo mabadiliko yoyote katika biashara alipaswa kutaarifiwa kabla hajamalizia malipo yake...
Yaani utoe posa Kisha mke aozeshwe kwa mwingine kwa sababu tarehe uliyoahidi kupeleka mahali ulipata dharula.. Siku umejipanga kupeleka mahali unaambiwa uchumba umekatishwa hukuja Ile tarehe hiyo ni Sawa?.. Huyo wakili ni wa mahakama za mwanzo... Sheria kuu haiko hivyo mdeni hupewa muda kwa sababu kaonyesha Nia kutanguliza malipo ya awali hiyo ndiyo sheria... Biashara husitishwa pale mdeni hana namna kabisa kulipa deni..
Mdaiwa Ana sheria inamlinda siyo ukamkulupukia tu
.5 à@@chillogeorge1383
Mjomba usitetee upuuzi kisa mapnzi yako kwa Simba.....Wakili yupo sahihi, na ukitaka kuamini kwamba Simba wamefanya magumashi angalia hata utambulisho wa Simba wamemtabulisha pasina kumvalisha jezi yao na wanahofia kuadhibiwa na FIFA kitu ambacho w
@@rexgodwill7353 Sheria ya FIFA haiwezi kuwa juu ya makubaliano yenu binafsi.
Kama mlikubaliana wenyewe muda wa kumaliza deni, na muda huo ukapita unataka FIFA wakulinde kwenye lipi????
Sheria zipo kuweka muongozo pale ambapo hakuna makubaliano, lkn kama mlikubaliana wenyewe, hapo yataangaliwa makaratasi yenu mliyotia saini yameandikwa nini.
Coastal Union, walijifunza makosa yao kwenye mkataba wa Mwamnyeto kwenda Yanga, jinsi walivyocheleweshewa pesa yao, ndio wakaweka hilo sharti keenye mkataba wa mauzo wa LAWI.
Pia tambua, ikiwa ulitoa mahari na mkakubaliana muda wa kumalizia mahari, muda huo ukipita bila kumaliza kutoa mahari hio, hata kama ulidharurika, NDIO, hapo utakuwa umepoteza mchumba.
Unachostahili hapo ni kurudishiwa mahari yako ya awali tu. Na endapo pia kama mlikubaliana kuwa ikitokea utashindwa kumaliza kwa wakati hata mahari yako uliyotanguliza haitarejeshwa, basi nayo haitarejeshwa keeli.
Wewe wakiri wa kuku
Walishachukua kishika uchumba wameanzaje kuuza ❤kwingine Tena !?
Kwani ninyi coast kama mnajiamini si mumuze huko mnakoona ni sawa ili tuone uanaume wenu unapoishia
Huyo mwanasheria ametoa mawazo yake. Angeeleza kwa muktadha wa Sheria za FIFA.
Nyie endeleeni kubishana na sakata la lawi hatimae usajili unaisha hamjafanya lolote la maana
wakili msomi,Angalia vifungu vya Fifa je Coastal waliwahi kutoa Notice ya siku kumi kuwahimiza Simba kuhusu malipo?
Kama Simba wamerudishiwa fedha, waachane Lawi
Hivi ni wakili au mlevi?
Mlevituhuyi
Wakili maandazi kweli. Mkataba ndio uthibitisho wa kitu chochote sio fedha. Ama kweli tuna wadomi viraza the😂😂😂😂
Simba Bado wanarudia makosa hawajifunzi yalishawatokea wakamkosa Mwamnyeto, Sopu, Mlemeta wengine wengine tu na hata walinyang'anywa ubingwa miaka ya nyuma Kwa mambo kama haya.
Huwa wanatabia ya kuchelewa kutokamilisha ama kufanya mambo nusu nusu
wew nawe mjinga tu mwamunyeto nini saizi ni vitu vingine wew bwege la yanga
MO DEWJI NA MAGORI NI WALEWALE
Siwamuache kwan yy nani fanyani mengine lawi muachen
Huyo wakilihatujamuelewa
Haeleweki kweli... Yaani mteja kaonyesha Nia mmekaa mezani na malipo ya awali umepokea Kisha unavunja biashara bila taarifa yeyote.. Huu ni uhuni
Hamna llolote kama ndiohivo mbona kunawatu mabingwa lakini hawakuwalipa wachezaji Hadi Leo hamjaobgea wanasheria wausenge nyie
Wewe mjinga nini acha dharau jingaa tunajua tff wapo kost kibao acheeeni ujingaa wenu
Wakili uchwara😂😂
Mbo
Mwanasheria wa mchongo, hata haelewi anachoongea tunawajuwa wwasafi na. Secret agenda ngoja tuone Muda utaongea
Weer mwanasheria wakost au naniiii panya wewe
Mkataba inasemaje kama ukishindwa kulipwa unakuwaje
Mtuelimishe juu ya njia za kusitisha mkataba au makubaliano, kama zilifatwa tutajua mwenyekosa ni nani na mmiliki wa mchezaji ni nani make makubaliano tushajua yalikuwepo.
wewe mwanasheria ni mchochezi sana kama wanasheria ninyie basi roma haja kosea
Mwanasheria wa mchongo
Lini zilirudishawa je Costal Union waliitairifu Simba kuwa baada ya Siku ngapi zaidi inawapa Simba kumalizi malipo ??? Kama sheria inavyofai ??????
Huyu mwana Sheria naye anaongea kishabiki tu au hana taarifa za kina kuhusu yaliyotendeka.
Pesa ya coastal union ililipwa advance kabla ya tarehe 31. Ikamaliziwa trh 10 Juni.
Kinachoonekana hapo ni TAMAA ya coastal union walipopata mteja mpya anayetoa dau kubwa la 600m.
Nijuavyo mie muda si mrefu litakwisha tu hilo
Yaani hapa kwenye clab yetu bado kuna upuuzi Sijui ujinga huu utaisha lini, ikiwa mchezaji umempenda na mkakubaliana malipo kwanini ucheleweshe hayo malipo haliyakua mshakubaliana? Yaani Bado na mashaka ya uwozo huu ukaendelea
Tumechoka kusikia habari za Lawi simba piga chini huyo lawi
Mtoa post ujielewiii Simba hatu Ng,ang,aniiii mchezajiii kusti sio wastarabu tamaa yapesa hiyo
Wakili huyu sio msomi , je walikubaliana mwisho wa ofa? Au unaongea ki ushabiki?
Wakili hewa unaweza ukakuta hata mhuri hana
Mavi mavi
Huyo Alikomwe sio wakili
Hakuna maombi hapo hayo
GSM
Simba waachane na Lameck Lawi maana wapo wachezaji wengi na wazuri kulilo hata huyo Lawi
Uko sahihi tafuta mchezaji mwingine achana na lameki
Uko sahihi Eliasi tutapoteza muda wa usajili kwa ability ya Lameki.
Ujinga ulioje mbona atawahi kuchuja
Huenda Mungu katuepushia mateso Akija Simba Kiwango Kitakua Kibovu mwachenii
Hao watu wa fedha ni wazushi ndio unasema Kuna waswahiri