Belle 9 nakupa big up sana,hujawah kiniangusha unakaa muda hutoi ngoma mpaka kuna wasanii wana replace nafasi yako kwenye game...haiwezekani wasanii wachanga including wa WCB wakuzidi wapate mileage kwenye game alafu wewe mtu mwenye kipaji na na sauti ya kipekee wakukimbize please hebu angalia ni wapi panaenda wrong.. flava yako hua ni kali sana kaka....much respect
Kiukweli hua sichoki kusikiliza nyimbo zako tangia Sumu ya Penzi, I'm your big fan! Please don't stop giving us good Music like this! Belle9, from City Without Ocean but we have an Ocean 'Mindu! 💪😁
#ngoma kaliii inajielezea yenyewe sio kushinda clouds fm kupiga promo ili ngoma ikkiki lakn wapi #imepotea kwa aibu @belle9 -dada is my vitamini music sichoki kusikiliza
daah belle 9 unakipaj kaka hila sjui ndo bahat haun ya tuzo yaan mm kwenye kuimba hapa Tanzania nakuweka kwenye tano bora ya waimbaji nyimbo zako huwa ni firee fireeee sauti ndo htriiii lakin sjui kwann tuzo inakupita kando jmn daaah haya ban
belle9 kusemakweli wewe ndio unahisitahiri hata tuzo upewe maana wewe kazi zako zaukweli sana hauimbi matusi music uawa sani bazi haswa kwasasa matusitu nakupenda Belle'karibu geita
Huyu ndie yule belle ambae tulikuwa tumemmisi siku nyingi sana! Thank u kwa kutuletea mziki mzuri kutoka kwako, Big Up to you ma bro, bonge la ngoma Rnb! Nzuri sana!
Gospel Vibes TV mwaka jana alipigiwa simu na B12 alitakiwa kwenye FIESTA, ila Ratiba ziligongana katika mikoa ambayo alitakiwa akapaform alikuwa na shows sehemu nyingine. Ila naimani mwaka huu tutakuwa nae!
watoto wa Morogoro mji kasoro meli,,,,wanajua sana sema nyota na kubaniwa zaidi,,,,Rich Mavoko from Kimamba kilosa,,,,Belle 9 from mkoani,, Stamina,,,,Samir na wengineo,,,,kuna football mkoa wetu tumejaza kinoma,,,,hila hipo siku,,,,moro ni mkoa wa vipaji
Umeuwaaa mzeee 9_
Tulikumiss sana
Kama unamkubali BELLE LIke kama zoote
ni kaliii lakin cjui tuu yaan bell9 kunakitu knamis we still need you kwa game broda,,,,kama unamkubali mwana mji kasoro maji ya blue gonga like hapa
Balaaaaaaaa my dear unajua sikuingia kuitazama 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Katika watu wanaojua kuimba ambao hawajawah kuharbu Belle 9 salute, Af haupendag kiki za kiboya keep on moving forward
Sana
Huyu ndo belle tunayemtaka sasa....umetisha sana King is back
Dada weeeee umenifanya mi nikae machooo we noma sanaaaaa
jamani me namoendaga mpka naumwa #belle 9 mambo huku kwetu ni fire🔥🔥🔥🔥👌
Belle 9 nakupa big up sana,hujawah kiniangusha unakaa muda hutoi ngoma mpaka kuna wasanii wana replace nafasi yako kwenye game...haiwezekani wasanii wachanga including wa WCB wakuzidi wapate mileage kwenye game alafu wewe mtu mwenye kipaji na na sauti ya kipekee wakukimbize please hebu angalia ni wapi panaenda wrong.. flava yako hua ni kali sana kaka....much respect
Umeuwaaa mzee,big up I like it ghafla
The coming back ya mnyamwezi belle 9 ndio hii kama unakubaliana na mimi gonga like wanangu
Ngoma Kali sana hii big up bele tisa
Mwenye mziki wake karudi, hongera Belle 9
Daaa uyu jamaa najua mbka anaboa yani kama unamkubali belle gonga like twende sawa
👍
When everyone is a diamond and Alikiba fan..uku me nipo kwa Belle9.big up mwanangu
Tuko pamoja sana
Nlikuwa nasubiria hilo chungwa apewe Dada kipande kimoja, alaf apige bite kwa mapozi... Daaah!!
Nilikumiss saanaa!!!! Belle9 🙋🙋🙋🙋🙋
Wanaokosea acha wakosee,lakini huyu jamaa ni fimbo sana,Belle 9 yule yule na mziki wake mzuri ule ule.big up brother.
Mapenzi Mbegu Ya Muwa Aisee Ni Ngumu Kuipata Dada Weeeee .....unanifanya usiku kucha Me Nachati Tuuuuuuu Dada wweeeeeeee........ BELLE 9 Umeuaaaaaaaaa
bro. hujawahi niangusha tangia mwanzo, pasina yote, we need more n more hits like that.. n make it unstoppable...
Mimi kam fan wke sugu wa Belle 9...nakkubal sna mnyamwezi
Daaaah bro belle unajua sana...Wimbo mzuri sana...Keep good music alive🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dada we uliyenifanya nilale macho where are you??? Leo niko kwa hii song ya moment.... Neo jmn 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
hongera sana video kali na nyimbo nzuri sanaaa@belle9tz
Thanks belle 9 ww ndo mfalme hapa tz sema kuna wachawi wanao kuloga mzee baba dada ni bonge la ngoma zee asante kwa nyimbo mzur
Iko poa sana mzee baba hongera sana
daaah ili ngoma kali sana la kibabe kama jamaica vileeeee
*Hufanani kuumia mapenzi mbegu ya mua na sirahisi kuyapataaa*
🔥🔥🔥🔥 *Shika moo belle 9*
Huwa sipendi kutoa machozi ya hisia ila this one made me drop tears sick beats, sick lyrics, sick video sick swagg sick everything.
+254 ngoma kali sna👏👏👏👏🔥🔥🔥✔✔✅✅
Wow unanirudisha TBT Fulani hiviiiii amazing 🔥 🔥
Wasafi should sign this guy. Commenting from kenya
Showing my love from Kenya....natamani belle 9 yule wa kitambo......2024 still listening
Bonge ya ngoma, na jiwe la musimu, coz its nice and very romantic, haichoshi kusikia, Big up brodah!!!!
daaaaa Belle 9 unajua na nd msanii nnae mkubal bongo hii
kwel mapenz km. mbegu za miwa
Kama unamkubali huyu jama ngonga like apa 🤦♂️👍
Big up belle 9
Belle9 huanakuelewa sana big up sana broo kwa hilisong una2lidhixha mashabiki zako
Wanaoujua muziki hawapewi promo wasioujua ndo kila siku wako maredioni wanapewa promo ..daaaaaaaa this track is lit🎶🎶🎶👏👏kama unakubali gonga like hapa
mapenzi ya ukweli ni mbegu ya muwa so rahis kuyapatA....gonga like ya 254 hpa Kama unamkubal uyu dangerous chorus maker
Ngoma Kali Sana ...ujawahi kuniangusha Belle 9....
bombakratttttttt come again selector ....welcome the king of dancehall belle9 for 9belles fayaaaaaaa
unajua sana broh!👏👏
Song kali hii... Big up Belle 9
Kiukweli hua sichoki kusikiliza nyimbo zako tangia Sumu ya Penzi, I'm your big fan! Please don't stop giving us good Music like this! Belle9, from City Without Ocean but we have an Ocean 'Mindu! 💪😁
Nice Track Belle 9👌🔥👌 Respect From Finland 🇫🇮
Ngoma kali.
Idea ya video nayo ni kali mno.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
That is why I love belle Tisa songs,brother u r real,have been listening ur songs since 2006,man u r amaixing,keep up with spirit
Oyaaaa BELLE NAGO 2024 hii nachek ngoma
ngoma kali sana big up mzee
What a song🔥🔥..good Job Belle tisa
Belle anajua sana good vibe umeamsha mzee napenda pale unalap kidogo
My best of my best nakuaminia sana bro nakubali sana since day from +254 kenya nakubali belle9
Wimbo huu first time nausikia niliona wakawaida du nimeusikia zaidi ya marambili aisee nimeuelewa kuliko big up Sana B9n
#ngoma kaliii inajielezea yenyewe sio kushinda clouds fm kupiga promo ili ngoma ikkiki lakn wapi #imepotea kwa aibu @belle9 -dada is my vitamini music sichoki kusikiliza
Jamaa anakua ndio maana hatumii sana kiki mziki wake unaeleweka
Dada weeee,leo Belle nae anaiimba oouyeah.. daaada umetuleevya\we dada, ni murder.... bless sana bro..... ITS BIG!
daah belle 9 unakipaj kaka hila sjui ndo bahat haun ya tuzo yaan mm kwenye kuimba hapa Tanzania nakuweka kwenye tano bora ya waimbaji nyimbo zako huwa ni firee fireeee sauti ndo htriiii lakin sjui kwann tuzo inakupita kando jmn daaah haya ban
groove ni kali manze..keep it up
i lov his movement toka long time anaweza alikuwapi uyu nyiee
belle9 kusemakweli wewe ndio unahisitahiri hata tuzo upewe maana wewe kazi zako zaukweli sana hauimbi matusi music uawa sani bazi haswa kwasasa matusitu nakupenda Belle'karibu geita
Hii ngomaa n kaleeeeee htr salute bell 9 kzaz xanaa
😂😂😂😂,, kivingne kabisa belle,,, uko vzr sanaaa
Kipaji kikubwa hiii
Ww ndo Fundi Wa good Music, Don stop bro!
Dada ngoma kali sema jamaa anaesukuma bike hamna uhalisia
Braza belle 9 ngoma ni qaliii vibaya mno
Mambo ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huu ndo mziki tulioumiss..Keep it up belle 9
nyimbo n nzur xanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
the way this HIT IS SWEET YOU DONT EVEN WISH it to end and you dont even know how it ends daaaamn
from 254 tunakubali sana belle9 mkare wao... hiii kubwa dude aiseee!
Huyu ndie yule belle ambae tulikuwa tumemmisi siku nyingi sana! Thank u kwa kutuletea mziki mzuri kutoka kwako,
Big Up to you ma bro, bonge la ngoma Rnb! Nzuri sana!
Nimeielewa sana hii ngoma mpaka video. Big up bell tisa
Belle mnoma sn aseee maana sio kwa verse hizapa dooooooh
shabik na1 pande za songea,, ****## ngoma kali sna!!!! @@belle9
Wozaaa ngoma kalii. Motooo
🔥🔥🔥🔥🔥bonge la nyimbo
Unique sanaaaa hii VIDEO WAZEE KHAAAA BELE KAUA SANAAA
Mtu wangu uko juu sana big up sana
Uyu jaama anajua Ni nomaaaaaaaaa
Saf sana mr unaweza
Kubwaa.....where are my fellow Kenyans?
*belle unajua mzee kichupa kimetulia 🔥*
We mkal kweli berry9 big up kwko bro
Hii ngoma ni 🔥🔥🔥🔥🔥
BRAZA BELLE FANYA MPANGO UWE KWENYE LISY YA FIESTA BROO,WASIKUBANIEE BANAA WE NEED UU BROOO
Gospel Vibes TV mwaka jana alipigiwa simu na B12 alitakiwa kwenye FIESTA, ila Ratiba ziligongana katika mikoa ambayo alitakiwa akapaform alikuwa na shows sehemu nyingine. Ila naimani mwaka huu tutakuwa nae!
Yeah ! He should be on top of the list, uyu Jamaa nilimskia kitambo kabla chibu awe staa
Kiukwel uyu bell9 inabidi wakiendelea kumbania kipaj chake sie mashabiki wake tufanye mpango tumpsapot kwa hali na mali
Nani mwengine ka mkubali belle 9. ?????????????
Hatali sana mwana
Naon kunashmbulio LA aib kwengom,,gong like kma umikubli
Yesssssss
bext
amerud. hajawah angusha
oyooooo ngoma Kali
kazi nzuri sana ndugu... We are together..
boy from home city (moro) big up... thank u 4 coming around thiz game
Respect BROO
Like zikuwapi za wabongo
Ngoma kalii Big Up kwako S/O Belle 9 #Dada
BONGO HOUSE TZ.
Hilo goma hatare
yap yap, kaz nzuri wenye nyumba washarudi mpangaji beba virago
Ngoma kali mjomba bell9
Ngoma Kali sana bele9.big up.
umeuwaaaa broo
Kali sana..belle 9 my best
Daaaah bonge la ngoma hivi ndo tuvipendavyo
My number one song in the play list. You kill it blood.
watoto wa Morogoro mji kasoro meli,,,,wanajua sana sema nyota na kubaniwa zaidi,,,,Rich Mavoko from Kimamba kilosa,,,,Belle 9 from mkoani,, Stamina,,,,Samir na wengineo,,,,kuna football mkoa wetu tumejaza kinoma,,,,hila hipo siku,,,,moro ni mkoa wa vipaji
Tisha sana mnyamwezi