Best Naso Ft Nay Wa Mitego - Hellena (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.4K

  • @laurentchimbirani5990
    @laurentchimbirani5990 6 ปีที่แล้ว +128

    Baada ya ALIKIBA ni best naso
    Nyimbo kali hiii gonga like twende wanaMUSOMA tumewakilishwa vzr na NASSO

  • @jonaselias7729
    @jonaselias7729 6 ปีที่แล้ว +5

    nampenda kwanzia mtoto best Naso umeuaaaaaaaaaa Ila angeimba MTU mmoja hapa Tanzania ungevumaaaa Ila kwakua kaimba Naso wala mtajifanya hamuekewi....

    • @khadijakhadija6547
      @khadijakhadija6547 6 ปีที่แล้ว +1

      Jonas Elias hhhhhhh umeonaee tatizo hawajui vitu vizurii

  • @shimitamukandama3130
    @shimitamukandama3130 5 ปีที่แล้ว +8

    Sherehe TWA jivunia Tanzania na nyimbo zetu wa Tanzania mko wapi nipe like Hapo chini

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 3 ปีที่แล้ว +1

    Best naso uko poa sana dogo nay huyo endelea nae kufanya kazi mmenda vzr sana msiachane pigen kaz

  • @princeaspenace1450
    @princeaspenace1450 6 ปีที่แล้ว +204

    Kuna kitu #Ney kafanya hapa,, na wasanii wengine wakifanya hv bongo fleva haitakuwa ya watu fulani tu.
    Kama umeelewa gonga like

  • @elimasydywaivy7801
    @elimasydywaivy7801 6 ปีที่แล้ว +2

    Wau best nasso nalike ur ngoma sana kaa hiyo hellena waaaaaaaa😍😍😍😍😍😍😍🤗inachoma kuchoma bana😍😍😘😘😘

  • @jildow4533
    @jildow4533 6 ปีที่แล้ว +50

    Mungu akubaliki Mkubwa @Nay kwa kuikubali collabo hii na Mkubwa Best Naso. Najua kuna baadhi ya wasanii wamekuja na vitu tofauti kwa ajili ya kuwapoteza wengine. Big up to you ma Brothers.

  • @glendadequeen8070
    @glendadequeen8070 2 ปีที่แล้ว +8

    My favorite song 💓💓💓💓 yaaani nangoja ile siku bae atarudi Kenya 🇰🇪nieke huu wimbo..eti akasema tukutane Kenya, weekend turudi Mombasa..😌😌💞💞💞

  • @Dee-mb9jn
    @Dee-mb9jn 6 ปีที่แล้ว +21

    Yaani 254 hamjafika hapa???????kama mko like tukijibambanga

  • @mwanahawarutona7582
    @mwanahawarutona7582 6 ปีที่แล้ว +4

    Dahh nmeipenda hii rumbaa......nl mith kumckia best naso yule wa miaka hioo.....hapa sasa ndo umerudi vzr bg up💞

  • @chipokah1288
    @chipokah1288 6 ปีที่แล้ว +4

    Ngoma Kali sana pia nasso ana sauti fulan iviiii ila duh! tatizo nyota mungu akufungulie milango yako.like kwake jamaniiiiii!

  • @muimipeter2944
    @muimipeter2944 6 ปีที่แล้ว +12

    Namkubqli sana naso ft true boy kama uko +254 gonga like

  • @japharimandalafamily6868
    @japharimandalafamily6868 6 ปีที่แล้ว +62

    Good song my brother kama unamkubali best nasso

  • @hellenorito1228
    @hellenorito1228 3 ปีที่แล้ว

    Ooh ooh ooh my jina langu kama mnavyonijua Helena, big up nawapenda bure Kwa wale Wa 2021,like Kwa Vinci

  • @likimaro6
    @likimaro6 6 ปีที่แล้ว +27

    Best Nasso na Mr Nay i am your number one fan. Wimbo mzuri sana

  • @damianlucas5345
    @damianlucas5345 6 ปีที่แล้ว +2

    Mnakosea sana mnao sema Naso kaludi hakuwahi toa ngoma ikawa kimeo nyie semeni tu ukwel midia zetu zimejaa rushwa na majungu km usipo kubal kuwatumikia hupewi saport hata uwe unajua na ukapewa max zote na malaika wa Mungu

  • @aishaabdj8913
    @aishaabdj8913 6 ปีที่แล้ว +4

    toka nianze kukufahamu nakupenda sana na nyimbo zako

  • @idayakey6886
    @idayakey6886 6 ปีที่แล้ว +4

    best naso upo kalibu mofayaaa iko juuuu

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 6 ปีที่แล้ว +4

    my best Nasso yani we ni nouma kuliko baba yaga

  • @minzajoji7196
    @minzajoji7196 5 ปีที่แล้ว +1

    Mung alijuwa kukubaliki kakupa Langi uzur ulef Saut kipaji Mung akuinuwe zaid nakupenda dugu yang njia moja unaniacha lamadi unaedelea na safali kwann nisikukubali

  • @janetcharles4991
    @janetcharles4991 6 ปีที่แล้ว +6

    woyooooooooooooo,,,we love you nasooooo,,,gonga like kama unamkubal naso

  • @pearltz
    @pearltz 6 ปีที่แล้ว +4

    weeeeeee kitu hicho no hatarrrr. naso tulikumic ciku nyingi

  • @josephswai5822
    @josephswai5822 6 ปีที่แล้ว +22

    Kwanza napenda kukushukuru nay kwa kumpa sapoti best naso enderea ivyo ivyo big up sana wazanaki tunaweza by matonge musoma moja

    • @gadielshedrack499
      @gadielshedrack499 6 ปีที่แล้ว

      joseph swai noma xana

    • @damianlucas5345
      @damianlucas5345 6 ปีที่แล้ว +1

      joseph swai ....mzee hii co nzur sana kwa kuchangia kwa kabila

    • @magoriwambura4439
      @magoriwambura4439 6 ปีที่แล้ว

      Damian Lucas mbaba sion kama ni vizr xana kuchangia hoja ktk social kwa kuzungmzia kabila!!! Japo ndyo uwezo wko wa kufklia cwez kukupnga xana!!!

    • @magoriwambura4439
      @magoriwambura4439 6 ปีที่แล้ว

      Damian Lucas mbaba sion kama ni vizr xana kuchangia hoja ktk social kwa kuzungmzia kabila!!! Japo ndyo uwezo wko wa kufklia cwez kukupnga xana!!!

    • @heribwana7846
      @heribwana7846 6 ปีที่แล้ว

      namkubali ney wamitego kiukweli jaman

  • @gintezcabayser
    @gintezcabayser 6 ปีที่แล้ว +7

    Bonge LA hit!!! Hii ndio tuna sema sio bora mziki Ila mziki bora ...big up best Naso ...Nay umeuwa hii

  • @alexmwita9837
    @alexmwita9837 6 ปีที่แล้ว +4

    kaz nzuri sana aisee mtoto wa MARA umejitahid like hapa kwa best nasso twend sawa

  • @thearrowbandchanel1298
    @thearrowbandchanel1298 6 ปีที่แล้ว +2

    Yeah ngoma nzuri sana vp manasemaje bas kila mtu aweke neno apo Alie ikubali

  • @romwaldoamsi2783
    @romwaldoamsi2783 6 ปีที่แล้ว +23

    Great voice in the world wide.
    Gonga like kama tupo pamokooh ngom fireee Sana'a

  • @aishamohamed9868
    @aishamohamed9868 6 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sana best nasso mungu akuzidishie kipaji chako ufke mbali

  • @justiceromanusmlyuka7611
    @justiceromanusmlyuka7611 6 ปีที่แล้ว +10

    Jamaaaa namkubali sanaaaa, nimefurahi kaka umerudi tena kwa game big up bongo la ngomaaaaaa🤗🤗🤗

  • @judithnyagawa4197
    @judithnyagawa4197 6 ปีที่แล้ว +33

    Jamanii jamaniiii nyie huyu mkakaa m mwenzenu namuelewa kuliko maelezo
    Kama na w unamuelewa baba Helena embu twende sawa

    • @lukakaumatiku8350
      @lukakaumatiku8350 4 ปีที่แล้ว +1

      Judith Nyagawa nawe unamwndo Wa malingo??

    • @amospetro9528
      @amospetro9528 4 ปีที่แล้ว

      @@lukakaumatiku8350 b

    • @maltears
      @maltears 4 ปีที่แล้ว +1

      mi nasikiliza mara kumi kwa siku tena hapo kwa helena kamuimba dada angu

    • @halfanshemwanza72
      @halfanshemwanza72 4 ปีที่แล้ว

      Best naso twenty pasent wacheni Hawa jamas

  • @thomsonmarwa1770
    @thomsonmarwa1770 6 ปีที่แล้ว +9

    Duh bro best naso big up kwa ngoma kal uloimba we noma nakukubali sana king

  • @makoyekepha6549
    @makoyekepha6549 6 ปีที่แล้ว +13

    Aliyewai endeshesha kabaiskeli kama kale kabest naso acha like ako apa twende sawa

  • @mkaliwenuoriginalpleasesub9297
    @mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 ปีที่แล้ว +147

    Video kali nzur mnasemaj wadau.

  • @marcomwaimu3979
    @marcomwaimu3979 6 ปีที่แล้ว +2

    Bonge la ngoma big up Best Naso na Nay

  • @tunguizengo5996
    @tunguizengo5996 6 ปีที่แล้ว +6

    wa pili kutizama like ngoma Kali 👏👏👏

  • @kevinelaar4485
    @kevinelaar4485 6 ปีที่แล้ว +4

    Ngoma kaali Sana,congrats Nay Kwa Kumleta Nasso Kwa Mara nyingne tena kwenye uwanja WA real music, Bro Naso keep it up Do ur best n u Gonna make it.

  • @charlesgmwinuka6269
    @charlesgmwinuka6269 6 ปีที่แล้ว +18

    Bestnasoo
    Hapo umepoint
    Collabo na
    Mr.ney,
    #kizazisana

  • @frenkjastin2843
    @frenkjastin2843 6 ปีที่แล้ว +1

    Ebwana eeeh ngoma umeipanga na imepangika mpaka raha kuitazama mzee baba big up sana kwa mzee nay

  • @ysupacha7259
    @ysupacha7259 6 ปีที่แล้ว +12

    brother we ni noouuuuma hujawahi kuniangusha hata kidogo hili ni bonge la ngomaaaaaaa

  • @jennifermwakibete864
    @jennifermwakibete864 6 ปีที่แล้ว +2

    jamani naupenda uhu wimbo jamani uwiii Asante Best Nasso kwa le jisong mwanawane kanda ya ziwa lazima tukusaport💝💞 chukuchuku ana mwendo wa malingo kama mm uwiii yaan sherehe ✌💘💘💗💖💕💓

  • @kinjeathuman2350
    @kinjeathuman2350 6 ปีที่แล้ว +96

    Nasso naona kaanza muzik sasa, huu ndo muzik alitakiwa kuimba

  • @dillisalum2384
    @dillisalum2384 6 ปีที่แล้ว +3

    Kawimbo kanabembeleza kinoma,nimekapenda asee

  • @elizabethathuman724
    @elizabethathuman724 6 ปีที่แล้ว +12

    nakupenda buree best naso ulipotea sana

  • @bahatevagre933
    @bahatevagre933 6 ปีที่แล้ว +3

    mnyama najua hukoseagi ata nikikushirikisha mm unanitoa,big up Mr nay ,best naso pia nakukubali tokea uanze mm fansi wako mpaka wameniita mzee wa zaman.sasa nadhan umewaziba mdomo

  • @Nickojunior
    @Nickojunior 6 ปีที่แล้ว +22

    Number 1 here 🤗 hakuna mshindani 🤝 gonga like kama umeikubali ngoma hii👍🏿

    • @evervisent4692
      @evervisent4692 6 ปีที่แล้ว

      duuuuuuuh hatali hi ngoma imebamba San kitaa mmeitendea haki kaka zangu!!

  • @verohgershom61
    @verohgershom61 6 ปีที่แล้ว +7

    Ngoma kali kinomaaaa nakukubar sana Best naso na ney Like kwao

  • @gasperseverin4038
    @gasperseverin4038 6 ปีที่แล้ว +20

    Penda sana best nasoni... Penda Wewe nyimbo zako... Nazpenda sana

    • @allympili6704
      @allympili6704 6 ปีที่แล้ว

      GASPER Severin ngoma Kaliisana best naso sasa tunaanza kumfaham apambane azid kufanya kolabo

  • @Mtumbaya09
    @Mtumbaya09 6 ปีที่แล้ว

    bonge la ngoma nimerudia *100000000 gonga like Fred from Mara BUNDA tz

  • @princewawaziguatz1563
    @princewawaziguatz1563 6 ปีที่แล้ว +32

    Asante Mr nay kwa Kumrudisha Kwenye Gemu huyu Jamaaa 🙌🙌🙌

  • @salimdesash
    @salimdesash 6 ปีที่แล้ว +2

    best naso Toka kitambo huniangushi... hii ngoma ni 🔥🔥🔥ney kaitendea haki zaidi....

  • @jamesmoses5625
    @jamesmoses5625 6 ปีที่แล้ว +199

    kama umengalia hii ngoma zaidi ya mara mbili gonga like

  • @brunobaragomwa5611
    @brunobaragomwa5611 6 ปีที่แล้ว +1

    Iko poa sana ,, big up to you all,, mmefanya vizuri

  • @isayathadayo6509
    @isayathadayo6509 6 ปีที่แล้ว +6

    Dah kaka zang nawakukubal sana kaka ney muwezeshe kaka best naso ngoma zake nazikubal

  • @isackisack6703
    @isackisack6703 6 ปีที่แล้ว +4

    ahaaa uyuujamaa anaimbaa wewe ngoma kali iyooo wee

  • @athanaswilliam6940
    @athanaswilliam6940 6 ปีที่แล้ว +4

    Bonge la nyimbo asee.. vipaji hivi vinabaniwa bure.. wanapewa promo wasioweza..laiti hi nyimbk ingepata promo z kina Dai au Ally K nadhani jamaa angefika mbali sana. Big up sana Best Nasso.. Big up san Mr. Nay.

  • @jamesraphael2205
    @jamesraphael2205 6 ปีที่แล้ว +1

    love you boi sanaaaa pray to the God never give up afuu piga kityuu Na Bell 9

  • @ommytrueboykimwaga7129
    @ommytrueboykimwaga7129 6 ปีที่แล้ว +9

    Huu ndo muda wa mziki mzuri bless up boss#MrNay

  • @juniormadini124
    @juniormadini124 6 ปีที่แล้ว +2

    Ngoma Kali naso na mzee baba mmekuja kivingine

  • @basamtz8674
    @basamtz8674 6 ปีที่แล้ว +93

    Kama umeiludia mala nyingi like apa💥💥💥💥💥💥💥

  • @kitatakitata8678
    @kitatakitata8678 6 ปีที่แล้ว +1

    Best nass #handsome Boi cna km #Mimi daah move kali Imepangwa cna saloot Jambazi zng

  • @ezzytz6381
    @ezzytz6381 6 ปีที่แล้ว +3

    best nasso hujawah kuniangusha mzee baba,mm fan wako wa ukwel mzee

  • @sillaskelly6135
    @sillaskelly6135 6 ปีที่แล้ว +2

    kijana best nasso karudi na nguvu zote mambo ni hviiiiii 🔥 🔥

  • @sisihaogroup1538
    @sisihaogroup1538 6 ปีที่แล้ว +4

    namkubali sana naso kama naww unamkubali gonga like hapa

  • @aminamakame5623
    @aminamakame5623 6 ปีที่แล้ว +2

    Hii nyimbo nzuri sana,big up Best Nasso na Nay.najikuta naisikiliza kila wakati

  • @abdulkadirnare9558
    @abdulkadirnare9558 6 ปีที่แล้ว +20

    Nakubal best naso pamoja na true boy ney wamitego

  • @princeallykitambonomaasana1761
    @princeallykitambonomaasana1761 6 ปีที่แล้ว +2

    Ney umemrudisha jembe kazini hapo ndio msani wa ukweli uliemsainisha sina mashaka nae hongera sana bonge ya hit

  • @alexplatnum4762
    @alexplatnum4762 6 ปีที่แล้ว +6

    best naso x ney wa mitego haka kaNGOMA #kizazi sana

  • @BarackaSaim-ev3gk
    @BarackaSaim-ev3gk ปีที่แล้ว +1

    2023❤ nasikiliza nyimbo hii

  • @wamburaogunya2251
    @wamburaogunya2251 6 ปีที่แล้ว +258

    mtoto wa mara wana mara mko wap like hapa twende sawa

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 6 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma tamu duh,afu kama wamejuana vile manake sauti imepangiliwa safi video safi.ongera braaa
    via king mapesa.cnn

  • @johnvenasa.k.awazamansana8025
    @johnvenasa.k.awazamansana8025 6 ปีที่แล้ว +4

    Kaja on fuer nas iko poa sana kama unaungana Na Mimi weka like yako hapa japo kdg

  • @prikidodeo4210
    @prikidodeo4210 6 ปีที่แล้ว +1

    hii ngoma sio ya nchi hii hongera sana naso nimeikubali iko poa sana naimani itafanya vizuri sokoni big up

  • @ramadhaniathumanimlenge6641
    @ramadhaniathumanimlenge6641 6 ปีที่แล้ว +102

    Hongera ney umemleta best nasso kwa wajanja

  • @badboy2577
    @badboy2577 6 ปีที่แล้ว +4

    Kali sana Kaka Nay mchukue best naso awe chini ya Free Nation

  • @kaymokskevins
    @kaymokskevins 6 ปีที่แล้ว +1

    Haiya huyo Helena anakaa mkenya tu...Nice hit there...

  • @rahimajuma688
    @rahimajuma688 6 ปีที่แล้ว +70

    dah best nasso kaka uko vizuri braza nay mpe saport ndugu yako video nzuri sn yani kila mtu ataicheza 🙋🙋

    • @maksipalachu1372
      @maksipalachu1372 6 ปีที่แล้ว +1

      Rahima Juma uko vzr

    • @ramahasanip3642
      @ramahasanip3642 5 ปีที่แล้ว +1

      naso ameweza kupiga hatua kwa kusimamia kaz yake

    • @mussamzonge2657
      @mussamzonge2657 5 ปีที่แล้ว +1

      Wazee kwa vijana.. Inachezeka.. Rahima unajua nyimbo..halafu hizi hata kwa liveband ..inakubali..

  • @KK-wf9fz
    @KK-wf9fz 6 ปีที่แล้ว +2

    Daaaah ipo vizur sana

  • @abdallahmnamba9828
    @abdallahmnamba9828 6 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe mix ipo bongo fleva na hip pop kweli wangoma ya kwetu nimependa sana hongera kwao

  • @Radga23
    @Radga23 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana good music, usikae sana kimya, Ney hongera kwa kushiki katika ngoma hii

  • @errymtanga4492
    @errymtanga4492 6 ปีที่แล้ว +5

    Ni motooooo!

  • @jumaigoti3666
    @jumaigoti3666 6 ปีที่แล้ว +1

    sichoki kuingalia hii ngoma best naso nakukubari miaka yote

  • @stanislastv3786
    @stanislastv3786 6 ปีที่แล้ว +186

    Best nasso we love you so much my broooooooo like for him my nasso

  • @realrealadventurestz3348
    @realrealadventurestz3348 6 ปีที่แล้ว

    Sasa nimegundua unaweza ukazan msanii flan ka isha kumbee ni mazingira yanachangiaa daaah kwa hii Naso umeuaaaaa

  • @kingkiwango1435
    @kingkiwango1435 6 ปีที่แล้ว +5

    Alaa kumbe mnaweza kutunga mashair mazur paxpo matusi na wimbo ukabamba??asante balaza la sanaa wizara na tcra kwa kaz mnayoifaya sasa namwona nay nlompenda cku ya kwanza anaanza kutoka... Yan cye mashabk sio kwamba mkiimba bla matus et ngoma hatuikubal noo cye tunapenda wimbo ambao hata ukpga akat mkwe yupo inakua poa sio unaplay huku remote umeweka kdole kwe FF ama next

  • @AthumaniMsumbwa-qf3dx
    @AthumaniMsumbwa-qf3dx ปีที่แล้ว +2

    sinaneno kwa7bu amenichagua
    leo tarehe21/21/7/2023 nipe like zangu plz

  • @GideonPancras
    @GideonPancras 7 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri pambana utatoka mtegemee mungu usije ukadanganywa ukaenda freemason uko pana wenyewe bora maisha marefu ya kawaida kuliko maisha mafupi ya mawazo

  • @alfredscriptsforcheaperpri6918
    @alfredscriptsforcheaperpri6918 6 ปีที่แล้ว +4

    sauti ya best naso hapo waaa ni Noma inaingiliana na bit

  • @ccyuutz8358
    @ccyuutz8358 6 ปีที่แล้ว +1

    best nasso nakukubali sana uko vzr kaka

  • @manjaruujr6504
    @manjaruujr6504 6 ปีที่แล้ว +5

    Nasoo huu ndo mziki sasa karibi kwenye dunia ya wapambanaji

  • @leonarddeus5897
    @leonarddeus5897 6 ปีที่แล้ว

    Kati yawasanii ambao nawakubali naww umo kwenye risti love so much best naso

  • @magesatv1405
    @magesatv1405 6 ปีที่แล้ว +4

    Big up bro naso ngoma imetulia sana. Ushauri wangu kwako hamia rasmi dar toka kule kijini musoma pia jaribu kuomba collaboration kutoka kwa wasanii mbalimbali ndani na nje ya nchi kama ulivyofanya kwa ney.

  • @juvenalymnyama735
    @juvenalymnyama735 6 ปีที่แล้ว

    Best nasso Umeuwa sana Man Mr nay safi sana mkuu ujawai kuniangusha

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 6 ปีที่แล้ว +3

    Yaaani Msanii halisi Kama nasso hapo bongo hamna 👏👏👏👏👏💪😂

  • @candcalfonce3120
    @candcalfonce3120 6 ปีที่แล้ว

    Ngoma Kali Hongera sana Nyimbo Umeitendea Haki
    Na Nay Kafeat Vzr Nimeipenda sana

  • @Lucas-ek7li
    @Lucas-ek7li 6 ปีที่แล้ว +16

    Ayooooo osam hahaaa this is freenation fireeeeeeee

  • @josimo7083
    @josimo7083 6 ปีที่แล้ว +2

    Nay and Nasso kazi nzur sana mabroooo

  • @mrmkandaras7491
    @mrmkandaras7491 6 ปีที่แล้ว +7

    This combination is very good
    Wasanii ninao wakubali ndio hawa Hatariiiiii

  • @georgesanga965
    @georgesanga965 6 ปีที่แล้ว +1

    Penda Sana Hii Ngoma. Best Naso Piga Ngoma Kama Hizi.

  • @mayombosylevester9212
    @mayombosylevester9212 6 ปีที่แล้ว +4

    Be blessed mr ney for supporting this forgotten talented nassoro an artist he is so awesome!

  • @stevetom4442
    @stevetom4442 6 ปีที่แล้ว +1

    song imeweza for sure Mr Nay Good job (True boy)