Dr. Makirita Amani: Daktari aliyeandika vitabu zaidi ya 20, husoma karibu 1,000 kwa mwaka | CHIMBO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 9

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mmempunja muda ikiwezekana mrudisheni tena part 02

  • @marymlewa8682
    @marymlewa8682 2 หลายเดือนก่อน

    Arudi tena jamani Dr ana mambo mengi.

  • @martinndunguru7103
    @martinndunguru7103 3 หลายเดือนก่อน +1

    Humu ndani madini yamejaa mengi sanaaa ni fire

  • @RynoFiree
    @RynoFiree 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tulio mikoani naweza kupata vipi hivyo vitabu?

  • @RynoFiree
    @RynoFiree 3 หลายเดือนก่อน

    Kitu kingine waheshimiwa mngeongeza muda wa vipindi maana Mada ni nzuri Sana ila inaonekana zinakatwa Sana, umalizaji wake unakua hauna mvuto Sana, ni ombi tu

  • @erickrakitic9113
    @erickrakitic9113 3 หลายเดือนก่อน

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 3 หลายเดือนก่อน

    Hongereni kipindi kizur