Kutoka kuuza asali, karanga, vyombo hadi kumiliki kampuni kubwa inayosambaza mbolea nchini | CHIMBO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 8

  • @Latifahhassan-lr8ew
    @Latifahhassan-lr8ew 3 หลายเดือนก่อน +3

    Masha Allah tabarakallah. Mwana Afrika!mama washoka ubarikiwe sana. Shukran sana kwa kipindi kizuri.

    • @zuwenarajab6675
      @zuwenarajab6675 3 หลายเดือนก่อน

      Masha Allah tabarakallah Henry pia ni kaka Afrika huoni ramani ya bara letu kwenye upande wa moyo wake! Shukran sana kaka Henry kwa uzalendo!

  • @SaraphinaKidoti-qe7gi
    @SaraphinaKidoti-qe7gi 2 หลายเดือนก่อน

    Hv kwann vipind vya mahana havina watazaji

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok 3 หลายเดือนก่อน +1

    Waooooooo kumbe Haris Kapiga upo SnS siku hizi??

  • @jumamansuli2499
    @jumamansuli2499 3 หลายเดือนก่อน +1

    E bwana nyie jamaa munatuelimisha sana, asiye elewa chochote tangu chimbo ianze Mungu amsaidie, nawapena sana, Mungu awabariki

  • @Madam255
    @Madam255 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aweee Roda nmeipenda sana hii mimi pia nataka kutengeneza kitu cha kwangu

  • @zuwenarajab6675
    @zuwenarajab6675 3 หลายเดือนก่อน

    Vipindi kama hivi vinakosa watazamaji, halafu tunahitaji mabadiliko kweli?

  • @hadijamandanje6189
    @hadijamandanje6189 3 หลายเดือนก่อน

    Nywila ya kutosema malengo yao nimeshaigawa da