Inna lillaahi wainna ilayhi raajiuun. ALLAH amsamehe makosa yake na ampe qauli thaabit na nuru qabrin mwake na Jannatul firdausi ya juu. Amiin Pole Maalim
Allah amsamehe, amhurumie na ampe makazi firdauwsi mzee wetu Shaikh Alhad Umar Kawambwa wa Pongwa. Pia ampe subra mpenz wetu Walid bin Sheikh Alhad na familia nzima, Allahuma Amiin.
Pole Sheikh Waleed Allah awape subra na amlaze pema sheikh Alhad Umar
Allah amrehemu
Mwenyezi MUNGU amjaarie subra katika kipindi hiki kigumu alichonacho sheikh Walid Alhad
Mwenyez Mungu ampe kauli thabit
Na poleni wafiwa wote mora awape subra
Inna lillaahi wainna ilayhi raajiuun. ALLAH amsamehe makosa yake na ampe qauli thaabit na nuru qabrin mwake na Jannatul firdausi ya juu. Amiin
Pole Maalim
Innallih wainailah rajiun polen sana ndgu zetu na Allah amrehem ndgu yetu
MwenyeziMungu ampe kauli thabit Sheikhe letu. Poleeni sana Sheikh Waleed
Innalillah wainnailayhi raajuun, polesana mwalim
Allah amsamehe, amhurumie na ampe makazi firdauwsi mzee wetu Shaikh Alhad Umar Kawambwa wa Pongwa. Pia ampe subra mpenz wetu Walid bin Sheikh Alhad na familia nzima, Allahuma Amiin.
Aamiin
Aamin
Poleni sana sana Shekhe Waleed
Allah amlaze mahala pema na wafiwa awamimine Subra
Allah akupe kila lakheri sheikh letu tupate kufaidika na wewe pia akupe umri mrefu
Allah ampe kauli thabiti Mzee wetu mashekhe Allah awepe Subra kwakipindi kigumu najua niwakati Gani mgumu
Aamiin
Innalillah wainnailaih rajiun
Innalilah wainna illah rajiun
pole sana shekhe walid
Pole sheikh waleed
Inna Lilah wainna ilahy rajiun
Kweli kabisa anaonesha
البقاء لله