Hiyo ndiyo faida ya kwenda shule. Ndiyo faida ya kuwa na wadomi kwenye nchi wanaolipenda taifa lao kwa moyo. Mungu akubariki sana wakili msomi Tito Magoti.
Bado najuiliza Deus Soka alifanya dhambi gani ya mauti? kuliko vijana wengine wa umri wake?. He was just a young man still growing physically and mentally. He believed the environmet was safe for him. It's so painful. Mtu mwenye mtoto au kijana anaweza kujua hayo maumivu. Hizo damu za watoto zitatumaliza. Mtoto akinyea mkono huukati.
Jamani nahisi maumivu makali sana nikidikia jina la Deus Soka. Kama mzazi moyo unavuja damu za uchungu. Ni kijana,mdogo sana ambaye alikuwa hazina kubwa ya taifa hili na Africa. Hizi damu za watoto wetu juu ya ardhi zetu ni nuksi zitatumaliza mmoja mmoja.
Magoti mngekua kumi kama wewe Nchi yetu ingekua mbali sana mbowe kibaraka wa Mama kalambishwa Asali ndio Maana ccm wanamuogopa Lisu kuwa mwenyekiti wanampigania kibaraka wao
Wapo mawakili wazalendo wengi tu siku hizi. Wanafanya kazi nyingi kubwa sana kwa nyakati tofauti. Wengine wako mahakamani kila siku kutingisha japo kidogo
Jamani ndugu Kibao ilikuwa akatoka Ccm kwenye Ukatibu akaingia Chadema wakati anajijua kuwa yeye i Nwanajeshi Mstaafu wa ngazi ya juu Mungu amlaze mahali pema peponi
Hizo picha za ikulu Mbowe kwishaa habari ndio zilimpomza ccm aliwazunguka kwa staili ya kurudisha mikono nyuma ili kuihadaa dunia ili nchi ipate misaada kwa kuaminishwa kuna maridhiano lkn walipooma kumbe mambo yanaendeka waligeuka na kuwatosa maridhiano 😅😅
Cha kwanza ni kutoka gerezani kupata muda wa kujikusanya upya. We ambaye hukuwa gerezani unaweza ukamwona aliyekuwa gerezani ama uhamishoni ni mjinga. Ingizwa gerezani ama ukimbie nchi ndio utatambua kama kweli sahihi ama si sahihi kukubaliana na Rais. Uongozi wote wa chama ulishatawanywa. Subirini uchaguzi muone wenye uchungu na chama chao wataamuaje. Chama mkafanye uamuzi wenu huru haki na usio na mawaa . Mitandao ni upepo tu ni wa kupima.
Huuu UJINGA MUACHE MMEANZA KUWA KAMA MILLARD AYO. HATUHITAJI KUSIMULIWA NA MTU TUNAHITAJI KUMSIKIA NA KUSIKIA KILICHOSEMWA. MKIENDELEA NA TABIA HII YA KUPOST NA KUONGEA NYINYI TUTAWAKIMBIA NA KUJIUNGA NA CHANNEL ZINGINE. MWISHO: KAMA NI TITHO AMEONGEA BASI TUSIKIE SAUTI YA TITO SIO YA MWINGINE.
Tatizo lako unasikiliza bila kuelewa. Mwanzoni msomaji/msimuliaji amesema hii ni makala iliyoandikwa mahali. Ulitaka huyo Tito asimulie wapi? Ukitaka kuonekana umeandika kitu cha maana waza kimaana.
Dah! Huo ndio Uchambuzi ulioenda shule
Asante sana wakili msomi Tito Magoti
Umetufumbua wengi macho. Huo ndio uzalendo wa kweli. Maslahi ya taifa kwanza mengine badaye.
Barikiwa sana
Mmmmh ahsante sana Tito Magoti
Ahsante sana kwa ufafanuzi Tito magoti.
Kumbe haya maridhiano yanaacha maswal mengi kuliko majibu.
Mungu atusaidie sana
Hiyo ndiyo faida ya kwenda shule. Ndiyo faida ya kuwa na wadomi kwenye nchi wanaolipenda taifa lao kwa moyo.
Mungu akubariki sana wakili msomi Tito Magoti.
Bado najuiliza Deus Soka alifanya dhambi gani ya mauti? kuliko vijana wengine wa umri wake?. He was just a young man still growing physically and mentally. He believed the environmet was safe for him.
It's so painful. Mtu mwenye mtoto au kijana anaweza kujua hayo maumivu. Hizo damu za watoto zitatumaliza.
Mtoto akinyea mkono huukati.
Mimi na Simama na Tundu Lisu popote pale
Jamani nahisi maumivu makali sana nikidikia jina la Deus Soka.
Kama mzazi moyo unavuja damu za uchungu.
Ni kijana,mdogo sana ambaye alikuwa hazina kubwa ya taifa hili na Africa.
Hizi damu za watoto wetu juu ya ardhi zetu ni nuksi zitatumaliza mmoja mmoja.
Mbowe anawachekea sana ccm,ni wakati wa lissu
Nakubaliana na wewe Tito, Mbowe anasumbuliwa na uroho wa madaraka, anatakiwa akae pembeni tu nakuwa mshauri wa Chama.
Titto ni kichwa haswa.
Mh mbowe alivyojikanyaga angejiondoa kabisa alinde heshima kidogo iliyobakia
Mmmmmm kumbe😢😢😢
Mbowe sis watanzania unatuona wajinga sana ila mimi kwa mtazamo wangu umechoka kuongoza chadema
Magoti mngekua kumi kama wewe Nchi yetu ingekua mbali sana mbowe kibaraka wa Mama kalambishwa Asali ndio Maana ccm wanamuogopa Lisu kuwa mwenyekiti wanampigania kibaraka wao
Wapo mawakili wazalendo wengi tu siku hizi. Wanafanya kazi nyingi kubwa sana kwa nyakati tofauti. Wengine wako mahakamani kila siku kutingisha japo kidogo
WAKILI MAGOTI WEWE NI HAZINA YA TAIFA HILI. UNASTAHILI HESHIMA KUBWA SANA.
An Award. He deserves it
Jamani ndugu Kibao ilikuwa akatoka Ccm kwenye Ukatibu akaingia Chadema wakati anajijua kuwa yeye i Nwanajeshi Mstaafu wa ngazi ya juu Mungu amlaze mahali pema peponi
Tito Magoti ndiyo mwanaharakati makini na mkweli si Mbweha zingine hizi Ni ukweli uliokweli aliouongea Tito
Watanzania tuache unafiki, kila mtu atumize wajibu wake, acheni kuwachia mzigo chadema
LISU Daima
Mnajua kwann tundu anavaa ivyo?
Hizo picha za ikulu Mbowe kwishaa habari ndio zilimpomza ccm aliwazunguka kwa staili ya kurudisha mikono nyuma ili kuihadaa dunia ili nchi ipate misaada kwa kuaminishwa kuna maridhiano lkn walipooma kumbe mambo yanaendeka waligeuka na kuwatosa maridhiano 😅😅
Cha kwanza ni kutoka gerezani kupata muda wa kujikusanya upya. We ambaye hukuwa gerezani unaweza ukamwona aliyekuwa gerezani ama uhamishoni ni mjinga. Ingizwa gerezani ama ukimbie nchi ndio utatambua kama kweli sahihi ama si sahihi kukubaliana na Rais. Uongozi wote wa chama ulishatawanywa. Subirini uchaguzi muone wenye uchungu na chama chao wataamuaje. Chama mkafanye uamuzi wenu huru haki na usio na mawaa . Mitandao ni upepo tu ni wa kupima.
Mbowe akae pembeni na. Maridhiano yake na samia
Huuu UJINGA MUACHE
MMEANZA KUWA KAMA MILLARD AYO.
HATUHITAJI KUSIMULIWA NA MTU TUNAHITAJI KUMSIKIA NA KUSIKIA KILICHOSEMWA.
MKIENDELEA NA TABIA HII YA KUPOST NA KUONGEA NYINYI TUTAWAKIMBIA NA KUJIUNGA NA CHANNEL ZINGINE.
MWISHO: KAMA NI TITHO AMEONGEA BASI TUSIKIE SAUTI YA TITO SIO YA MWINGINE.
Tatizo lako unasikiliza bila kuelewa.
Mwanzoni msomaji/msimuliaji amesema hii ni makala iliyoandikwa mahali.
Ulitaka huyo Tito asimulie wapi?
Ukitaka kuonekana umeandika kitu cha maana waza kimaana.
@@simulizizakiswahililowasa Alisha sema Tanzania tunasumbuliwa na mdudu elim wewe unaangaika kumjibu mtu hasie na elimu!!! 😂😂😂
@simulizizakiswahili UJINGA huo hatuutaki siku hizi.
Kama n club house alisikika Alete voice yake...Asitulishee maneno