Hii inaonesha watanzania hawana roho mbaya, wakati wakenya wana mpango wa kuwazuia wasanii watanzania wasifanye kazi kenya,watanzania wanawaita wasanii wa kenya wafanye kazi Tz
ile ya diamond na dogo wa kenya ni kiki,kumbuka ile ya harmonize na erick omond,wale hawana ugomvi na za ndaani hapa juzi wameonekana mitaa ya mbez beach wapo gari moja
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Tanzania nchi ya upendo na amani wakenya karibuni sana
Muheshimiwa Makonda may God bless u
We ❤our makonda much love from kenya Mhesh
😂😂😂😂 how i wish ningekua Kenya,everywhere this guy goes i Must attend,Harmo bana is a very talented fellow 😂
Kichwa hicho kwa comedian mimi huyu nampa number 1
Hii inaonesha watanzania hawana roho mbaya, wakati wakenya wana mpango wa kuwazuia wasanii watanzania wasifanye kazi kenya,watanzania wanawaita wasanii wa kenya wafanye kazi Tz
ile ya diamond na dogo wa kenya ni kiki,kumbuka ile ya harmonize na erick omond,wale hawana ugomvi na za ndaani hapa juzi wameonekana mitaa ya mbez beach wapo gari moja
Makonda upo vizur na ububifu man
Eric Omondi anarudia sana vichekesho
Tena uyo Omond hakupaswa kuja TZ kabisa
@@bennylove6021 Kwann
Uwezo umeshuka 😂😂
long way to go pull up your socks my fellow tanzania
Kenyans are baddass, eliud tu ndo kawasimamisha
Hapo kwa magu raha
Erick hapo Kwenye biblia nmecheka ka chizi😂😂😂
OMONDI your genius😅😅😅
Omond hatumtak Tz ana mambo ya ajabu ajab sana hajitambui
Ndo yupi
@@dicksongeorge7745wa pili
Acha visasi wewe
@@ThekraJangavisasi vp awe anafanyia wa Tz ujinga sisi tumfurahie kisa tukimsema tutakua tunalipiza visasi,aache ujhinga ujhinga
@@ZawadiMoriskabisa hakuna kisasi apo niukweli
Ooh mbn hizo show za kucheka wanawake ndio wengi San hii kitalamu inaitwaje jamn mbn sielewi
Ata makanisani wanawake
Nawapata uziru nikiwa kigamboni Dar es salaam hon makonda wewe ndiyo mkuu wa mkoa Bora Tz wanainchi wa kigamboni tuna zawadi yakooooooo 2025 Oktober
My🇹🇿🇹🇿❤️🥂🎄
Nimeona mr kasongo katikati ya simba wawili😂😂😂😂😂
Do you guys understand what bato means juu sielewi.
Show time
❤❤❤❤❤❤
Kasongo ametrend na hajui🤣
Erick omond hana mvuto tena. Inabidi astaafu
Bora hamo asee
Kumbe kasongo ndo anafanana hivi?
Omond uliongea ujinga sana sakata la diamond na wilpool mjinga sana wewe
bato????¿ mwandishi wa aina gani wewe?
😂😂
Mnafiki wewe omondi
Mjinga wewe