MADELEKA AWAPIGA MADONGO WANAOSEMA WANAHARAKATI WANAINGILIA UCHAGUZI WAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 37

  • @JohnMhagama-ri8zc
    @JohnMhagama-ri8zc วันที่ผ่านมา +5

    Wakili uko viziri sana wasomi wate wangekuwa wanatumia Elimu zao vizuri kama ww unavyoitumia kwakweli nchi hii
    hii ingekuwa mbali sana, Hongera sana wakili

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 วันที่ผ่านมา +1

    Mwandishi huyu huwa namuona kama chawa!
    Madereka ni wakili makini sana nampenda sana,Mungu ambariki, Ameni.

  • @nkwabimayunga473
    @nkwabimayunga473 วันที่ผ่านมา +5

    Wakili wewe kweli msomi🎉🎉❤

  • @moriskadungula9353
    @moriskadungula9353 วันที่ผ่านมา +6

    Madeleka mtu makini sana!

  • @modernfarming5938
    @modernfarming5938 วันที่ผ่านมา +2

    Ila wanahabari tz wavivu kufikiri huyu jamaa anakwepa maswali kiakili sana hajibu anavyoulizwa

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 วันที่ผ่านมา +5

    Wajumbe watuletee lissu,chadema itakuwa imara kwakuwa ni damu mpya kwenye kiti.wakichagua mbowe,watafutwe cuf ilipoangukia,ili waende salama

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya วันที่ผ่านมา +3

    We, mwandishi maswali Yako ni ya ubaguzi. Lakini nashukuru umejibiwa kisawasawa.

  • @melch3097
    @melch3097 วันที่ผ่านมา +2

    Tatizo una harakati wenu, mnataka kuitumia chadema, fanyeni wajibu wenu na chadema wafanye uwajibu wao

  • @saadune
    @saadune วันที่ผ่านมา +2

    Green journalist in every aspect literally

  • @deejeydaev
    @deejeydaev วันที่ผ่านมา +1

    Hawa jamaa john na peter niwatu makini sana

  • @tanzaniashinyanga454
    @tanzaniashinyanga454 วันที่ผ่านมา +2

    Wanaharakati au kwa jina jepesi madalali

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wakili yuko smart sana

  • @festogangata7202
    @festogangata7202 วันที่ผ่านมา +2

    Mkifanya masihara mtakirudisha chadema kule chini kilipotolewa na maamuzi ya mihemko, nguvu, bila busara ni buree, hiyo njia mnayoitaka kuipita ikiwashinda mtarudi kwenye njia anayoitumia mboye au mtaunga nia?

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 วันที่ผ่านมา +1

    Ww madeleka acha kudanganya watu! Ccm ina katiba yake ambayo inahitimisha ukomo wa kiongozi wa juu wa nchi kupitia ccm kiongozi akimaliza miaka yake kumi ya uongozi hapo katiba imeruhusu wagombea wengi kuingia kugombea. Kwa hiyo rais wetu akishinda kwenye awamu ya kwanza basi awamu ya pili ndani ya chama hakutakuwa na mgombea mwingine tena zaidi ya yule aliyepo ili amalizie muhula wa pili kwa kushindana na vyama vingine je hiyo cyo demokrasia? Acha kudanganya watu

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 วันที่ผ่านมา

    Wajumbe mtakaopiga kura kuchagua mwenyekiti wa Chadema Taifa mtuletee Tundulissu, tofauti na hapo mkichagua Mbowe sijui mtakuja kuomba kura kwa Wananchi kwa kueleza nini mlichokifanya endapo mtachagua kwa upofu!

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 วันที่ผ่านมา +1

    Mafisiemu. Yanamtaka mbowe chadema halisi tunamtaka lisu

  • @clotildatarimo7847
    @clotildatarimo7847 วันที่ผ่านมา +1

    Wanamletea mbowe zengwe kwa sababu hapendi ushoga, mwekeni lisu muone rangi yake, ujinga watanzania ni wepesi kusahau

    • @rahimsadru-ct4ot
      @rahimsadru-ct4ot วันที่ผ่านมา

      Mbowe akawe mzee WA Baraza kanisan

    • @yohanamgimba102
      @yohanamgimba102 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mashoga wote walioko huko magomeni,kijichi na kwingineko wameletwa na Lissu?kipindi makonda anafanya operation ya mashoga Dar ulikuwa mtoto?nao walikuwepo mitaani Kwa sababu ya Lissu labda kama na wewe ni shoga unapenda kufirwa pengine

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 วันที่ผ่านมา

    Dunia inaona uwezo wa Mbowe kuimarisha chama ndiyo maana vita vinachochewa kife. Huwezi kuongoza kwa hasra na vita nchi itaingia kwenye vita kama msumbiji na vile vya rwanda burundi na somalia,kenya na uganda

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 วันที่ผ่านมา

    Japo Fm has to go la Maandamano Watz wengi hawajui haki zao elimu ya uelewa piia inachangia sana

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 วันที่ผ่านมา

    Mafisiem yanamtaka Mbowe! Wazalendo na Chadema halisi ni team Tundulissu.
    Tunaitaka Chadema mpya ya Tundulissu,hiyo ndiyo itakuwa Chadema halisi ya Wazalendo.
    Wajumbe mtakaopiga kura tunaomba msikubali rushwa za wagombea mtuletee Tundulissu anafaa kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa sasa tunaenda na Tundulissu.

  • @GiliardLugala
    @GiliardLugala วันที่ผ่านมา +1

    Kimbe madeleka huna akili ,,demoklasia ni kuwa. na makubaliano na kuyaishi

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam วันที่ผ่านมา

    Huyu mwandishi vpi?, siyo tu wanaharakati na wanasheria, Watanzania wengi wanataka mabadiliko, wanaamini CDM ndo chama mbadala, hivyo wanachama pekee hawatoshi kuifanya CDM kushika Dola, wanaochagua wakifanya ujinga CMD kitawafia mikononi mwao.

  • @annakapolondo7771
    @annakapolondo7771 วันที่ผ่านมา +2

    Wakili msomi

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 วันที่ผ่านมา +2

    Wanaotaka Mbowe aondoke wanataka chadema kufa. Lisu hana busara za kuongoza wananchi. Mbowe ni kipaji cha pekee.Lisu ameonesha kuwa ana roho mbaya kwa Mbowe anavyokichafua chama na wenzake.

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kichwa imejaa madini Madeleka kama Lisu Mwabukusi Mdude

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 วันที่ผ่านมา

    Lisu atapita kama Mwabukusi kwa raha zao

  • @melch3097
    @melch3097 วันที่ผ่านมา +1

    Mbowe amekijenga chama from zero mpaka sasa, hata lisu aondoke na wafuasi wake, chadema itasimama, nampenda lisu kuliko mbowe, lkn kuongoza chadema hawezi,

  • @Hassang3z
    @Hassang3z 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Madeleka acha njaa

  • @a.c.luambano3792
    @a.c.luambano3792 วันที่ผ่านมา

    Maswali ya mwandishi yanaonyesha mwelekeo wake

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 วันที่ผ่านมา

    Anafaa. Mama yako. Km wote hawafai

  • @SelemaniHamiss
    @SelemaniHamiss วันที่ผ่านมา

    Ukon

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v วันที่ผ่านมา

    Wawili wite hawafai

  • @melch3097
    @melch3097 วันที่ผ่านมา +2

    Mbowe amekijenga chama from zero mpaka sasa, hata lisu aondoke na wafuasi wake, chadema itasimama, nampenda lisu kuliko mbowe, lkn kuongoza chadema hawezi,

    • @balljmushi9599
      @balljmushi9599 วันที่ผ่านมา

      Mpeni 5 muonee kwnzaa,,,cyo et;'"haweziiiiii,,,,Haweziii ya hewaniii!?.

    • @yohanamgimba102
      @yohanamgimba102 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ng'ombe kabisa apewe nafasi ya kugombea urais lakini ashindwe kuongoza chama kama mwenyekiti?