Wanawake hawa watakuhamasisha ujitume zaidi na ujiamini nawe unaweza kufanikiwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • Faith Nkya na Mama Nide ni wajasirimali walioamua kufanya kazi kwa bidii ili kuziwezesha familia zao. Katika kutambua thamani ya mwanamke kwenye msimu huu wa mwanamke duniani, tumezungumza nao kuhusiana na biashara zao na jinsi wanavyotumia huduma za kifedha kukuza biashara zao
  • ยานยนต์และพาหนะ

ความคิดเห็น • 24

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 5 ปีที่แล้ว +1

    pole mama na ongera piya kwakuwa moyo wakupambana nyinyi njo wanawake waotakiwa najamii.

  • @DalkhasKitchen
    @DalkhasKitchen 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mama mungu akuzidishie rizik katika kazi yako

  • @diyaosman8992
    @diyaosman8992 5 ปีที่แล้ว +3

    Mama mungu akupe afya Inn shaa ALLAH ameen

  • @koffianodichisesa238
    @koffianodichisesa238 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji ukovizur Sana unauliza maswali vizuri

  • @kalamuyantajajr2605
    @kalamuyantajajr2605 5 ปีที่แล้ว +1

    Mama umetisha! Umefanya kazi mpaka wizara ya kazi

  • @DalkhasKitchen
    @DalkhasKitchen 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah nataman siku Moja nifike alipofika huyu dada

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 4 ปีที่แล้ว +3

    Haya ndomambo tunayoyataka sio kila kukicha zari diamond

  • @ashazaharan1750
    @ashazaharan1750 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante mama umeongea poit saan

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 ปีที่แล้ว +1

    Chris Leo ugekua karibu nigekulipia lunch maan hiki kipindi kinanifajiri munoooo

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Safi sana

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 ปีที่แล้ว +2

    Ona mama mjane anavyopamba mwenyewe tu unatamani kumsaidia. lakini midume mizima na nanii zao kazi kuomba tu mpaka unaogopa kuwa online kuchat sababu ya kuombwa. Creez nimependa sana kipindi chako naamini kitaelimisha wengi.

    • @fatwimamakungu5456
      @fatwimamakungu5456 5 ปีที่แล้ว +1

      Mwanajuma O Mahundumla 😂😂😂😂yamekuwa ayo unaogopa kuchat hahaha wallah ningekuwa mm namchana mtu

    • @mwanajumaomahundumla6504
      @mwanajumaomahundumla6504 5 ปีที่แล้ว

      @@fatwimamakungu5456 kuna ninao wachana ila kuna wengine mmmm hata huwezi kuamini kama ndio yeye kweli hata huruma wala aibu hawana

    • @fatwimamakungu5456
      @fatwimamakungu5456 5 ปีที่แล้ว

      Mwanajuma O Mahundumla shosti wangu kama upo nchi za watu kwajili ya kutafuta pesa basi jiulize waombaji uwa awaishi mm nipo Dubai ila baadhi ya watu wakinitangazia ziki nawachunia wengine nawaosha vizuri wallah

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 5 ปีที่แล้ว +1

    Mama zetu hao Mungu awape afaya njema inshallah 😘🙏🏿

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @diamondplatnumznewsajm2053
    @diamondplatnumznewsajm2053 5 ปีที่แล้ว +3

    KWERI HAPA NI KAZI2 MAANA USIPOFANYA KAZI Utabaki kuongea VIBAYA2 Watu 😂😂😂

  • @SKILLS360TV
    @SKILLS360TV 5 ปีที่แล้ว

    Poa sana HAPA kazi OK ila PITIA HAPA KUONA UBUNIFU WA MAPAMBO YA NDANI ili kuni sapoti SUBSCRIBE na bonyeza kengere bofya kapicha kushoto