Mtume Mwingira Akisema Wanakuja Juu,Askofu Josephat Gwajima

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 223

  • @HAAM670
    @HAAM670 11 หลายเดือนก่อน +3

    Hii ilienda, penda sana mimi huyu Gwajima. Tanzania we're blessed to have you as part of the body of Christ

  • @anthonymwathi3116
    @anthonymwathi3116 4 ปีที่แล้ว +6

    Nashangaa anafafanua kama nabii mmoja Efatha,Babangu Wilbert hongera sana kwa ufafanuzi mzuri huu askofu

  • @AloyceTz762
    @AloyceTz762 5 ปีที่แล้ว +12

    Aiseeeee ,Bishop Gwajima Ana Nondo ,Yaan Ana Madini ,Mweee Mungu aendelee Kukutunza Bishop Yaan Ume ni Inspire Sana sana Bishop.

    • @pastor.frank.tmwaisemba7401
      @pastor.frank.tmwaisemba7401 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @hebrew1214
      @hebrew1214 5 ปีที่แล้ว

      Je kuna Yesu Kristo anahubiriwa na kupewa utukufu hapo??

    • @pastor.frank.tmwaisemba7401
      @pastor.frank.tmwaisemba7401 5 ปีที่แล้ว

      Freddie Ronald
      Sijui mtazamo wako ukoje hivyo nashindwa kukujibu

    • @AloyceTz762
      @AloyceTz762 5 ปีที่แล้ว

      uki hubiri wewe kwenye kihenge chako ina tosha hiyo ndo size Yako unayo weza kuivaa zingine waachie wengine haziwezi kukutosha.

  • @isakalumumba5817
    @isakalumumba5817 4 ปีที่แล้ว +1

    Ooh haleluya nawapenda watumishi wa BWANA Umoja na upendano udumu kati yenu nasi tupo pamoja nanyi zaburi 133:1-3
    Ezra 10:4 BARIKIWA BABA GWAJIMA,MWINGIRA NA WENGINE WOTE NAWAPENDA

  • @ufalmewamungukwawatuwotetv3714
    @ufalmewamungukwawatuwotetv3714 5 ปีที่แล้ว +3

    Maono na ufunuo vipo hii na waunga mkono ma baba zangu.Bwana asifiwe kwa kazi kubwa mnatuonyesha.
    P-FREDDY NSHIMIRIMANA kutoka Bujumbura

  • @pastorjoshuajuma8016
    @pastorjoshuajuma8016 5 ปีที่แล้ว +5

    Mtumishi wa MUNGU kuwa na bodigadi ni ki Biblia kabisa maana hata Eliya alikuwa na bodigani.Na Musa alikuwa na bodigadi Amina.

    • @mzeewavibedr.4032
      @mzeewavibedr.4032 3 ปีที่แล้ว

      Ata Yesu Alikuwa akitembea na Wanafunz 12

  • @jimmymbwambo6731
    @jimmymbwambo6731 5 ปีที่แล้ว +3

    Jambo jema sana! "Kuweni wamoja kama sisi tulivyo wamoja" inacutia sana ndugu wakikaa Pamoja kwa umoja

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 5 ปีที่แล้ว +7

    Daaaah Madini yamohumuuu Barikiwa Bishop ."Kanisa limejengwa kwenye ufunuo "

  • @pastorjoshuajuma8016
    @pastorjoshuajuma8016 5 ปีที่แล้ว +5

    Hata YESU alikuwa na bodigadi ambao ni kinapetro wengine wengi.

    • @marcodominico9503
      @marcodominico9503 5 ปีที่แล้ว

      Pastor Joshua juma
      Petro hakuwahi bodyguard wa YESU. Na hata YESU aliwahi kusema hana haja na walinzi

  • @magdalenamatiko9995
    @magdalenamatiko9995 4 ปีที่แล้ว +3

    Minakukubali kujiamini kwako una uhakika na Mungu unaemtumikia

  • @janethpaul5555
    @janethpaul5555 5 ปีที่แล้ว +6

    Ameen Baba Askofu Gwajima Mungu Akubariki sana sana...

    • @antonyantonychristopha9845
      @antonyantonychristopha9845 5 ปีที่แล้ว +1

      Na Makristo wengi wa uongo watatokea nao watawadanganya wengi yamkini hata wale walio wateule

  • @alfredbyangwamu9821
    @alfredbyangwamu9821 5 ปีที่แล้ว +4

    Watumishi Wa Mungu WA JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO tunawaomba endelea kumhubiri Kristo. Sisi tunapenda.

  • @christophermgoli1236
    @christophermgoli1236 5 ปีที่แล้ว +4

    Upo sahihi Bishop Gwajima MUNGU AKUPIGANIE

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 5 ปีที่แล้ว +5

    Askofu Gwajima, unajua sn kuhubir na hauna jealous, unajua sn

  • @KP-kn2no
    @KP-kn2no 5 ปีที่แล้ว +7

    Hii nimeipenda sana ndio mkubali mwenzako tena muombee

  • @mossesmwambenja9635
    @mossesmwambenja9635 5 ปีที่แล้ว

    ukovizuri sanaaa kwafikra yakumpendeza sana kristo umenifurasha sana kwakazi nzur askofu gwajima umekuwa mshauri wa ajabu love you bishop uinuliwe zaidiiiiiiiiiiiiii

  • @Andy_tz
    @Andy_tz 5 ปีที่แล้ว +5

    wooooow. hapo baba JG Umeua sana . asiekubari hayo ni wivu tuu.
    mungu akubariki

  • @omreuzex7109
    @omreuzex7109 5 ปีที่แล้ว +7

    Sio siri Huyu mtu anajua kuongea ! 😀😀😀

  • @lukhubeni8726
    @lukhubeni8726 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa maneno ya Hekima 🙏

  • @godfreylyimo4177
    @godfreylyimo4177 5 ปีที่แล้ว

    Watu wa Mungu tusipomtafuta Mungu kupitia kweli(logos) lkn kuhakikisha tunamjua Roho Mtakatifu na anakuwa mshirika wetu wa karibu. Kwa haya hautaangaishwa na manabii wa uongo sbb ni lazima wawepo sbb Yesu alisema watakuwepo na watafanya miujiza...Kuwa makini

  • @mpokianyitike7800
    @mpokianyitike7800 5 ปีที่แล้ว +3

    Baba uko vizuri Asante kwa mafundisho haya be blessed you spoke the truth

  • @sayunicasmiry4365
    @sayunicasmiry4365 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante baba unanitia moyo Askofu

  • @alfredbyangwamu9821
    @alfredbyangwamu9821 5 ปีที่แล้ว +10

    Gwajima watumishi hawakupinga Utume, Unabii, na Ufunuo! Bali matumizi ya Utume, na Unabii, na Ufunuo: kwamba sio kwa kuuza mpaka chupa za maji!.

    • @shadrackmpama2947
      @shadrackmpama2947 4 ปีที่แล้ว

      Safi uko sahihi ishu ni matumizi ya unabinii wa sasa

    • @NaseebLugusha
      @NaseebLugusha 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwamba hujui kuna watu wanapinga uwepo wa mitume na manabii?

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 5 ปีที่แล้ว +2

    Yesu alikuwa Mungu ni Mungu akatengezewa njia na Petro ?

  • @boniphasfesto4325
    @boniphasfesto4325 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Akubariki sana Askofu Gwajima

  • @desderymakoi6595
    @desderymakoi6595 5 ปีที่แล้ว +1

    Majeshi Majeshi...Yakipiga Majeshi....Mwenye maskio na Asikie. Amen

  • @stevelayda8555
    @stevelayda8555 5 ปีที่แล้ว +3

    Amina baba Askofu Gwajima Ubarikiwe sana.

  • @danielkntimba4565
    @danielkntimba4565 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Baba Askofu. Upon Ufunuo wa Jumla ( General Revelation) na Ufunuo Maalum (Special Revelation) . Wasiojua hawaelewi ukweli huo.

  • @jaredmutego6884
    @jaredmutego6884 5 ปีที่แล้ว +1

    hapo ni kweli askof gwajima umeongea vizuri sana

  • @pastorjoshuajuma8016
    @pastorjoshuajuma8016 5 ปีที่แล้ว +4

    Napenda sana ufahamu wa Gwajima.

    • @marinemodest1798
      @marinemodest1798 4 ปีที่แล้ว

      hivi huwa hawana vibali vya kujenga makanisa au maana naona ana uwezo mkubwa sana ila hawajaweza kujenga makanisa

    • @charlesjohn5792
      @charlesjohn5792 3 ปีที่แล้ว

      Ufahamu wake ni wa juu

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 ปีที่แล้ว +9

    Na walokole wanavyowadharau watu wa mataifa je,? wanajiona wao ni watakatifu sana.

    • @ferotial4659
      @ferotial4659 3 ปีที่แล้ว

      Ndugu njoo kweny wokovu upate uzima wokovu ni laha sana

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 3 ปีที่แล้ว

      We huoni vinyago

  • @emilydavidmdoe3552
    @emilydavidmdoe3552 5 ปีที่แล้ว

    nimewafurahia sana watumishi huo ndio umoja tunahitaji kuuona na baba zetu

  • @emmanueljohn8970
    @emmanueljohn8970 5 ปีที่แล้ว

    Umeongea jambo kubwa Sana, ambalo Manabii wengine wameshindwa kusema, Hakuna Huduma Kubwa zaidi ya Nyingine.

  • @barakamweta9958
    @barakamweta9958 5 ปีที่แล้ว +3

    Umeongea Ukweli kaka.naakuamini were mkweli sana.Nakukubali Ni mkweli

  • @hebrew1214
    @hebrew1214 5 ปีที่แล้ว +23

    Bali SISI TUNAMUHUBIRI KRISTO WALA SI MAJI WALA MAFUTA N.K

    • @festojohn1795
      @festojohn1795 4 ปีที่แล้ว

      Mwingira na ujaguzi wa 2020

  • @sulemanmadahatv1691
    @sulemanmadahatv1691 5 ปีที่แล้ว +8

    JKK nawaelewa sana naona wanalenga tu kumrudishia YESU nafasi yake ya utukufu ambayo kunawatu wanajitwalia nafasi hio,kwa kumbukumbu zangu KRISTO atahubiriwa tu na atarudi katika nafadi yake

  • @IbrahimSokoine-b2c
    @IbrahimSokoine-b2c ปีที่แล้ว

    Nimekukubuli barikiwa

  • @IbrahimSokoine-b2c
    @IbrahimSokoine-b2c ปีที่แล้ว

    Nidhamu ni hekima barikiwa

  • @genovevakisawike-xo2wq
    @genovevakisawike-xo2wq 10 หลายเดือนก่อน

    ❤upo sawa Askofu

  • @simonimwaso9788
    @simonimwaso9788 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwamungu hakuna linaloshindikana hata uwe mdogo akiamua kukuinua atakuinua tu.

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano 4 หลายเดือนก่อน

    Yeremia 23:23-29. Hapo unafasirije?

  • @boniphasfesto4325
    @boniphasfesto4325 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukubariki

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 4 ปีที่แล้ว +2

    GWAJIMA TUTAKUWA MEZA MOJA BUNGENI🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 9 หลายเดือนก่อน

    gwajima muongo unachanganya ya mungu na ya kaisari tumeshaga kukugundua zamani wewe ni lusekelo mzee wa upako ni ccm

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameni mtumishi wa mungu

  • @paulmbilu4004
    @paulmbilu4004 5 ปีที่แล้ว +4

    God bless you papaa!!!

  • @petermwanyondo6459
    @petermwanyondo6459 5 ปีที่แล้ว +5

    Mzee upo vizuri xanaaaa

  • @naftalimhemi4163
    @naftalimhemi4163 ปีที่แล้ว

    Nimepiga makofi Mtumishi

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano 4 หลายเดือนก่อน

    Vizuri kama hawaendi sawasawa na Neno la wakati, hapo inakuwaje? Je tusiwaambie?

  • @uwezoseleman5530
    @uwezoseleman5530 5 ปีที่แล้ว +5

    My qn is je JG umefunliwa hayo unayosema? au unajipigania mwenyewe
    Je unajua JKK imetoka kwa Mungu? Injili ya sasa kuna maziwa na tuwi la nazi. Unatakiwa kuonja ili kutofautisha. Soma neno hakuna njia mbadala yakwenda Mbinguni.

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 5 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni born again lakini hamjui mnachozungumzia....na kingine woote Hawa wachungaji na manabii Kama wangekua na hekima, busara, na uongozi wa Mungu wasingepoteza muda kubishana kwenye Mambo ya nyumba yao wenyewe....wako kujenga ufalme mmoja lakini wanainuka kutupiana maneno! Unadhani hawa wanajenga nyumba moja? Hapana....kuna falme mbili tofauti ndio maana unaona kuna kurushiana maneno. Kaeni mfundishane sio kutupiana maneno. Biblia inasema Kama mmoja wenu akikosa hekima na aombe....ombeni msije mkaingia majaribuni. Shetani anatumia vinywa vyenu...muwe makini...mnasema ukweli ambao hamjaufanya kuwa ukweli. Note: shika sana ulichonacho asije mwovu akakunyang'anya, mbili: adhaniye amesimama aangalie asianguke, tatu: Shetani huja Kama malaika wa Nuru.....na maandiko anayajua....sasa be careful maana shetani hatatoka nje ya Pentecostal churches atatokea ndani. The only enemy is coming from inside. Bye

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 5 ปีที่แล้ว +5

    Daaaah Barikiwa Bishop Gwajima

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 5 ปีที่แล้ว +2

    Msamaha we vifaa vya kuabudia Hata Zamani vilikuwa avilipiwi kodi

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 ปีที่แล้ว

    🤔mmh what a revelation?!
    Nimeelewa kweli ilikuwa hand over aisee!
    Na kweli bila ufunuo hakuna kutoka

  • @bettynyandwi9591
    @bettynyandwi9591 5 ปีที่แล้ว +2

    Nabii mzee na Nabii kijana 1Wafalme 13:1-20

  • @emanueljoshua6228
    @emanueljoshua6228 5 ปีที่แล้ว +6

    Mimi sasaivi ni heri nifungue kanisa langu nymbani nisali na watoto wangu na mke wangu. Saivi hapaeleweki injili imepoteza maana yake tena.

    • @hamisimussa2228
      @hamisimussa2228 5 ปีที่แล้ว

      Kama ipi

    • @gastonjoshua9326
      @gastonjoshua9326 5 ปีที่แล้ว

      Soma (,Mika 7:5.Kila mtu ana mapungufu! Una onesha hauna misingi ya kiroho!! Kila kwenye Biblia Alikuwa na udhaifu wake.soma Pia zaburi 77:10.utashangaa!!!!! Yesu Alisema Kwenye ,(MATHAYO 23:3).FUATA ANACHO FUNDISHA,MADHAIFU ACHANA NAYO!!

    • @emanueljoshua6228
      @emanueljoshua6228 5 ปีที่แล้ว

      Inawezekana nayo ni maono na mafunuo nimepata msinilaumu jamani

    • @vumiliahalimeshi3133
      @vumiliahalimeshi3133 5 ปีที่แล้ว

      @@emanueljoshua6228 sio maono umekwama wewe

    • @subiradalabu6616
      @subiradalabu6616 5 ปีที่แล้ว

      👍👍👍

  • @hebrew1214
    @hebrew1214 5 ปีที่แล้ว +3

    Je maono hayo na mafunuo hayo yanamuhubiri na kumuinua Kristo?

    • @pastormsafi8454
      @pastormsafi8454 5 ปีที่แล้ว

      Mbona unahangaika sana

    • @isayachando6767
      @isayachando6767 5 ปีที่แล้ว +1

      Hapa wanawaunganisha watumishi ili Kazi ya kristo iende mbele, jua kutofautisha!!!!

  • @peterluhanda7632
    @peterluhanda7632 5 ปีที่แล้ว +3

    Sijakuelewa kilamtu atwange kivyake!! Mmmmmh siokilamtu atwange kwakufuata maandiko yanasemanini? Mbona namashaka ?!

    • @officialjoyvem122
      @officialjoyvem122 3 ปีที่แล้ว

      Ni kwel hujaelewa... sikiliza vizur amesema kila mtu atwange kivyake sawa na Mung anavyomuongoza na Mungu ndio neno lenyewe

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 5 ปีที่แล้ว +4

    Askofu Gwajima ni mtu anaweza kusababisha mafarakano baina ya wakristo na watanzania kwa ujumla. Hapendi kukosolewa na ana ubinafsi saaaaaana! Ajifunze kutoka kwa Daniel Mgogo ni mtu safi.

  • @ndeletwaswai3530
    @ndeletwaswai3530 5 ปีที่แล้ว +4

    Asante baba.

  • @ministerebbyans73
    @ministerebbyans73 5 ปีที่แล้ว +4

    Interpretation of revelation

  • @ipyanapaul5223
    @ipyanapaul5223 3 ปีที่แล้ว

    Apo nimekuelewa pastor

  • @nyellasuwedisanga6929
    @nyellasuwedisanga6929 2 ปีที่แล้ว

    Watumishi wa leo mbona hatuelewi. Badala ya kuhubili watu wache zambii na kuokoka. Tunapiga siasa mahali pa kuabidia

  • @matukiomedia191
    @matukiomedia191 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 3 ปีที่แล้ว

    Very nice 👍

  • @yakobomwaijele7101
    @yakobomwaijele7101 3 ปีที่แล้ว

    wewe askofo na kuelewa saana MUNGU akuinue zaidi tuna songa mbele zaidi kwani kuna maambo ukiongea unakuwa kama umeona ya yaliyo ndani yangu ambayo MUNGU aliyo nifundisha

  • @charlesmsofe3055
    @charlesmsofe3055 5 ปีที่แล้ว +4

    Mnajifariji sana nyie watumishi mliokuja kuharibu Injili ya uzima kwa vimaneno vyenu vya kuunga unga
    Lengo lenu hapo ni kupinga muungano wa Injili ya kweli hakuna Roho wa Mungu hapo
    Nani anayemjua Kristo wa kweli asiyemfahamu Maboya,Mwingira,Gwajima na the likes
    Acheni kutimiza unabii ninyi wajasiriamali wa dini

    • @alphasjoseph7542
      @alphasjoseph7542 5 ปีที่แล้ว

      Watu hamuishiwi kukatisha watu tamaa.umoja ni muhimu kuliko utengano.

    • @charlesmsofe3055
      @charlesmsofe3055 5 ปีที่แล้ว

      @@alphasjoseph7542lazima uyajue mapenzi ya Mungu ni nini ndipo utaona hapo kuna nini kinaendelea

  • @apostlescharlestobiasowino2141
    @apostlescharlestobiasowino2141 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndio KWELI maana kanisa linaenda na ufunuo.Shida ya Leo kwa wapendwa ni kujifanya wanajua kumbe hawajui

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa Nyerere hakukuwa na kodi ya majengo

  • @rosepallangyo1352
    @rosepallangyo1352 ปีที่แล้ว

    Has! Sikuizi mpaka na body guard

  • @rogersgeorge2920
    @rogersgeorge2920 4 ปีที่แล้ว +4

    Be blessed

  • @poulwisdom8455
    @poulwisdom8455 5 ปีที่แล้ว +2

    hauna jipya mzee inaonekana umekula maharage ya jana

  • @rosepallangyo1352
    @rosepallangyo1352 ปีที่แล้ว

    Mh! Apa sijawa na anani kbs jmn da kulindwa

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameeen dady Gwajima 👍

  • @shaibupaulomalekela3546
    @shaibupaulomalekela3546 3 ปีที่แล้ว +1

    Sawa

  • @mihayoyabhupangachannel9909
    @mihayoyabhupangachannel9909 5 ปีที่แล้ว +3

    Maona na ufunuo vipo na sio dhambi lakini ufunuo na maono yatokayo kwa Bwana twaujua kwa matokeo kusudiwa.

  • @yonachaluma6329
    @yonachaluma6329 4 ปีที่แล้ว +1

    Magu oyee

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Amen

  • @naftalimhemi4163
    @naftalimhemi4163 ปีที่แล้ว

    Ulongye mwemwene mvina

  • @hersenmichaeli1566
    @hersenmichaeli1566 5 ปีที่แล้ว +6

    huyu mzee ni hatari sana kwa nondo

    • @AloyceTz762
      @AloyceTz762 5 ปีที่แล้ว

      Mimi nime mwogopa ,Yaani Uki msikiliza Jamaa Ana Nondo ase unaweza jifunza Mambo Mengi sana sana .

  • @pauljames201
    @pauljames201 4 ปีที่แล้ว

    Aminaa

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 4 ปีที่แล้ว

    Watumishi kaeni katika magoti kwa maombi juu ya nchi.

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 6 หลายเดือนก่อน

    Nikeweli ufunuo upo Ila namna ya kuutumia hapo ndio kazi

  • @robinchristian3125
    @robinchristian3125 5 ปีที่แล้ว +2

    Muujiza mkuu wa nyakati hizi ni vipi watu wenye ufahamu wanawasikiliza na kuwaamini wapuuzi kama hawa. Shetani anafanya kazi yake na Biblia mkononi. Tulijue hilo kwa kuwa aliowatabiri Bwana na kututahadharisha hakika washafika. Wanahubiri kwa jina lake wakati hawaamini hata neno lake moja.

  • @bonabonala42
    @bonabonala42 4 ปีที่แล้ว +2

    Gwajima. Ujapakwa Mafuta. Namungu. Umepakwa. Mafuta.. Na Jpm. Kwa kuungaa mkono. Juhudi. Kwasababu. Msukuma. Mwenzako. Jpm

  • @meryjohn7120
    @meryjohn7120 4 ปีที่แล้ว

    Mwingila ndie

  • @massawejacob
    @massawejacob 4 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo wanapouza hizo huduma

  • @markdiganyekatv
    @markdiganyekatv 3 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @elizabethsimbenga4773
    @elizabethsimbenga4773 5 ปีที่แล้ว +3

    Amen amen 🙏🏾

  • @landlord440illuminate8
    @landlord440illuminate8 5 ปีที่แล้ว +3

    Mchungaji anabodigadi!? 😆😆😆😆

  • @elibarikimollel9629
    @elibarikimollel9629 4 ปีที่แล้ว

    Baba ktk Utumishi wako wa injili,nakupa99% lkn kwenye siasa umepotoka na kuegemea upande kwa kutiwa hofuuu...!!!? Acha rudia kazi uliyoitiwa, utafika mbali....

  • @sadickwalker2795
    @sadickwalker2795 5 ปีที่แล้ว +3

    Amen

  • @prophetmlokozi4633
    @prophetmlokozi4633 3 ปีที่แล้ว +1

    💪

  • @pastor.kanunikayombo7864
    @pastor.kanunikayombo7864 5 ปีที่แล้ว +1

    Gospel machine

  • @ashagamaha6886
    @ashagamaha6886 5 ปีที่แล้ว +3

    Hata Goliath alijisifu mbele ya Daudi

  • @myself4128
    @myself4128 5 ปีที่แล้ว +2

    Halafu kujiita General wakati hujawahi hata kuhubiri Injili Somalia unaogopa kufa ni vichekesho tu, Paulo mtume wa Mungu akitokea hapa atalia machozi sababu ikiandikwa Biblia mpya leo kati yenu nani atakuwemo🙄🙄🙄🙄🙄🙄
    Mmekutana wapigaji mnajipanga na wafuasi wenu wanasikilizia tu sema baba🗣🗣🗣🗣

    • @navlynnkanga7312
      @navlynnkanga7312 5 ปีที่แล้ว

      Sio we aliyeko ndan yako ila MUNGU akusaidie na kukusamehe kwan hao pia watumishi wa mungu kama alivyokuwa mt. Paulo.

    • @myself4128
      @myself4128 3 ปีที่แล้ว

      @@navlynnkanga7312 unachekesha sana,,Ikiandikwa Biblia mpya utawaweka hao mitume na manabii wako??yaani umlinganishe APPOSTLE aliyefundishwa Na YESU mwenyewe na hao wafanyabiashara?Nabii anakula chips🤣🤣🤣 kasome maandiko...Au ushapakwa mafuta yao?

  • @evethaasey1791
    @evethaasey1791 5 ปีที่แล้ว

    Umoja huu ndio sahihi zidisheni wapendwa

  • @rev.musabalalarogersmusabalala
    @rev.musabalalarogersmusabalala 5 ปีที่แล้ว +2

    MAONO,UFUNUO& NDOTO

  • @franciseliaskaboja3932
    @franciseliaskaboja3932 5 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @martindeogratius6547
    @martindeogratius6547 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Neno limefika