PATANISHO : BABA LEON - GIDI UNATAKA NIRUDI NICHOMWE NA MAJI MOTO TENA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2020
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
The day i listened to this patanisho i almost died with laughter😂😂😂😂😂😂😂😂😂
someone starts to talk:...
Gidi: fupisha fupisha
we listen to radio jambo because of patanisho, why can't you create a program that gives people the convenience of talking?
Hehehe unataka moshene yote kkkkk.....Gidi nafkiria anataka msahara iongezwe 🤑🤑🤑🤑🤑🤪
@@mwendapoleee s1
Unaongea ukweli mm nilishajaribu sana bt ubaya wa watu wa jambo hawasomi commnts
Time
@@juliusmoranga9284 b0c4lpp
No 7 team kujiamini like hapa tukiendanga
Sikutakiiii
Ok
Gidi tafadhali achana na kicheko cha Ghost.. .it makes patanisho woow..!!
Mm zangu ni kusoma comment kwanza
You will never know the value of something until you loose it. Moreen if your true then trust in GOD.
This man is a total Man💯
Ladies, only a man decides whether there is a relationship or not. Nomatter how painful please keep your dignity and pride,. Don't beg a man.
Ghost lough is that genuine anajikaza asicheke lakin wapi😂😂
Waaah..wanaume 100🙆♀️🙆♀️🙆♀️Mungu saidia
😂😂😂😂😂😂waaaah...james,wanaume mia moja...walai kenya sihami....
😂😂😂😂😂
Huyu osiepa naona ni kama ana uhusiano na huyu msichana wa kazi, gidi ni wololo mayooo!!!
Pole sana mwana dada Huyu Mwanaume ako na bibi jipange wewe
Sikutaki sikutaki eeii
@@RoroRoserororo Nakwambia no noma
Pole sana mwana dada Haki ulijieleza Gidi ashakusoma sasa sahizi bwanako ashatoa ukweli uko na mpango wa kando.Pole sana ushaanikiwa
Gidi kuwanga mbole twataka full story
Mimi stitawai patiana patanisho kama kunaharibika hivi,woi pole aching,
No 22 leo Kuchelewa ndio zangu..wlcm back Gidi na Ghost
Hi
Shida haiko kwa Achieng iko kwa house maid,huyo mfanyikazi anataka kupendua sirikali
The problem is Achieng let her change her mind
Mwanawake akishaanza kuhanya hauezitoboa my brother..kaa maisha yako
Mimi ndo napata notifications 😁🤭
This guy sounds anapenda huyu mama nikujifanya tu
Jamaa ana mrembo nyumbani...tusidanganyane
Kweli aliletewa bibi
Uyo meid ndie anachangia awa watu kugombana kwani alikuja kufanya kazi ama kupigansha mtu n bibi yake🙄🙄🇰🇪🇸🇦
Aki kicheko cha Ghost....warhhhhh...so infectious
Nakumbuka hata mm niliambiwa hivyo tu mbele ya familia mbili naa .akajiapia kabisa hanihitaji.hata.kuniona.mungu.ninani..miaka.miwili.imepita.ananihitaji.tena.na.nilisha.move.on.kitambo
Bro tulisa group am here bro
Hata nikuwe na watoto watano siwezingoja mwanaume aniambie sikutaki na sikutaki😭😭painful words 😢 am sure huyo jamaa ananyanduana na huyo mfanyi kazi wake na amemweka maneno
Mkweli kabisa uyu mwanaume yuafanya mapenzi na mfanyi kazi
Huyu Mwanaume anajidai Sana nanikama ameona huyo mboch wao! Mamii Acha kubembeleza Mwanaume Tafta kazi chapa job dear,,,watoi uko n haki y kuwaona ..
Wooi aibu gani hii Sasa, sikutaki na sikutaki! Pole Dada chagua tu kwa Hao Mia moja uoleke
😂😂😂😂😂
Ni uchungu kwa mzee hataki heartbreak tena
Huyo mama ana tamaa! Wacha mwanaume alee watoto wake.
wajaluo aki 😎
Waaaaa this lady aki why wanawake wahanyaji wanapata good men? Nkt! Mtu anipee number ya James nimubembeleze pole pole😂😂
Huyu mama ni fisi
@@francislegei908 sana aki hana heshima
Unaleta patanisho na wewe mwenyewe unaaibishwa waaah. 😁😁😁🤣🤣🤣Ukiona mwanaume anakukataa ujue amekuchokaaa. Mama Leon oleka na Hao watu wako mimi sitakiiiii😅😅😅😅😅jamani jamaniii James hatakiiiiiiiii.
Mnipea no ya huyu mwanaume !! Waaa!! I like msimamo wake
Ghost tafadhali wacha kucheka kwa matanga pliz 😂😂😂😂
Ghost amebarikiwa na kucheka
Ghost Aki kicheko uwainakuumiza adi unakitoa kicheko adi unashika kichuwa 🙆🙆🙆🙌🙌🙏🙏
Aki wamama tuache ujinga sasa bona uji force kwa mtu hakutaki... Akikuua watu wenu wataaza kulalamika na makosa ni yako.... Team single 💪
Apo umesema dear
Nitabembeleza wanaume gulf kukifungwa kabisa😏😏🤭🤭tunachukua tunaweka waaah....life goes on 😬😬
Kabisaa
Patanisho of the year
Tuned
Maureen next huyo mwanaume atakuua sasa move on na life yako
I love hw ghost laughs with his hands on the head😂😂😂😂😂
Woooiiieee achieg uyu atawai kuua heri ukanyage kubwa kubwa though let me listen to the end
😂😂😂😂aki james u r making mi laugh yawa 😅😅😅 navenye pia bwanangu n ur name sake yawa
Chunga 🤣🤣
Gidi i like the yellow Tshirt.written tour de france
Gid u were right balabala nyingi. Am going this way will be back kesho
Enjoy yourself
Mfanyi kazi ndie bibi sasa
Sema kuchelewa.
Gidi Leo umepatikana, hadi unashindwa kuongea 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
A abaki lolooooo😅😅😅😅
Gidi na Ghost,,,tunapenda patanisho ,,,pls do not entertain mother tongue,,, especially if one can speak kiswahili unless otherwise.
Kwani wanaongea lugha gani? Mimi ni chinese sijui hizi👨🎨 lughaa
@@mwendapoleee 🤣🤣🤣
Thank you for this comment
Gidii give tym sometimes
#James.....ikidware... wooooiii. #Achieng' kimbia hapa gulf unda pesa yako mummy. Ishi maisha yako dear.
Huyoo mfanyakazi wa ndanii ndioo amechangia hayaa yoteeee.....🇹🇿🇹🇿
Very true
Hee
Serikali imepinduliwa mbaya saana! Woooii kikulacho kiguoni mwako!
@@mwendapoleee imagine that's the fact
Huyo jamaa ako na Dame ,that's how they behave wakiwa na mipango ya kando,bure kabisa
😂😂😂😂waaah kenyaaa eeh ati anuza Chang'aaa.
Wanawake Mungu atupe ufahamu, me nachoka
Wow nice one 👍
🤣🤣🤣🤣🤣baba Leon yawah,,, ety huyo jamaa ni makanika na anauza changaa🔥🔥🔥 But baba Leon aky ety ako na wanaume mia mojaa??? But James come down banah.... ukipendwa pendekaaa🌹🌹🌹🤣🤣🤣
#Ety hutaki bibi tena James,, sisemi kituuuu 🏃🏃🏃🏃
Molena my dia kubali kuachika ,mungu atakupea nguvu ujitafutie
😂😂😂😂plz gost stop it , aaa gost yayeee wewe ndio unatuma nacheka yawa gost
Niko single an enjoy jamani niko single an enjoy jamani niko single an enjoy jamani niko single an
jaluo in the room tokwabisecho
Wachika mama, just try to take care of ur kids.
Waah waah
Am listening from saudi arabia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣but ochieng' nikama ananyandua house help😅😅😅😅😅😅🙆♂️🙆♂️
House help ndio atakuwa wife sasa🤣🤣🤣
@@margaretwamaitha3515 yap
Exactly,hawa wa kenyan si kazi tu wanatembelea zote,na ndio janzo cha hiyo ndoa kuvunjika,hata si mambo na umalaya,shetani ni huyo ako kwa hao,thats why ukiosha hammam hakuna kuongea na mtu,
Gidi na gost hua mnanibamba sana patanisho huni keep company sana nikifanya kazi mm na earphone hatuachani hata mwarabu apige kelele aje
Namba 3 ndani pap ..
Pole sister I feel u a man tell you He don’t like you it’s so sad 😭 at same time u mast blame your sister
Very true
But again yenye mwanaume amepitia mammalian kweli,huyu anaongea out of hasira
Mwanamke akiwa ni malaya mrudishe kwao! Sasa kauka na hiyo umalaya wako umetupwa jipange!
Pole morren,hii ndio inaitwa kuanikwa na peg ama Waaaaah
Dada jipe shuguli ,u can do it without him.
Hiyo ni ticket ya ukimwi, my friend run a way.
Ghost hicho kicheko chaudhi xana.someone is in pain and you're laughing your head out.
Uyo mseee maisha ndo imemshinda Bana😂😂😂
Nipo kama tarehe
Gidii at times uwe unatenga mda wa mashabiki wa youtube kupiga simu live na kutoa maoni anyways ndoa siku hizi ni sarakasi tu ngoja nipambane na hammam tu
umeonaee wacha tusafishe choo kwa mwaarabu mwisho ww mwezi unapata pesa
@@heyumi2340 nakwambia uarabuni tu
@@lynelee5846 ukifanya kazi kwa mwarabu kisha pesa yako ukifanya kwa malengo dunia utaiona tam na mwanaume utamuona mtu wakawaida sana wala hutasumbuka na midume
@@heyumi2340 Etiee, 🤣🤣🤣
@@lynelee5846 hivyo hivyo ulivyosikia wanaume hawana inshu
Uyu mwanaume hana lolote ameshindwa na maisha ya mwanamke na huenda yuko na uyo mfanyikazi ndio yuamtosheleza uyu bwana hana lolote
Bona huyu dem ajiforce sana kwa huyu mwanaume c ampee watoto basi waachane mi kuna vitu siezi unakwamilia mwanaume n sio yye ako kwa dunia peke yake
Woowee
Wah...
W Achieng w kazi yako ni kuchukua ukiweka waaaah
Waaàh 😅😅😅😅😅😅😅😅 aol bwna😊😊😊
Ghost pls usicheke bwana ujue inauma sana
Hati Mia moja😳😳😳😂😂😂😂😂😂😂😂Waloloooo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 James
Nilikua nadoubt Maureen unti akasema mambo ya mungu
Finally welcome back
Pole sana dada.ndoa imeshavunjika
Hiyo nomaaa
Ngai 100 men wololo ghost tutajenga tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Ataleta ukimwi run ooh
Mzee amefika mwisho
James amefika mwisho....unfaithful wife/man in marriage ni kitu mbaya sana
Kweli kabiza
😂😂😂😂aol 😂😂😂😂sitaki....ok adware😂😂😂😂😂tek small
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hii ni kali, Baba Leon hatakii na hatakii, wewe Achieng wacha umalaya
Mwanaumea uko na mjakazi apo uwezi kaa hadi kifo 👁👁✍✍✍
Uongo mbaya
@@RoroRoserororo umeona kama mmi atii ataki rollpop
@@periswarish7022 huyo jamaa asubaisha mende 🤣
@@RoroRoserororo apo apo anajitia amepiga plasta 😏
Mwanamke diye mbaya, kwani hawakuelewana akienda maombolesi,
Wolololo 🤣🤣🤣🤣🤣 thooo kwisha leo
Kawaida kuchelewa nayo