PATANISHO : SARAH - HUYU MWANAUME ANA UMBEA SANA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ก.พ. 2021
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
Hi guy's, am the first one here.. Who missed patanisho like me??? Nipe likes as we listen to patanisho my people I missed you too.
Pia mm nme miss 😜
Mimi
@@RoroRoserororo Asante
@@mmilly8952 karibu sana
@@alicekmusic3925 😍nme karibia
Yaani ilikuwa tit for dat team Qatar wekeni like tukisonga 😂😂😀😀
Yeah team doha kwa sana Qatar 🇶🇦
Nitazidi kufuata ushauri wa Baba yangu siku zote Baba yangu aliniambia nisiwai kubali kulelewa na Mke lazima mimi pia nijaribu kuchakarika kama mwanaume.
Riyadh massive tuko ndani bila kuchelewa 💃💪
Kabisa kama kama
Tasha liz 😂😂😂tupo
AL yamama 🤣 na wewe
@@mamalao8574 🤣😂😂😂Gumbera ...Tulisafiri juu ya Ramadhan but coming back after Ramadhan currently in Al Baha
Riyadh aljazeera ndani kwa sasa hivi nishaosha vyombo
Hyooooooo!!! That amazing msimamo ndo uo weka like zako hapo
Team 971 wapi likes zangu😜😜😜
Mchepuko 😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Giddy ongea polepole jamani unachomea Ben ten😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkuje moja kwa moja to deal
Team latecomers vipi izo lyks as you pass by🏃🏃🏃
Sikuhizi uko wapi?
Uyu Ako na mdomo Kabisa ata hapei gidi nafasi Yawa,Mzigo Kabisa
Once kept always kept....
Ghost i think your laughing makes patanisho even more wonderfull
Num 4th ndani ndaaaani
Kuwakilisha team kujiamini 🤗🥰
Wakuje moja moja tu
💪💪💪
🥰🥰🥰
a mature lady over there.the very first i heard on this patanisho
Team 964 mko wapi nipe likes zenyu tukiendelea na gidi
Wanaume wa coast hawapedi kuchoka ,na ni malaya sana ni vigumu aishi na mke mmoja...WA mbea sana
Very true, wanapenda soft life. Mauzo is a good example.
From Saudi nko ndani kama kawaida
Team kujiamini 💪💪 pamoja
@@baldie1495 pamojaa 🙏
@@agnesladasha5641 🤝
Team hamam
@@pamelamudogo5551 💪💪
Habari ndio hinyo, wanaumea usikubali kwekwa na mkee utalilia choniiiiii
Hio patanisho ya leo iko juu
Wanaume wa Mombasa umbea number 1, alafu kufugwa kama kuku wa gredi
Shugurikia watoto wote si mmoja plz
Mimi mtu atusi mamangu I swear nitakata matiti n its not negotiable...upus..man up my friend
Hii tabia wanaume wako nayo sana ya kusengenya mabb zao kwa familia,alafu huwa wanabaki na umaskini sana ns hiyo midomo yao mirefu
Akiiii ka wangu sisemi chake ki motoni
From Saudi Arabia,abha niko ndani
hahahaha Gidi umesema alikuwa ben 10 hahaha haki ya nani you've made my day
Ninaona kukaa single Kuna Raha kweli
Aiii wewe ujui
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Gidi ame insist mpaka aka kubali...
Hapo ndio wadada uwa tuko na raha... Kuambia mtu out ni inje 💃💃💃💃💃💃
Woooi boy child wa mambasa pole Fanya kazi
Waaah,wanaume wa siku hizi🤔😥
Team saudia wapi like zenyu🥰
I love this woman sarah u are the woman.
Yaani huyu mwanamume awekwe halafu alete kichwa.....
Kujeni mmoja mmoja nideal na nyinyi, ahahaha Sarah umenifurahisha sana
Just because you have a child with someone does not mean they have to marry you.
Really?
From Doha Niko ndani Kama kawaida
Ety mko drooo 😂😂😂🤣🤣🤣🤣nyumba expensive waaaaah niokotwe wapi mimi matumbo mmoja commedian
I enjoy u guys ..Gidi nd Ghost ..morning without u cjui tufanye nini
Wapatanishe warudiane😍😍
My first day to see gidii alive nilicheka sanaaa thanks
😅😅😅😅
th-cam.com/video/FpsZFAREkzo/w-d-xo.html
Gidi ni m handsome balaa!
I had missed it but nimeiget yote. Men let's be responsible.
“ For me is the “Niliorganiziwa nikapigwa “ 😂😂
Watching from saudi
A humble end loving man , wife ni jeuri kivyake
Huyu mwanaume akona umama mwingi Sana. Mchezo na upuzi.The toddlers in marriage 🙄
Nimewai Miss huko Kenya Sana
Cheza na mpesa
Wanaume WA coast ni wadako sana
Wacha profiling
Listening to this show is proof that you have to listen to both sides of the story before making conclusions 👏
Men nowadays wamekaliwa Na wanawake kabisa
th-cam.com/video/FpsZFAREkzo/w-d-xo.html
Man should humble,,cox yeye ndo mwenye makosa . Ndoa is journey not a contract.
Noma sana
Weeeeeuuuuuuuh
Mwamba kweli Yuko kwa chama Cha Wana,,,,stingy Men Association of Kenya(SMAK)
From western nko ndani kabisa I love ur show and u guys
Hapo kwa "nili organiziwa nikapigwa" nimependa 😃😃fair games🐒😆🤭🤭
Real l do miss these moment. Soon am gonna landing kenya.
Aaaaaih wanawake munatoa wapi nguvu za kulea mtu mzima mimi mtoto wangu mwenye amefika 18 naskia aniondekee najee libaba lina madefu na mvii!?waaah
Nko ndani
Jamaa alikuwa ameleowa ndio maana akabeba manguo zake akahama😁😁😁😁😁😁😁Ila patanisho ya Leo tamu Sana jamani😁😁😁Ila ghoti ukiwa studio Hua Na enjoy Na kicheko 🤣🤣🤣
Halafu huyu Sarah nae yuko Na mdomo jamanii eeeee poela 😒😒😒sio lazima useme ulikuwa unamlisha hiyo ni kumdhalilisha mtoto wa watu jamani😔😔😔😔😔
Now l get the importance of listening to radio jambo
Inamaliza stress
th-cam.com/video/FpsZFAREkzo/w-d-xo.html
Someone should listen to this.
Niko ndani
Mwanaume ajitume huyu mvivu
Hahaha........this guy is a great jocker, ati nicheze na Mpesa haha
True 🙄🙄
Wanaume na matusi jameni. Mungu saidia wanaume wenye wako na matusi wakue na tabia 🙏🙏🙏🙏
W2
2
Ni nomaa sana...waaah!!!!
Maisha Vio
@@johnanyango9204 enyewe ni maisha
Nice one
Team qatar 🇶🇦 nipeni likes pls
Napitwa siku hizi na patanisho
2021 hatutaki mifugooo
Wololo,shida ya kuwekwa.
Dunia 🙆♀️🙆♀️
Natafuta Kama huyu Sarah,Siku hizi hawakuangi😂
nomaaaaa
Mwanaume huna bahati
Sarah👍👍
😂kicheko ya ghost 😂😂aah I die
Wau
Number 9
Aki ghost 🤣🤣🤣🤣, Gidi you are right hiyo kijana alikuwa amewekwa
Tumekuwa tukiskiza radio jambo wacha tusaidike sahii 😂😂😂😂
Kicheko ya Ghost ndio inalete hapa awezi kosa kucheka mwanaume kujingamba nimechukua nyumba exp .... 😂😂😂😂😂😂😂
Ghost usicheke..ukweli huyu anaweza kukushekerea hadi ulie
7.20 kicheko 12:38
Ety apike simu 😮😮
Mwanamme amepata shilingi mbili tu!! anaanza kumea mapembe hapa...
Ndoa ni kuelewana
Hapo kwa mpesa
Comments za wanajambo after patanisho muhimu sana
Ni poa zaidi
Kimeumana
😂 😂 😂 Jamaa alikuwa ameolewa na hataki kukubali, huyu hakuenda men conference 🤣🤣🤣🙌🙌🙌Bure kabisa
😳😳😳😳😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Huyu next conference lazima tutafute tumwathibu
@@nicholaskaibiria2360 😂😂😂😂Itabidi
@@nicholaskaibiria2360 😂😂😂😂😂😂😂
Mwanaume mke mwenye ako na umbea😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
ATA Mimi akathubutu,ataona .atajua hajui
Amewekwa Kama ndizi ya kuifisha mayooooo mwanaume was wenyewe ,,,,
Team 966🤣🤣🤣pitieni likes na mpitie kwa channel yangu pia msubscribe 😗😗😗
Hey ghost namiss kicheko yako
Sema umeolewa Wacha kusema unalipa nyumba
They should understand eachother no one is perfect in this world
Patanisho ya watu wa Mombasa inamambo maneno miiingi.....😂😂😂
Huyo mme ni kupe tena mdomo buggy...Isa throw...
Watching live from saudi 🇸🇦 aki wanaume waah
Huyo mwanaume alikuwa mfugwa 😂😂😂wanaume haki tumieni akili
Weee bro kimbia from that Perot,Huyu ni sio mke wa kuishi naye