NAKUKARIBISHA KUFUATILIA TAMTHILIA (SERIES) MPYA KABISA IKIWA IMEJAA VISA NA MIKASA YA KUSISIMUA NAAMINI UTAJIFUNZA MENGI NA KUBURUDIKA PIA *DOSARI SERIES Episode 01* th-cam.com/video/WPRyZXYJPy8/w-d-xo.html
@@dannylinguist15 mimi kwa kipimo changu Huyu mama hajui kuigiza hata kama anajua ni kiwango cha kawaida sana hawezi fanana na Mama semeni wala yule Mama anayecheza na joti .
Aliyeona style aliyoingia nayo joti na masela wake wakati wanaingia kula bonyeza like kama umeikubali hiyo style 😀
Tom and Jerry come on boys hhhhhhh
Genius
oi
Mandonga style
@@abdullatifkhamis9943 🤣🤣🤣na mie nisema hivo hivo🤣🤣🤣
Always good work 🔥♥️
I like your comedy joti am your number one fun # from Kenya
Nampenda sana uyu bibi kabuya anajua kuigiza sana 😂😂😂😂 alivyo wachamba ao wakaka
Kuwachamba ndo kujua kuigiza
Hata jua kali yupo vizuri hatar
Bibi yupo kwenye muv y jua Kali hatar wamekutana n mwehu mwenzie yule Bibi 😆😆
bi kabuya au bi kauye my dear
Huyo ukitaka kumfaid akutune na kurya boy
Ila kiukweli
Huyu mama naye amecheza vzr mno !!
🌹🌹🌹
Yote kwa yote, wazee kwenye tasnia ya filam wanajua sana kuigiza tofaut sana vijana tulionao sasa hiv. Huyu bibi bn namkubali sana big up
Huyo mama ni the best comedian ,,,joti don't loose that talent
Hawa Wana Banda Hawa...Atakuw Ashib Kaka Ako😂😂😂
Maza uKo vizuri kelele apnguze
Huyo mskhaji nimempendaaa buree msela wa nishai
Much from uganda by wizzo
Safii Sanaa jot hii imepitaa yotee imenifurahiishaa sanaa mwanzo mwishoo
NAKUKARIBISHA KUFUATILIA TAMTHILIA (SERIES) MPYA KABISA IKIWA IMEJAA VISA NA MIKASA YA KUSISIMUA
NAAMINI UTAJIFUNZA MENGI NA KUBURUDIKA PIA
*DOSARI SERIES Episode 01*
th-cam.com/video/WPRyZXYJPy8/w-d-xo.html
Never disappoint Jotiiii 🤣😂🤸
Hhh kaongea mchina!!
Love from Burundi 🇧🇮!! You make my day guys!!!
Am curious. How much is internet bundle service in Burundi?
Huyu mmama anaweza...kwenye juakali pia yupo😍😅
Kumbe
Siku ya kwanza nilicheka sana walivochambana na mama semeni😂😂
Mama iddiiiii
❤❤❤best of the best ❤joti no stress 😅
Mama Iddi wa jua Kali! 😂😂😂 Mama anajua Sana huyu
Nimecheka kifala sana asubui hii😄😄😄😄😄😄make my day good 😃😃😃.
oi
@@malenagain oi
Nawakubali joti TV mia Kwa mia
Bi mkubwa anaweza masha Allah
Nishai utabadilisha wafanya kaz wote dunia nzima ila kamwe haitakuja kutokea Team Kipande,sopa,mlewa,kisnai,mama dame,Bleina,mjomba
io team ilkua nzur sana ase! kipande namkubal sana
akina sopa ni motooo
Mwamba
Wanamishe gani kina sopa na kipande siku hizi?
Ilikuwa n hatari akna sopa na kipande
Very Nice Mr Joti
HUYU MAZA ANAKELELE SANA ANAZINGUA ANAONDOA UHALISIA KUNA VITU ANAFANYA HAVINA UHALISIA
kwel ase
Yes ni kweelii aache kupiga makelele yaanii anatumia nguvu nyingi duuuuh
Kaka mrudishe Sopa 🙌🙌🙌🙌
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila uyu mama ana moto hatari..
noma sana mkali wetu seminali siopoa
Nishai nomaa unawapenda mabest zako 😂🤣
Nishai unajua maana ya friendship 👌👌
Sema huyu hawa wamama balaa wanajua kucheza scene zao 🔥🔥🔥
Sawa kweli Mimi ni mchungaji lkn pia mwenyewe pia ni mhuni kweli kweli 😄😄🙌🙌
Saruti kwa mama 💯
Nakukubal ma kagoro😂😂😂
Huyu mama Yuko vizuri bhana yanakula kam majibwa😂😂😂😂🤣🤣🤣
The best ever comedian
Aaaahh kumeniner😃
Dah nmecheka san
Eh mama ni noma kweli hii ni kiboko ya seminali
Yaani huyu mama anajua sana kuigiza.
"Umeenda kumuita Nishai au Manishai" 😂😂😂 huyu mama Kibokoooo
Hiii kali sana 😂😂😂😂
Gym body is always looked down upon when you don't have money 🤦♂️.. Waswahili
Huyu mama nimempendea kwenye jua Kali, amekuwa kiboko ya mama semeni.
Sana yaani
@@faustadonasian2777 huyu mama ndo komesha kabisa kwa Ashura Nongwa
Ah weee hamuwezi, Mama Semeni balaa, hatumii nguvu nyingi maneno yanaporomoka tu
Ni wamoto sanaaa
Mama semeni ni mashine 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Nishai never disappoint 😂😂😂😂
Hadi nishaii amempa salute 🫡 sana 😂😂
Et manishai😂😂😂oll in oll mpo vizuri ,Ila tunamtaka na kurya Boy
😊😂😂😂WA KWANZAAA
Joti uko juu nakpenda San vituko vyak
Hauniangushi nimecheka kwa kwel ubarikiwe na Mungu uishi tu
ih shawai tokea kwa jamaaa yngu mpka tamaa ya kula kani shinda walah
Hongera sana Joti 😁
Yaan Nishai,acha tu!!!
Boss sopa hataree
Huyu mama anajua sana kuigiza😂🤣
Ajui kitu
@@kwisa4899 WIVU
@@dannylinguist15 mimi kwa kipimo changu Huyu mama hajui kuigiza hata kama anajua ni kiwango cha kawaida sana hawezi fanana na Mama semeni wala yule Mama anayecheza na joti .
Bwana yesu asifiwe....milele Amina😅😂😂ila joti🙌😂
Nmecheka sana at milele amina😀😀🤣🤣🤣🤣
Hatakuja kutokea joti kama huyu.
Aisee nakubali.
jaman hii stayle ya joti anavyoingia ndani na masela wke kula mpunga kwa kweli 😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nmeshindwa kuvumilia
Nice
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nishaii noma sana 😂😂😂
Mama amesimama poa sana na amependeza kuwa mama yako ktk scenes daah maneno mengi
Huyu Mimi nampenda Mimi. Ananifurahisha Kwa kweli 😂😂😂
Utacheka vibayath-cam.com/video/2XKsuurDfEk/w-d-xo.html
Mwamba anafanana na Gwaji Boy
Hakuna character ninayoikubali ya joti Kama hii character ya Nishai! Ni noma sana
Bibi noma
huyu mama anajua sana kuigiza sana yani
Best comedy ever ❤️❤️❤️❤️❤️
Uyu bibi🔥🔥🔥😂
Bibi wa moto kweli kweli
Nakukubali😁😁😁😁
Naona mwanangu umekua Kama msukule..... Umeita shinai, au manishai
Huyu mama yupo vizuri😂😂😂
Huyu bi kauye noma
Naisha anatisha saana 😀😀🙌🇶🇦🇹🇿
🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyu bibi kiboko kuigiza 😂😂😂 Mishai umepelekea chakula miumbwa koko yako 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Joti nakupedra bure from 254
Nishai 🙌🙌
Angekua mamangu uyu mm nahama kaya
Salaa salute
🔥🔥🔥🔥
Ngoja kwanzaa Umekuja mwenye dini hapa saiv
Tz washatoa Majuto wa kike,au sio!
Maza anakelele sana anaharibu sasa
Uyu bibi anajuwa sanaaa
Haaaaya joti hujafumbahata machooo
Nishai umemutoa wap huyo mama aisee anajuwa Sana namukubal sana
Hongera
Imeweza
Aaaaaah mhh eeeeh @joti comedy @ ila mlewa hapa umekuwa mpole sana hati huluma 😂😂 big up mabrother 🔥🔥🔥🔥🔥
Safiiiii
uyu mama namuelewa vibaya mnoooo
Hahahahahah...eti hawa wana bandaaaa😂😂😂😂
Mama namkubali sana... Mzee wa *paka wa buruu mbwa wewe PISI KALI WEWE* na mda huo anaambiwa mtoto wa kiume
Nimechekaa uyu mamaa hatr😂😁
8:54 Hiko sio kichina kweli 😂😂😂😂
Tulio wamis mwamba na Kanyinyi gonga like
Huyo mama nimependa vile ana charuka na maneno
Bibi kauye eti Amen tumebaki wenyewe Sasa tule
Jamani jamani😂
Ukikosa Bando siku Moja 🇹🇿 Unakosa Vingi sana
Kazi kubeba nondo nom
Am first like it
Huyu mama ananifurahisha sana...Ahahaaaaa