Uko sawa ingawa kama nimechelewa, umeniamsha Tena usingizini, nakushukuru. Changamoto yangu ninaposikia fursa uwa naichangamkia kwa araka kama za biashara naanza na kupata faida,lakini mwisho uwa sio salama kwangu naishia kufeli, unaweza uknisaidia ninakosea wapi!
braza ezden naomba unisaidie jambo ninafanya biashar lakini sielewi pesa yangu inakwenda wapi yani pesa ninayoingiz ni nyingi kidgo kwa matumiz yangu kwa siku ilipaswa ibaki lakin chaajabu pesa yote inapotea hii yapata mwezi wa pili ssa
Somo zuri sana kaka .shukran kwa elimu
Sawa sawa wewe Joel nanauka....mko vizuri sanaa 💪🏻💪🏻
Asante brother kwa elimu yako mungu azidi kukujaliya elimu bora
Ahsante sana kaka
allah azidi kukubariki kaka ezden🎉
Shukrani sana kaka
Thanks🎉🎉
Ratiba ni muhimu sana katika maisha
Thanks brother Kwa kuongezea Kwa unaesoma hii comment soma kitabu Cha atomic habits by James clear Kuna madini ya ziada Kwa kinachozungumzwa
Uko sawa ingawa kama nimechelewa, umeniamsha Tena usingizini, nakushukuru. Changamoto yangu ninaposikia fursa uwa naichangamkia kwa araka kama za biashara naanza na kupata faida,lakini mwisho uwa sio salama kwangu naishia kufeli, unaweza uknisaidia ninakosea wapi!
Asante kama kawaida ni somo zuri🤝
karibu sana
ahsante kka ezden
Karibu sana
Shukrani sana kaka 🙌
karibu
Thanks sana kaka
Karibu sana dada Sarah...
kujitathimini nimeielewa zaidi, shida watu wengi hatujijui ni akina nani, ndo maana inakua ngumu kujitathimini,
Sahihi kabisa, hii ni element muhimu sana katika kufanikiwa
Doh kwanza kuishi kwa mazoea hili jambo ni baya kwa malengo yetu binafsi hajawez kutimia kabsaa
braza ezden naomba unisaidie jambo ninafanya biashar lakini sielewi pesa yangu inakwenda wapi yani pesa ninayoingiz ni nyingi kidgo kwa matumiz yangu kwa siku ilipaswa ibaki lakin chaajabu pesa yote inapotea hii yapata mwezi wa pili ssa
Tuwasiliane kwenye whatsapp kaka. 0759191076. Nitumie huo huo ujumbe wako