MWANAMKE UNAKAA NA MWANAUME SIYO KWASABABU UNAMPENDA SABABU YA UVUMILIVU "PASTOR MGOGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 26

  • @sorwasoudy6256
    @sorwasoudy6256 ปีที่แล้ว +13

    Nakupa kutoka Zanzibar nungwi.. mm ni Muslim lkn mahubir ako yanagusa pande zote

  • @LevinaLupenza
    @LevinaLupenza ปีที่แล้ว +3

    Aminaaa ubarikiwe sana

  • @NiyamahoroRichmond-h2o
    @NiyamahoroRichmond-h2o ปีที่แล้ว +3

    Nakupata kutoka Zambia nakuelewa saana. Pastor.

  • @PeresVicent
    @PeresVicent 2 หลายเดือนก่อน

    Sama baba

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 8 หลายเดือนก่อน +3

    Chombo ya Fundi hahah.. Pastor Mgogo Mungu atukuzwe, wewe ni genius hasa kwa kuandaa mahubiri kwa mifano bora inayofundisha na kuchangamsha.

  • @ardentsamuelmapendano3593
    @ardentsamuelmapendano3593 ปีที่แล้ว +2

    ❤Nakufata kabisa kutoka DRC /goma ubarikiwe saana mahubiri yako kila mara ninazo zifwata zinanitiyaga moyo 🎉

  • @BanduNdoole
    @BanduNdoole 5 หลายเดือนก่อน +1

    Merci papa pastere namafundisho

  • @deboraakhaere
    @deboraakhaere ปีที่แล้ว +3

    I love your teaching pastor it always teach me how to live well with people ..be blessed

  • @fiestaninahaza7778
    @fiestaninahaza7778 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nimebarikiwa Sana karibu Canada

  • @EspéranceBuchekabiri
    @EspéranceBuchekabiri 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki baba sababu congo sisi ni watumwa kwenda mbele ila dunia imetufuza sana wachache njo watabaki utumwani sasa kama mimi nilisha jikomboa tayari asant baba

  • @MagnantDieumerci
    @MagnantDieumerci 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji mungu akuzidishiye Na akulinde ni vile tuh hatuna nafasi ile tutowe shukrani zet Ila mahubiri Yako uwa yanatutiya ngufu Sana, Japo mawe mengi Ila yanagusa maisha halisi

  • @irenemungala327
    @irenemungala327 4 หลายเดือนก่อน +2

    Unafuza vitu za muhimu ogera pastor n ubarikiwe

    • @irenemungala327
      @irenemungala327 4 หลายเดือนก่อน

      Nakupata vizuri kenya

  • @ElizaNyaboke-q4m
    @ElizaNyaboke-q4m 4 หลายเดือนก่อน

    Am Liz from kenya

  • @BettyKiriungi
    @BettyKiriungi 4 หลายเดือนก่อน

    Love you from kenya mafunzo yako yanivutia sana ubalikiwe mchunganji

  • @ElizaNyaboke-q4m
    @ElizaNyaboke-q4m 4 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji asante kwa mafuzo yako God bless you

  • @KasiteDominic-bz7rn
    @KasiteDominic-bz7rn ปีที่แล้ว +2

    Wambie baba. Binadamu ha waeleweki

  • @michaelbyakagaba1900
    @michaelbyakagaba1900 10 หลายเดือนก่อน +2

    mchungaji nakufata sana tena napenda sana mahubiriyako

  • @neemamsechu7706
    @neemamsechu7706 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika unagusa muremure mungu akuongezee utash wakuwafunua iri wazid kuwanajina rapir🙏🙏🙏🙏

  • @agnesruzobavako8222
    @agnesruzobavako8222 4 หลายเดือนก่อน

    Mafunzo ya mana kwa familia. Nakfwata kutoka Sweden

  • @RemiKamunabatolomayo
    @RemiKamunabatolomayo ปีที่แล้ว

    Niko Kongo nakupata sana nchungaji mi nimenyanganya mke kiss sio nlokole

  • @GLORIAutukufu
    @GLORIAutukufu ปีที่แล้ว

    🎉🎉🎉🎉🎉what amazing priechings 🥳🥳🥳🙌

  • @michaelbyakagaba1900
    @michaelbyakagaba1900 10 หลายเดือนก่อน

    naipenda sandasana hudumayako uniombeiye Mungu anipezawadi yakuhubiri

  • @salomengugi-hn9df
    @salomengugi-hn9df ปีที่แล้ว

    Am eagerly waiting 😊

  • @jaredaencha
    @jaredaencha 2 หลายเดือนก่อน

    Kanisa Yako uwa wapi