ULEVI NI ULEVI TU KUNA WATU NI WAPUMBAVU KULIKO SHETANI MWENYEWE WANAUTETEA "PASTOR MGOGO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
TH-cam : Pastor Daniel Mgogo www.youtube.co....
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
☆❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤MY GOODNESS true sema
Father..wasemee ukweli waokolewe❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢
Amina pastor nabarikiwa sana na mahubili yako
Amen barikiwa xna
Mungu akubariki
powerfull masage pastor God bless u
Mungu akuongoze usiwe Kama moto wa jiko la gesi na ujue kwamba watetezi wa wanyonge hawaachwi kuishi
I like your words for this world thank you so much pastor Daniel m
Nimebarikiwa sana pastor.ninacho omba ni Mungu akomboe mume wangu atoke kwa kifungo ya pombe maana inanikosesha amani pamoja na wanangu,kwa Imani Mungu atatenda Amen
Mungu akackie ombi lako Mpendwa.
@@yukundapeter8200 hivi naomba niulize kanisa la mgogo kwa hapa dar lipo maeneo gani? mimi mwisilamu ila huwa nabarikiwa sana huyu mchungaji naombeni anaejuwa lilipo anijibu nataka niwe naenda kanisani kwake kwakweli
Naww pia si tu mumeo.
Mungu atakusaidia mama zidi ya kumuombea
Nimecheka juu ya ng,'ombe tusi la familia Hadi mbavu zikauma 😂😂I nakupenda sana mtumishi wa Mungu, Ubarikiwe sana
Hi,naitwa onesmus niko kenya,naomba tu maombi thanks
Ubarikiwe niombee niache pombe na sigara
Uk wap
Even me😂
Amazing,Amen,Amen,Amen🎉
Good advice for people
Mungu akizidishiye baba tuna kufwata kutoka drc goma ville
Amen
Mungu akbarki mtumixhi
Ameni
Amina sana mchungaji mungu azidi kukubaliki
Amen mungu akubariki Sana kwaku sema ukweli umenibariki Sana , mungu akutiye nguvu na akuongezeye mafuta
Nakushukuru sana mchungaji ubalikiwe sana Nakufuata kutoka nchini Rwanda🎉🎉 tunakupenda sana
Hongera sana mchungaji ni kweli ulevi unaleta shida ktk familia Mwenyezi Mungu akusimamie ktk kuelimisha
Nakupenda sana mtumishi wamungu nakufata kutoka congo u
Natamani kukuona 🙌🏻🙌🏻
Asantiiii yaani pastor sijui Mungu akuongezee Nini tena habari yote ndio hio❤❤ imeingiana kabisa na maisha yangu mwanzo mwisho wa hii mahubili
Ubarikiwesana mtumishiwamungu
Amina , mungu ni mkuu
Nimekua wa kwanza leo like zenu hapa
Evn in preaching the likes of you exist. Shameful!
Amen Amen Amen.
God bless you pastor 🙏🙏
Naebdelea kubarikiwa sana barikiwa sana pastor
Mimi nakungoja ukukwet razma tupigep 🇧🇮🇧🇮
😂😂😂❤❤ mugu akubariki
Bwana abewe sifa natamani sana nikuone coz nimebalikiwa mbaka nataka uwe babayangu ya kiroo huniombee na nianshe kubili njili kwa soko niko kenya Nairobi sina mama wara baba niko 2 na shosho yangu 2 96 years nataka kuhubili neno la bwana naomba 2 uniambie kanisa lako liko wapi nikuje tanzania ntakwa nikifagia church begeangu
Shosho ako wa 96yrs utaachia nani.... mm nakuombea Mungu akupe baba wa kiroho huko huko kenya ili umtumikie Mungu huku ukilea shosho wako....Mungu akutendee mema mwinjilist wa Bwana
Na mimi pia nabarikiwa na mahubir yake
ASANTE SANA !!!
Kweli kabisa !
That's true,pombe,sigara,umalaya.....pu😮
Mchungaji nilitamani sana siku moja baada ya ubatizo wa mwana, j2 nipige picha na Askofu WETU, sijafanikiwa, siku nyingine CHRISTMAS nikatamanii picha MADHABAHUNI n na askofu, alinipiga picha hakuniletea hadi leo alipiga zero hewa. Picha ni uhalisia na KUMBUKIZI nzuri. Iko SIKU ntafanikiwa. Asante pastor kuruhusu watu huko wapige picha nawe. Protocal wasumbufu tu wakati mwingine kuzuia picha. Why any seriousness at the compound, alter, surrounding area of workshops!
Ubalikiwe Kwa elim ya kiloho
Mchungaji, Inamaanisha ukipokea fedha za wauza pombe ni dhambi
Pombe.inarudisha.watu.nyuma.uwezi.inuka.😢😢😢😢😢
Ukweli
Najiulisa kilasku huyu mtumishi was mungu haha anayosema mbona hakuna anaposoma
Pastor mgogo umefika Kenya ukarogeka unaogopa ogopa Kwa nini? Mchungaji tutafusirie Hilo la Manga na giza hizo zingine achia wenyewe mchungaji
Sisi wanawake tu n a akili fupi kama ya kuku ndiyo maana tunanyanyaswa. Siku zote.😅
Ukweli mtupu nimegusiwa naomba namba yenu ya whatsapp
Amen