Mungu awabariki sana NYTV,mnasaidia sana kizazi chetu cha sasa,kuwajua Mababa wa Imani TZ,na kujifunza kwao Ahh huu ndiyo uzee wa IMANI bado ana atamani tujae nguvu za Mungu na Moto wa Bwana.💥💥💥💥💥💥
Nakumbuka nilikuchukua kwenye pikipiki yangu hadi Kanisani ulipokuja Mbulu ulipokuwa unahubiri ujumbe maalum kwa Watz kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Vyama vingi 1995. Hukujivuna! Kabla ya hapo nilifurahia huduma yako tangu 1990 hadi 1993 nikiwa mwanafunzo wa Chuo,Moshi. Na baadaye 2002-2003. Huduma yako ya kichungaji ni ya kipekee sana!!! Mungu akubariki na kukutunza milele!!!
my God bless you Bishop Emanuel lazaro nimejifunza mengi kutoka kwa MUNGU kupitia wewe nakumbuka mikutano mungu aliyekutumia na WEWE ni mtumishi ambaye ni mfano wa kuiga ktk kiroho na kiuduma barikiwa Sana Sana Sanaaaaaaaa
Nimefurahi sana kumuona..maana nimekuwa na maswali mengi...mbona amemtumikia Mungu na anapitia magumu...ila...naamini Mungu ana kila kusudi jema kwa haya...na kweli Mungu amemjalia afya..pamoja na kuugua...bado Mungu amemtunza..hata sasa!! JINA LA BWANA LIBARIKIWE!!
Woow nilikums Askofu wangu Imanuel Lazaro..nilifurahi Sanaa kukuona ile mwez wa 11 ulpokuja church maana ilkua kitambo Sana sikukuona... barikiwa Sana bishop Lazaroo..bdo YESU yu pamoja nawe Bishop Lazaroo.tunakupendaa na Revival tumekums Sana mahubir yako..GOD bless you Bishop Lazaro.
Amina baba yetu tunakupenda na tunamwamini Yesu uliyenaye Mungu azidi kukutunza na kukuimarisha katika imani baba hadi utakaponyakuliwa kwenda mbinguni
Ni seme ukweli tangu nilipoanza kuabudu Kilimanjaro Revival Temple 2000 wakati huyu mtu alipokua bado na nguvu alinijenga sana kiroho, na kila ijumaa na jumapili akisimama nilikua sikosi kitu na maisha yanabadilika kabisa. Nakiri kwamba hatumjui huyu mtu vile tulivyopaswa kumjua.
Mi nafikiri angeenda mtumishi wa Mungu kufanya nae mazungumzo ndo ungekuwa vizuri zaidi ili kumshauri aendelee kuishi maisha ya utakaso, huku akiomba Mungu amkumbushe makosa ambayo alifanya ambayo hakutubu ili atubu kwasababu kuna wakati mwingine unaweza kujiona uko sawa kumbe kuna kosa ulifanya bila kujua n'a Mungu anakusubiria utubu Ezekieli 33:15-16 hii ezekieli ukisoma katika bible ya kingereza imeeleza vizuri new international version. Waebrania 12:14
@@japhetthabit9428 kwani wewe unamshauri kama nani? Kazi aliyofanya mpaka leo umemlinda wewe? Umekuwa unamshauri wewe? Kwani Mungu aliye muhita alikuweka kuwa mshauri wake? Au ujasoma kisa cha musa, aruni, na niliamu?
Askofu wa kwanza alikuwepo huyu ni wa pili. Tunampenda sana ila tusipotoshe historia , kama tulivyopotosha tuliposema TAG imetimiza miaka 75 miaka nane iliyopita, wakati ukweli ni kwamba TAG ilianza rasmi mwaka 1952, na itatimiza miaka 75 ifikapo 2025.
Kumbe ni wewe uliyemtesa Moses kulola naomba ukaekae duniani kwanza, maana ulimtendea vibaya sana mtumishi wa MUNGU,eti waangalie mwenendo, mbona wewe hukuangalia mwenendo na ukampa mwenzio ukilema mpaka kufa, alikufa akiwa na chuma kwenye mwili wake, weweeee
Ukristo wenu uwe katika nguvu za Mungu Na sio katika theolojia,, amen baba askofu Lazaro.
Mungu akubariki sana
Mungu awabariki sana NYTV,mnasaidia sana kizazi chetu cha sasa,kuwajua Mababa wa Imani TZ,na kujifunza kwao
Ahh huu ndiyo uzee wa IMANI bado ana atamani tujae nguvu za Mungu na Moto wa Bwana.💥💥💥💥💥💥
Nakumbuka nilikuchukua kwenye pikipiki yangu hadi Kanisani ulipokuja Mbulu ulipokuwa unahubiri ujumbe maalum kwa Watz kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Vyama vingi 1995. Hukujivuna! Kabla ya hapo nilifurahia huduma yako tangu 1990 hadi 1993 nikiwa mwanafunzo wa Chuo,Moshi. Na baadaye 2002-2003. Huduma yako ya kichungaji ni ya kipekee sana!!!
Mungu akubariki na kukutunza milele!!!
Mungo azid kumtunza asikofu wetu kwakaz ya mungu12:03 mungu amlinde nakumtunza wotetuseme amen
Praise God all the way from Kenya. Dad i just feel the power of God is guiding all u say n i pray he continues to protect you amen
my God bless you Bishop Emanuel lazaro nimejifunza mengi kutoka kwa MUNGU kupitia wewe nakumbuka mikutano mungu aliyekutumia na WEWE ni mtumishi ambaye ni mfano wa kuiga ktk kiroho na kiuduma barikiwa Sana Sana Sanaaaaaaaa
Ameeen, Mungu atukuzwe kwaajili ya baba yetu aliejaa maneno ya hekma na busara 🙏🙏🙏🙏
Amen Baba yetu wa Imani .mwili umechoka lkn moyo umejaa madini adimu Sana, interview imejaa uwepo wa kutosha.Barikiwa Sana Baba tunakupenda.
Amen Mzee wetu nakumbuka tuliongea kidogo 1987 semina ya Aril Edvedsen AICC,nikiwa Ushers.Baraka Sana hii documentary .NY TV hongera kazi njema.
Maneno ya hekima Sana kutoka kwa mtangulizi wetu! May God bless you our dear Godly General!
Amen UKRISTO NI nguvu za Mungu. Matendo 1:8
Asante Yesu baba yetu anaendelea vizuri
Nimefurahi sana kumuona..maana nimekuwa na maswali mengi...mbona amemtumikia Mungu na anapitia magumu...ila...naamini Mungu ana kila kusudi jema kwa haya...na kweli Mungu amemjalia afya..pamoja na kuugua...bado Mungu amemtunza..hata sasa!! JINA LA BWANA LIBARIKIWE!!
Woow nilikums Askofu wangu Imanuel Lazaro..nilifurahi Sanaa kukuona ile mwez wa 11 ulpokuja church maana ilkua kitambo Sana sikukuona... barikiwa Sana bishop Lazaroo..bdo YESU yu pamoja nawe Bishop Lazaroo.tunakupendaa na Revival tumekums Sana mahubir yako..GOD bless you Bishop Lazaro.
Amina baba yetu tunakupenda na tunamwamini Yesu uliyenaye Mungu azidi kukutunza na kukuimarisha katika imani baba hadi utakaponyakuliwa kwenda mbinguni
We love you Dady may the Lord be with you forever
Mungu azidi kukuonekania. Umalize mwendo salama. Na ufike Mbinguni
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mungu akutunze Babu yetu
Mungu akupe moyo mkuu Baba nakupenda Sana
Mungu ampe kumaliza vizuri Baba yetu.
Mungu akutie nguvu baba yetu wa imani
Mungu azidi kukutunza kwa kazi yake uliyo ifanya pia akupe afya nzuri na miaka mingi
Kweli kabisa,tumtake Bwana na Nguvu zake,Ameni
Mungu akubariki Sana babu yetu
Barikiwa sana baba,mungu akutie nguvu hakika umeifanya kazi ya mungu🥰🙏
Amen. Nguvu za Mungu
Amen baba yetu asante kwa ujumbe wa muhimu sana huu kwetu
Hata sasa wewe Yesu ni Ebenezer.
Hapa askofu wetu baba yetu alipofikia ni nguvu zako Yesu.
TUMTAKE MUNGU NA NGUVU ZAKE HAKKA.
Mungu akutunze baba wa imani
Ubarikiwe baba wa kiroho wa t a g
Wow! Glory to God!!!
Ni seme ukweli tangu nilipoanza kuabudu Kilimanjaro Revival Temple 2000 wakati huyu mtu alipokua bado na nguvu alinijenga sana kiroho, na kila ijumaa na jumapili akisimama nilikua sikosi kitu na maisha yanabadilika kabisa. Nakiri kwamba hatumjui huyu mtu vile tulivyopaswa kumjua.
Mungu amfunike Kwa neema yake Mzee wetu
Nimebarikiwa sana kusikia sauti yako baba
Kweli tunahitaji nguvu za Mungu si kitu kingine. Hakuna ukristo pasipo nguvu za Mungu!
Kongole baba
Mzee wetu ♥️♥️♥️
Amina baba
Mungu nimwema
Yesu aendelee kumtunza baba yetu
Ahimidiwe Bwana aliepamoja na baba yetu
Kazi yoko itakumbukwa sana
Hiyo nimeikubali inajenga
Hakuna ukristo kama hakuna nguvu za Mungu
Mi nafikiri angeenda mtumishi wa Mungu kufanya nae mazungumzo ndo ungekuwa vizuri zaidi ili kumshauri aendelee kuishi maisha ya utakaso, huku akiomba Mungu amkumbushe makosa ambayo alifanya ambayo hakutubu ili atubu kwasababu kuna wakati mwingine unaweza kujiona uko sawa kumbe kuna kosa ulifanya bila kujua n'a Mungu anakusubiria utubu
Ezekieli 33:15-16 hii ezekieli ukisoma katika bible ya kingereza imeeleza vizuri new international version.
Waebrania 12:14
Umejuaje kwamba hajatubu au ulitaka aje akatubu kwako? Mambo mengine
Amekosea wapi na lini hivyo unamhukumu wewe ni nani br
@@joshuaswai8203 wasiwasi ni akili" kuhukumu ni nini? Usikurupuke tuu, huo ni ushauri wangu Kwa mzee wetu
@@japhetthabit9428 kwani wewe unamshauri kama nani? Kazi aliyofanya mpaka leo umemlinda wewe? Umekuwa unamshauri wewe? Kwani Mungu aliye muhita alikuweka kuwa mshauri wake? Au ujasoma kisa cha musa, aruni, na niliamu?
Naombeni mnisaidie kwann wachungaji wa tag hawapendani kwa undani?
Ila hizo nywele zako apn haina utukufu wa Krixto
Mungu akubadiki sana babu yetuuuuu
Mungu ampe maisha babu yangu ,nampenda sana
Baba , Mungu akupe afya njema
Jamani mnakosoa hadi nywele za mtu
Hawawatu kamaningeweza ningewarudisha ktk ujana. MUNGU atukumbuke vijana waleo ktk kanisa letu zuri la TAG
Askofu wa kwanza alikuwepo huyu ni wa pili. Tunampenda sana ila tusipotoshe historia , kama tulivyopotosha tuliposema TAG imetimiza miaka 75 miaka nane iliyopita, wakati ukweli ni kwamba TAG ilianza rasmi mwaka 1952, na itatimiza miaka 75 ifikapo 2025.
Mungu ambariki mtumishi wake
Lakini mwandishi ujamwuliza juu ya aliyekuwa makamu wake Dr Moses kulola kutoelewana kwake mpaka kupelekea matatizo ktk imani
Kumbe ni wewe uliyemtesa Moses kulola naomba ukaekae duniani kwanza, maana ulimtendea vibaya sana mtumishi wa MUNGU,eti waangalie mwenendo, mbona wewe hukuangalia mwenendo na ukampa mwenzio ukilema mpaka kufa, alikufa akiwa na chuma kwenye mwili wake, weweeee
Ndugu yangu, muogope sana Mungu. Unaweza kujitwalia laana ikatafuna maisha yako na kizazi chako.
Muasisi Wa imani