Amen barikiwa bishop lazaro..nakumbuka hi siku unatueleza jins MUNGU..alivyosema n ww juu ya hukumu ya tanzania.toka hapo nmekuwa simzoei uy MUNGU at siku moja .hofu yangu imezidi kunifanya nimtafute MUNGU kwa bidii zaidi..GOD bless bishop lazaro.sijutii kuwa baba angu wa kiroho.umenifundisha kwel ya MUNGU.yote.
Nampenda SANA Mtumishi wa Mungu Askofu IMMANUEL LAZARO. BWANA YESU na Amkumbuke kwenye Ufalme wake! Amen
Amen barikiwa bishop lazaro..nakumbuka hi siku unatueleza jins MUNGU..alivyosema n ww juu ya hukumu ya tanzania.toka hapo nmekuwa simzoei uy MUNGU at siku moja .hofu yangu imezidi kunifanya nimtafute MUNGU kwa bidii zaidi..GOD bless bishop lazaro.sijutii kuwa baba angu wa kiroho.umenifundisha kwel ya MUNGU.yote.
Amina, Baba Askofu Immanuel Lazaro, Mungu akuongezee miaka ya kuihubiri injili hii bado haijafika kwa Watanzania wote.
Barikiewa MTU wa mungu
Jina la huu wimbo jaman plz
barikiwa mtumishi wa MUNGU mch emanuel lazaro.
ubarikiwe baba askofu
Hongeraaaa kwa fundisho ila nikukumbusho kutubu Kwa unyama uliomfanyia Bishop Moses kulola
Huo ndo ujinga ulionao,Moses ulimkumbusha kutubu mpuuzi wewe.
Barikiwa sana baba Askofu Emanuel Lazaro kwa Neno la Kweli la kuiponya Tanzania kwa atakaye tii.
Barikiwa sana Baba Emanuel
gd
hakika mungu akuongezee siku baba
Moyowangu daima humfurahia huyu mtumishi huyu wa Mungu
Ee Mungu niwezeshe kuishi upendavyo
barikiw xanaa na huduma yako baba
Mungu wa Mbinguni Atusaidie
Bwana akuongezee siku za kuishi.
Amina lkn waandishi Haririni maneno kabla ya kutuma ujumbe. Soma kichwa cha Habari kimepoteza maana ya fundisho la Mungu
Si wengi watalisikiliza Neno hili....lakini Neno hili ni KWELI, NA HAKIKA.
Ukumu ya TZ Mungu. Tuokoe
Amina mtumishi,Mungu akukumbuke.
Wewe ni mzee wa Imani Tanzania
Uchaguzi mkuu was t.a.g dodoma
barikiwa
Kama wewe ulivyomchukia na kumtesa Moses kulola nashukuru unajihubiria weweeee
asant
ee Mungu lifanye taifa la Tanzania kama israel taifa lako pafanye pawe patakatifu pako
gd
CCM ndio wanakumbatia maovu na kumwaga damu