Hao hao wapinzani wakisifia majengo yalojengwa Enzi za sultan na kuponda hakuna barabara Leo vinajengwa tushahama huko tunasema Hayagusi maisha ya watu lakini humo ndo watu wataposoma na majengo ya hospitali nayo hutumika na wagonjwa hebu ifike point wazanzibar tuamke tutumie japo akili alizotupa Mungu tuache hasadi na choyo ambayo haina kichwa wala miguu mwanzo huyu mwinyi tuliambiwa si mzanzibar ikiwa mpa baba yake alikua raisi wa zanzibar na hukuna alowahi Sema yule mzee si mzanzibar wanasiasa wetu wanawatia watu matumaini ambayo hata wao siku wakapata hayo madaraka mengi tu hawataweza fanya.
love kojan
Kwakweli dct upo sawa lkn sasa tunataka mamlaka kamili ya nchi yetu sio kuamuliwa mambo ytu na tanganyika
Maashaa Allah
Wangejenga ya primary ya mkoani ambayo ipo mjini na mazingira mabov hadi ya miaka hiyo hadi leo
Skuli nzuri sana lakini haya ndio tunayoambiwa na wapinzani kuwa hayagusi maisha ya watu
Hao hao wapinzani wakisifia majengo yalojengwa Enzi za sultan na kuponda hakuna barabara Leo vinajengwa tushahama huko tunasema Hayagusi maisha ya watu lakini humo ndo watu wataposoma na majengo ya hospitali nayo hutumika na wagonjwa hebu ifike point wazanzibar tuamke tutumie japo akili alizotupa Mungu tuache hasadi na choyo ambayo haina kichwa wala miguu mwanzo huyu mwinyi tuliambiwa si mzanzibar ikiwa mpa baba yake alikua raisi wa zanzibar na hukuna alowahi Sema yule mzee si mzanzibar wanasiasa wetu wanawatia watu matumaini ambayo hata wao siku wakapata hayo madaraka mengi tu hawataweza fanya.
Katiba sio msahafu hoseni akae t mpaka mwisho wa uhay wake