Umetisha sana milad ayo.. ndiomaananapendagasana kufatilia Chanel yako kwani niamini huto taalifa za kipuuzi za uongo au za kuedit..usiache kutupa mlejesho wa uchunguzi.
Uyo mwiz tu wanguo Lakin ayo mengine sina Imani nayo mbona kama amebanwa aongee ivo mchunguzen jaman sio kweli akubali kuiba watoto kwa elfu tano apana nakataa
ndugu hawa wattoto wana mind set ndogo sana ye anaiba hatak kingi anachopewa anaridhika...ilimradi apate hela ya kuspend hayo mengine ye hayamhusu...me nakadogo kangu haka kapo lapili imagine anaiba anapeleka alipo agizwa i mean wenzake walomtuma ...anaiba hata 30K anapewa mia mbili bro imagine( 200 ) and he is happy anaend kunywa barafu👋🥺...ko hajar anapewa shingap as long as kalipwa no doubt.
Ili hii hali isiendelee jmn hebu Hawa wakamatwe kifungo Cha maisha maana mkiwaachilia wataingia matani kuendelea nakazi hiyo na hao walio tajwa wakamatwe wahojiwe kwakituo nahisi Hadi huyo boss wako anaweza kupatikana dah 😢😢
Polis kama wako makini na ueledi huyu mtoto( kijana) wasimshurutishe bali wamtumie ktk kuwabaini wahusika huyu n mtoto tu! Lkn utaona polis wanamuharass huyu na kuacha WAHUSİKA THİS İS TOTALLY SHAME ON OUT POLİCES
Ndiyomaana imetangazwa Ajira mkuranga ya kuzika maiti zisizojulikana kumbe maiti zinatoka sehemu tofauti tofauti 😢😢😢 Mungu tusaidie tunusuru na vizazi vyetu 😢😢..
sio makosa yao njaa ndio sababu maisha yamekua juu sana wananchi wa chini hawafikii gharama za chakula biashara unafanya ndogo ndogo pesa zinaishia kwenye ushuru 😢
@@aishaalbalushaishabalush8291weeee sio kweli ugumu WA maisha ndio uchinje wenzio? Hivi unajua maisha magumu wewe? Nenda Malawi , Mimi sikubariani eti kisa maisha magumu ndio niende kuchinja watu,
@@dianajohnson7268 nadhani unaongea kujifurahisha tu sasa we unaweza kufanya kazi ngumu kama hiyo kwa elfu 5 tu ? nahawa hawachinji wao wanaochinja hao wenye kutaka mali kupitia binadam wenzao nilicho maanisha wenye njaa nihawa watoto wa shule wanaoteka watoto nakuwapelekea wanao watuma nakupewa elf 5 halafu dada kama kwenu mnakula mkadhiba kwa sasahivi tanzania mshukuru sana Mungu kunafamilia zinalalia maji kwa wek wanakula siku 4 na nimlo mmoja 1 tanzania unayoiyona sio ile yamiaka 4 nyuma we idadi ya watoto wenye utapia mlo imeongezeka mara 3 unadhani kuna shibe kama unavodhani wewe dar tu kunafamilia zinalala njaa vyakula bei sana na kipato kidogo mno
bro acha hizo mambo ata uko marekani watu wanatekwa wanakufa kila leo unaposema tukutani kwenye uchaguzi alafu ndio ufanye nn we nenda kapige kura kwa umpendae lkn usitishe watu
Kazi yetu wengine ni kuombea taifa letu tu Leo hii imeonekana si kweli 😢sawa sisi hatuwezi kujua ukweli ila Mungu anayaona wakati wake ni mchache tu yatakuwa bayana
Hakuna Hakuna Hakuna.Police wanajaribu kutuliza moto wa watanzania kwa kutuhadaa kwa kusingizia wanafunzi.Tafuteni ukweli utakaowaweka watanzania wazi kwani hata nyie ni sehemu ya hili tatizo
Hiy hatar kubwa dh huyo mtoto vp mbona anajieleza kwa Mba anawajuwa hawo watu awo wengne vp kaka matwa ye tu mpaka saiv au vp dh Yani hili jambo linatisha sana kwa toto wetu hatar lazima tuji engz
Ila Tz Ni serikali ya Hovyo mbona siksii serikali iki leta Sheria Kali kama za kunyogwa kwa wanao fanya ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto mfano kesi kama: Mtoto wa miaka nane wa kiume ka lawitiwa na mtu mzima na ndevu zake baaadae huiskii Tena anakuja kuambiwa ilisuluhiswa kindugu huu Ni uwaki for real.
wao ndio sababu wahaya unajua unapopandisha gharama za maisha watizame wananchi wako wataweza kumudu sio kufata mkumbo wa nchi fulan wamepandisha gharama vitu nawe unakurupuka kiongozi asie wahurumia wananchi huyo ndio chanzo cha yote mabaya yanayofanyika
Sai akunakupeleka mtu polisi akishikwa namatukio kama hayo achomwe moto kama kuku washenzi serekali yasamia haina maana nayy pia ndio ikaambiwa mwanamke kuonfoza kidini haifai nisababu kama hizi mtu amepoteza mtoto wake ajampata kachinjwa alafù munasema hakuna kidhibitisho
Mungu Nuzuru ichi yetu serikali hatuna kila siku watoto wetu wanachishwa mpka mtaani wakitolewa viugo vi mwili na washirikina Samia na serikali yake imevupia macho
Ana miaka 13 yuko sekondari alianza la kwanza akiwa na miaka mingapi mitano au???? Kawaida mtotio anaanza shule ya msingi na miska 7 anamaliza msingi na 14 kajitahidi 13 huyu alianza shule na miaka mingapi au kadanganya umri wake???
Sasa mmewakata walio kuwa wanahoji ili iweje??.... Walio mkamata ni msaada kwa polisi.. Ndio maana Raia wengine wanaona matukio wanashindwa kuwambia kwakuwa nao mmewakamata....
Atapelekwa mahakaman akitoka hapo anaenda magereza, anakula ugali wa bure, analala bure, na analindwa yan kiufupi anakua sehem salama, Wakati kakatisha maisha ya watu😭😭😭watu kama haya kwanini wasiwe wananyongwa tuu?? Inauma sana😢
Mtoto ameongea kwa kunyoosha maelezp bila kupindapinda. Na kama unaijua pschology vizur utaelewa mtoto kaongea kilakitu. Lakin kwann wanatypotosha kuw sio kweli??
Amini nakuambia .... Hao watoto wanao chkuliwa ni kwamba wanaenda kutolewa kafara ... Au hivyo viungo vyao ndio vinaenda kutumika kufanyia mazindiko ya kichawi katika biashara na mabasi ya matajiri
Sasa kama huyu kijana anavyo eleza kama wakipeleka hao watoto kwa jose.huyo jose anawapakia hao watoto kwenye mabox akiwa kesha wauwa. Sasa anapata faida gani kuwa peleka dar. Anauza nyama. Sija elewa hii stori ya huyu kijana anavyo elezea. Na kama alikwenda kuiba nguo sio mtoto ndio maana amekamatwa. Siamini hii stori kama ni ya huyu kijana.
kwanza serkal imuangalie huyo mtoto kwanini afanye kazi hiyo kwa elfu 5 inamaana kwa ajili ya njaa na njaa nani sababu serkal kupandisha gharama za vyakula wazazi biashara mmeziuwa za wazazi was ndogo ndogo sasa vijana wanakosa kula wakashiba kwanza mtoto mnamuona alivo na njaa napia haitakiwi washikwe hawa watoto hao wanao watuma wahuko dar ndio watekaji wakubwa hao wanabeba watoto kwenye mabix ndio watuhumiwa huyu mtoto mumwachie huru na mushushe get za vitu hadi mbolea ili vyakula vipatikane kwa urahisi mbona magu aliwasaidia sana gharama za bidhaa masikin wote waliishi kama matajir na wezi wakaisha kwanza muwarudishie vitambulisho vyao vya mwaka elfu 20 ili wauze biashara zao bila kugasiwa na ushuru zakila siku kuuwa vile vitambulisho vya wamasikin mmesababisha watoto wengi kurudi kufanya mambo mabaya kama haya nyie mnaongoza nchi awam hi ndio mmesababisha yote haya mwacheni huyo mtoto watafteni wanao watuma wahuko dar
Mnaaanza kukaataaa kwamba sio Kweli police ivi lini mtaacha kulinda waalifu wakati Kila siku watoto wanapotea yaani mm nikikuta mbwa na polisi bola nisaidie mbwa
Naivunja laana kwenye uzao wangu ktk jina la Yesu amen
We chizi au😂😂
😂😂😂😂 hii nchii kha
Amen
Amen
Umetisha sana milad ayo.. ndiomaananapendagasana kufatilia Chanel yako kwani niamini huto taalifa za kipuuzi za uongo au za kuedit..usiache kutupa mlejesho wa uchunguzi.
Mtoto anaota huyu sio kweli
Eee mungu nijalie uzao wungu usije kupatwa nahii roho kwajina layesu naivunja 🙏🙏🙏🙏
Subhana Allah 😢 ya'Rabby wanusuru watoto wetu Aamiyn ya'Rabby
Amiin
Siwezi sema sana ila huyu mtoto anatumiwa tu, huyu mtoto anahaki zake, mbona wale Afande hawakupigwa na kuhojiwa kama huyu mtoto. Mungu tupe uelewa
Uzuri anaonesha anaongea ukweli ko halali yake
Inauma kweli
Uyo mwiz tu wanguo Lakin ayo mengine sina Imani nayo mbona kama amebanwa aongee ivo mchunguzen jaman sio kweli akubali kuiba watoto kwa elfu tano apana nakataa
na mimi kama sijaelewa sasa jose anaibagacwatoto kuhusu nguo tena vp jmn
ndugu hawa wattoto wana mind set ndogo sana ye anaiba hatak kingi anachopewa anaridhika...ilimradi apate hela ya kuspend hayo mengine ye hayamhusu...me nakadogo kangu haka kapo lapili imagine anaiba anapeleka alipo agizwa i mean wenzake walomtuma ...anaiba hata 30K anapewa mia mbili bro imagine( 200 ) and he is happy anaend kunywa barafu👋🥺...ko hajar anapewa shingap as long as kalipwa no doubt.
Kumbuka yeye sio muuaji kwahyo anaona kazi ndogo sana kumkamata tu
Well said@@barakadonald1768
Kabisa sio watu tunapigwa upofu gani mpka anabisha
Uyu mtt amepigwa hadi anajieleza mbona wale walombaka bint wayombo hawapigwi wanasindikizwa kama mabihalusi hata kofi hawajapigwa jmn nyie mtafika mbinguni mmechoka 😅😅😅😅
Unalinganisha wauaji na mbakaji!!!
Mungu tunusuru na hawo watu makatili subhaana llah
Ili hii hali isiendelee jmn hebu Hawa wakamatwe kifungo Cha maisha maana mkiwaachilia wataingia matani kuendelea nakazi hiyo na hao walio tajwa wakamatwe wahojiwe kwakituo nahisi Hadi huyo boss wako anaweza kupatikana dah 😢😢
Mnajikosha tu, yaubakaji mbona hamkutuonyesha mnavyowahoji acheni unafki
Sawa jishaue sasa
Kweli wanazuga wabakaji wamekaa kimya
Huamini Nini video yake nnayoo Mimi nicheki humo
@@abuushakiraddausiy8666mkali naomba nione mkuu
kubaka ni inshu tofauti lkn pia iko maakamani sasa unataka wahoji nn wakati tayali wameshakamatwa
Huyu mtoto anasema kweli, Mungu tusaidie
Polis kama wako makini na ueledi huyu mtoto( kijana)
wasimshurutishe bali wamtumie ktk kuwabaini wahusika huyu n mtoto tu!
Lkn utaona polis wanamuharass huyu na kuacha WAHUSİKA
THİS İS TOTALLY SHAME ON OUT POLİCES
Huna uwezo wa kuwaagiza polisi, kwani huyo mtoto mpaka hapo ulitoa maoni au ulisaidia kumkamata. Acha kufundisha kazi usizozifahamu.
Jamani si ni maoni yake lakini kasema ukweli @@41Company-g5d
Jamni kawakamateni wausika nao ila na wale waliyomfanyiya yule Binti ukatili mgewaazimu kama hivyo
Mbona kama hujaelwa kinachofanyika hapo
@@41Company-g5d UWEZO GANI?
mtu katili kama huyu kwa nini mnamficha sura?
Ndiyomaana imetangazwa Ajira mkuranga ya kuzika maiti zisizojulikana kumbe maiti zinatoka sehemu tofauti tofauti 😢😢😢 Mungu tusaidie tunusuru na vizazi vyetu 😢😢..
What zimetangazwa ajira???!!!
@@njuka3515 Ww uko wapi hujaona tangazo au??
ni kweli hata mm nimeona hilo tangazo nipo Arusha
@@stephenrwaich1078 Kumbe hata ww umeona kwakweli changamoto
Subuhanallah mm sijaona hilo tangazo@@AlHamra-k4u
Ndio maana kesi kama hizi tunamalizaga Kweny mahakam zetu za mtaani.
Wazazi tuombee sana kizazi chetu kinaangamia peke yetu hatuwezi bila msaada wa Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭
Mpaka utumbo unanicheza jamani mtihani huu Allah atupe mwisho mwema
sio makosa yao njaa ndio sababu maisha yamekua juu sana wananchi wa chini hawafikii gharama za chakula biashara unafanya ndogo ndogo pesa zinaishia kwenye ushuru 😢
Amina eehe Mungu inatisha hii hari, 😢 kuchinja watu iwe kawaida kweli?
@@aishaalbalushaishabalush8291weeee sio kweli ugumu WA maisha ndio uchinje wenzio? Hivi unajua maisha magumu wewe? Nenda Malawi , Mimi sikubariani eti kisa maisha magumu ndio niende kuchinja watu,
@@dianajohnson7268 nadhani unaongea kujifurahisha tu sasa we unaweza kufanya kazi ngumu kama hiyo kwa elfu 5 tu ? nahawa hawachinji wao wanaochinja hao wenye kutaka mali kupitia binadam wenzao nilicho maanisha wenye njaa nihawa watoto wa shule wanaoteka watoto nakuwapelekea wanao watuma nakupewa elf 5 halafu dada kama kwenu mnakula mkadhiba kwa sasahivi tanzania mshukuru sana Mungu kunafamilia zinalalia maji kwa wek wanakula siku 4 na nimlo mmoja 1 tanzania unayoiyona sio ile yamiaka 4 nyuma we idadi ya watoto wenye utapia mlo imeongezeka mara 3 unadhani kuna shibe kama unavodhani wewe dar tu kunafamilia zinalala njaa vyakula bei sana na kipato kidogo mno
Mmh hata hawa watoto wanaofanya haya wazaz wao hawapendi!
Zaidi Mungu wa mbinguni atulindie watoto wetu jmn awaepushe na mabaya ya ulimwengu 🙏🙏
Bwana yesu nifunikiye mtoto wangu na damu yako takatifu😢🙏🏼
Amen😢
Amen🙏
Acha kukufuru Yesu siyo Mungu. Soma Yohana 17:3) katumwa na Mungu. Soma Luka 6:12,13) Yesu alisali. Husipoyakubali hayo, utakuwa kafiri.
@@KhalfaniFarisy-c3w and so what??
Sasa polisi msikatae huyu dogo anachoongea fatilieni hao aliowataja wakamateni muwahoji
Sio tanzania ww subiri hadi rais au waziri fulan aingilie kati kinyume na hapo tuendelee kulinda watoto wetu. Hatuna polisi hii nchi
Unadhani wasema hivyo hawafutaaitilii ? Hata kama ni kweli wanafanyia kazi very serious ila hawawezi kusema kwenye jamii hilo lipo itazua taharuki
Mwenye Enzi Mungu atustiri yaarab
Polisi mnasemaga ooohhh habari za kuzusha vp hapo bado ni uzushi?
Polis hata ni kweli hawawezi kusema ukweli itakuwa taharuki.tuliosoma Cuba tunajua
polis ndio waliotengeneza hii acha ushamba wee
Bado watasema wanatafuta ushahidi bado kuna wakutetea kesi nyie 🙌 tz yangu
😏Amna kitu hapo yani wanatufanya sisi kama wajinga ipo siku mtajibu iyo ukumu mungu amfichi mnafki
Kwachalinze sio kwer mm naishi huko
Hyo ni kwel yanayoendelea,msitupange Wala hatupangiki tutakutana kwenye uchaguz mwakan shwain
bro acha hizo mambo ata uko marekani watu wanatekwa wanakufa kila leo unaposema tukutani kwenye uchaguzi alafu ndio ufanye nn we nenda kapige kura kwa umpendae lkn usitishe watu
Dahhh jamani polisi fanyeni kazi yenu uy mtoto amekiri mwenyewe watoto wadogo hawana hatia jamani😭😭😭
Inna lilaahi waina ilayhi raajiuun
Msiba mkubwa
Ukatili mkubwa
Mungu atawalipa kwa ukatili mnaofanya
I'm speechless 🙊
Siku mtoto wangu akipotea sijuw itakuwaje aiseeee mungu walinde watoto WETU ila wanangu Zaid maaan nawapenda San
Du mungu bariki kizazi changu
Mtoto mdogo sana huyu hastaili adhabu cha msingi watafutwe wanaowatuma wakamatwe. Wala hastairi kuteswa hata kidogo 😢
Hata watoto wadogo wauwaji kweli ufarme WA mungu unakaribi tatizo la wawa hawa hawana hufu ya mungu malezi mabovu
Mungu tusimamie mwenyew mambo yanayoendelea yanatisha😢
Shenz kabisa c angepigwa mpka afe mpumbavu uyo
Matukio nimengi ya kutisha tumuombeni mungu hatupe mwishomwema. Amiin
Kazi yetu wengine ni kuombea taifa letu tu Leo hii imeonekana si kweli 😢sawa sisi hatuwezi kujua ukweli ila Mungu anayaona wakati wake ni mchache tu yatakuwa bayana
Mbona mengine hamjaweka waz juma ya MTOTO kuna jambo hatufanganyiki jaman. Ilituseme ni wao jamani!!! Mmmhh acheni hizo hatudanganyiki.
Jamani mtoto mdogo unakua narohobaya mungu nusuru kizazi changu😭😭😭🙏
Na wao wakikamtwa auliwe
Mnaokataa Kuwa sio UKWELI basi nyie leteni UKWELI
Me ninayo video kamili
Hapo kuna ukweli mkubwa sana. Sasa mbona na serikali wametoka na tangazo la kutafuta watu wa kuzika watu wasiotambulika.
Basi kenya hili janga ni kama kawaida sasa ..inatisha sana .
Du hiii dunia jaman khaaa mungu tuepushe na haya mabalaa kwakweli 😢 jamn
Jamani Mungu utuhurumie na Mungu uwalinde watoto wetu jamani,😭😭
Hakun kitu hapo ya kutengenezwa anatajaje watu ambao hamja wakamat kuna upelelezi kweli au zuga tu wausik wat wazima achen zuga
Hakuna Hakuna Hakuna.Police wanajaribu kutuliza moto wa watanzania kwa kutuhadaa kwa kusingizia wanafunzi.Tafuteni ukweli utakaowaweka watanzania wazi kwani hata nyie ni sehemu ya hili tatizo
😫😫😫 Police Police Police! 😳
Ndio hivo huyo ni mtt kweli
Inauma sana mungu wang tusaidie😢😢😢😢😢
Hiy hatar kubwa dh huyo mtoto vp mbona anajieleza kwa Mba anawajuwa hawo watu awo wengne vp kaka matwa ye tu mpaka saiv au vp dh Yani hili jambo linatisha sana kwa toto wetu hatar lazima tuji engz
Ila Tz Ni serikali ya Hovyo mbona siksii serikali iki leta Sheria Kali kama za kunyogwa kwa wanao fanya ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto mfano kesi kama: Mtoto wa miaka nane wa kiume ka lawitiwa na mtu mzima na ndevu zake baaadae huiskii Tena anakuja kuambiwa ilisuluhiswa kindugu huu Ni uwaki for real.
Eti wao mtu akimtomba mwanake kwanguva au hiariyake sheria kali kinoma hata ukicngiziwa umelawiti tu umekoma unafungwa miaka ya shetani
Hii nchi nikufanya mapinduzi ya Tanzania.
Inawezekana ikawa kweli au sio kweli . maana kunakipigo unakipata hadi unaongea uwongo
Mwenyezi mungu atusimamie waja wake na viongozi sijui wachike lipi waache lipi maana matukio ni mengi jmn dah😢😢
wao ndio sababu wahaya unajua unapopandisha gharama za maisha watizame wananchi wako wataweza kumudu sio kufata mkumbo wa nchi fulan wamepandisha gharama vitu nawe unakurupuka kiongozi asie wahurumia wananchi huyo ndio chanzo cha yote mabaya yanayofanyika
Jamani vizazi vyetu mungu atuepushe hays mtoto mdogo fo two anaiba watoto ili apewe 5000 jamani
Yani unatoa uhai wa mtu kwa sh 5000? 😭 mi naona watu kama hawa hukumu zao hata zisinge kuwa znacheleweshwa ni kunyongwa papo hapo
Sai akunakupeleka mtu polisi akishikwa namatukio kama hayo achomwe moto kama kuku washenzi serekali yasamia haina maana nayy pia ndio ikaambiwa mwanamke kuonfoza kidini haifai nisababu kama hizi mtu amepoteza mtoto wake ajampata kachinjwa alafù munasema hakuna kidhibitisho
Ila mlicho fanya ya kumuhoji na kumlekodi ni makosa, hata km ni kweli hao wengine wangesha toloka
uyo.mtt sio mwizi jamani wewe unae mhoji umembana sana mwachieni akasome bhana pumbavu zenu mnaacha majambaz mnawaonea watt😢
Mhhh! Mi mgeni!
Mungu Nuzuru ichi yetu serikali hatuna kila siku watoto wetu wanachishwa mpka mtaani wakitolewa viugo vi mwili na washirikina Samia na serikali yake imevupia macho
Ana miaka 13 yuko sekondari alianza la kwanza akiwa na miaka mingapi mitano au????
Kawaida mtotio anaanza shule ya msingi na miska 7 anamaliza msingi na 14 kajitahidi 13 huyu alianza shule na miaka mingapi au kadanganya umri wake???
Mwenye simu ni msenge sana kwanin uweki simu silent
😂😂😂imenikera balaa
Hilo li simu sasa 😢😢😢😢
Nilidhani huu wizi wa watoto ni kenya pekee
Hamna kitu hapo😅😅😅😅,,ukiwa na msomi utajuwa😂😂😂
Awa watot watakua wanauzwa kam nyama jmn khaaaaaa
😂😂😂 Sinaga Imani na Police aiseee ona sasa Taarifa ni tofauti
dunia ina mambo mengi saan
Kumbe chalinze ndio limetokea hili tatizo😢
Pengine awe mwizi wa nguo tu lkn sio watoto
duh, hizi kali khee
Sasa mmewakata walio kuwa wanahoji ili iweje??.... Walio mkamata ni msaada kwa polisi.. Ndio maana Raia wengine wanaona matukio wanashindwa kuwambia kwakuwa nao mmewakamata....
Atapelekwa mahakaman akitoka hapo anaenda magereza, anakula ugali wa bure, analala bure, na analindwa yan kiufupi anakua sehem salama,
Wakati kakatisha maisha ya watu😭😭😭watu kama haya kwanini wasiwe wananyongwa tuu?? Inauma sana😢
Mungu okoa kizazi hiki
Sasa milio ya Nini iyoo ndiiihii sijui
Inakela
Kwa akili ya mtoto wa miaka 13, hawez kukariri umri wa watu kias hko. Hili lifuatiliwe asee
Yote hii sisi baadhi yawatanzania tunaetaka utajiri wakishirikina
Jamani kwanini mtt mdogo hivi anashirikishwa vitendo hivi
Huyu wala wasimpige ili awambie Mengi
Hivi kwanini polisi wanatoa kauli ya kukataa inamaana wanatetea haya maovu au jamii unaweza kueleea nini juu ya utetezi wa polisi kwa hawa wauaji
😢😢duh elfu 5 mama weeèee naumia san
Eee mungu wangu tusaidie sisi waja wako tupe mwisho mwema
Huyo mtoto tuseme kuwa kila anayefanya naye kazi ni lazima ajue umri wake etii!
Mmmh police wana kazi kubwa sana mungu awalindeni nyote maana kaz mnayo fanya ni kubwa japo Kuna watu hawawapendi kuhusu kazi zenu
Kidato chapili miaka 13 mbona haiingii akilini ,darasa la kwanza miaka 4 ? Inafikirisha sana .
Mtoto ameongea kwa kunyoosha maelezp bila kupindapinda. Na kama unaijua pschology vizur utaelewa mtoto kaongea kilakitu. Lakin kwann wanatypotosha kuw sio kweli??
Anayerekodi hafungi data, atakuwa siyo kichwa box
Daaah😢😢😢😢😢
Kipigo kinauma,ila wachunguze kwa kina,ukweli utajulikana,maana sio kwa peresha aliyo nayo
Amini nakuambia .... Hao watoto wanao chkuliwa ni kwamba wanaenda kutolewa kafara ... Au hivyo viungo vyao ndio vinaenda kutumika kufanyia mazindiko ya kichawi katika biashara na mabasi ya matajiri
Inalilah wa inailah rajuun
Hoji uyo mpaka awapeleke kwauyo Jose wazazi Awana amani nyumbani
Polic kwann mnapenda kukanusha?
Sasa kama huyu kijana anavyo eleza kama wakipeleka hao watoto kwa jose.huyo jose anawapakia hao watoto kwenye mabox akiwa kesha wauwa.
Sasa anapata faida gani kuwa peleka dar.
Anauza nyama.
Sija elewa hii stori ya huyu kijana anavyo elezea.
Na kama alikwenda kuiba nguo sio mtoto ndio maana amekamatwa.
Siamini hii stori kama ni ya huyu kijana.
Huenda wanachukua figo 😢
kwanza serkal imuangalie huyo mtoto kwanini afanye kazi hiyo kwa elfu 5 inamaana kwa ajili ya njaa na njaa nani sababu serkal kupandisha gharama za vyakula wazazi biashara mmeziuwa za wazazi was ndogo ndogo sasa vijana wanakosa kula wakashiba kwanza mtoto mnamuona alivo na njaa napia haitakiwi washikwe hawa watoto hao wanao watuma wahuko dar ndio watekaji wakubwa hao wanabeba watoto kwenye mabix ndio watuhumiwa huyu mtoto mumwachie huru na mushushe get za vitu hadi mbolea ili vyakula vipatikane kwa urahisi mbona magu aliwasaidia sana gharama za bidhaa masikin wote waliishi kama matajir na wezi wakaisha kwanza muwarudishie vitambulisho vyao vya mwaka elfu 20 ili wauze biashara zao bila kugasiwa na ushuru zakila siku kuuwa vile vitambulisho vya wamasikin mmesababisha watoto wengi kurudi kufanya mambo mabaya kama haya nyie mnaongoza nchi awam hi ndio mmesababisha yote haya mwacheni huyo mtoto watafteni wanao watuma wahuko dar
Acha viongozi waendelee kukataa sababu watoto wao wanalindwa
Ameongelea uoga chalinze hakuna tukio lakupotea watt
Yaani unamuuliza eti inakuingia akilini kulipwa elfu5..,Ulitaka alipwe kiasi gani ndio imuingie akilini?!
Subahnallah ³
Jamani huku tz duuuuh mitihani tuu
Mbona kama uwongo jamani
iyo tv atoagi taarifa ya kizushi..
Mnaaanza kukaataaa kwamba sio Kweli police ivi lini mtaacha kulinda waalifu wakati Kila siku watoto wanapotea yaani mm nikikuta mbwa na polisi bola nisaidie mbwa