Wimbo Mzuri sana. Ushauri wangu ni kwamba , hii Kwaya ni kubwa sana haiwezi kuwa na subscribers 426 tu, kwa hyo kusambaza Account na kuhimiza watu kusubscribe litakuwa jambo jema pia Amen
Phinias Shadrack uko sahihi. Nashauri uanze kuzipost ktk mtandao binafs binafs yani Facebook page yako huko post watu wapate neema hii adim. Nasi tutakua tumeshiriki ktk kuipeleka injili hii kwa sehemu yetu. Ameni!
Wimbo huu unanibariki sana nakumbuka siku wwanzindua mama yangu alifariki😢
Hunibariki sana wimbo huu
Forever for Mom🕊️🕊️ Jane Wafula...my angel, you moulded me into Christianity
my favourite song
Listening in 2021, still hitting
Tupe wimbo unaitwa Petro😢😢
Nimeutafuta sana
Natafuta ule wimbo unasema...Yesu kamuuliza Petro Je wanipenda mimi?
Kabisa ndugu! Huo wimbo hata mii nisha utafuta bila mafanikio; tuwekeeni jamani!
Naombe mujaribu ku upload nyimbo inayoitwa KINYONGA naipenda Sana haipo katika platform yoyote tuendelee kubalikiwa pamoja Amen
Ulipata unipe pia
Nzur sana nimezipendaaaa
liked it since childhood
Listening to it 2022 still the best
Wimbo wa kinyonga haupo tunautaka
My best in the album
Huwa wapenda tumbo kwenye kwaya unawajua tu na ndo hao sio vizur shetani ashawateka kwa Jina la yesu ashind nenden mkaitangaze injil ya bwana Amee
Wimbo Mzuri sana.
Ushauri wangu ni kwamba , hii Kwaya ni kubwa sana haiwezi kuwa na subscribers 426 tu, kwa hyo kusambaza Account na kuhimiza watu kusubscribe litakuwa jambo jema pia
Amen
Amina. Asante kwa ushauri mzuri. Ungana nasi kuitangaza kazi ya Bwana. Barikiwa
@@aicshinyangachoirofficialp3482 Amen
Phinias Shadrack uko sahihi. Nashauri uanze kuzipost ktk mtandao binafs binafs yani Facebook page yako huko post watu wapate neema hii adim. Nasi tutakua tumeshiriki ktk kuipeleka injili hii kwa sehemu yetu. Ameni!
Hogeren sana
So sweet song with religious message.
Wimbo huu naufahamu naupenda Sana,ni wimbo wa kitambo,
Barikiwa
@@aicshinyangachoirofficialp3482 mtuwekee ule wimbo naungalia ulimwengu
Shinga hongeleni usikate tamaa
Wimbo mzur sana
Mungu awatumie kama apendavyo
2024 🙏🏾🙏🏾
Napenda Choir hii sana.
Barikiwa
🔥🔥
Ameeeen Huu wimbo unabariki Sana na una ujumbe mzuri Sana, naombeni mu upload ule wimbo wa safisha it's my favorite
Amina. Endelea kutufatilia
❤
Nice one
Wimbo mzuri na wenye mafundisho
Amen.. Barikiwa sana
Well
AMINA
Cartoons