Wcha mungu Azidi kuwabariki kanisa langu AIC, Nimekuwa nikiwafatilia tangu nikiwa mdogo, naomba mungu Azidi kuwapa umoja nawapenda sana munanibariki sana . Pokeeni salamu zangu kutoka Kenya pia mimi nashiriki AIC
mbarikiwe sana yani niliutafuta huu wimbo muda mrefuu hatimae nimefurahi ninauskiza mara kumi kumi yani siamini mbarikiwe mzidi kukua zaidi katika upendo na ushirikiano wenu huohuo msimwache YESU wapendwa
Nyimbo Kali yaani nimeiona Leo wt❤❤❤❤❤
Mbarikiwe sana mpo vizuri
Mungu akubariki wewe uliyepost huu wimbo,nimeutafuta kwa kipindi cha miaka mitano hatimaye nimeupata leo.😢
Nyimbo zenye ujumbe mzuri usiochuja hata miaka ijayo
Wcha mungu Azidi kuwabariki kanisa langu AIC, Nimekuwa nikiwafatilia tangu nikiwa mdogo, naomba mungu Azidi kuwapa umoja nawapenda sana munanibariki sana . Pokeeni salamu zangu kutoka Kenya pia mimi nashiriki AIC
Shinyanga, si kwaya Changa, Neema ya mungu iwatoshe daima
Mungu awabariki sanaa nililiutafta sana huu wimbo mda mrefu ahsanteeni sana,na kazi yenu ni njema Tuzidi kusonga mbele nawapenda sanaa!!!
mbarikiwe sana yani niliutafuta huu wimbo muda mrefuu hatimae nimefurahi ninauskiza mara kumi kumi yani siamini mbarikiwe mzidi kukua zaidi katika upendo na ushirikiano wenu huohuo msimwache YESU wapendwa
Mbarikiwe sana. Nimekua nikiutafuta huu wimbo Kwa muda mrefuu haki Mungu awabariki sana
What a blessing song... I feel moved.
Wananibariki sana❤❤
Sijamwona magreth luhunga kwenye hii video
Tunaomba na ule wimbo wa lazima tusimame
Nipo live toka kiwanja chunya
Thanks for the upload, aki nimeutafta huu wibo tagu 2019
thanks for upload the song i was looking this song so long
Shukurani kwa uimbaji subafu
Penda Sana mm
Nice song🔥🔥
Mungu awabariki AIC Shinyanga
oky
Amen
Good
upload Petro by shinyanga
Asanteni mbarikiwe
❤