Ni wimbo mzuri sana, hongereni kwa mtunzi na waimbaji. Kwa maoni yangu haikuwapo haja ya kuweka picha ya rais kwa sababu siyo mkuu wa mhimili wa mahakama. Mkuu wa mhilimili wa Mahakama ni Jaji Mkuu. Ikumbukwe kuna mihimili mitatu ya dola ambayo ni Serikali (Rais), Bunge (Spika) na Mahakama (Jaji) kila mhimili unajitegemea wenyewe.
@@frankrashd1056 Sijamdharau na si kwamba hajui kuimba NO anajua sana, Na nampenda pia.. Hiyo ni kwaya kama wapo wanaojua wapewe na si kila mtu tu apewe NO.. Mbona Eliza ni muimbaji mzuri sana na ni born not made lakini sijamtaja.. Raha ya kwaya unapoona kuna vinara zaid ya watatu....... Lakini hatuwezi jua pengine hao wengine wanajivuta na yeye anajuhudi.. lla katika uimbaji kuna watu hawapendi kuwa mbele, na wakipewa nafasi wanaitumia ipasavyo.. Nawapenda sana AIC shinyanga kutoka moyoni..
@@frankrashd1056 Na suala la experience frank haliji tu from no where.. Kila mtu anapopewa kazi ya kusoma ndo anapata experience.. ... Experience sijahai kusikia kuwa ni taaluma kwamba utasomea.... Labda
Beatrice Mwakalukwa 😂 refer your statment bhna "kumbe kuna waimbaji wazur kupita yy" no matter how they sing lkni yule anaimba vzur lkni bdo anahuyo mtu anaitwa uzoefu in such different kinds Ila all in all ni kwa ajili ya utukufu wa bwana hatuna neno juu ya haya
God bless AIC shinyanga nawapenda wote jamani wapi like za Magireth Magenda
Hogera shinyanga choir
Aisee nimefurahi kumuona tena Mage yupo hapa dah maana niliumia nilipomuona chang'ombe neema choir
Nawapenda shinyanga,,,Magreth Magenda Nkupenda xana
Barikiweni Sana ndugu kutoka Tanzania, kutoka Nairobi hapa AIC JERICHO.
Dah shinyanga mpo vizuri sana mungu awabariki saaaana
Mbarikiwe na nyimbo nzuri .
Wow. The vocals are heaven sent. Heshima na utukufu zimurudie Mungu. Much love from +254🇰🇪
Daaaah hongeren sana sana
Hongera Sana mmeimba vizur kumbe mkiruhusu wengine wanaweza bonge Ana bonge la saut good
Barikiwa
Hongereni sana,ujumbe mzuri,Mungu azidi kuwaimarisha
naomba kuunganishwa na mwalimu wenu nina kazi naye tafathali...
Aic shinyanga mziki. Mzuri hiyo inaitwa sebene au nn dah kionjo tofauti
Hongereni AICT shy choir kwa wimbo mzuri ....Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi
Hongerei sana wimbo mzuri sana.
Ila aliefanya video amewaaribia sana kwa kweli.
Ilikua life recorded, kwa ajili ya kumbukumbu tu. Barikiwa
Eee! Hongeren wana shinyanga kwa nyimbo zen nzr,
Very nice neema ya mungu iwatoshe
utunzi ya hali ya juu. good performance wana wa shinyanga.[2020]
Mliimba vizur san wana Shinyanga, mbarikiwe na Mungu🙏🙏. Especially the vocals 😚🥰
Bonge la chupaaa nyimbo kali vocal balaaa nzuriii Mungu awabariki sana na aendelee kuwatumia vyema
Ni wimbo mzuri sana, hongereni kwa mtunzi na waimbaji. Kwa maoni yangu haikuwapo haja ya kuweka picha ya rais kwa sababu siyo mkuu wa mhimili wa mahakama. Mkuu wa mhilimili wa Mahakama ni Jaji Mkuu. Ikumbukwe kuna mihimili mitatu ya dola ambayo ni Serikali (Rais), Bunge (Spika) na Mahakama (Jaji) kila mhimili unajitegemea wenyewe.
Asante kwa ufafanuzi mzuri
muzik arrangements awesome..... this guys rock av bn following ur muzik for the last 10yrs..... u r the best
Sere ongera sana kaka nakubari kila ufanyacho brother
Lesa amipale nokwimbokusuma Amen
Ujumbe mzuri Amina
Kinu hicho dah. Very nice
Na barikiwa sana na nyimbo zenu🤝🤝 Magrethi badao hajatoa Album
Wimbo✓
Ujumbe✓
Waimbaji✓
Mavazi✓
Kazi nzuri sana.
Asante sana
Asante. Barikiwa
Shomaaa 🙌
Kazi nzuri wana shinyaga
AICC zote kiboko bigup
Special message 🙏🙏🙏
Ninawapenda sanaaaaaaa, barikiweni watumishi wa Mungu
Kazi nzuri Sana Mungu awabariki sana
Amina
Hivi huu wimbo “Katika shida zangu” Mshaurekodi?
Wimbo mrefu sana aise
Sweet music, good singing, very well dressed ladies and of course also the gentlemen of the group. Shine, shine for God and the public. Wow!
Mkovizuri sana songa mbele
Amina
Barikiwa sana wapendwa, wimbo mzuri
Amina
I 💘 this song i want to support!!
Hizo sauti Jamani daaaaaa mko vizuri sana..Mungu awabariki
Amina
Mungu awabariki mnaendelea vizuri, Mungu ni mwema.
Amina
hamjawah kukosea mbarikiwe
Barikiwa Sana ndugu zangu
Mko vizuri Mungu azidi kuwabariki na kuwainua
Mungu awabariki
Mwili wangu unasisimka sana.
Barikiwa
Mama Lukaaa.. Kipenzi cha Wakamba Kenya.. Bonge La wimbo
Ni yupi hapo
@@shujaazfilmsproduction7115 soloist
@@AggiesVine Ni mkamba
@@boazkitela6960 Kabisa . Tena kivindyo...😂😂
@@AggiesVine wa side gani kitui macha ama makueni
Kwan huyo Dada solo mwenye nyewele fupi mweupe anaimba kwaya ngap jaman au nachanganya 😀😀😀 ..... Ila nampenda sana Mungu ambariki mno
😀😀alikua huku akahama akaenda dar akawa anaimba neema gospel ss naona karudi nyumbani
Amina
Ukija mkoan magreti tuanamwita mwimbaji 🌟 magreti nakukubali sana
Huyu dada simchezo,nimotoooo
Barikiwa sana
Mage ana kipaji hasa hongera kwake
Amina
Jamani mko vizuri album nyingine lini
Mwaka huu.. endelea kutufatilia. Barikiwa
Hivi karibuni
Nawakubali sana,Mungu awabariki
Amina. Barikiwa
Amina
Safi sana. Naipenda.
Aic mpanda
That lady with small voice God bless her this team has really transformed
Wow!!!!!! Total love MIMI NI AIC from Kenya
Hi albamu inaitwaje nahitaji CD yake
Thank you
Aminaaaa
NIWIMBO MZURI SANA
Like preachings of Reinhardt Bonke
Wonderful message in the content of the song
Nawapenda mnoo nyie watu,dada unaesolo endelea kunyenyekea
Barikiwa sana
@@aicshinyangachoirofficialp3482 jamani manajuaga nyieee hatari sanah mapka sasa hatuoni daliliza allbam ingine
Magreti kashatoka neema gospel jmniii
may be yupo kote maana huku ndo alianza kabla ya neema choir
veronica eliya
huku ndo alikuwa kitambo
Wimbo tumeupoke vizuri na ujumbe
The Lord is good all the time
We isaya za masiku uko wap
Nawapendaa
Mbarikiwe
Mziki mzuri 🙏🙏
Asante
Napenda ckumoja niwaone hataniimbe wmbomoja naninyi
Ce n'est pas mauvais vraiment appréciable
Shinyanga mungu awabariki sana atunze huduma yenu
Safi sana
Amina
Amen
WEKENI NYIMBO ZENU KWA WINGI HUKU, SOKO LIMEHAMIA HUKU WAPENDWA
Tumeanza kuziweka. Asante
@@aicshinyangachoirofficialp3482 Hata mkiweka zile za zamani pia itakuwa baraka kubwa zaidi.
Amina
Kwaya
Congratulations
Mubariki sana
Amina
Amina
Vizuri sana
Asante
Barikiweni sana na mungu aendelee na kuwainua sana
Dada mage wewe hamia tu neema gosple hapo tayari pasha kupita uwezo japo umeitoa mbali aic
Hahaha Mage kiumbe kingine ww acha br
Hapana asihame bhana tumemzoea huku, nampenda sana Mage
Dada mage upo
NI WIMBO MZURI
Nice
Balikiweni
Bado mpo vzr
Pigo la fainalli album iko wapi wenzetu??
Mungu aendelee kuwainua simuoni da martha vp amehama?
Yupo. Barikiwa
Matha yupo jaman hujamuona yaan mi hii kwaya matha ndo huwa wa kwanza kumtafuta
@@annastaziajohn9930 ndugu tuko wengi ila kwenye hii video sijamuona
Mage amerudi kumbe au anaimba neema gospel chang'ombe na huku?
Hata mm nilimwona dah hongera take Dada Mage
Simuoni mama Pima hapo yule kiongozi wa sifa yuko wapi???
Do u guys mind if u give us the lyrics of this song?? Thanks 🙏
They encourage Human rights on time in all institutions
Sasa sio kila mda mage wakati kumbe kuna waimbaji wazur kupita yy wakiwezeshwa
Umeonaeee huyooo niwastudioo tu
Mage bado anaheshimiwa coz kuna mtu anaitwa experience 😂 halaf Isaya Mage anaimba live sana we angalia Neema gospel choir
@@frankrashd1056 Sijamdharau na si kwamba hajui kuimba NO anajua sana, Na nampenda pia.. Hiyo ni kwaya kama wapo wanaojua wapewe na si kila mtu tu apewe NO.. Mbona Eliza ni muimbaji mzuri sana na ni born not made lakini sijamtaja.. Raha ya kwaya unapoona kuna vinara zaid ya watatu....... Lakini hatuwezi jua pengine hao wengine wanajivuta na yeye anajuhudi.. lla katika uimbaji kuna watu hawapendi kuwa mbele, na wakipewa nafasi wanaitumia ipasavyo.. Nawapenda sana AIC shinyanga kutoka moyoni..
@@frankrashd1056 Na suala la experience frank haliji tu from no where.. Kila mtu anapopewa kazi ya kusoma ndo anapata experience.. ... Experience sijahai kusikia kuwa ni taaluma kwamba utasomea.... Labda
Beatrice Mwakalukwa 😂 refer your statment bhna "kumbe kuna waimbaji wazur kupita yy" no matter how they sing lkni yule anaimba vzur lkni bdo anahuyo mtu anaitwa uzoefu in such different kinds
Ila all in all ni kwa ajili ya utukufu wa bwana hatuna neno juu ya haya
Yeah ni vizuri.
Ila ni kutokana na sababu za kifundi tu hata mm huwa nafanya live recording pia.
So labda iwe ilikua haijaplaniwa kabsa kufanyika.
Songs are good but poor video quality.Improve on this.Take full HD VIDEOS.Meanwhile nauliza ile wimbo inasema nina furaha sababu bwna yesu ameniokoa
Tunaomba uploads za albums zenu zilizopita maana kuna baadhi ya nyimbo zenu ni nzuri sana ila hatuwezi kuzipata kwenye hizi digital platform
Asante. Tunaendelea ku upload. Barikiwa
Great song 🎵
I need the cellphone number of a person who composed this song
301 like
Vizuri sana
Na barikiwa sana na nyimbo zenu🤝🤝 Magrethi badao hajatoa Album
Nawapenda Sana
Hongeren sana
Nawapenda sana
Nice