#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 มิ.ย. 2024
  • #IbadayasabatoyaKuhitimishaShuleyaBibliaWakatiwaLikizo
    #IdarayaWatoto
    #ShuleyaBibliaWakatiwaLikizo
    #WhereJesusisAlwayswithme
    #VacationBiblestudy-VBS
    #ErickGotora
    #MtanLaban
    #NitakwendaKujihusisha
    #JihusisheYesuAnakuja
    Karibu katika Ibada ya Sabato ya Kuhitimisha Shule ya Biblia Wakati wa Likizo 22.06.2024
    CHORISTERS
    Martin Ngussa
    Susan Ngussa
    Ambrosy Mayunga
    Grace Marwa
    Paul Ngussa
    John Ndibato
    Revocatus Julius
    WAHUDUMU
    Mtan Laban - Mwenyekiti
    Erick Gotora - Mhubiri
    Silas Bisanda - Maombi
    Nathaniel Wambewa - FungunaOmbi
    Wilfred Mkenga - Mhubiri Watoto
    Steven Nguvila - Zaka na Sadaka
    Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji. Rahisi Mande +255 677 048 049
    Kama una ushauri au malalamiko kuhusiana matangazo yetu karibu kuwasiliana nasi kwa simu, meseji au WhatsApp kwa namba +255 713 999 611 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz au sdamwenge@gmail.com
    SADAKA YA MAJENGO
    Unaweza pia kutoa SADAKA ya MAJENGO kupitia Mpesa, LIPA namba: 5786348 , Jina: MWENGE SDA CHURCH (MAJENGO), kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 758 308 960 (Mhazini wa Kanisa- Honest Boneka).
    SADAKA ya MAJENGO:
    CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 501, Jina: SDA Church Mwenge MAJENGO, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 758 308 960 (Mhazini wa Kanisa- Honest Boneka).
    ZAKA & SADAKA Unaweza pia kutoa ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia Mpesa, LIPA namba: 5810262 , Jina: MWENGE SDA CHURCH, kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 758 308 960 (Mhazini wa Kanisa- Honest Boneka).
    Unaweza kutoa pia ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 500, Jina la Account: SDA Church Mwenge, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 758 308 960 (Mhazini wa Kanisa- Honest Boneka). Mungu akubariki.
    Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia.
    Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye:
    Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz
    Facebook Page: Mwenge SDA Church Live
    Instagram: mwengesdachurchlive
    Mungu akubariki.

ความคิดเห็น •