ASSALAAM Aleykum. shukran sana kwa mafunzo yako mum. Allah akupe umri mrefu na uzima uzidi kutunufaisha .....mapishi yako,,,,, yako excellent. sauti yako pia nzuri Maa Shaa Allah......from Kenya
Assalam aleikum shukran sana kwa mapishi ya vitumbua.jazaka allahul kheir.nauliza tofauti ya kusaga unga wa vitumbua na mkate wa sinia. Upi una takikana uwe mlaini na up uwe na Chenga kidogo.
Jane, vipimo huwa naweka hapo chini , chini ya tarehe lakini nitakutilia hapa Mahitaji Mchele kikombe 1 na 1/2 Sukari kikombe kasoro 3/4 au zaidi kama utapenda Tui la nazi kikombe 1 Hamira kijiko 1 cha chai Hiliki ya unga robo 1/4 kijiko Mafuta ya kuchomea kiasi tu
What I like most of your channel is because you take trouble to make both kiswahili and English videos making it easy know the ingredients by name. Thanks so much.
Assalam alaykum warhmatullah wabarakatu Asante mpenzi vitumbuwa masha Allah Kwenye kuchoma sijui kuperuza vizuri 😌 nna chuma cha nyumbani Ila vimekuwa duwara sio zuri Sana lakuvutia ila vitamu
Aleikum musalaam, duara kama nilivyo fanya mie kwa chuma cha kinyumbani ni tabu kidogo kwa sababu vile vyuma havina shimo sana, alhamdulilah vitamu hiyo muhimu kama vimelika x shukran sis
Asslm A'laykm habbty nmejaribu Lkn nazi ya unga nahic ckujuwa vzuri vitokea vzuri Lkn havikuachiana saana kidogo vnamatatizo ya problem Allah Akubarikie ktk maisha yako na Family yako
msagule mgamba mie natumia mchele wa basmati lakini ni vizuri kutumia short grain rice Na pia stale rice , pole sana Na pia hakikisha hamira sio ya zamani
Asante sana kwa kupost hii video. Imekuwa miyaka mingi tangu nilipokaa Tanzania na kula vitumbua. Kwa kweli nilifuata recipe yako leo leo na wanafamilia wangu wote wamependa sana kula hivyo vitumbua. Vimeshaisha vyote. Nimefurahi sana kupata tena ladha ya Tanzania. Pia ni idea nzuri sana kufanya video kwa Kiswahili na Kiingereza. Niliangalia video ya Kiswahili lakini kupata point zote niliangalia ya Kiingereza.
Shukran, njaribu sana yawe asli kwani mapishi yetu yanapotea sana kwa hizi modification nyingi, baada ya mda tutakua hatuna tena mapishi ya kiswahili asli
You just make them as in my memories when my Aunt in Malindi use to make Vitumbua. I can finally too, I finally found the Pan. As I always have been mistaken vibibi with vitumbua. 😂 Thanks a lot!
U r so funny..I just subscribe....kumbe rafiki yake mkubwa mdogo wangu Sabry yuko huko Houston. I just love ur mapishi...yaani nakufuatilia sana Maasha'Allah
mungu akubariki, nimepika hizo jana usiku. mumewe kasema best kitumbua so far.
Shukran, thank you for the wonderful feedback
salam aykkummm nejaaribbu vvitummbuwa vimetokeya vizuri alhamdulilah mungu akupe janat firdaus nakushukuru sana
Shukran, Amin kwetu sote ya Rabb
masahaallah .... asante sana kwa mapishi. .... tuletee na vitumbua vya nyama kwa ajili ya ramadhani
Key Seif Inshallah
Mashaalah Leo nataka nijaribu vitumbua In'sha'Allah
Inshallah
Shukuran habity kwa mafunzo mazuri allah akuzidishie kipaji zaidi
dada jamani nimekupenda wewe mwenyewe then kazi zako mashallah mungu aisaidie mikono yako
+خديجهmungu kakubarikia mtoto mashallah عبدول Shukran, amin kwetu sote
Masha'Allah thank you sana mamy nimejaribu kuvifanya vitumbuwa Masha'Allah vimekuja vizuri Alhamdullillah
Thanks for the feedback, nimefurahi kujua
mapishi yako mazuri sana ukijaribu allhmdulialh tunashkuru. nilikua naomba utuoneshe chila
Shkran, Inshallah chila zitakuja pia
Allah akupe afya na umri dada kwa mapishi
Amin , shukran
Napenda unavyoelezea, nitafurahi kama utatusaidia namna ya kupika keki na kupamba. Asante
Nomeshaweka video nyingi hapa za cski na icing pekee tafuta hutokosa
I am so in love with your swanglish, so lovely. Thank you for the recipe
Thank you so much 😊
Baaraka LLAHU fiiqu ALLA akulinde na shari za maadui zako shukran Habibty
Amin ya Rabb, shukran
mashallh unajua hamna video yako sijalike...unajua na unajua kuelewesha tunahitaji kujua chapati za kimoro...nahisi utatufahamisha vizuri
Ahsante sana
Asante sana dada nimejifunza mapishi mengi kupitia wewe mungu akubaliki
Hongera, ahsante sana
ASSALAAM Aleykum. shukran sana kwa mafunzo yako mum. Allah akupe umri mrefu na uzima uzidi kutunufaisha .....mapishi yako,,,,, yako excellent. sauti yako pia nzuri Maa Shaa Allah......from Kenya
Aleikum Musalaam, shukran kwa kua na mie na kwa mapenzi x
AHSANTE KWA KAZI ZAKO NZURI. M/MUNGU AKULIPE KHERI INSHAALLAH.
MM NAOMBA UTUKUMBUSHE KUPIKA VITUMBUA VYA NYAMA AU VYA SAMAKI.
TUNAKUPENDA.
Shukran, nitajitahidi niletee hayo mapishi Inshallah
Aroma of Zanzibar and
Vmetoka vzr jaman
Maashaallah nzuri sana habty mungu akuzidishie nguvu na ucheshi wakati wa kufamisha
Shukaran
Allah akujalie nguvu uzidi kutufundish Dada nipend san Dada
Shukran, Amin kwetu sote
Assalam aleikum shukran sana kwa mapishi ya vitumbua.jazaka allahul kheir.nauliza tofauti ya kusaga unga wa vitumbua na mkate wa sinia. Upi una takikana uwe mlaini na up uwe na Chenga kidogo.
Aleikum Musalaam hamna tofatauti kubwa kwa muokanako wangu nahisi vitumbua ni viazuti kuwa laini zaidi
Ur the best my dada nakupenda mpk nakupenda tena Allah akuhifadhi na akulipe 😘😘😘😘😘❤
Habari za leo, mm ni mgeni ásante kwa mapishi mazuri ninajifunza mengi mimi napenda sana kupika
Juliana Mello Karibu sana , natumai utapenda mapishi yangu
shukran ukhti nimepata kwa amazon nimeitafuta sana Leo nimeipata mungu akujaze kila la kheri
Leo na mie naigamambo ya kikhalat...barakaAllahu fiyki
MaashaAllah, JazaakAllah khair, you a best trainer, personal I have learned a lot, now I can try to cook vitumbua.
It's my pleasure
Asante sana dada munguakubariki mimi nimenunuwa chuma mara mbili ilakinakuja vitundu vidogo sana nilikuwanaomba nitumiye saizi yaichu ulishotumiya apa
Siwezi kukutumia hichi mimi nimenunua amazon lakini TZ vinauzwa
Ata mimi nimenunuwa amazon dada nipo Wisconsin
@@byaombewilondja2036 ok nilifikiri ulo Tz , unawza kupata bed bath and beyond pia wanavyo , I kept a link in the description take a look at it
Asanta dada nitajaributena kununuwa
Tuonyeshe kupika Belgion waffle dada sijuwi kwa kiswahili inai twaje
Mama asante sana nimefaidikasana na video zauko mungu akupe maisha merefu mamayangu ila naomba utufundishe jinsi ya kutengeneza bizariza ainatofaufi
Bizari za pilau na biriani nimeshaweka zamani tafuta hapa kwenye profile yangu utaona
Nimepetachuma asante sana nanimejaribu vimetuka sawa mungu akulinda milele
MashaAllah mungu akupe moyo zaid kwa unanielimisha dada
Amin
MarshaAllah...jazakaAllah
Asante sana yani nimejifunza mapishi mengi kupitia wewe mungu akubariki sana
Zamzam Hamisi hongera
Dah nitapika leo ..Mashallah
Thank yu my daughter Keep up the good work Yu have made many homes happy Allah Ibarik
Alhamdulilah am so touched by your kind words, Thank you!
Ma sha Allah shukran habbty nmevipenda Allah Akulipe kila la khayir
Super! My grandchildren will luv this.Thank you Grandma from Mombasa Kenya
Thats wonderful am sure they will love them, besides whatever grandma makes its always the best.
Asante my kutujuza mapishi ya vitumbua
mashallh unaongea vizuri na unaelewesha....mkono wako maahalh mungu akubarik tuonyeshe chapati za kimoroko zakuchambuka
Shukran. Nikipata nafasi nitaleta inshallah
Wow yaani nimehisi njaa hicho chombo nitakipataje
Chombo hicho nimenunua amazon lakini naona unaweza kupata kwa wafanya biashara wa facebook na instagram niliwahi kuona zamani
@@aromaofzanzibar asante sana mimi nipo Boston my dear nitafurahi siku tukionana najifunza mengi kupitia kwako👍👌
OH kama upo Boston, angalia description box nimeweka link ya chuma cha kupikia x Inshallah Mungu akipenda tutaonana
@@aromaofzanzibar ok asante sana nitaangalia👍
love you aroma Dada angu, mola akujaalie uzidi kuwa na moyo wa kutuelekeza wenzio
Shukran, amin kwetu sote
Mashalah nimevipenda
I love your teaching mum frm kenya love
Keziah Kamau Thank you for your support
Masha Allah tabarakallah napenda mapishi yako dada, nimejifunza mengi kutoka Aroma zanzibar
Aroma uko vzr sana umekuwa Mwalimu wangu nashukuru
Nashkuru, ahsante
Nice work. Hongera ntakuiga hivi
Ahsante Chef, am humbled getting that from you
MashaaAllah ajab. Lazma nimpikie boss . Shukran sis
Inshallah
Tnx nimeona and i Love it kila ulokitengeza
So glad I found you! Unaelezea vizuri ninakua mpishi hodari wa Swahili cuisine. Thank you
Shukran, am glad you found me too! Good to know you are becoming a pro in that dept . Keep it up
Napenda utuletee upishi was chila shukran
Upishi wa chila upo zamani fuata hii link hapa th-cam.com/video/Fdn8s27DuQo/w-d-xo.html
Sauti yako ni tamu sana..
Umeniteka
Shukran 🙏🏽😘😘
@@aromaofzanzibar karibu Miss Aroma of Zanzibar
vitumbua umesahau vipimo ila ni vizuri sana
Asante.
Jane, vipimo huwa naweka hapo chini , chini ya tarehe lakini nitakutilia hapa
Mahitaji
Mchele kikombe 1 na 1/2
Sukari kikombe kasoro 3/4 au zaidi kama utapenda
Tui la nazi kikombe 1
Hamira kijiko 1 cha chai
Hiliki ya unga robo 1/4 kijiko
Mafuta ya kuchomea kiasi tu
Ahsante sana dada nimejifunza mapishi aina nyingi kupitia wewe. Mungu akujaalie kheri siku zote!
Naiga mambo mazuri tuu ya kihalati 😍😍😍😂😂
Allah akuzidishie ujuzi
+Maasum Chehraa Amin, thank you
+Aroma of Zanzibar ماشاءالله 👌
Una fanya vizuri sana.
super helpful. thanks much. plz more videos za mapishi ya zanzibar....
Thank you,
Masha Allah i tried these today and they turned out yummy..jazakillahu kheir
ooh,i love the you cook,the way you mix that swahili and english!So classy
What I like most of your channel is because you take trouble to make both kiswahili and English videos making it easy know the ingredients by name. Thanks so much.
Aww thank you I just want people to understand
Assalam alaykum warhmatullah wabarakatu Asante mpenzi vitumbuwa masha Allah Kwenye kuchoma sijui kuperuza vizuri 😌 nna chuma cha nyumbani Ila vimekuwa duwara sio zuri Sana lakuvutia ila vitamu
Aleikum musalaam, duara kama nilivyo fanya mie kwa chuma cha kinyumbani ni tabu kidogo kwa sababu vile vyuma havina shimo sana, alhamdulilah vitamu hiyo muhimu kama vimelika x shukran sis
Asante sana!
asalam alekyum mm naomba nifundishe kupika donat nazipenda sana ilasijui zatengezwaje
Ummu Sahili mambo
Asslm A'laykm habbty nmejaribu Lkn nazi ya unga nahic ckujuwa vzuri vitokea vzuri Lkn havikuachiana saana kidogo vnamatatizo ya problem
Allah Akubarikie ktk maisha yako na Family yako
Shukran, nazi ya unga ufanye kiasi tu
Asante kwa Mapishi ya vitumbua.
Everything you make is lovely!
shukran sn dada. napenda sn kujua ni mchele gani unaotumia. nimejaribu lkn havijatoka nipo ujerumani
msagule mgamba mie natumia mchele wa basmati lakini ni vizuri kutumia short grain rice Na pia stale rice , pole sana Na pia hakikisha hamira sio ya zamani
MashaAllah TabarakkahAllah
Finally Nimepata channel ambayo nimeridhika
shukran
Shukrn jazakllahu khery Galby 😘 nimependa it's simple and easy
Oky asante sana mungu akujalie
asante kwa mapishi mazuri
Nimetumia ur recipee 1st time na zimetokea vzr sana mashaAllah... Shukran sana dear, i wish ningeweza kupost picha. Shukran sana
Rugeya Hanif Mashallah niletee insta or Facebook kwa jina la aromaofzanzibar au aromaofzanzibar@gmail.com
Asante sana kwa kupost hii video. Imekuwa miyaka mingi tangu nilipokaa Tanzania na kula vitumbua. Kwa kweli nilifuata recipe yako leo leo na wanafamilia wangu wote wamependa sana kula hivyo vitumbua. Vimeshaisha vyote. Nimefurahi sana kupata tena ladha ya Tanzania. Pia ni idea nzuri sana kufanya video kwa Kiswahili na Kiingereza. Niliangalia video ya Kiswahili lakini kupata point zote niliangalia ya Kiingereza.
Karibu dear, nimefurahi kujua kua pishi umelipenda na ku enjoy.
You are the best in cooking my dear,najikuta nawashawishi staff members kazini kwangu wakufuatilie you tube,wanakukubali sana.Thank you very much
Thank you so much for the love and support
Asanteeee sana nimepata kujua barikiwa
ماشاءالله حلوه الوصفة بارك الله فيكي
Masha Allah vitumbua vizuri
Ahsante sana
Thank you. You are so natural mashallah
Shukran 🙏🏽😘🌹
Looks amazing!!! I am challenging myself to make this swahili rice yummys😋😋😋😋
Shukran. Nimeipenda👏🏼🙌🏼
MashaaAllah recipes makini shukran kwa elimu unayotujuzaa Allah akulipee kheyrii , ntajaribu inshaaAllah rabby akuhifazii♥
Mashaalah Nina penda zanzibar
Shukran habibty and u are amazing most of your mapishi ni aslii I love that.XO
Shukran, njaribu sana yawe asli kwani mapishi yetu yanapotea sana kwa hizi modification nyingi, baada ya mda tutakua hatuna tena mapishi ya kiswahili asli
Mashallah,have tried many of your recipes and they are amazing👌
Thank you for your wonderful support Ahmed!
Ahmed Suleyman Nyama subhanaallah h the bzixutuixuveccefg
Ahmed Suleyman btvsdggixyjxochdfhovsu hbbbtvducw morning time
Shukran sana kama hutojali tunaomba utufundishe vitumbua vya nyama
Mariam rajabu sitojali mama Sina wakati , inshallah nikipata fursa nitaleta
Aroma of Zanzibar Shukran
A'alaykum habibty,nakufatilia sana lkn kwann usiweke na tiktok
Shukran, ndio kwanza nimejiunga tiktok
MaShaAllah looks yummy
napenda sana mapisi yako mola akujaze ujuzi zaid kila leo
Shukran, amin kwetu sote
amiin
unaogopa radi kama mm🤣🤣🤣nakupendaaa
😂😍🌹
vimetoka vizuri sana
You just make them as in my memories when my Aunt in Malindi use to make Vitumbua. I can finally too, I finally found the Pan. As I always have been mistaken vibibi with vitumbua. 😂 Thanks a lot!
My pleasure 😊
Mashaallah Bless you sister' my best channel
Thank you for your love
Aunt Fathiya naomba utuletee pushing la mtabak
Kwa kweli sio mpenzi wa hicho chakula sijawahi kupika nyumbani kwangu
nimejifuza kupika vitu vingi kupiti wewe. asate sana
U r so funny..I just subscribe....kumbe rafiki yake mkubwa mdogo wangu Sabry yuko huko Houston. I just love ur mapishi...yaani nakufuatilia sana Maasha'Allah
Welcome to the family
Just made the vitumbua,cant stop eating ,soo good MashAllah, thnks for the recipe😘
Ma shaAllah rangi yake tamu
Wow good job sister,yani natamani kweli kweli ku vila na Mimi.😘
Shukran, thank you for your support
Asalaam aleikum, Shukran nimebiona,
Je maji hayafai. Chenga za michele hazifai
Maji hayana ladha kama nazi lakini unaweza kutumia
Michele upi mzuri kutumia? Basmati inafaa?
mie nimetumia basmati
Asalaam Alaikum, ma Sha Allah mwenyezimngu skbsrik napenda mapishi yako napenda unioneshe mkate was tambi tafadhali shukran
Dear mkate wa tambi nimetoa zamani angalia utaona hapa th-cam.com/video/PtFUZkke7JM/w-d-xo.html
Mama Asante kwa mapishi kwakweli unatusaidia Sana mama please naomba upike Zanzibar pizza
Inshallah itakuja soon
Miaka nane baadaye lakini mir narudi tu...
Shukran sana wallah
Lovely video. Now I have learnt how to make the full circle.
Wonderful!
Nataka nijfunze na mm vyakula tofauttofaut
Mie sina darasa mapishi yote nafundisha hapa tu
@@aromaofzanzibar sawa nitajifunza humu
Aww Kama huna tui la nazi huwezi tiya maji
Sijawahi kutumia maji nahisi Unaweza lakini ladha haitokua kama ya tui la nazi
ok asante
MashaAllah its beautiful
Thank you
asante saan ddaty Allah akupe afya
Shukran, amin kwetu sote