Asante kwa maombi yako mazuri mtumishi nawakabizi watt wangu nasri na naurath katika mikono yako baba ikawe siku ya balaka kwao leo shuleni kwao, na mkabizi pia mume wangu Hassan mikononi mwako kazini kwake ikawe siku nzuri yenye mafanikio na Balaka zako 🙏🙏🙏
Ameeni Mungu bariki sku hii ikawe sku yenye amani na furaha, niondolee roho za mishale nijalie ridhiki ya halali najikabidhi kwako wewe kama bwana na mwokozi Ameeni
Yesu asifiwe paster naomba uniombehe Kuna panya kila wakayi ya kulala inasimama juu yangu kwenye mti ya bati inanitizama sana Mimi namtoto inzi ya mtoyireti nayo ikanikosesha amani kitandani pamoja na mende nisaidie kweli paster niombeye kbs
Asante Mtumishi naomba uniombee mimi na Familia yangu. Mtoto wangu akawe kichwa katika masomo yake na maisha yake kwa uwezo wa Mungu. Namimi Mama yake niombee kibali cha kuwa kiongozi katika Ajira yangu (Kupandishwa cheo chenye nizamu na kumpendeza Mungu na wanadam wenzangu
Asant mtumishi naomba uniombee mana tumbo linanisumbua na Kila nilienda hspitalini wananiamby fangas saiv natumia dawa naomba niombee hii dawa inisaidie na mungu anipe nguvu ya maombi kwangu
Naomba uniombee pastor nauza sola naomba nipate wateja wateja waniambia watanipigia halafu ndoonibac naniko watoto wanataka Kula wanataka kusoma nisaidie pastor
Mungu azidi kukulinda uweze kutuhudumia Amen Nakukabidhi mtoto wangu Thomas Menrad Haule umwombee aweze kukpata kazi kwa jina la yesu
Asante kwa maombi yako mazuri mtumishi nawakabizi watt wangu nasri na naurath katika mikono yako baba ikawe siku ya balaka kwao leo shuleni kwao, na mkabizi pia mume wangu Hassan mikononi mwako kazini kwake ikawe siku nzuri yenye mafanikio na Balaka zako 🙏🙏🙏
Ameeni Mungu bariki sku hii ikawe sku yenye amani na furaha, niondolee roho za mishale nijalie ridhiki ya halali najikabidhi kwako wewe kama bwana na mwokozi Ameeni
Yesu asifiwe paster naomba uniombehe Kuna panya kila wakayi ya kulala inasimama juu yangu kwenye mti ya bati inanitizama sana Mimi namtoto inzi ya mtoyireti nayo ikanikosesha amani kitandani pamoja na mende nisaidie kweli paster niombeye kbs
Amina asante kwa maombi mtumishi na MUNGU akubariki sana na akutangulie
Thangs
Asante mtumishi kwa maombi haya majiweka mikononi mwa mungu aniongoze na roho mtakatifu amen
Mwenyezi mungu atutangulie wote katika maisha yetu na mungu akulinde uzid kutupatia huduma hii amin
❤amen.amen🎉🎉.mutumisi.kwamaombi.barikiwa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Asante kwamaombi yasubui Mungu ni linde mimi nawatoto wangu nakutubariki
Ameeni Mungu nibariki cku ya Leo iende kama ulivyopanga
Asante pastor kwa maombi mazuri Mungu akubariki kila siku tupate maombi mazuri ...ameeen
Naomba maombi kwa uduma yangu ya unabii na uwombenzi mungu aniongoze katika hii uduma naomba maombi yako mchungaji
Amen pastor Godwin naomba niombee Familia yangu
Mungu asante kwamda huu Mungu nibariki niweze kupata kazi
Asante Mtumishi naomba uniombee mimi na Familia yangu. Mtoto wangu akawe kichwa katika masomo yake na maisha yake kwa uwezo wa Mungu. Namimi Mama yake niombee kibali cha kuwa kiongozi katika Ajira yangu (Kupandishwa cheo chenye nizamu na kumpendeza Mungu na wanadam wenzangu
Amina, Amina.
Najiyngamanisha namaombi haya🙏🙏
Mungu nionekania kwenye biashara yangu na family yetu
Ameni aste kwa maomb yko pastor neema y bwana izid kua nwe daim
Asante mtumish nataka furaha mm na familia yangu🇲🇿
Amen, pastor Godwin niombee nko Kwa nyumba ya mapepo wanatumia majini na miungu
Amen ubarikiwe Sana Mtumishi unihombeye harusi Na nasafari nabyashara Na urinzi kwa Mimi Na familiya yangu
Ameena baba ubarikiwe 🙏🙏🙏
Amen ubarikiwe mtumishi
Amen tangulia yesu
Asante sana Kwa maombi ya asubuhi hii mtumishi wa mungu
Asante sana pastor kwa maombi mazuri Mungu akubariki amina
Asante mungu tumekaa vizur tumeamka na afya njema mungu tubariki Asante mungu wangu
Asant mtumishi naomb umuombee mwanangu asijikojolee shuleni
Ameen mtumishin ubarikie
Ahsante mungu kwa cku ya leo
Ameen tangulia mwenyewe Yesu
Ameem mtumish wa mungu
Ameeni naomba ibariki cku hii ya leo
Be blessed with the name of Jesus Christ
Aminaaa nimebarikiwa
Mungu akubariki sana
Naomba maombi yako mahali nafanya kazi wamekatalia pesa zangu wamekataa kunipe balance zangu za mshahara wangu naomba mchungaji unisaidie kwa maombi
Amen amen amen.
Amina amina
Ameeeeeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asant mtumishi naomba uniombee mana tumbo linanisumbua na Kila nilienda hspitalini wananiamby fangas saiv natumia dawa naomba niombee hii dawa inisaidie na mungu anipe nguvu ya maombi kwangu
Mtumishi niombee mm tumbo linanisumbua
Amina
Amen amen
Ameeen
Barikiw mchungaji 😊
Amen
Naomba uniombee pastor nauza sola naomba nipate wateja wateja waniambia watanipigia halafu ndoonibac naniko watoto wanataka Kula wanataka kusoma nisaidie pastor
Ameeni
Ameen
Amen 🙏🙏🙏
Asante pasta ndew naomba uniombee mm na familia yangu
pst nderwa
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Niombee niweze kupata mtt
Niombee familia yangu ikawa na mafanikio mema
😢ameen
Barikiw mchungaji😊
Amen ubarikiwe Sana mtumishi
Amina
amen amen
Amen
Amen🙏🙏
Ameen
Amen amen
Amen 🙏
Amen
Ameen
Amen 🙏🙏
🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏
Amen