Maajabu: Show ya Kwanza ya R.O.M.A Mkatoliki Tangu Alipotekwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 170

  • @jabilifadhili4097
    @jabilifadhili4097 7 ปีที่แล้ว +13

    duu jama noma ney mwenyewe mpaka akasome kuzim bg up sana roma

  • @Oboss_billharvester
    @Oboss_billharvester ปีที่แล้ว

    Bro Roma be back My brother this is our country, hatuwezi waogopa matapeli wanaoniita viongozi, hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe

  • @abdull-fidmsodoki2485
    @abdull-fidmsodoki2485 7 ปีที่แล้ว +3

    Big up romaa vp ripoti ya upelelezi akiiteka mtekaji

  • @phetymissanya6643
    @phetymissanya6643 7 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulilah umerud hii tanga mikono juu ingetuliza sana

  • @zuenaomary9987
    @zuenaomary9987 7 ปีที่แล้ว +6

    duuh hii kari haijawahi kutokea tz big up sana

  • @azashaban5846
    @azashaban5846 3 ปีที่แล้ว +1

    piga kelele kwa Romaa wakeee weuweeeeee big up👏👏👏

  • @chachamugendi2993
    @chachamugendi2993 7 ปีที่แล้ว +2

    U'll always remain to be my Inspiration ROMA!!!!!

  • @mohammedally8569
    @mohammedally8569 7 ปีที่แล้ว +22

    Amenitoa machozi mungu akulinde roma

  • @mesaidiabdallah2851
    @mesaidiabdallah2851 7 ปีที่แล้ว +4

    inshallah mungu atazidi kkulinda kila uwendapo pamoja sana from Kenya

  • @kingwigo2961
    @kingwigo2961 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwaiyo jeshi alipata idea huku 👏👏👏

  • @bonifacemaginga7555
    @bonifacemaginga7555 7 ปีที่แล้ว +1

    Shoo nzuri sana cjawai kuiona hii ni ya mwaka

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 6 ปีที่แล้ว

    Safiii Bonge LA.aidia Roma ni mbinifu sana na ndio maana shoo zake hizichoshii

  • @lovekambua7413
    @lovekambua7413 7 ปีที่แล้ว +1

    Tz u shld be happy having someone like roma anapigania uchumi wenu anatekwa kwa kusema ukweli na wengine kwaongea matope hapa

  • @johnsittabundalasittabunda6223
    @johnsittabundalasittabunda6223 7 ปีที่แล้ว +6

    Pamoja sana sahau yote fanya yaliyo sasa

  • @patriciamassawe6496
    @patriciamassawe6496 7 ปีที่แล้ว +6

    roma mm nakupenda tyu

  • @hemediphdvevo5338
    @hemediphdvevo5338 7 ปีที่แล้ว +6

    Romaaaaaaaaaaaaa

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 7 ปีที่แล้ว +5

    Hahaha umejaribu kuingia na style ya Make Jackson,Mkataliko wa Tz huyo

  • @jacksongustaph9519
    @jacksongustaph9519 7 ปีที่แล้ว

    ROMA. Mpiganaji wa kweli na kukubali sana

  • @salhakachikao4080
    @salhakachikao4080 7 ปีที่แล้ว

    Noma sana we mkali tuuu

  • @fardsaid1096
    @fardsaid1096 7 ปีที่แล้ว +5

    Roma noma sana uyu jamaa afai

  • @ashuraomary9054
    @ashuraomary9054 6 ปีที่แล้ว +1

    Uyu Roma anajua jamani kaa

  • @josephtungu8936
    @josephtungu8936 6 หลายเดือนก่อน

    Roma noma sana

  • @wavinnawavina1414
    @wavinnawavina1414 7 ปีที่แล้ว +15

    mkaliiiiii Roma unatisha hakunaga tz like ww

  • @nyamwagalogistic6690
    @nyamwagalogistic6690 7 ปีที่แล้ว

    mungu akulinde ishallah

  • @luomusicchannelfromtanzani5650
    @luomusicchannelfromtanzani5650 7 ปีที่แล้ว +3

    ngoja hlo gala lije dondoka, ndo utasema liaa Roma liaa.....haaayaaa shauriii zaaakooo. ongea polepole mzee

  • @bernardkanyema1166
    @bernardkanyema1166 7 ปีที่แล้ว +4

    viva romaaaaaaaa

  • @jafaridossantos9306
    @jafaridossantos9306 7 ปีที่แล้ว +3

    Brothers and sisters Nauliza kitu tena I need msaada weenu I have 15 years Natoka bongo Niambieni Jamani Roma Ni muumini wa dini gani?

    • @lucaskadeghe5955
      @lucaskadeghe5955 6 ปีที่แล้ว

      Jafari Quleshi mkristo mkaroliki

    • @amanileonard7162
      @amanileonard7162 5 ปีที่แล้ว

      Mkiristo mkatoliki. ....(Ibrahim) hilo ndo jina lake kamili

  • @nicholaussaket6602
    @nicholaussaket6602 6 ปีที่แล้ว +1

    Show kali sanaaa

  • @rojasnamponda1434
    @rojasnamponda1434 7 ปีที่แล้ว +1

    Ahaa aa tixha xana Roma

  • @nurayusuph3088
    @nurayusuph3088 7 ปีที่แล้ว +5

    Mola yupo pamoja nawe..sio shabiki but raha kukuona ukiendelea vizuri

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 7 ปีที่แล้ว

    safi sana kaka roma

  • @yussuphramadhan4539
    @yussuphramadhan4539 7 ปีที่แล้ว

    Noma sana

  • @EcoEssence_wellness
    @EcoEssence_wellness 7 ปีที่แล้ว +2

    Good

  • @elisawangare3296
    @elisawangare3296 6 ปีที่แล้ว

    That's how ma hubby proposed to me yani nilishindwa huyu kawaza nini ama malaika mungu kanindondoshea😂😂😂😂😂😂

  • @ngelularichard3396
    @ngelularichard3396 7 ปีที่แล้ว +11

    kweli kabisa lipoti alipewa mtekaji mbona kmyaa

  • @NgelaTZ
    @NgelaTZ 7 ปีที่แล้ว +8

    jamaa n Tanzania 1 kwa show

  • @molandsamanii9332
    @molandsamanii9332 7 ปีที่แล้ว

    roma uko sawa.

  • @samprince8832
    @samprince8832 7 ปีที่แล้ว +1

    Mkatorini Katshaaa sio pow

  • @danielmakungwa7540
    @danielmakungwa7540 7 ปีที่แล้ว +6

    mmmmmmmh tunakupenda

  • @Mbugokilonda
    @Mbugokilonda 7 ปีที่แล้ว +3

    Wasanii wanamaajabu

  • @Purity493
    @Purity493 7 ปีที่แล้ว +3

    waaaaaah, kaliii

  • @joycemichaellovelove2221
    @joycemichaellovelove2221 7 ปีที่แล้ว

    wooooooooyooooooooooooo👏👏👏👏👏👏

  • @shabanisalum2099
    @shabanisalum2099 7 ปีที่แล้ว +1

    yaaan nimecheka hatareeeeee.kweli viva romaaaa

  • @enanmazengo2280
    @enanmazengo2280 7 ปีที่แล้ว

    sana roma toa tena kali

  • @salimkerra6864
    @salimkerra6864 7 ปีที่แล้ว

    Asee noma sana kiki za bongo

  • @selinacharles1119
    @selinacharles1119 4 ปีที่แล้ว

    Jembe nakukubari sana

  • @chickdee6402
    @chickdee6402 7 ปีที่แล้ว

    jmn mwenye jina la huu wimbo plz

  • @derrickmbaku4768
    @derrickmbaku4768 7 ปีที่แล้ว +5

    usikute ripoti ya upelelezi alikabidhiwa mtekaji

  • @shakilsillah7497
    @shakilsillah7497 5 ปีที่แล้ว

    This guy is a legend✊.The voice of oppressors in the society, when the pizza boys are busy selling out their face on tv ( singing love songs )this guys stand out to ridicule I'll fate of shrewd leadership in the society .Few musician can do this but for him he's not just a musician but a whistleblower/peoples defender.May almighty God give him more life, i love him a lot .+254708739476 i would like to meet him one day.

  • @marimarimu3697
    @marimarimu3697 7 ปีที่แล้ว

    duhhh Roma noma

  • @godfreykanelela9448
    @godfreykanelela9448 7 ปีที่แล้ว +5

    DAV boy natania tyu hahahaaaaaa

  • @shabaniayubu5651
    @shabaniayubu5651 7 ปีที่แล้ว +1

    nakukubali mpaka Basii tanga stand up

  • @magoalmagoal1414
    @magoalmagoal1414 7 ปีที่แล้ว

    Nomaaaaaaaaaa

  • @samiasamia6746
    @samiasamia6746 7 ปีที่แล้ว +10

    kaja kama Rihanna jamani mwaka wa chris

    • @josephatclaud8977
      @josephatclaud8977 7 ปีที่แล้ว +2

      mhh piga kazi kioo chetu uwe mwanga wa jamii

  • @tvtanzanian4339
    @tvtanzanian4339 7 ปีที่แล้ว

    pamoja sana Roma

  • @noelyngaiti8634
    @noelyngaiti8634 7 ปีที่แล้ว +13

    duùh haijawahi kutokea

  • @godfreykanelela9448
    @godfreykanelela9448 7 ปีที่แล้ว

    Nurah bado ana wenge huyu Roma maana simuelewelewi huko juu sijui anatafta nn akianguka atakaa sawa

  • @ngalisoilaizer5438
    @ngalisoilaizer5438 7 ปีที่แล้ว

    uko juu Roma unatafuta nn alafu ukitunguliwa useme watu wabaya

  • @mauricemanda24
    @mauricemanda24 7 ปีที่แล้ว +1

    duh! bado xna

  • @jasminebaibe7355
    @jasminebaibe7355 6 ปีที่แล้ว

    jembe romaaaa

  • @ngelularichard3396
    @ngelularichard3396 7 ปีที่แล้ว +7

    mkatoliki umekosea kidoogo kuvaa kama sistar

  • @kapilimaproduction1945
    @kapilimaproduction1945 7 ปีที่แล้ว

    Roma unajua

  • @irenelaswai9758
    @irenelaswai9758 7 ปีที่แล้ว +1

    mbona ham elewek

  • @furahasengo7630
    @furahasengo7630 7 ปีที่แล้ว +1

    roma unatisha huna mpinzani hapa bingo

  • @godloveassey8699
    @godloveassey8699 7 ปีที่แล้ว +3

    nshda roma

  • @frankmtinda5709
    @frankmtinda5709 7 ปีที่แล้ว +12

    duuuh wasije wakakutungua huko juu

    • @biommy9472
      @biommy9472 7 ปีที่แล้ว +1

      Frank Mtinda...hahahaaa

    • @leezarbennito4143
      @leezarbennito4143 7 ปีที่แล้ว +1

      Frank Mtinda 😂😂😂

  • @realmansoldier7785
    @realmansoldier7785 7 ปีที่แล้ว

    mmmh

  • @kingclimaxii3459
    @kingclimaxii3459 7 ปีที่แล้ว

    Roma sio msaniii wa bongo fleva ni mwana HIP HOP badilisheni maandishi apoooo

  • @furthernelly665
    @furthernelly665 7 ปีที่แล้ว

    kaza kamanda you can

  • @abakuryatv2119
    @abakuryatv2119 7 ปีที่แล้ว +1

    hajisomi roma

  • @issanaseeb7699
    @issanaseeb7699 4 ปีที่แล้ว

    Hapa palikua wapi kwani?

  • @eliananyaro3395
    @eliananyaro3395 7 ปีที่แล้ว

    respet Roma

  • @danielkalinga6051
    @danielkalinga6051 7 ปีที่แล้ว

    mbona ilikuja noha tu

  • @Msonjo
    @Msonjo 7 ปีที่แล้ว +3

    hii vita Ya utekaji haijawahi kumuacha mtu

  • @mohamedally9286
    @mohamedally9286 7 ปีที่แล้ว +8

    ebwana Roma ni bonge la jembe japo wengi munaongea pumba tu!!!!!!!;;

    • @josiapamba1892
      @josiapamba1892 7 ปีที่แล้ว

      wimbo wa loma

    • @rosemerry9534
      @rosemerry9534 7 ปีที่แล้ว

      wache waseme ila wanajua kabisa kama roma ndo baba rao so usiumize kichwa kwa anae ona na anaerewa rkn anajifanya haerew

  • @maigekishiwaemmanuel3923
    @maigekishiwaemmanuel3923 7 ปีที่แล้ว

    sasa bhana

  • @festomushi940
    @festomushi940 7 ปีที่แล้ว +20

    jamaa anajua kubana matumizi ingekuwa mond angeshuka na helicopter

    • @leezarbennito4143
      @leezarbennito4143 7 ปีที่แล้ว +2

      Festo Mushi 😂😂😂😂😂😂

    • @zanishirima9257
      @zanishirima9257 7 ปีที่แล้ว +1

      hahahahahah.....nyie watu bana

    • @saulmwakyusa1001
      @saulmwakyusa1001 7 ปีที่แล้ว +4

      ha ha ha ha kwahiyo anajua kuenda na matumiz ya anko magu

    • @biommy9472
      @biommy9472 7 ปีที่แล้ว +1

      pwahahahaaaa...lol! yako kali

    • @kingclimaxii3459
      @kingclimaxii3459 7 ปีที่แล้ว +1

      Festo Mushi acha sifa www bhana matumizi wapi

  • @mussadembele6475
    @mussadembele6475 7 ปีที่แล้ว

    nc

    • @mussadembele6475
      @mussadembele6475 7 ปีที่แล้ว +5

      nife kiharakati halafu upelelezi apewe mtekajii

    • @yusratmmbaga9372
      @yusratmmbaga9372 7 ปีที่แล้ว

      Mussa Dembele 😃😃😃😃😃

  • @godfreykanelela9448
    @godfreykanelela9448 7 ปีที่แล้ว +18

    uje uanguke tena naona bado akili haiko sawa

    • @alibanks3723
      @alibanks3723 7 ปีที่แล้ว

      hahaha 😂😂😂

    • @davboimkali9499
      @davboimkali9499 7 ปีที่แล้ว +1

      Godfrey Kanelela acha hizo ww zako ziko sawa

    • @tatut3889
      @tatut3889 7 ปีที่แล้ว

      Godfrey Kanelela mbavu zangu

    • @davboimkali9499
      @davboimkali9499 7 ปีที่แล้ว +2

      Godfrey Kanelela wee chali ww unautani sikupatii jinsi ulivyo.Ila kwa kweli tumpe saport roma na yy apate cha kula.

    • @nurahfedrickkiluko9412
      @nurahfedrickkiluko9412 7 ปีที่แล้ว

      Godfrey Kanelela haha akianguka akiliitakuwa sawa

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 7 ปีที่แล้ว +7

    roma!!!!!!!?????? usijinue mungu apendi

    • @happylymo5289
      @happylymo5289 7 ปีที่แล้ว +3

      Magy Nzioka sasa amejiinuaje

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 7 ปีที่แล้ว +1

      Happy Lymo mavazi yake na kujinjengea kinyumba juu akae kama Malaika

    • @prosperdeogratius4888
      @prosperdeogratius4888 7 ปีที่แล้ว +2

      Magy Nzioka dadangu Unakaa sana Na Mungu sio..anavaaga hivo kwani!?ni ubunifu tu

    • @rahamalast4005
      @rahamalast4005 7 ปีที่แล้ว +1

      Magy Nzioka kajiinua na nini kwani hilo si vazi tuu

  • @ismailbaruan2833
    @ismailbaruan2833 7 ปีที่แล้ว

    duh wewe rom ni shidaa una ubunifu sana

  • @johnkitula2596
    @johnkitula2596 7 ปีที่แล้ว

    Godfrey kanelala umenichekesha et uje uanguke akili ikae sawa

  • @edrickkinyamlima6080
    @edrickkinyamlima6080 7 ปีที่แล้ว

    ivo

  • @winifridastanley9716
    @winifridastanley9716 5 ปีที่แล้ว

    Nimemuona chingy kumbe nae dancer!!!!??

  • @nzokakudema2885
    @nzokakudema2885 7 ปีที่แล้ว

    ametishaaaa

  • @dizzobusiness4241
    @dizzobusiness4241 7 ปีที่แล้ว +8

    uo niubunifu mabwege nyie mnaobwata kuhu kuwa hapo ktk keji acheni hizo

  • @ibrahimharuta7333
    @ibrahimharuta7333 7 ปีที่แล้ว +18

    🤣🤣🤣ety leta defender, leta wajeda NOAH tu ili mbeba

    • @mbokaemily5082
      @mbokaemily5082 7 ปีที่แล้ว +1

      Ibrahim haruta ahahahaha aiseee

  • @neemajilo4012
    @neemajilo4012 7 ปีที่แล้ว +1

    Duh kutekwa kumemuathiri huyu jamaa

  • @dominicclassic8089
    @dominicclassic8089 6 ปีที่แล้ว

    Msishangae Jaman akili yak bado haiko vizur

  • @charlesandrew5737
    @charlesandrew5737 7 ปีที่แล้ว

    uyo fundi

  • @mohamedyrashidy7909
    @mohamedyrashidy7909 7 ปีที่แล้ว

    or labda that's why hashuki chin bado anawenge la kutekwa

  • @simonipelaji2493
    @simonipelaji2493 5 ปีที่แล้ว

    makin

  • @mdashomwamba679
    @mdashomwamba679 7 ปีที่แล้ว +1

    Ndio nn xx

  • @tensonmzumbwe1701
    @tensonmzumbwe1701 4 ปีที่แล้ว

    Huyu jama mziki anaujua

  • @manbmanb.2549
    @manbmanb.2549 7 ปีที่แล้ว

    Dar live aibu pigen ukuta rangi

  • @gabrielaugustine6298
    @gabrielaugustine6298 7 ปีที่แล้ว

    ebana mshushe

  • @bonifaceamosi5045
    @bonifaceamosi5045 2 ปีที่แล้ว

    Roma tumekumisi

  • @hopekacheranga2065
    @hopekacheranga2065 5 ปีที่แล้ว

    Ubunifu mwingi.
    Hakunamadarakasafi

  • @robertwanda6743
    @robertwanda6743 7 ปีที่แล้ว

    tijo wa bunda ,Ujumbe umefika.

  • @frankmarleylegendary7200
    @frankmarleylegendary7200 5 ปีที่แล้ว

    Achen kudhalilisha hiphop nyie semen msani wa hiphop