Hongera sana mkuu mungu akubariki ajaze ulipotoa,na mungu azid kukupa upendo uendelee kuwapenda wananch wako kwakwel umenigusa nahis ww ndo ulibaki kwenye vita ya pili ya Dunia ❤❤❤❤❤
Alafu uyu jamaa sura yake kama chuma chetu jpm mungu akubariki mkuu wa mkoa wetu wa mwanza ubarikiwe sanaaaaaaaaaaaa ,,,,, salute kwako tunaitaji viongoz wa namna hii sio akina chalamila wanainch wanapata tatzo anatoa kauli za kuwachapa😂😂😂😂 ovyoooo sana
Mungu akubaliki sana mheshimiwa mkuu wa mkoa akuzidishie amanimoyoni mwako baba , kwani ni wachache wenye moyo kama wako huo kwakweri baba nimependa uongoziwako baba .
Mheshimiwa mkuu WA Mkoba Mwanza, nakuomba baraka za kuzaliwa Yesu Kristu ziwe nawe na familia yako na kazi zako, Hivi kumbe Tanzania bado tuna viongozi serikalini wenye sound councious! Mungu akubariki Sana!
Yaan hiki kitu ndio kinakufanya kuona huyo Samia ni kiongozi Bora hio boda boda ndio ajira?🤔 Tanzania mazwazwa ni wengi sana sasa mtu badala apewe mtaji anarudishwa tena barabarani 😅😅
Hakika nashawishika kusema kuwa Mkuu wa mkoa wa Mwanza ana roho wa Mungu na Kiukweli Mungu akubariki sana na utakuwa katika viwango vyajuu zaidi Mungu atakuinua hakika
Yaani mpaka natoa machozi bado Mungu anawatu wake wasioweza kulipa baya kwa baya❤, mwenyezi Mungu amuongezee umri mrefu huyo baba mkuu wa mkoa wa mwanza
Uishi milele mkuu wa mkoa, hujamsaidia tu huyo kijana umesidia familia yake yote mungu akulipe kwa kila jambo, pia namshukuru mama Rais wetu Samia kwa kukuteua na kumwakilisha vzr ktk kutuhudumia wananchi, safi sana mkuu
Milion kumi na mbili maskin angejifia tuu.ila mungu mkubwa umepata mtetezi hakika kila amtegemeae mungu mungu huwa anammulika.pongez kwako kijana allah akujalie kila ufanyacho kiwe ni cha kher akuepushie ajali.
Rc huyu anafaa kuchukua mikoba ya Raisi Samia pindi mh Raisi atakapomaliza Muda wake Record za matukio yake akiwa DC zote ni za kutetea wananchi na kutoa funzo kwa vigogo wengine🎉 Abarikiwe huyu mh👏
Mkuu wazizi wako kuna kikitu wamikuachia kwenye.ulimwengu huundio maana unatambuwa shida au usia au ulipitia changamota au makuzi mungu amupe maisha naiwe mfano kwa viongozi wa juu kwani umeonyesha mfano mzuli sana hata kwa hao polisi na hao wznao kuzunguka asante
Hivi kumbeulikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ndio maana waliju watu wengine wapiga kelele badala ya ww mtu mwenye madili ya uongozi mwenyezi mungu akulinde ktk maisha yako
Mimi siyo dereva bodaboda lakini mheshimiwa mkuu w amkoa wa mwanza ni bonge la kiongozi na nusu, na utendaji wake unatambulika na madereva wote tanzania
Hapo Mkuu WA mkoa Nimekuelewa ila Nilikuwaaga nimekuchukia Toka Mechi ya Pamba Zidi ya Simba nikakuona Sio mtu Mzur kumbe Ni mtu Mwenye Maono na Hofu ya Mungu HONGERA SANA na MUNGU AKUBARIKI SANA MKUU WA MKOA
Kunawaku wa mikoa wangi wanataka kiki huyu nimemkubari jinsii navyo toa malezo nak natamani ajeku kuwa Rais wa hii nchi kunajambo nimeliona kwake utu nizamu kwa unao waongoza sio unataka kutawa sisi tunataka kuongozwa ili tujenge mshikamano wa nchi yetu pamoja
Mungu akubaliki sana Mkuu umesaidia sana kuokoa maisha ya kijana lakini pia umetupa Elimu Watanzania wote God bless you🙏
Mungu akubariki sana mkuu wa mkoa umeonesha Utu,uzazi huu ndio uzalendo Asante sana!
Hongera sana mkuu mungu akubariki ajaze ulipotoa,na mungu azid kukupa upendo uendelee kuwapenda wananch wako kwakwel umenigusa nahis ww ndo ulibaki kwenye vita ya pili ya Dunia ❤❤❤❤❤
Kazi nzuri Sana mkuu wa mkoa, ni fundisho tosha
Mungu akubariki sana Mwalimu wangu wa History kwiro secondary mwl. Saidi
May our mighty Lord bless you and widened all your territorys for the act of mercy
Mungu ndio atakae kulipa na niwatu wachache kama wewe mungu akupe maisha malefu mueshimiwa
Wakubwa wote wangekua kama huyu si African ingekua kama marekani😢ubarikiwe sana mkuu
Aksant Mungu, barikiwa baba mheshimiwa ❤❤❤❤
Man of God Mr RC,God bless you too.
Heri wenye moyo safi maana watamwona bwana, Amen
Alafu uyu jamaa sura yake kama chuma chetu jpm mungu akubariki mkuu wa mkoa wetu wa mwanza ubarikiwe sanaaaaaaaaaaaa ,,,,, salute kwako tunaitaji viongoz wa namna hii sio akina chalamila wanainch wanapata tatzo anatoa kauli za kuwachapa😂😂😂😂 ovyoooo sana
kweli kabisa
Dah,, mkuu wa mkoa mungu akupe maisha marefu mzee wetu ukawe kiongonz mkubwa badae nakuombea sana unafaa kuiongoza nchii
❤nakupenda kwa moyo wako umewafundisha wakubwa wengine ubarikiw uendelee na moyo huo
Wadogo tunadhani tunaonewa na wakubwa hiii ni hekima pia una Utu sana mzee wetu Mungu akubariki
Asante kwa huruma yako MUNGU akuzidishie maisha marefu nahisi wengi tumepata fundisho kibwa
Dah kazi mzuriii kiongozii❤
Mashaallah mola akupe maisha marefu kwa ubinadam ulionao inshaallah
Molo with capital M
Wewe ni mtu wa mungu mkuu wa mkoa mungu akubariki sana
Maashallah.. Allah akulipe kheri Inshaallah 🙏🏾
Mweheshimiwa mungu akupe maisha marefu Inshallah
Mungu akubariki sana kweli nimelia kwa furaha umekuwa na roho ya pekee sana
Watu wenye roho nzur bado wapo😢❤❤❤
Kwa hili inadhihirisha hilo
Wapo wengi tu
Ubinadamu ni Muhimu Sana Mahishani.Asante Sana Mweshimiwa.Kutoka FIZI DRCongo !!!
Mungu akubariki sana kwani wewe ni kiongozi bora.
Mungu akubaliki sana mheshimiwa mkuu wa mkoa akuzidishie amanimoyoni mwako baba , kwani ni wachache wenye moyo kama wako huo kwakweri baba nimependa uongoziwako baba .
Barikiwa sana Baba.
Weuh blessings mkuu wa mkoa❤❤❤🎉🎉🎉
Mungu mwema Mkuu wa Mkoa,Akuzidishie Ulipotoa Paongezeke mara Mia 🙏🙏
❤ mungu akubaliki na kukutunza wewe na familia yako mkuu
Mungu akubariki sana mukuwa wa wilaya ya mwanza
Mashallah mungu akuripe kiongozii mwema
Wooii such beautiful brain,ingekuwa kenya angefungwa imagine
Ubinadamu sana, na hongera mkuu wa mkoa
Hakika mungu akubaliki amiin
Mheshimiwa mkuu WA Mkoba Mwanza, nakuomba baraka za kuzaliwa Yesu Kristu ziwe nawe na familia yako na kazi zako,
Hivi kumbe Tanzania bado tuna viongozi serikalini wenye sound councious!
Mungu akubariki Sana!
Nisaidie andiko kwenye bibilia tarehe ngap alizaliwa yesu msahada tu sio kukalili
@@ElybwayzAchana na Tr sherehe kea tu sikukuu ❤❤❤ love Jesus
@@Elybwayznisaidie andiko kwenye Quran tar kamili ya kuzaliwa mtume msaada tu natamani kufahamu
Ma sha allah
Mungu amwuongoze ktk niia ya haqqi
Amiin
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mitano tena kwa Mama Samia💪💪💪💪🎄🎄🎄🇦🇪🇦🇪🔥🔥🎊🎁
Yaan hiki kitu ndio kinakufanya kuona huyo Samia ni kiongozi Bora hio boda boda ndio ajira?🤔 Tanzania mazwazwa ni wengi sana sasa mtu badala apewe mtaji anarudishwa tena barabarani 😅😅
@sifatiiman natafuta vijana niwape ajira
Mungu akubariki sana mh mkuu wetu wa mkoa❤❤
Mungu akulinde na akubaliki
Mungu akubariki Kwa moyo wa huruma
Waooo God bless you Mkuu
Ni kweli kabisa hana uwezo kabisa lakini Wakubwa kweli wasione wadogo maneno juu ya msitari Mkuu wa Mkoa
Asante sana kiongozi
Waooo, nzr sana mkuu
Kukionyesha tu
Mungu akupe maisha malefu mkuu
Umetisha mkuu
MASHAAllah allah amuongoze katika njia ya haki
Hivyo ndio kiongozi anavyotakiwa awe, mungu amsaidie huyo mkuu wa mkoa ingekua mwengine angetaka sifa
Yenyewe huyu ni mzazi anaelewa shinda za wengine
Leo uko wapi mkuu nataka nije nigonge gari lako
Mungu akubariki sana
Mungu akupe kilaukitakqcho
Yule mjomba wa mbeya tukuyu ,anasemaga atamuezeka mtu ,mkuu umefanana nae had kuongea😊
Baba na mwana. Hongera RC. Mungu akutunze. Hawa boda boda ni watoto wetu. Kwanza wewe ndio mlezi wa mkoa wote.
Dah mungu akuongoze mzee
Ukatoe sadaka ya shukurani
Mungu akulinde mungu alinde familia yako
Mkuu wa mkoa Kwa kweli mungu akubarik na akuongezee miaka mingi ya kuishi hapa Duniani tukipata watu wa namna hii nchi yetu ya Tanzania itabaki Salam
Maisha ni mepesi mno kama ndani yetu kuna mapenzi baina yetu
Life is luv
Mungu akubariki baba❤❤❤ tz bando kumbe tuna viongozi wa ujamaa ❤
Hakika nashawishika kusema kuwa Mkuu wa mkoa wa Mwanza ana roho wa Mungu na Kiukweli Mungu akubariki sana na utakuwa katika viwango vyajuu zaidi Mungu atakuinua hakika
Yaani mpaka natoa machozi bado Mungu anawatu wake wasioweza kulipa baya kwa baya❤, mwenyezi Mungu amuongezee umri mrefu huyo baba mkuu wa mkoa wa mwanza
Uishi milele mkuu wa mkoa, hujamsaidia tu huyo kijana umesidia familia yake yote mungu akulipe kwa kila jambo, pia namshukuru mama Rais wetu Samia kwa kukuteua na kumwakilisha vzr ktk kutuhudumia wananchi, safi sana mkuu
mkuu wa mkoa ubarikiwe sana
Hongera MKUU ila ushauri wangu Kila mwaka wafanyiwe refresher course..
Hongera Mr RC ila ingekua kwa ma RC wa huku ZANZIBAR huyo boda boda angekiona cha mtema kuni.
Ubarikiwe sana sana
Mungu akubariki sana RC
Milion kumi na mbili maskin angejifia tuu.ila mungu mkubwa umepata mtetezi hakika kila amtegemeae mungu mungu huwa anammulika.pongez kwako kijana allah akujalie kila ufanyacho kiwe ni cha kher akuepushie ajali.
ALLAH amemuepushia balaa...milioni kumi na mbili ni sawa na sh/za 🇰🇪
Yaan nimecheka kwa Sauti et angejifia tu
Mungu akulinde mkuu wa mkoa wa mwaza
Rc huyu anafaa kuchukua mikoba ya Raisi Samia pindi mh Raisi atakapomaliza Muda wake
Record za matukio yake akiwa DC zote ni za kutetea wananchi na kutoa funzo kwa vigogo wengine🎉
Abarikiwe huyu mh👏
Maashallh mkuu mw mungu akupe afyà njemaa🙏🙏🙏👏
Nyie ni viongozi wenye mungu ndani mwenu ubarikiwe sana
Mungu akuinue sana, kuwasaidia wanyonge umejipatia barska si kwako tu hata kizazi chako.
safi sana mkuu wewe ni mtu na watu sana
Huyu kiongozi wa kuigwa na VIONGOZI wengine
Hakiki we baba unatakiwa kuigwa ubarikiwe sana
Mkuu wazizi wako kuna kikitu wamikuachia kwenye.ulimwengu huundio maana unatambuwa shida au usia au ulipitia changamota au makuzi mungu amupe maisha naiwe mfano kwa viongozi wa juu kwani umeonyesha mfano mzuli sana hata kwa hao polisi na hao wznao kuzunguka asante
Unastahili kukalia hicho kiti mkuu❤
Anafaa kua Rais uyu mkuu
Nipo Pemba Ila hiyo ndio mungu anapenda viongozi wenye hekima kama wew
Viongozi kama nyie mumebaki wachache sana? Mungu akubaliki MH: RC
kweli kabisa
Hii safi sana mkubwa ❤❤
Safi sana kiongoz
Ahsante Mungu kwa mkuu wa mkoa huyu
Hivi kumbeulikuwa mkuu wa
mkoa wa Arusha ndio maana waliju watu wengine wapiga kelele badala ya ww mtu mwenye madili ya uongozi mwenyezi mungu akulinde ktk maisha yako
Mimi siyo dereva bodaboda lakini mheshimiwa mkuu w amkoa wa mwanza ni bonge la kiongozi na nusu, na utendaji wake unatambulika na madereva wote tanzania
Mungu akubariki sana kwa moyo huu,Elimu imefika sana kwa waendesha bodaboda
Mungu akujalie lakini acha tu kushabikia Yanga
Shikamo baba mkuu wa mkoa wa mwanza
Hapo Mkuu WA mkoa Nimekuelewa ila Nilikuwaaga nimekuchukia Toka Mechi ya Pamba Zidi ya Simba nikakuona Sio mtu Mzur kumbe Ni mtu Mwenye Maono na Hofu ya Mungu HONGERA SANA na MUNGU AKUBARIKI SANA MKUU WA MKOA
Mkuu wt w wilaya arusha mh. john mwengela mungu akutunze.
Huyu Rc ana kichwa kama cha uncle Magu hadi miwani anafanana kabisa
NIKIONA GARI LA RC NALIGONGA WALLAH
Mkuu wa mkoa mungu akuzidishie maisha. Wewe ni mfano wa kuigwa. Angekua police yangekua mengine. Mungu akubaliki mkuu wa mkoa
Mungu akuinue mtanda tumani siku 1 uwe kiongozi wa wote uliondoka mara tukiwa tunakuhitaji karibu tena mara uje uonyeshe njia🙏
Tunahitaji viongozi kama huyu tano tu jmn🎉🎉 Ila huyu baba mi nampendaga natamani hata angekuaga baba yangu
Ww Mzee mungu akuriki sana ulipo toa
Big up sana mzee
Safi rc