Roma - Tanzania (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @dionesendayishimiye
    @dionesendayishimiye 7 หลายเดือนก่อน +37

    Kama umesikia iyi nyimbo paka 2024 nipe like na mimi

    • @JoelTweve
      @JoelTweve 4 หลายเดือนก่อน

      Tuko pa1 mwana

    • @bujashidaniel5537
      @bujashidaniel5537 4 หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja

  • @jumannekhalifa7761
    @jumannekhalifa7761 5 ปีที่แล้ว +200

    ulieangalia hii ngoma 2020 gonga like twende sawa

  • @Jenvier_jr
    @Jenvier_jr 3 ปีที่แล้ว +82

    If you listening on this 2021 you’re a true legend

  • @godywyne7671
    @godywyne7671 5 ปีที่แล้ว +157

    Kama umeiona hii nyimbo 2020 like hapa

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 ปีที่แล้ว +8

    Ishu ya bandari imenifanya nije kusikiliza hii wimbo daah 🇹🇿✊

  • @saidonaya9094
    @saidonaya9094 ปีที่แล้ว +35

    Kama umegundua Roma aliona mbali kwenye huu wimbo gonga like twende sawa...2023 still watching again

    • @simontamba1285
      @simontamba1285 10 วันที่ผ่านมา

      Umeonaaaa big up to u

  • @fahaddasilva9024
    @fahaddasilva9024 7 ปีที่แล้ว +176

    Ngoma kali
    Ngoma la kihistoria
    Kama umeipenda kama mimi maana ukiipenda we ndo patriot wa tanzania na afrika kwa ujumla basi ngonga LIKE ya nguvu kama ni mzalendo kamili au sio

  • @superherotv1750
    @superherotv1750 4 ปีที่แล้ว +46

    Mbna siwaon 2020 huku asee au ndo mpo kwenye kaka tuchat

  • @beatricelucas1454
    @beatricelucas1454 5 ปีที่แล้ว +77

    Kama umeingalia hii ngoma November 2019 gonga like hapa twende sawa

  • @maurarespich9245
    @maurarespich9245 4 ปีที่แล้ว +54

    Kama umeangalia hii ngoma tena baada ya kusikiliza Kaka tuchat. May 2020 tujuane

    • @snaggamwangi4809
      @snaggamwangi4809 4 ปีที่แล้ว

      Nimeiangalia napenda hii mziki ina eliisha sana

    • @omarsadiki832
      @omarsadiki832 4 ปีที่แล้ว

      ndiomwanangusiopoa

  • @denislucas3365
    @denislucas3365 7 ปีที่แล้ว +34

    Wanamizi mue kama roma huyu ndiye kio cha jamii asante sana kaka kwa kuwa na uchungu na inchi yako

  • @jumamgangaibrahimunguguru6066
    @jumamgangaibrahimunguguru6066 5 ปีที่แล้ว +15

    Kama unaamini Roma hata acha kuimba harakati gonga like

  • @PhillipMwakibolwa-kp2fd
    @PhillipMwakibolwa-kp2fd 4 หลายเดือนก่อน +6

    Nimerudi hapa baada ya kifo cha Mzee Ali Kibao

  • @wilhelmibaganisa5493
    @wilhelmibaganisa5493 ปีที่แล้ว +8

    Baada ya WIMBO wa #nipenimauayangu imenibidi nirejee ngoma za MKATOLIKI za zamani

  • @moranilesoile6161
    @moranilesoile6161 5 ปีที่แล้ว +187

    naiangalia tena hii ngoma kwa 2019 kama yupo anaeangalia gonga like twende sawa

  • @MKobe_254
    @MKobe_254 5 ปีที่แล้ว +7

    2019 September niko hapa .. frm Seattle, we miss u.. hizi bongo za sikuhizi.. mara Harmo anamtoka Diamond.. is a calculated plan ili Mondi na Harmonize wabaki juu.. kua mpole.. mbona eti amekata mktaba lakini bado kijana is WCB.. ujanja.. wajanjez tunasema kama .. dongo lenye dambi uliza Fid Q, P.Jay..ama wengineo siezi taja.. wakongwe.. kina Chidi Benzi..kama mkenya.. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪naipenda sana sanaaa ya bongo, live long bongo flava.. from Seattle,Washington.. much love....
    Nilisikia Harmonize kaoa mzungu.. hahahaha... mwafrika bado mjinga, wakati kuna sista sista wa daeslam..mjinga ..mjinga.. ngoja waitaliano waseme mali iifadhiwe benki fulani.. ataozaa!!

  • @jeremiaholesingooi3940
    @jeremiaholesingooi3940 ปีที่แล้ว +10

    Wenye mnawatch hii ngoma 2023 tujuane kwa like

  • @objctvvicky2726
    @objctvvicky2726 5 ปีที่แล้ว +13

    ROMA! MUCH RESPECT FROM +254 KING!

  • @rajabngunga9530
    @rajabngunga9530 5 ปีที่แล้ว +22

    Kama unakubali san nyimbo hiz mpaka sas 2019 weka like yako hap twende saw

  • @langatdominic15
    @langatdominic15 7 ปีที่แล้ว +38

    romaaaa hii ni special dedication kwa kenya

    • @Yegon254
      @Yegon254 6 ปีที่แล้ว

      Langat Dominic kabisa bro

  • @hussenimlimati9592
    @hussenimlimati9592 5 ปีที่แล้ว +2

    Mzee baba atari sana we ndio mbabe wa hipp, na kama unaaamini hi nyimbo itaishi milele haitoisha ladha gonga hapa li

  • @jumashinyanga5420
    @jumashinyanga5420 2 หลายเดือนก่อน

    Roma mkatoliki,unafaa kuwa kiongozi,hakika wewe kichwa, nakusikiliza mpk leo 2024

  • @ev.kisika9085
    @ev.kisika9085 5 ปีที่แล้ว +24

    Umeiangalia ngoma hii 2019 December? Ebu like tujuane mana kitaa hakueleweki huku

  • @adesiah3787
    @adesiah3787 3 ปีที่แล้ว +8

    This songs makes alot to Kenyans More than to Tanzanians
    What Roma can see sitted no African artist can see standing on top of Mt Kilimanjaro.

  • @GaudenceRaphael
    @GaudenceRaphael 6 ปีที่แล้ว +25

    Nani yupo hapa na Roma 2018-2019? Gonga likes twende mbele

  • @MwinyiBabu-ft1bk
    @MwinyiBabu-ft1bk 9 หลายเดือนก่อน +1

    Broo anajua sana sema nchi yetu bwana msema kweli hatakiwi

  • @esmasaidsalim2766
    @esmasaidsalim2766 8 ปีที่แล้ว +8

    Wallhai roma napend sana mziki wako mpaka ww mwenyewe

  • @benardjohnson8863
    @benardjohnson8863 5 ปีที่แล้ว +7

    Nani bado anacheki hii ngoma 30.10.2019.naomba likes

  • @kijabenjamin6132
    @kijabenjamin6132 9 ปีที่แล้ว +13

    Mungu ibariki Africa Mungu ibariki
    Tanzania

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee หลายเดือนก่อน

    Niko hapa Tena 26/11/2024 naisikiliza hii nyimbo. huyuu jamaa aa Real Genius. Hii ndo maana halisi ya Sanaa.

  • @MaryMlelwa-k1s
    @MaryMlelwa-k1s 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka roma nimkari tusimzarau atakidogo anakitukikubwa kwenye nchi hii na anaweza kuijenga atakwaushauri

  • @bongelabwana7523
    @bongelabwana7523 3 ปีที่แล้ว +30

    2021 one of the dopest songs to ever come out from Roma !!!!

  • @robertmuraya5933
    @robertmuraya5933 6 ปีที่แล้ว +8

    4/08/2018 bado niko hapa naiskiza. Kenya hali ni hii pia,Roma ni legend!

  • @leonardcastuly4746
    @leonardcastuly4746 6 ปีที่แล้ว +19

    Roma you are the most patriotic artist in our country Tanzania, very good and nice job keep it up

  • @MaziraProtas
    @MaziraProtas ปีที่แล้ว +1

    Long live Mr ROMA.

  • @joramchubwa4805
    @joramchubwa4805 4 ปีที่แล้ว +6

    Kutoka Qatar Doha 🇶🇦 bado tunaitazama hii ngoma in 2020

  • @NurudiniMwezi
    @NurudiniMwezi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali mwamba wangu from u s a

  • @MAZIRAHussein-tc6cq
    @MAZIRAHussein-tc6cq ปีที่แล้ว +1

    HI I HUYU MWAMBA AKIUSIKILIZA HUU WIMBO WAKE TENA,ANAPATA KUMBUKUMBU ZIPI!,DAAAA!,HATA MAWIO NA MACHWEO,WIMBO HAUNA KINAI.ASANTE ROMA,UNAJUA,UNAJUA,UNAJUA KUIMBA MWAMBA,UNAZO BARAKA ZA UIMBAJI MKUU,TENA SANA,NARUDIA SANA MARA 100.

  • @JoelKiptoo
    @JoelKiptoo 6 ปีที่แล้ว +1

    Kali sana. Africa nzima mambo ni hivi anavyosema Roma.

  • @Angayacoa
    @Angayacoa 6 ปีที่แล้ว +22

    In kenya few artist can sing about the subject you just did !! I forgot none at the moment 24-08-2018
    Roma

  • @levygasper7438
    @levygasper7438 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe ulianza kitambo kabisa hongera

  • @culatebellejeremy262
    @culatebellejeremy262 5 ปีที่แล้ว +3

    This Song is Life aisee, yan unaishi na utaendelea kuishi daahh, siami hali ilivyo hakuna tena Uhuru wa Kuandika mashairi Kama haya! 😒😒

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 7 ปีที่แล้ว +16

    Mungu awalinde popote mlipo Roma tunawaombea muww kwenye mikono salama

  • @smarshtv423
    @smarshtv423 3 หลายเดือนก่อน

    2024 still nasikiliza ngoma kali sana🫡🫡🫡🫡

  • @menyengeralesinoi9647
    @menyengeralesinoi9647 ปีที่แล้ว +2

    Kama uko hapa baada ya nipe maua yangu ,na mimi nipe maua yangu ❤️👍

  • @mwangosikennedy9643
    @mwangosikennedy9643 6 หลายเดือนก่อน

    Mwaisa uharakati kitambo sana, nakupenda sana bro kwa jumbe zako nzito sana, sema viongozi wetu vichwa vimejaa mafuta ya taa hawataki mabadiliko kabisa

  • @Dr.zaidi4
    @Dr.zaidi4 6 ปีที่แล้ว +1

    It hurts that such a flaming tongue isn't heard much in Nairobi, yet mistari yote inalingania.Hata pale pa "Tanzania" angefuta akaweka Africa, maana mfumo na kasumba ni hilehile

  • @godfreymagoso5334
    @godfreymagoso5334 4 ปีที่แล้ว

    Tunatoka mbali sana aisee!
    Toa kitu cha kipindi cha uchaguzi huu jembe,,,, we ni bonge la jembe na msemea watz ,,,,, tunaisubiri kabla ya October 28

  • @DealDeskPro
    @DealDeskPro 2 ปีที่แล้ว +5

    When I listen to this all times hit, I cry inside..My country Tanzania is a land with cursed soil (Politicians are destroying our land..but one day all of this will STOP when we won't listen to whomever and say "NO MORE"

  • @tongoramakongoro2155
    @tongoramakongoro2155 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni ujumbe mzuri Sana hakika huu ni wimbo ambao hauwez kuchuja.

  • @فاطمةجمعه-ذ8ع
    @فاطمةجمعه-ذ8ع 7 ปีที่แล้ว +25

    mungu yuko pamoja na wewe bro roma

  • @warekomora296
    @warekomora296 8 หลายเดือนก่อน +1

    Alikua mkonde sana kumbeee

  • @yulithakashegu7028
    @yulithakashegu7028 6 ปีที่แล้ว +1

    Aliyajua zaman yatakayotokea mbeleni nakukubali sana loma mungu akutie nguvu

  • @neemadamian2273
    @neemadamian2273 6 ปีที่แล้ว +4

    Heri mwenye moyo safi cjui nn anajua mathayo 😀😀big up bro

  • @shoochale
    @shoochale 7 ปีที่แล้ว +8

    taifa lililopotea
    wanamiliki migodi na nyumba ka sinagogiii
    twende zetuuuu zimbwabweeeeeeeeeeeeee

  • @smarshtv423
    @smarshtv423 11 หลายเดือนก่อน +2

    2024 still nakula ngoma👊👊

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 4 ปีที่แล้ว +5

    Hahhhh ,kitambo sana hii, nani tena2020

  • @jafarijafari231
    @jafarijafari231 6 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa co wakawaida. Uwezo wake nimkubwa sana. Anaongea vitu ambavyo vinaigusa jamii.

  • @mohammedseyf6531
    @mohammedseyf6531 5 ปีที่แล้ว +23

    2019 haloo we jamaa noma unajua sana sijaona rapper east africa anekuweza

  • @sospetergalus5671
    @sospetergalus5671 ปีที่แล้ว +5

    2023 I'm here for this master piece 🔥🙌

  • @sospiterkawamala9434
    @sospiterkawamala9434 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naiangalia hadi now 2024

  • @youngkillermsodoki7664
    @youngkillermsodoki7664 6 ปีที่แล้ว +11

    1/8/2018 bado na muelewa roma mkatoliki kwenye hii ngoma ,ila hii tangu kitambo sana

  • @MaryamMaryam-pd1gi
    @MaryamMaryam-pd1gi 7 ปีที่แล้ว +11

    Iyo ilitabili yajayo ,,kweri jamaa umeaga kwenu maana wangekupoteza awa jamaa hatari ila tunakuombea mungu kwani unatusemea wanyonge

    • @aishaasumany561
      @aishaasumany561 3 ปีที่แล้ว

      Wangemuuwa nasie tungewauwa mpaka woote wangeisha

  • @kenmtitu9137
    @kenmtitu9137 2 ปีที่แล้ว +6

    2023 still reflecting the social realities

  • @hasanwamana
    @hasanwamana 9 หลายเดือนก่อน +1

    ngoma inahamasisha mpaka miaka ya karibuni

  • @stanslauswillium7020
    @stanslauswillium7020 5 ปีที่แล้ว

    Nmerud tena baada ya kusikiliza anaitwa Roma lengo kuckia msema kweli hufa mapema lkn hujali, Malipo n hapahapa dunian big up bro

  • @redblackheart9222
    @redblackheart9222 5 ปีที่แล้ว +4

    2019! Wewe unastahili 1000M subscribers

  • @titorodrick8163
    @titorodrick8163 2 ปีที่แล้ว

    Roma Mzee wa zaman kijana wa Sasa ,,kubar sana Mwana harakat one love my brother

  • @kyambabaraka5763
    @kyambabaraka5763 7 ปีที่แล้ว +13

    Roma me nakuelewa sana kaka hakuna kufeli

  • @jeremayajeremaya5011
    @jeremayajeremaya5011 5 ปีที่แล้ว +3

    Nanii Leo trh 28.3.2019 anaangaliaa Hi nyimboo kamaaa mimi

  • @emanuelissaya1079
    @emanuelissaya1079 7 ปีที่แล้ว +14

    I salute you Roma you're visionary artist keep it up

    • @omarykhatib2530
      @omarykhatib2530 5 ปีที่แล้ว

      Nakupenda bule kaka mungu hakupe nguvu

  • @pigalukunashtu918
    @pigalukunashtu918 3 ปีที่แล้ว +1

    Weee Roma amekua mdeadly from back then ...

  • @eliasjillanga3158
    @eliasjillanga3158 4 ปีที่แล้ว +5

    Nan bado yupo 2020 kama mimi

  • @shelyboyshely2928
    @shelyboyshely2928 ปีที่แล้ว +1

    Unyama sana kamanda

  • @hasaniomary6573
    @hasaniomary6573 4 ปีที่แล้ว +3

    Ngoma hadi 2020 bado lina trend mjinii ka unakubali goma moja twend saw

  • @JoelTweve
    @JoelTweve 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hitsong aiseee,,,,hiii Tanzania

  • @johnkanuda9355
    @johnkanuda9355 5 ปีที่แล้ว +2

    Ngoma kaziii.Nani mwingine kaicheki 12/06/2019

  • @venancemwamfise7510
    @venancemwamfise7510 10 หลายเดือนก่อน +1

    2024 ninaiangalia Tena Hii Ngoma

  • @mariamibrahim459
    @mariamibrahim459 4 ปีที่แล้ว

    Nchi yenye udongo wenye dhambi, wanalisaka sana taji la ushind......... Siwez acha sikiliza

  • @amryrobati6986
    @amryrobati6986 4 ปีที่แล้ว +3

    Wazalendo tujuane apa 2020👍🍷🍸

  • @mariafranklyimo6406
    @mariafranklyimo6406 5 ปีที่แล้ว +2

    Naisikiliza 2020 Kali sana brooh

  • @naimunaimu8
    @naimunaimu8 2 ปีที่แล้ว

    Dah roma unafanya tunakukumbuka kila mara ni kama umekuda vile. Kumbe upo. Hebu toka uko marekani rudi tz

  • @EvonWilliam-n3r
    @EvonWilliam-n3r ปีที่แล้ว +1

    Mwamba kabisa

  • @juniorbachelor8296
    @juniorbachelor8296 2 ปีที่แล้ว +1

    2023 Kma bdo unaangalia hii Ngoma ilio Mtoa Loma mnamo mwaka 2008 na bdo iko fire Tujuane🙏🙏

  • @kambiyusufu4994
    @kambiyusufu4994 2 ปีที่แล้ว

    Leo hii anaishi marekani ety kweli juhudi imeonekana

  • @byaombeselemani8770
    @byaombeselemani8770 5 ปีที่แล้ว +11

    Back when music was about life but now Holly hell

  • @positifbyandiwisdom1258
    @positifbyandiwisdom1258 9 หลายเดือนก่อน +1

    Still listening to this tube in 2024 🔥🔥💖💖 love Roma from Congo 💪💪

    • @ommyntigiry9332
      @ommyntigiry9332 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂kweli

  • @slimkidwrld23
    @slimkidwrld23 ปีที่แล้ว +1

    Hapa 2024

  • @shukranwilbert3273
    @shukranwilbert3273 3 ปีที่แล้ว +7

    Am still watching 2021 roma is another level 💪💪

  • @Yollo-ze2yc
    @Yollo-ze2yc 4 หลายเดือนก่อน +1

    baada ya binti kubakwa na kulawitiwa ngoja nisikilize hii ngoma

  • @hamisiogha7919
    @hamisiogha7919 7 ปีที่แล้ว +47

    kama imefanana na tukio vile ..#nani anatazama ngoma hii sa iv 8/4/2017

  • @dianacuthberth6491
    @dianacuthberth6491 ปีที่แล้ว

    kama unaskiliza hii nyimbo 2023 ❤️‍🔥

  • @richardefrem4043
    @richardefrem4043 5 ปีที่แล้ว +1

    Aaah watu tunatoka mbali 2020 bado naitazama hii kitu

  • @davidjosephmsuya1929
    @davidjosephmsuya1929 5 ปีที่แล้ว +2

    Kama umeielewa kama nilivoielewa mimi gonga like twende sawa

  • @victaprince
    @victaprince หลายเดือนก่อน

    Yaliotokea leo kariakoo uliyaimba 2024

  • @alliusmugisha3973
    @alliusmugisha3973 5 ปีที่แล้ว +15

    Nani yupo hapa 2019?????

  • @mbeneforexforextrader8997
    @mbeneforexforextrader8997 ปีที่แล้ว +2

    Njoo hapa unaecheki hiki chuma now 2023

  • @treezwyne8289
    @treezwyne8289 7 ปีที่แล้ว +40

    tangu mwaka 2009 naiskiza hiiiii... Ngoma hatari sanaaaa ..!
    kama na wewe unairudia tena kuiangalia mwaka 2018 Gonga like..!

  • @bampogloireb-g4683
    @bampogloireb-g4683 4 ปีที่แล้ว

    Weye ni soo sana, mziki yako nzui saana !

  • @clivemuseveni7786
    @clivemuseveni7786 6 ปีที่แล้ว +6

    Wika roma, tapika Ukweli wa wanyonge