SHEKH BANE ATAHADHARISHA WAPO WATU WABISHI WANAOPOTOSHA KUWA ARAFA NI MWEZI 8. HIYO DHAMBI NI YAO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 77

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa nyinyi muliopo huko Hija ni lazima na sio khiari kufuata mwandamo wa hapo mulipo.

  • @abaadharri6873
    @abaadharri6873 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shekh mbona hakuna apingae akiwa hapo suudia lazima ufuwate taratibu zahuko ugomvi nikulazimisha watu popote walipo wafuate suudia hapo ndo vurumai shekh twaha kipanzi changu

  • @mwangukuabdallah6
    @mwangukuabdallah6 3 หลายเดือนก่อน

    Huko wanatumia kalenda sio Sunnah katika kuangalia mwezi.

    • @keisRamadhan
      @keisRamadhan 3 หลายเดือนก่อน

      C kweli suala hilo wao wanangalia kalenda kakwambia nan wakati wao wanakalenda moja tu ya kiislam cyo km nyinyi

  • @VukaRails-jp6mf
    @VukaRails-jp6mf 3 หลายเดือนก่อน

    Bane ni muhabi tunamjua huyo

    • @keisRamadhan
      @keisRamadhan 3 หลายเดือนก่อน

      Bac cku ukienda ww hijja ucfate maelekezo halafu utaona mpumbavu wahid

  • @rajababdallah9239
    @rajababdallah9239 3 หลายเดือนก่อน +5

    Shida inakuja pale unapomwita mwenzako kafiri au kumuona hana ilmu kwa jambo la ikhtilafu.waislamu tabia hii itatupeleka pabaya. Sisi sote ni ndugu tupendane na tuheshimiane.

    • @Nily-kz3db
      @Nily-kz3db 3 หลายเดือนก่อน

      Cio cc,Allah Mwenyewe ndio Alioita hvyo,lkn cio lugha nzur kumwta hvy,bal Tunapaswa kulngania hak Waijue na waifuate,islam

  • @Saimugwaotv
    @Saimugwaotv  3 หลายเดือนก่อน +1

    SHUKRAN MKUU TUKO PWMOJQ

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shehe ina maana umetoka kwenu Tanzania na jazi yako ili kuendeleza ushindani uwanja wa ugenini?

  • @mohamedmsama4833
    @mohamedmsama4833 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wasoma maulid ndiyo shida na wana Arafa yao wakati mashekh zao wakifika huko tarehi zao wanaziacha kwnye makoti

  • @Zuwenamachela
    @Zuwenamachela 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wakiwa huko lazima wafuate mwezi wa huko shekh mbn hlo lipo wazi maana hata wa saudia wenyewe walio nje na saudia wanafuata kuonekana kwa mwez wa eneo hlo walipo upotoshshaji nikuwalazimisha watu wote wafuate mwandamo wa makkah hapo ndo penye shida na upotoshaji

  • @QueenFridausi
    @QueenFridausi 3 หลายเดือนก่อน

    Jambo lahijja nilahija halis7mbui linajulikana shida nikupendekeza vitu vya huku tuliko twaiyelewa talehe 9huko maka fanyeni invyotakikana makka

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh sisi wengine hatukusoma ila tunajua kwamba unapotoka sehemu moja kwenda sehemu nyengine ni lazima ubadilike sasa usilete vijembe kama sio msomi vile

    • @maufoung
      @maufoung 3 หลายเดือนก่อน

      Anawaambia mahujaji wenzake na sio wewe

  • @VirginiaWaithera-f1n
    @VirginiaWaithera-f1n 3 หลายเดือนก่อน

    Je kwa wale wamepishana kama masaa kumi kuna siku wataipata arafa kweli?

  • @QueenFridausi
    @QueenFridausi 3 หลายเดือนก่อน

    Saa ingine muangalie poiti zenu twapenda mashehe zetu

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj 3 หลายเดือนก่อน +9

    Mzee ww hujaji umenda makkah fuata makkah na wengine tutafuata muandamo wa nwezi pale tupo kama Africa na mashekhe wakubwa wakiwahabi pia wao wasema hivo kila mtu afuate pale upo kwa sababu masaa tuko sawa ila kuna sehemu saa tisa na nusu usikukwa pambazuka mapema kwengine saa kumi na moja unusu kwengine kumi na mbili sasa matlai hayako sawa mungu awapeleke salama insha Allah murudi salama

    • @maufoung
      @maufoung 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nafikili maneno anayosema ni kwajili ya mahujaji wenzake na sio sisi

    • @kichanganionlinetv8023
      @kichanganionlinetv8023 3 หลายเดือนก่อน +2

      Ulimwengu mzima tunatofautiana masaa tu lkn siku ni moja halafu kama kuna uwezekano wa kuungana pamoja kiibada kwanini wew ugande kwenye mazoea yako?dunia iko waz mno kwasasa kilakitu kinaonekana unapataje ugumu wa kukubali tarehe ya saudi ambayo ndoinatumika ktk hii ibada tukufu? Ni mda sasa waislam tuungane tuache maubishi

    • @umsalim6515
      @umsalim6515 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@kichanganionlinetv8023 Sio masaa tu inakuwa mpaka siku, kama New Zealand , Australia na nchi nyengine za East, siku inaanza mwanzo masaa kabla suudia , ikiwa suudia saa 12 jioni jumamosi kule kunakuwa saa 2 asubuhi jumapili , na wa west wao wanakuwa nyuma, sasa vipi kote kutakuwa sawa ??? Sasa siku ya Arafa wao waianze mwanzo kabla ya suudia ????

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@kichanganionlinetv8023kila watu wafuate muandamo wake kama ilivyothubutu.hakuna aya au hadithi inayosema fuateni muandamo wa makkah .acheni kupotosha ummah

    • @kichanganionlinetv8023
      @kichanganionlinetv8023 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa wew ambaye masaa yako na siku inalingana na saudia ugumu gani unapata kuungana na waislm wenzako shida enu kwasababu ya chuki tu mnaamua kila atakayefanya huyo Answar lazima nyie mtofautiane naye mwisho wa siku mnapotoka jumla yanapokuja mambo na ibada muhimu kama hizi mnajiamulia kukwepesha ukweli

  • @suleymanmrutu9498
    @suleymanmrutu9498 3 หลายเดือนก่อน

    Tuambie na marekani ua kanada nivipi inakuwaje?

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Bane anazungumzia huko waliko na sio walio nje ya huko waliko. Sisi tulioko huku kwetu Zanzibar tutafunga Arafa kwa mujibu wa mwandamo wetu Mzee.

    • @ShabaniAhmad-og5ki
      @ShabaniAhmad-og5ki 3 หลายเดือนก่อน

      We hamada zuberi mche allah arafa ni cku 1 tu ikikupita imekupita

  • @abuunayfatu8701
    @abuunayfatu8701 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shekh yupo sawa kabisa kuhusu mwezi kwani shida iko wapi

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shida yiko wapi na ikhtilaf yiko kila afuate ni kile anaona ni sawa, bila ku kufriashana au kutupiana maneno chafu atakaie kufuata saudia afuate atakaie afrika mashiriki afuate

    • @HusseinHassan-p7g
      @HusseinHassan-p7g 3 หลายเดือนก่อน

      Akuna arafa ya afrika mashariki na akuna arafa 2 arafa ni moja tu siku yajumamosi kama unavyomsikia mzungumzaji mtume amesema funga yasiku ya arafa sio funga baada baada ya arafa

  • @swahiliicttutorials5568
    @swahiliicttutorials5568 3 หลายเดือนก่อน +1

    mashallah shekh allah akufanyie wepesi kwenye mambo yako

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 3 หลายเดือนก่อน

    Sioubishi watuwanasiasa na wanataasub na mashekhezao na sikuimenasibiswa na Arafat na sikuhio Sisi tuliokuwa hayupo ktk viwanja hivyo Sisi tunatakiwa kuwaungamkono kwa kufungasikuhio na Allah nimjuzi zaid

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sheikh kwa kuweka wazi mambo!!

  • @mohamedmussa3087
    @mohamedmussa3087 3 หลายเดือนก่อน

    Si hoja za kielimu
    Ni hoja za kishabiki
    Huyu anafanya ulaghai
    Ili kuwapumbaza wafuasi wao
    Kuhusu Arafah mwezi 9
    Hilo halina ikhtilafu
    Ikhtilafu iliyopo kuna wanaosema
    Popote ulipo unatakiwa ufuate mwezi 9 ya Saudia
    Na wengine wanasema
    Unatakiwa kufuata mwezi 9 ya mji uliopo
    Wakati huo.

  • @mohamedmsama4833
    @mohamedmsama4833 3 หลายเดือนก่อน

    Shkh kasema kweli 9 tisa ya pale maca siyo jangwani na twiga si ya chumbani kwako wa zee wa maulidi mupo? Acheni ujinga

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hio tuna arafa wetu?

  • @Nily-kz3db
    @Nily-kz3db 3 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah shekhe Allah Awajalien kher Mlpo,Na cc InshaAllah Tupo njian Allah Atupe uhai na uzma na Atujalie risk za Halal tupate kufka Makka🙏

  • @AbdulqadirSaid-zo6jj
    @AbdulqadirSaid-zo6jj 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni mizozo angalieni yaliyowapeleka huko ubishi uwacheni huku kweno Africa

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanini Sheikh uruhusi tawassul za viumbe sehemu moja na hapo ukataze? Ebu tupe ukweli

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 3 หลายเดือนก่อน

    Mpaka hapo tushaelewa kuwa tawasuli kwa jaha za watu si sahihi na Ndo maana shehe amezikataza kwa kifichoficho hakutaka kuwa muwazi

  • @sharifajosia879
    @sharifajosia879 3 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana Mwenye akili iliyo na akili amewaelewa vizuri

  • @mohamedutaly1907
    @mohamedutaly1907 3 หลายเดือนก่อน

    Ma Sha Allah, Allah akulipe kheri SAIMU GWAO kwa kutupasha yanaendelea katika hijja

  • @ShamsiNamkuna
    @ShamsiNamkuna 3 หลายเดือนก่อน

    ALLAH awafanyie wepesi ktk ibada hii na aikubali.

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 3 หลายเดือนก่อน

    Si useme tuu kuwa twasuli za kishirki wasitumie

  • @mohammedawissa9863
    @mohammedawissa9863 3 หลายเดือนก่อน

    Maasha ALLAH

  • @SharafuAli
    @SharafuAli 3 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @yahfatmudswiddiq2271
    @yahfatmudswiddiq2271 3 หลายเดือนก่อน

    Takkabbalhahu

  • @bagalucha
    @bagalucha 3 หลายเดือนก่อน

    Ikiwa dini ilikamilishwa na mtume Muhammad Sallallahu Allayh wasalaam,tena haya ya maulidi kayaleta nani???.na ukaidi na ulazima unaotengeneza chuki kwa waislamu???.

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 3 หลายเดือนก่อน

      Kayaleta babaako

    • @bagalucha
      @bagalucha 3 หลายเดือนก่อน

      @@fadhilimusa9732 Ikiwa dini ilikamilishwa na mtume Muhammad Sallallahu Allayh wasalaam,tena haya ya maulidi kayaleta nani???.na ukaidi na ulazima unaotengeneza chuki kwa waislamu???.

    • @bagalucha
      @bagalucha 3 หลายเดือนก่อน

      Al Maida 3(Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kurehemu.)

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 3 หลายเดือนก่อน

      Maulidi ni mazazi ya mtume.unayakataa inamana hakuzaliwa?

    • @bagalucha
      @bagalucha 3 หลายเดือนก่อน

      @@fadhilimusa9732 kwa hili Sitokusamehe namuachia Allah kwa kumkashifu mzee wangu,mpaka uniombe radhi mimi na mzee wangu.

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ebu jiuliz kwa nn shekh katahadharisha kakataza tawasuli za kitwarika mukiwa pale viwanjani arafat ?
    Kwani allah hapokei maombi ya tawasuli za jaha ya watu wakiwa hapo arafat?
    N a apokee tawasuli hizo za jah ya fulani akiwa nje ya viwanja arafat?
    JAWABU ALLAH HAKATAI KUOBWA CHOCHOTE KTK VIWANJA VYA ARAFAT
    ILA DUWA ZA TAWASULI KWA JAHA ZA WATU SI DUA NI USHIKINA
    SASA MPKA KTK VIWAJNA VYA ARAFA KWELI UKATAWASALI KWA JAHA ZA VIUMBE WAKTI MAJINA 99 YA ALLAH YAPO ... JEE HAYAKUTOSHI ?
    Hii itakuwa ni hasara kubwa kwa mtu kwenda hijja akakosa kusamehewa na badala yake akfanya shirki