1 MISULI YA IMANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 1.3K

  • @AshrafAshraf-dm4xe
    @AshrafAshraf-dm4xe 6 ปีที่แล้ว +401

    m .. Muslim Ila huu wimbo nmeusikiliza kwa makini..nmerudia rudia mara nyingi...jamaa tupo. vzuri..machoz yanawez kukutoka sjafka...gonga like twende saw🇸🇩🇸🇩🇸🇩🇸🇩

    • @pesakareem552
      @pesakareem552 6 ปีที่แล้ว +2

      Joyce lyabonga barikiwa sana

    • @ageskati5450
      @ageskati5450 6 ปีที่แล้ว +2

      Ashraf Ashraf amin

    • @patriciasteven3642
      @patriciasteven3642 6 ปีที่แล้ว +2

      yaa ni mi NDO kabisa

    • @barakaedson3817
      @barakaedson3817 6 ปีที่แล้ว +1

      Ashraf Ashraf wimbo mzur

    • @mariammasesa6699
      @mariammasesa6699 5 ปีที่แล้ว +3

      Kwakweli huu wimbo waga unanipa huzuni nahuwa na jifunza kitu kupitia huu wimbo

  • @upendodingupo1105
    @upendodingupo1105 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo ina mafundisho sana,barikiwa mtumishi

  • @fatmafa1896
    @fatmafa1896 5 ปีที่แล้ว +6

    Amen kazi nzuri kweli Mungu wa amani aendelee kukuinua kweli na azidi kukubariki kwa Jina la yesu kristo Aliye bwana na mwokoz wetu amen

  • @lindershirima3711
    @lindershirima3711 3 ปีที่แล้ว +69

    Ad leo tunaoangalia2021 gonga like😌

  • @brysonmwakina
    @brysonmwakina 5 ปีที่แล้ว +208

    Uiiiih I love this song aki inanilenga uiiiiih Jesus,,,still watching 2019 wapi likes zenu na comments

  • @mtulivuindustryltd2356
    @mtulivuindustryltd2356 5 ปีที่แล้ว +8

    Mungu wa isaka na yakobo Mungu wa Ibrahim Naomba uniinue like yako tafadhali kama nawe unataka kuinuka

  • @eliabenjamin5949
    @eliabenjamin5949 8 ปีที่แล้ว +124

    Kwanini ulimua kuchukua wangu tuu eeeeeh bwana mtaa mzima uliona wangu tu, Ambwene Mwasongwe be blessed brother.

    • @shabaninyaluke7303
      @shabaninyaluke7303 6 ปีที่แล้ว

      Hii nyimbo inanikumbusha mbali sana

    • @essauamosy257
      @essauamosy257 5 ปีที่แล้ว

      kazi nzuri sana Mungu alibaki sana na wengine waimbaji waige mifano kwako

  • @raphaelgadau2783
    @raphaelgadau2783 5 ปีที่แล้ว +3

    Kama umeikumbuka hii nyimbo baada ya kutokea ajali ya gari la mafuta morogoro iliyo ua mamia ya watu like hapa👍

  • @rehemaseleman7088
    @rehemaseleman7088 5 ปีที่แล้ว +26

    Najua umeniamini ili naliweza. Ii nyimbo naipenda sana.

  • @neymafrancis6219
    @neymafrancis6219 4 ปีที่แล้ว +12

    Huu wimbo unaniumiza sana namna ambavyo ndugu zangu walivyoteketea vbaya kwa wakati tofauti kutoka watoto 10 mwishoye kabaki mmoja tu. Naombeni maombi kwa huyu mmoja😭😭🤲🤲🙏

    • @NyiransabimanaDorathe
      @NyiransabimanaDorathe 10 หลายเดือนก่อน

      Wimbo hui unanitia moyo kujuwa jamasi pekeyangniliye magumu ilamungu nimwaminifu

  • @johnkinyage959
    @johnkinyage959 10 ปีที่แล้ว +51

    Nilihangaika sana kuutafuta huu wimbo halisi baada ya kuona Original Komedi wameucheza! Good job Kaka Ambwene! Nitafurahi kupata Album nzima.

  • @mariamhamis3839
    @mariamhamis3839 9 ปีที่แล้ว +18

    kweli kaka ambwene unaimba kwa roho mtakatifu mungu akutia nguvu na akujaze roho mtakatifu

    • @hamisuliza7927
      @hamisuliza7927 8 ปีที่แล้ว +2

      Mimi ni muislam, ila kiukweli huwa napenda sana kufuatilia kazi zako ndugu kwa maana huwa hazilengi watu wa mlengo fulani bali huwa fundisho na elimu kwa kila mwanadamu anatambua uwepo wa mungu wetu.....mungu akubariki sana mpendwa!

    • @eradiuskashabano8876
      @eradiuskashabano8876 5 ปีที่แล้ว +1

      Wimbo wako hautachuja hata siku moja, Tunga mwingine ugusa hasa wavaa modo na vimini

  • @neemachima2469
    @neemachima2469 5 ปีที่แล้ว +7

    Ubarikiwe Mtumishi napenda sana nyimbo zako zinatia moyo

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaah 😭 Nyimbo ina hisia Kali sanaaa MUNGU 🙏 tujalie mwisho mwema viumbe vyako 😥

  • @petermagesa7577
    @petermagesa7577 8 ปีที่แล้ว +78

    Huduma yako ni njema mtumishi wa MUngu. Barikiwa sana

    • @dicksonulotu9717
      @dicksonulotu9717 6 ปีที่แล้ว

      Kila nikiutafakari hu wimbo napata nguvu zaidi,Mungu akubariki Ambwe

  • @Abijaemgunda
    @Abijaemgunda 9 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana hi nyimbo Mungu nimkubwa ameeen bado na usikiliza 2024

  • @johnolekete971
    @johnolekete971 10 ปีที่แล้ว +61

    These is a true story ooooohhhh!!!!!! my GOD sure as you live kuna changamoto. GOD bless you AMBWENE Mwasongwe. ukija Kenya nahitaji huu wimbo naucheza kila siku juma hili lote. Mungu yu mwema!

    • @sarahngombale9895
      @sarahngombale9895 6 ปีที่แล้ว

      Daah! Huu wimbo umenipunguzia machungu, umenifariji kwa kiasi kikubwa sana barikiwa sana mtumishi wa mungu.

  • @mwanahawabakari718
    @mwanahawabakari718 2 ปีที่แล้ว

    Da,hii ngoma inanikumbusha mbali Sanaa,😭namkumbuka mwanangu ambae ni marehemu,nililia Sanaa nampaka sasa namlilia,mwanangu joffrey ameniache nimdogo miaka mitano da,kweli mungu anamakusudio yake

  • @jennifersosthenes1885
    @jennifersosthenes1885 10 ปีที่แล้ว +26

    Asante yesu!! Kwa mtumishi wako na nyimbo zinazogusa moyo wangu

  • @janembwilo1751
    @janembwilo1751 6 ปีที่แล้ว +68

    Dunia ni njia tunapita hivyo tumuombe mungu awe nasi katika magumu tuyapitiayo .usiombe yakukute ya huyu mama

  • @kemymtalemwa4022
    @kemymtalemwa4022 5 ปีที่แล้ว +164

    who else litsens to this soulful song 2019?

  • @saronetawuor
    @saronetawuor 2 ปีที่แล้ว +1

    Ashukuriwe Mungu anayetupa kushinda,,,powerful

  • @mimahdelly6608
    @mimahdelly6608 4 ปีที่แล้ว +19

    2020 like za kutosha kama unahofu ya mungu amen

  • @anithapaul3249
    @anithapaul3249 8 ปีที่แล้ว +15

    nimebarikiwa na hii nyimbo, nyimbo ni nzuri inaujumbe mzuri. ameeeeen

  • @janetshao6423
    @janetshao6423 5 ปีที่แล้ว +10

    Misuli ya iman 2019😇hakika Mungu mfariji wa mambo yote, Asante Mungu wangu wa upendo tena mwenye huruma.Eee Mungu naomba ukamfarij na yule mtoto aliyeondokewa na familia yake yote kwa siku moja , nakuamin Mungu wangu wewe ndie uwezae kupatia furaha isiyo na kikomo mtoto yule😇

  • @mariamkene1945
    @mariamkene1945 6 ปีที่แล้ว +33

    Huu wimbo unanifanya nijione mshindi baada ya kupoteza mtoto wangu ambae nilithan kwangu itakua kila kitu nililia usiku na mchana Ila baada ya kuusikia huu wimbo nmejifunza kitu na kujiona ni mshindi hakika mungu ndie kila kitu mwanadam ukipanga nae anapanga hatuna bud kusema asante MUNGU kwa kila jambo hata kama limekuumiza kiasi gan,barikiwa kaka

    • @ezekielleonard8160
      @ezekielleonard8160 6 ปีที่แล้ว

      Mariam Kene ubarikiwe

    • @waridishayo655
      @waridishayo655 5 ปีที่แล้ว

      Mungu ni mwema kila wakati

    • @williamkajobore3509
      @williamkajobore3509 5 ปีที่แล้ว

      Mariam Kene

    • @mwaminidaudi6682
      @mwaminidaudi6682 5 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana huuwimbo ukiusikiliza machozi yanakutoka

    • @dikidiki2395
      @dikidiki2395 5 ปีที่แล้ว

      mungu awabariki woote mnao sikiliza neema hii 😂😂😂

  • @labellefille4177
    @labellefille4177 8 ปีที่แล้ว +39

    Ubarikiwe kaka kupitiya jina la yesu christu 👏🏿👏🏿👏🏿😢😢😢

    • @thabithmrisho6212
      @thabithmrisho6212 5 ปีที่แล้ว

      Labelle fille nakupenda kaka angu wew na nyimbo zako zote hasa hii inayohusu ajali endelea kubalikiwa sana sana.

    • @drakenjasper464
      @drakenjasper464 5 ปีที่แล้ว

      tusije fikiri kumwacha Mungu ataaki tuumiza

    • @smartsaleagents7523
      @smartsaleagents7523 4 ปีที่แล้ว

      Amee

  • @wangwemrongoti3
    @wangwemrongoti3 5 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa xn mtumixhi hakika unafanya kz nzr xana👏👏

  • @ayoubkapoja6956
    @ayoubkapoja6956 8 ปีที่แล้ว +31

    hongera sana kaka mi Florence mbalamwez toka Israel sderot napata faraja kwa nyimbo zako mungu akupe nguvu za kuhubir injr

    • @levisnduwimana4428
      @levisnduwimana4428 7 ปีที่แล้ว

      hongerasana Ambwene mwasongwe mungu akunzi ndishie

    • @stellamarmo7863
      @stellamarmo7863 7 ปีที่แล้ว

      kabla hujatoa huu wimbo ulifunga kusali? maisha halisi tunayoishi ubarikiwe kaz nzur

    • @stellamarmo7863
      @stellamarmo7863 7 ปีที่แล้ว

      kabla hujatoa huu wimbo ulifunga kusali? maisha halisi tunayoishi ubarikiwe kaz nzur

  • @yohanamarko2006
    @yohanamarko2006 5 ปีที่แล้ว +1

    Ni vizuri nyimbo zako ziendane na matendo yako siyo sisi utuamshe were ulale

  • @rehemaally7582
    @rehemaally7582 6 ปีที่แล้ว +389

    Inaniuma sana nikiusikia huu wimbo nawakumbuka wazazi wangu martha na dogras msanga walifariki siku moja na ajali ya pikpik waliamka asubuhi wakiwa wazima kabisa na kuchukua pikpik ili waende shamba ata shamba hawajafika walifika pacha ya njia ya shamba ndipo umauti ulipo wakuta dah ntawakumbuka sana nilitamn japo siku moja waje waone mafanikio yangu lakn mwenyz mungu akupenda hiwe hivyo tar 12/12/2017 siku ya j,nne asubuh dah umeniachia mtihan mkubwa san nawapenda sana mwenyez.mungu awalaze mahali pema pepon uko mliko

  • @sihadavid4227
    @sihadavid4227 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutunze Ambwene kaka yangu, nyimbo zako ni mafundisho makubwa sana

  • @angelmasava4249
    @angelmasava4249 6 ปีที่แล้ว +4

    Namkumbuka baba tuu kila niusikilzapo huu wimbo Ambwene umejua kunibadilisha baba mungu awenawe.......🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @jackemanuel4697
    @jackemanuel4697 5 ปีที่แล้ว +1

    namkubali Sana ambwene mwasongwe mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele

  • @marthapaulo4805
    @marthapaulo4805 8 ปีที่แล้ว +35

    kaka kazi zako nzuri na pia mungu azidi nikuonyeshe know

  • @mcsmartemidius8162
    @mcsmartemidius8162 9 ปีที่แล้ว

    Waooooo!!! Hongera sana mtumishi wa mungu nyimbo zako ni nzur sana hasa huu umenifanya nijione mi sikitu mbele zake bwana nazidi kukuombea kwa mola aendelee kukubariki Akina.

  • @yamatabaraka5712
    @yamatabaraka5712 8 ปีที่แล้ว +24

    Nyimbo imenibariki sana na imenifundisha sana mungu akuinue

  • @kochaa6096
    @kochaa6096 ปีที่แล้ว

    Nani yuko hapa 2023 the best of Ambuane

  • @musamusa6374
    @musamusa6374 5 ปีที่แล้ว +19

    2019 bado tunausikiliza since day one ,,, gonga like

  • @drakenjasper464
    @drakenjasper464 5 ปีที่แล้ว +1

    nimekua na mazaifu yaku mtumikia mwenyezi Mungu lakini kupitia wimbo huu ninajiisi nina nguvu za kumtumikia Mungu kwa kweli ubarikiwe mwimbaji ambwene

  • @estherstanley411
    @estherstanley411 8 ปีที่แล้ว +83

    nabarikiwa sana na huu wimbo....Mungu azidi kukubariki kaka Ambwene

  • @saraneema6679
    @saraneema6679 10 ปีที่แล้ว +2

    Ummmm amena sana.ubarikiwe mhubiri wa nyimbo

  • @karambizibenjamin4368
    @karambizibenjamin4368 7 ปีที่แล้ว +35

    Imana ikongerere impano n'imigisha myinshi ku ndirimbo zawe. Benjamin Karambizi Rwanda. Translated God Almighty be with you and strenghten your talent. Rwanda is blessed with your items.

    • @siimaezra9188
      @siimaezra9188 6 ปีที่แล้ว

      wimbo mzuri mwenyewe nimeishapita kwenye moto ubarikiwe sana tunafarijika

    • @faridakatima6886
      @faridakatima6886 6 ปีที่แล้ว

      mungu ni mwema

    • @hensongunman1680
      @hensongunman1680 5 ปีที่แล้ว

      Kaka Ambwene ubarikiwe

    • @dorapatric9016
      @dorapatric9016 5 ปีที่แล้ว

      Jamn unaumiz ujumbe ila mungu yupo

  • @peterissa7992
    @peterissa7992 3 ปีที่แล้ว

    Ameen nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi wa mungu Ambwene Mwasonge hakika mungu yupo ndani yako..Mungu aendelee kukutunza kaka##misuli ya Imani 2021 June 26

  • @Ngangabwite
    @Ngangabwite 10 ปีที่แล้ว +31

    Ambwene Mwasongwe, sijaona mtunzi kama yeye Tanzania

  • @munguatabakimungu4390
    @munguatabakimungu4390 10 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe kaka iyi nyimbo inanigusa sana , MUNGU ataendeleya kuwa MUNGU milele daima

  • @gloryjane4147
    @gloryjane4147 5 ปีที่แล้ว +24

    Kipind cha Mapito ni kigumu sana bila kumuomba Mungu unaweza hisi Mungu kakuacha lkn usife moyo Mungu anatujua hata kbla ya kuzaliwa kwetu hivyo tumtegemeze yy katika kila jambo llte. Usjal watu watasema nn jali Mungu anatenda nini ndani yako.

  • @janjaz
    @janjaz 3 ปีที่แล้ว +2

    l always listen to this song and my heart is filled we memories of my family members. Bt mungu atabaki kuwa mungu, najua aliamini hili nitaliweza

  • @mathiasmichael3184
    @mathiasmichael3184 5 ปีที่แล้ว +48

    i love my country 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @fatumasandali5668
    @fatumasandali5668 9 ปีที่แล้ว +2

    ambwene mungu akubariki kwa nyimbo nzuri za injili

  • @jacklinealoyce9296
    @jacklinealoyce9296 5 ปีที่แล้ว

    Sijawai sikiliza hii nyimbo bila kutoa macho, Mungu ww wajua jinsi gani napitia but yote Ni heri,punzika kwa Amani mama

  • @alaikemode4596
    @alaikemode4596 6 ปีที่แล้ว +3

    mashaallah huu wimbo napenda kusikiliza namkumbuka mwanangu mungu akutie nguvu kaka yangu inshaallah

  • @neemabatraham4682
    @neemabatraham4682 9 ปีที่แล้ว

    Mungu hutenda wakati wote binadamu hafai kitu mbele zake tumtegemee Mungu kwa kila jambo Ubarikiwe muimbaji wa hii nyimbo .

  • @joshuadenis6899
    @joshuadenis6899 2 ปีที่แล้ว +9

    2022 still listening 🎧 this song and make me feel strongly in every difficult situations and troubles. Glory to God 🙏

  • @raymondkaswaga8334
    @raymondkaswaga8334 5 ปีที่แล้ว +2

    Msiba wa Dianna umenileta hapa...barikiwa Ambwene

  • @eliafileakyoo9972
    @eliafileakyoo9972 7 ปีที่แล้ว +29

    kuishi ni Kristo kufa ni faida. jina lako Mungu libarikiweee

  • @lydiachembe9376
    @lydiachembe9376 3 ปีที่แล้ว +1

    Ilo neno la kusema alijivuna sasa yako wap dah sisahau aliambiwaga bibi yangu mzaa mama cku mama kafariki duh nilikuwa mdogo ila siwezi sahau bibi alilia sn alijaribu kujiuwa 😭😭😭 🙏🙏🙏

  • @reginaldmlingi4167
    @reginaldmlingi4167 7 ปีที่แล้ว +27

    nafarijika sana nikiusikiliza huu wimbo kwani umenigusa sana,jina la Bwana lihimidiwe,,Amina

  • @rosemarymathias4938
    @rosemarymathias4938 4 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo huu unanikumbusha mengi muno katika maisha yangu, Ewe Mwenyezi Mungu endelea kunipigania, Stay blessed Mr Ambwene.

  • @alexingaiza1905
    @alexingaiza1905 9 ปีที่แล้ว +5

    What a great song bro keep it up i just love it God bless it's encouraging

  • @RashidiGabriel-nf7ef
    @RashidiGabriel-nf7ef ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri sana lenye ku tiya nguvu kwa maisha ya ki roho

  • @superiorsucces9503
    @superiorsucces9503 6 ปีที่แล้ว +5

    Ambwene be blessed for your good lesson god bless you amen

  • @vionasindani1206
    @vionasindani1206 5 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri sana barikiwa mtumishi wa mungu,mungu akuifadhi uendelee kumtumikia.

  • @patriciawanjiru3154
    @patriciawanjiru3154 3 ปีที่แล้ว +4

    Mara ya kwanza kuskiza wimbo huu n lilia one week aki..hata saizi am my tears aki...I can only imagine huo uchungu

    • @hyacintagugu7
      @hyacintagugu7 2 ปีที่แล้ว

      Nami ninalia KILA nikiusikia

  • @evodyfrance1381
    @evodyfrance1381 5 ปีที่แล้ว

    Naumia sana ninavousikia uu wimbo sababu nikikumbuka wazazi nimewapoteza naumia sana kanigusa i la mungu anisaidieee

  • @sheluspeter7137
    @sheluspeter7137 10 ปีที่แล้ว +22

    God bless u man!!!

  • @khanniebaraka1515
    @khanniebaraka1515 3 ปีที่แล้ว +1

    Nalia sababu ya Rais wangu jamn

  • @bilhahjullie5270
    @bilhahjullie5270 5 ปีที่แล้ว +7

    When i listen to the song i always feel special before God i start praying praising him for his Good Deeds i love u God....good work Ambwene

  • @simonkabuka9170
    @simonkabuka9170 2 ปีที่แล้ว +2

    This song is inspires many who are in difficulties.
    Ambwene went beyond imaginations. God bless him.

  • @lizzasmart7908
    @lizzasmart7908 5 ปีที่แล้ว +6

    I love this song it encourage me alot coz am a widow

  • @happyjohn6776
    @happyjohn6776 8 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe baba huwa cichok kucikiliza huu wimbo naupenda sana.mungu aendelee kuibariki kazi yako.

  • @mohamedburuhan9168
    @mohamedburuhan9168 4 ปีที่แล้ว +6

    2020 still my favorite song God bless u ambwene good job

  • @racheljoakim5660
    @racheljoakim5660 7 ปีที่แล้ว +2

    nyimbo nzuri sana inafariji nahukuzunisha,hua nikiusikiliza namkumbuka sana dadangu kipenzi christina,alikua anapenda sana kusikiliza hizi nyimbo..eeh Mungu mwema nakuomba umpe pumziko la aman kipenzi changu pamoja nawote waliotangulia.amen

  • @jackmussa3176
    @jackmussa3176 9 ปีที่แล้ว +24

    Mungu abariki kazi ya mikono yako

  • @ilawakondo9696
    @ilawakondo9696 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice song ubarikiwe mtumishi

  • @shamimnancee8436
    @shamimnancee8436 8 ปีที่แล้ว +6

    hv been blessed by this song,God blessed u brother

  • @roselinejackson7353
    @roselinejackson7353 6 ปีที่แล้ว

    Waoooh Mungu akuzidishie nguvu,nyimbo zako zinanifariji daima

  • @happyhappymabula8182
    @happyhappymabula8182 8 ปีที่แล้ว +5

    elinzabetti Mabula
    hakika. winbo. huwauna ni. balikisan. mungu akubaliki ssan kak

  • @suzanmwita281
    @suzanmwita281 7 ปีที่แล้ว

    naupenda sana huu wimbo,,, ulinitia moyo sana kpnd nipo advance,, Ukuu wa Mungu umeonekana,, ubarikiwe

  • @emmanuelsamson4946
    @emmanuelsamson4946 10 ปีที่แล้ว +4

    Excellent work bro keep it up ur the best

  • @balolepaul1515
    @balolepaul1515 8 ปีที่แล้ว

    Mungu akuinue Ambwene kwa nyimbo zako nzuri na jina la Bwana liinuliwe kupitia wewe. By Paul Venance Mwanza Mipango Institute.

  • @theobarddimoso5993
    @theobarddimoso5993 9 ปีที่แล้ว +4

    Mr,ambwene god bless you brother

  • @nurumwakipesile9090
    @nurumwakipesile9090 5 ปีที่แล้ว

    Daaa kwel misuli ya imani, namuwaza mwanafunz aliyepoteza juz wazazi wake pamoja na ndugu Zake jumla watano, cku moja daaaa.

  • @masanjasafari6515
    @masanjasafari6515 6 ปีที่แล้ว +4

    Kaka Mungu akusaidiye I like you song good job Job

  • @naomipanja5768
    @naomipanja5768 5 ปีที่แล้ว +1

    uzidi kubarikiwa nyimbo zako nzuri zenyeee kugusa watu
    penda

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 8 ปีที่แล้ว +16

    God bless u my brother... actually I'm so blessed with this song (MISULI YAIMANI) Inanijenga kihoro sana ...

    • @modestanyongole432
      @modestanyongole432 7 ปีที่แล้ว +2

      wimbo unafariji sana hasa ukiwakwenye jaribu ubarikiwe ambwena

    • @theresialaizer8309
      @theresialaizer8309 6 ปีที่แล้ว

      Modesta Nyongole nice sana napenda mno

    • @bebeney1888
      @bebeney1888 6 ปีที่แล้ว

      Nabarikiwa Sana na huu wimbo mungu akutie nguvu

  • @winniepaul7257
    @winniepaul7257 3 ปีที่แล้ว +2

    2021 bado ni ushuhuda kwangu
    Mungu amenitendea mengi nikiwaza huyu Mama nasema Ahsante sana Mungu

  • @lazaroshija1498
    @lazaroshija1498 8 ปีที่แล้ว +10

    Hakika mungu huinua vipaji kwa kila mtu ubarikie mungu wetu kumtumia kaka yetu mpendwa kwa wimbo huu ameen

  • @glorymsak1978
    @glorymsak1978 8 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri zinazidi kunibariki jina la yesu lihimidiwe mzidi kubarikiwa na nyie mpaka mshangae!!!!!

  • @macklinahchogelo6373
    @macklinahchogelo6373 8 ปีที่แล้ว +51

    wimbo wa misuri ya imani umekumbusha Mengi,ila yote tuna muachia bwana wa mbingu na nchi.Amina.

    • @upendofiyao1933
      @upendofiyao1933 7 ปีที่แล้ว +2

      mbwana abariki kazi ya mikono yako

    • @janethndossy1682
      @janethndossy1682 7 ปีที่แล้ว +1

      jaribu linapokuja kwa Siku iyo na SAA iyo unaweza ukaona uku duniani akuna anaeee kupenda kumbe mungu hutujaribu ili kuzipima imani zetu

    • @mgayamatembe2969
      @mgayamatembe2969 6 ปีที่แล้ว

      Amina

  • @provispermunzenda3195
    @provispermunzenda3195 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa na iyo nyimbo.barikiwa

  • @mipawasuleiman7879
    @mipawasuleiman7879 3 ปีที่แล้ว +6

    Mwanzoni nilikuwa kama siamini lkn baada ya mama yule wa mwanza kufiwa na watoto wake 9 niliamini haya mapito yapo Mungu aendelee kututetea!!

  • @pamelanabokolweojuma1964
    @pamelanabokolweojuma1964 5 ปีที่แล้ว +1

    hallelujah man of God mungu akutende mema

  • @masanjaantony4016
    @masanjaantony4016 9 ปีที่แล้ว +6

    Wimbo mzuri wenye ujumbe mzito ubarikiwe mpendwa

  • @janetnjobvu2871
    @janetnjobvu2871 2 ปีที่แล้ว

    Kaka nakupenda kaka yangu ambwene mungu azidi kukubariki endelea kumtumikia

  • @sylvestergesaina3125
    @sylvestergesaina3125 10 ปีที่แล้ว +9

    Well done Ambwene

  • @stellamwakwama2909
    @stellamwakwama2909 7 ปีที่แล้ว

    ubalikiwe mtumishi wa mungu kwa falja za nyimbo zako u azoimba zimenifaliji san

  • @veliswawayi7086
    @veliswawayi7086 4 ปีที่แล้ว +3

    I really love the song God bless you my brother i dont understand the language but is really touching

  • @gracemwera8241
    @gracemwera8241 3 ปีที่แล้ว

    Nikukumbuka mungu umeichukua familia yangu yote NAumia Sana,ee mungu naomba unipe nguvu naujasiri kwenye hii dunia, naomba unisamehe Kama nakukufuru mungu wng natamani kufa pia.

  • @mek9495
    @mek9495 5 ปีที่แล้ว +4

    my momy love this song from a first day and forever,,Appriciate,,❤