JE? MZIKI NI HALALI SI HALALI _EP 01

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 21

  • @akidashekue163
    @akidashekue163 3 หลายเดือนก่อน

    Sheikh dufu ni ngoma

  • @SalimAlly
    @SalimAlly 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah mnafanya kazi nzury sana Allah awabaarik

  • @furahaWorlwide
    @furahaWorlwide 5 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Shukran sana sheikh Rashid na pongez kwa Al_fatah kwa ujumla

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 5 ปีที่แล้ว +1

    Allah atuhidi yarabb ameen atuepushe na maaswi.Shukran Sheikh.

  • @bakarikalama6099
    @bakarikalama6099 5 ปีที่แล้ว

    Sheikh kipozeo alialikwa wasafi TV na hakusema haya. Mashaallah Shiekh ALLAH akuepushie kila LA Shari akujalie kila LA kher APA duniani na kesho Ah'era

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 ปีที่แล้ว

    SHUKRAN MASHEIKH WETU KWA MAWADHA ALLAH AWAJALIE UMRI WENYE AFYA NJEMA MZIDI KUTUELIMISHA.

  • @abdallamohd1937
    @abdallamohd1937 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Sheikh we2 kwa ku2patia Elimu

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 5 ปีที่แล้ว +1

    Yambie hasaa maana ukiyambia mikaidi

  • @sontrillthereal8186
    @sontrillthereal8186 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dufu ni halali ki vipi? Wakati ni ngoma na wakati ni muziki?

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 5 ปีที่แล้ว

    Subhaana Allah wakty huu tulionao hata ukiwaasa waache mambo haya wanakanusha sana na kupinga fikali kama haramu music juzi nimebishana na mtu anasema kipato cha music kinafaa kutoa sadaka.nilivyomwambia haifai akasema masheikh ni wanafik.

    • @salumkhamiso4800
      @salumkhamiso4800 5 ปีที่แล้ว +1

      Tunashkuru kwa kutukumbusha

    • @bibasule7266
      @bibasule7266 5 ปีที่แล้ว

      Mwenyez mungu subhaanahu wata'ala anawaona

  • @aminaomar1170
    @aminaomar1170 5 ปีที่แล้ว

    Wa alykum salaam warahmatullah wabarakatuh

  • @aboumaburaramadhan4188
    @aboumaburaramadhan4188 5 ปีที่แล้ว

    Subhanalha

  • @rashidseif7240
    @rashidseif7240 5 ปีที่แล้ว

    Physician mwenyewe je

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 ปีที่แล้ว

    WALAYKUM SALAM WARAHMATULLAH WABARAKATU

  • @rashid.mwenyezimunguakurin2968
    @rashid.mwenyezimunguakurin2968 5 ปีที่แล้ว

    tuerimisheni watu wamezidi

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 ปีที่แล้ว

    Shekhe nauliza kwamfano nipo chumbani na mume wangu kisha nikafungulia sauti ndogo ya mziki na nikiwa nacheza na ninacheza kumfurahisha mume wangu chumbani je ipi hukum yke?

    • @yussufsuleiman5843
      @yussufsuleiman5843 5 ปีที่แล้ว

      Haifai ni Haramu kwa vile ala za miuziki zimetumika humo
      Ikiwa kitu kimeharamishwa asili ni Haramu

    • @mussaame9175
      @mussaame9175 ปีที่แล้ว

      haifai ksikiliza mziki hata ama ni me na mume

  • @faisalwaafrica7478
    @faisalwaafrica7478 5 ปีที่แล้ว

    Muzic ni haram full stop